Jamanii naomba hushuz aniachie Mponji wake mange ila nawapenda mange na mponji wanav pendana ndoa yangu ninao kuomba Mungu wangu iwe ya furaha na upendo kama hii ya Mponji na Mange eee Mungu
😂😂mama shadyaa eti unachoma moto daa nzima😅😅enyewe ww ma shadya wee ni kichaa😅😅lakini kiukweli hii movie lazima Mama shadya ,aweko bila yy haiwezi noga pia mahabaya mponji na mage yatapungua❤❤...so lazima ushuzi awasumbue ndio mapenzi yaendelee kuwa moto🔥🔥🔥🔥.... anyway napenda kazi yenu nzuri ❤❤❤...
Hii Ndiyo movie ya mashauri mazuri ! ila ile ya mke masikini na mume tajiri mponji ! isije ikaji rudiya tena, ni movie yaku kera moyo. Mponji hongera kwa kazi baba.
Ila Mama Shadya king'anga jamani lakini hii inafundisha sana ila huyu Halima bado sana kuigiza japo anajitahidi ila 🎉🎉🎉🎉kwa mage jamani anazidi kuiva siku hadi siku huyu anafaa kuigiza mahaba mahaba anayamudu kweli ila mama Shadya ukorofi mwingi sana Mponji unajua kupenda ila punguza huruma kwa ex wako tafadhari
Mponji na mage mnanifunza mambo mengi sana mbarikiwa❤🎉🎉
Mage mumeo anakupenda anakuandalia kesho nzuri na wewe mpende sana mume wako
Mmmh na nikweli mma shadyaa unamganda mponji kaa magnet kaah uliashika wwe kumbali kuashika gonga like hapa na utambarikiwa I'm from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Anaekerwa mponj kwenda kwa mama shadiy like
Sana yani ni kama bado yuwampenda na hajra anazidi kumpa nguvu
❤❤ thanks for U kazi nzuri jama 😂😂
Kazi kazini kweli nakupenda sana mponji na kazi zako hucheleweshi kwakweli ❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamanii naomba hushuz aniachie Mponji wake mange ila nawapenda mange na mponji wanav pendana ndoa yangu ninao kuomba Mungu wangu iwe ya furaha na upendo kama hii ya Mponji na Mange eee Mungu
😂😂mama shadyaa eti unachoma moto daa nzima😅😅enyewe ww ma shadya wee ni kichaa😅😅lakini kiukweli hii movie lazima Mama shadya ,aweko bila yy haiwezi noga pia mahabaya mponji na mage yatapungua❤❤...so lazima ushuzi awasumbue ndio mapenzi yaendelee kuwa moto🔥🔥🔥🔥.... anyway napenda kazi yenu nzuri ❤❤❤...
Kwel kbs Eliza bila mama shadya ainogi
Movies kari sana iih
Mama nasri mtowe mponji uo uhuzi kwa icho kidevu😅😅😅
Hongera zako dada mwana kwa kazi yako nzuri ❤❤❤🎉🎉🎉
Hongereni team Mponji mmetisha sana kazi tamu mno
Mage tuko makini abiria chunga mzigo wako,lkn huyo ajira mbona king'ang'anizi SI yamemzinda mwenyewe aache kabisa amuache mage ale maishaaaa ukisema ww was nn mwenzio anasema nitampata liniiiii❤❤❤
Hii Ndiyo movie ya mashauri mazuri ! ila ile ya mke masikini na mume tajiri mponji ! isije ikaji rudiya tena, ni movie yaku kera moyo. Mponji hongera kwa kazi baba.
Maggy hatski na mponji wake😂😂😂😂😂
Hongera sanaaa mponjii kazii nzuriii..... mama shadya kichwa na nusuu 🎉🎉😂😂😂😂
baba bimbo anapenda kwenda ndani kila wakati
😂😂😂
mama. shady una kichaa sana wewe mana mponji akutaki tena
Tunataka mwendelezo jaman 64
Kazi nzuri congratulations to you 🎉❤
Jmn mponji na mage asanteni kwa kazi nzuri
ILiked.
