Mwendo kasi:Jinsi ya Kukata Mwendo kasi ya Kola na Mifuko,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Gauni ya Mwendo kasi Jinsi ya Kukata kwake ni rahisi sana,Jinsi ya Kukata Mwendo kasi ya kola na mifuko ni rahisi zaidi, tafadhali jifunze Jinsi ya Kukata Mwendo kasi ya kola na mifuko #‪@NaimaCreation‬ channel.
    Kama unaswali lolote kuhusu video hii ya Jinsi ya Kukata Mwendo kasi ya kola na mifuko tafadhali niandikie chini ya COMMENT.

ความคิดเห็น • 83

  • @MwanamisiIjumaa
    @MwanamisiIjumaa 4 วันที่ผ่านมา

    Nitumie nyingn Dada yangu

  • @KhadijaBurhan-x7t
    @KhadijaBurhan-x7t หลายเดือนก่อน

    Nimeuelewa huo mshono

  • @ZuenaBakari-y9v
    @ZuenaBakari-y9v 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba niingie kwenye group

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  2 หลายเดือนก่อน

      Mwezi wa Tisa Inshallah malipo elf 20 kwa mwezi

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 11 หลายเดือนก่อน

    Wow..I like it ❤❤

  • @AuleaReuben-c4n
    @AuleaReuben-c4n 2 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @JuliusMalala-eg2sy
    @JuliusMalala-eg2sy 6 หลายเดือนก่อน +2

    Samahani nataka jifunza jinsiya kukatgubeli

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  6 หลายเดือนก่อน

      Angalia video hii th-cam.com/video/fSd9fEFIcg8/w-d-xo.html

  • @MagdalenaSosthenes
    @MagdalenaSosthenes 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri mwlm ila Mimi nilikuwa naomb namb yak ya whatsup ili tuzungmze vzr

  • @SarahAbdallah-l4p
    @SarahAbdallah-l4p 9 หลายเดือนก่อน +1

    ludia tena

  • @fatumashomari5658
    @fatumashomari5658 5 หลายเดือนก่อน +1

    Niunge kwenye group la whatsApp

  • @AishaAshura-oc7dw
    @AishaAshura-oc7dw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nataka kujifuza zaidi uwez niunganisha wasp ili nijue zaid dada

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  4 หลายเดือนก่อน

      Sifanyi mafunzo wasap mumy

  • @MichaelThomasMazur-y7k
    @MichaelThomasMazur-y7k 8 หลายเดือนก่อน +1

    Niunge kwenye group la wassatp

  • @GladyxGlady-dj1jc
    @GladyxGlady-dj1jc ปีที่แล้ว +1

    Cjaelewa mwalimu 😊

  • @YusterMtafya
    @YusterMtafya 5 หลายเดือนก่อน

    Cjaelewa madam

  • @JosephMaghara
    @JosephMaghara 4 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @mamadoromamadorothea-ij9zd
    @mamadoromamadorothea-ij9zd 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nifundishe pande sita na nane

  • @MaryamYombe-h9d
    @MaryamYombe-h9d ปีที่แล้ว

    Asante Naima

  • @SaidatTwaha
    @SaidatTwaha ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa kwa upande w nyuma inakuwaje

  • @SalomePaul-r3n
    @SalomePaul-r3n หลายเดือนก่อน

    Naomba niunge

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  หลายเดือนก่อน

      Wasap namba 0672310102

  • @Nasramagesa
    @Nasramagesa 6 หลายเดือนก่อน

    Sante ubalikiwe

  • @YusterMtafya
    @YusterMtafya 5 หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa dada

  • @GundelindaMboya
    @GundelindaMboya 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada kazi nzur,nawezapata masomo Yako Kwa njia ya Whatsapp

  • @EdithaBurra
    @EdithaBurra 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi Yako ni Nuri mwendokasi huo ni mpana au mdgo sijaelewa hapo naomba namb zako za wsp nijifunz zaid

  • @aminamduma7417
    @aminamduma7417 ปีที่แล้ว +1

    Jins ya kushona jyo mifuko na kola

  • @NassorSaid-kx2zv
    @NassorSaid-kx2zv 4 หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa kwenye kupima urefu wakifua

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  4 หลายเดือนก่อน

      Video zipo nyingi angalia nyengine

  • @HarrietMazengo
    @HarrietMazengo หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wapi

  • @EdithaBurra
    @EdithaBurra 7 หลายเดือนก่อน

    Niunge kwenye group lako la whasp

  • @ANETHCHIZA
    @ANETHCHIZA 7 หลายเดือนก่อน

    Mm sijaelewa jinsi ya kukunja huu mwendo Kasi kwasababu mm nikikata mwendo Kasi lazima niunge Kwa chini najikuta ulefu unazidiana naomba msaada ili nisiwe naunga Kwa chini

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  7 หลายเดือนก่อน

      Angalia video hii Jinsi ya kukunja mwendo Kasi th-cam.com/video/7YI1kIjxkl8/w-d-xo.html

    • @AnnaMushi-d3g
      @AnnaMushi-d3g 6 หลายเดือนก่อน

      Lazima lizidi. Ukiona. Kitambaa kimezid unasawazisha n upand wap mamy

  • @LeilaShabani-f6p
    @LeilaShabani-f6p 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza hapo kwenye mstari was kifua unaweka kipimo ulichkipata kwenye kifua bila kuongeza za kushonea?

  • @merinaphilberth214
    @merinaphilberth214 10 หลายเดือนก่อน

    Je ukikunja Kama solo inawezekana

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  10 หลายเดือนก่อน

      Ndio itakuwa mwendo kasi

  • @KessyAlly-id4dm
    @KessyAlly-id4dm ปีที่แล้ว +1

    Ninatakiwa niwe na mita ngapi za kushona

  • @ThumairaNjimbari
    @ThumairaNjimbari 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda najiunga na mm

  • @FaustinaJaphet
    @FaustinaJaphet 10 หลายเดือนก่อน

    Hio zipu umeweka sehemu gan? Nyuma kwapani?

  • @FahmiAli-d1x
    @FahmiAli-d1x ปีที่แล้ว

    Naomba niunge kweny groop lako

  • @DeniceMgaya
    @DeniceMgaya 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa nyuma imekaaje mwalimu

  • @NurathRashid-tu8rb
    @NurathRashid-tu8rb 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi sijaelewa vizur jins ya kukunja 😥

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  11 หลายเดือนก่อน

      Download video mumy

  • @MerryOmary-tk7qh
    @MerryOmary-tk7qh ปีที่แล้ว

    Nimita ngap za ilogaun lamwendo kas

  • @AishaAshura-oc7dw
    @AishaAshura-oc7dw 4 หลายเดือนก่อน

    Nope namba Yako dada

  • @JuliusBukindu-ff5tj
    @JuliusBukindu-ff5tj 8 หลายเดือนก่อน

    Kora ni mbele na nyuma

  • @TheodolaKushoka
    @TheodolaKushoka ปีที่แล้ว

    Nauliza kwamba natakiwa niwe na mita ngapi za vitambaa kwa uo mwendokas

  • @MarryNkwabuka
    @MarryNkwabuka 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya WhatsApp dada

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  4 หลายเดือนก่อน

      Kama unaswali uliza huku wasap sitoi huduma

  • @NgoyAnge
    @NgoyAnge 5 หลายเดือนก่อน

    kipande chanyuma

  • @elizabetherasto
    @elizabetherasto 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba nambayako ya WhatsApp

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  6 หลายเดือนก่อน

      Wasap kwa mwezi elf 50 kama unaswali lolote uliza huku

    • @zaitunisingano8295
      @zaitunisingano8295 2 หลายเดือนก่อน

      50 haina shida fundi, je niuhakika wtsp huduma inaeleweka na kujitosheleza vyema kabisa, maan kuna wengine ada kubwa mtu analipa ukiuliza swali inakua shida 😄

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  2 หลายเดือนก่อน

      Darasa ya elf hamsini imemaliza mwezi wa Tisa Inshallah kutakuwa na group mwezi elf 20, kama unanielewa TH-cam bila shaka utanielewa na wasap maswali mimi nakaribisha sana

  • @WiliminaMtemba
    @WiliminaMtemba ปีที่แล้ว

    Kama unagroup niunge whatsap

  • @SabinaMtwigu-sd1cm
    @SabinaMtwigu-sd1cm ปีที่แล้ว

    Sasa hyo gauni Ina zipu

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  ปีที่แล้ว

      Ndio

    • @SabinaMtwigu-sd1cm
      @SabinaMtwigu-sd1cm 11 หลายเดือนก่อน

      @@NaimaCreation nilitamani nione ukiweka zipu jaman ila gaun nzur

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  11 หลายเดือนก่อน

      Kuna video ambayo nimeonesha Jinsi ya kuweka zipu

  • @Ayubujumaahmad
    @Ayubujumaahmad ปีที่แล้ว

    Naomba uniunge kwenye group la WhatsApp

  • @KhadijaBurhan-x7t
    @KhadijaBurhan-x7t หลายเดือนก่อน

    Nimeuelewa huo mshono

  • @KhadijaBurhan-x7t
    @KhadijaBurhan-x7t หลายเดือนก่อน

    Naomba niingie kwenye group

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  หลายเดือนก่อน

      Wasap namba 0672310102

  • @EdithaBurra
    @EdithaBurra 7 หลายเดือนก่อน

    Niunge kwenye group lako la whasp

  • @EdithaBurra
    @EdithaBurra 7 หลายเดือนก่อน

    Niunge kwenye group lako la whasp

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  7 หลายเดือนก่อน

      Wasap 0672310102

    • @alexjoseph4853
      @alexjoseph4853 7 หลายเดือนก่อน

      @@NaimaCreation niunge kwa group