Hallo mv ina ujumbe mzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera mponji kazi nzuri
Movie nzur hongereni sana 😅mage nimeipenda sauti yako ❤🎉
From Kenya,sisi pia twataka huo ushauri mama ingekua vyema ukatengeneza series tukawa twajifunza Kwa mitandao,itasaidia wengi sana🎉🎉🎉🎉🎉
Mpoji huko saihi kwahulichokifanya Kwa mama shandyaa nawapenda sana ❤❤❤❤
Damwana nimekpendabule asante
Jamani mashallaah nawapenda wote ❤❤❤❤❤ imeishia pazuri😊😊
Next please 🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda sana mponji na mage mko pouwa
Mponji unafata Nini Kwa hajra na yule mtoto siyo wa kwako tulia na mage wetu hajra muhuni tu yule atakupogezea raman
Napenda MAHABA ya Mponji kwa Mage ❤❤❤❤❤
AMINA baba nasri Mungu pekee ndiyo muweza❤❤
Kazi nzur Sana ❤❤❤
Mponji na mage mwanifunza mengi xana❤❤❤
hongera sana mage na mponji🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera mponji kaz nzur sana
Sasa ma nasir hujamuona baba nasiri uzi kidevuni apo 😂
Wewe mpoji wachana nakweda kwa mama shadie fwata maisha yako nafamilie yako mpwa
Move pendwa inaelimisha sana. Thanks my team Dar zone Tv❤❤❤
Shukrani sana Kimaro
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mangi ww uko na monyo musuri sana umetufusa sana kua nà monyo kama wa kuako 🎉🎉🎉
Nawapenda kinomanoma❤❤❤❤❤ mauwa yenu jameni🎉🎉🎉🎉🎉
Mponji bana n maggie munanifunza mengi pia mm nitaishi hivi kwenye ndoa yangu niombeeni nipate mume bora wa maisha yangu 🙌🏾🙌🏾nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nzur sana hii
Nimependa muvi yenu sana inafundisha sana
Excellent
Hahahaaa😂😂😂😂 mponji mpole ila majibu yake yafurahisha
Mponji wafanya kimwili cheza na mage
Mponji..umenifurahisha..sana.sikuizi
.tunaishi..namahsaka..kweli
🎉🎉❤❤
Movie inaelekea mwishoni ila kiukweli nimewazoea sana sitamani iishe ila sina budi
😂😂😂 movie nzur sana mafunzo mengi kila kipande
Mama shadhia ni kinganganizi ukiachwa achika banaee Unaboa
Mage😂😂😂😂
Wakwanza 🇧🇮 burundi
Ila mage una sauti nzuri kweli jamani ungekuwa tu msanii 😂😂
mage choma ndani 😂😂😂😂😂
Mponji na mage nawapenda sana
Mponj nimeipenda nyimbo nitumie wasap dear🎉🎉🎉
Aya nakutumia
MZIGO HUU HAPA FULL HD NI MTAMU VIBAYA MNO...KAJILETA MWENYEWE MTUHUMIWA SIJUI ANA YAPI YAMEMKUTA
Mzigo gan mbona siuoni?
Labda karogwa maana mama shadiya kwa waganga hajambo😅😅😅
Halima kimekukuta nn siulijifanya mjanja nyoo mungu analipa
Mponji nimekupenda bule na jasimini mm nipo omani
From Tz ❤❤❤
Dah leo nimekuwa wa kwanza kutoka oman timu strong oyeeeeeeeeeee😅😅😅😅😅😅😅
Uko Oman sehemu gani mm nko Muscat
Mponji malisa hii move leta ingine jamani 🎉🎉
Hii mbona kush nei
Afadhali hii naona kama yaisha mara naona kama yaanza
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
ushuzi bwana eti nachoma moto dar mzima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo nimewahi na Mimi jamani like zangu hapa
Huyu halima ni ndugu yangu NN kwasababu anavyoongea ni kama mchaga kabisa
Mnachelewa kutoa ya 64
Wanachelewa sana, ama story imewaishia?
Mponji na..mage penji inanoga ki kweli
Naifatilia kila siku zuli❤
Na mponji nae unakera mwanaume gani usiyekuwa na misimamo ww kila siku mama shadya mm hata sielewi naona unakela tu mponji
Lakini mage iyotabia yakutokatoka bila mutoto usije ukamusaliti mume wake😢
Kwakwe mponji unapenda ndani bimbo bimbo
❤❤❤❤
Malizeni huu mchezo jameni mutuletee mwengine please.
Sura mbuzi mdomo kitimoto😂😂
Nimewai
Kichwa kinafuka moshi tuuu😂😂😂😂
Ila Mama Shadya king'anga jamani lakini hii inafundisha sana ila huyu Halima bado sana kuigiza japo anajitahidi ila 🎉🎉🎉🎉kwa mage jamani anazidi kuiva siku hadi siku huyu anafaa kuigiza mahaba mahaba anayamudu kweli ila mama Shadya ukorofi mwingi sana Mponji unajua kupenda ila punguza huruma kwa ex wako tafadhari
Mponji ufanye uishe huu mchezo mana unakoelekea unatuchosha sasa ,umepunguza ladha Kwa kweli
Huu mbona tayari,tunawatengenezea kitu kingine kipya
Daah yani wewe upo kwenye akili yng mie pia naomba uishe nishauchoka kusema ukweli
Mponji ❤ndanniiiiiiii😅😅😅
Mponji na mage munapendezana sana kama muko single muoane kwel
Si ndio sasa😂😂😂
😂😂😂anaimba juu alipewa vixuri
Hongera san mage ingekuwa wanawake wote tupo hivyo dunia ingetulia sn
🎉🎉🎉🎉
Mpoji usifutile tena coz halima na hajira walikuwa wamashoga so wacha wasolve shida zao wenyewe
❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Mama nombibo 😂😂😂😂
Mpoji usiwe wa kupokelewa na kilamtu
❤🎉
Mponji miwan imekuzoea ukitowa cjui unakuwaje
@@SakinaHassani-xm7ti hahahaha ww nawe
@@darzone1020 🤣🤣🤣ndio we ujion
@SakinaHassani-xm7ti nyani haoni kundule 😂😂😂
@darzone1020 🤣🤣🤣
Hii movie sasa ifike mwisho
baba ndombindo
Wakwanza
😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤🎉
Mponji uangarie hizo furem zisikurudie