Mungu anajua kuwatumia watu wake, Bwana Yesu aendelee kukupigania mch.Amieli katekela na kamwe adui asipate nafasi juu Yako, maana unatufundisha mambo mengi sana namna ya kuwa na nguvu ya maombi zaidi.
I have learned a lot, I have been following you online, may God give you strength to keep on spreading the His word. Thank you promover TV for good work,
Haleluya, Utukufu kwa bwana, asante kwa kutufumbua macho, mimi ni mmoja kati waliowahi kutumia maji na mafuta ya manabii, na sadaka na mafungu ya 10 nilikua natoa pale, je nifanyeje ili niweze kupona, maana nilishaacha kwenda tangu nimeujua ukweli, naomba msaada kwa hilo🙏
😂😂😂😂katekela jamani mimi hua unanichekesha mpaka naogopa,najipata tu wacha niendelee nimalize clip nibarikiwe na nijue kujiepusha na watumishi wa uongo.barikiwa sana mtumishi wa mungu katekela.ama kweli mungu alikutoa mbali na atakubariki kabisa....karibuni tena kenya side za machakos,yatta,.....tunawatamani sana ili tupate baraka za face to face pia.🙏
SADAKA SADAKASADAKA NI MUHIMU SAAAANA MTUMISHI. TUTAO SANA MUNGU NAYE ANAPOTUBARIKI NASI LZM TUTOE SADAKA MBALIMBALI KTK MAKANISA YETU NA KUWABARIKI WENGINE.
Bwana yesu nakushukuru kwa ajili ya mtumishi huyu, mtumishi huyu unamjua wewe uliyemuumba wewe MWENYEWE. Tufanye nini sasa,wewe MUNGU ni MUNGU PEKE YAKE.
Mchungaji huyu kaitwa na MUNGU mwenyewe ili amtumikie MUNGU ameweka vipawa vikubwa ndani yake huyu si Mchungaji wa kuchezea hata mimi hajawahi niona ila shuhuda zake zina nguvu za MUNGU aliye hai katika jina la YESU kritor aliye hai ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU aliye hai
Nimejifunza mengi mno Barikiwa pastor Amieli ninakupenda bure. Jacktan Mungu Aendelee kukulinda sana Barikiwa sana na Promover TV.
Mungu anajua kuwatumia watu wake, Bwana Yesu aendelee kukupigania mch.Amieli katekela na kamwe adui asipate nafasi juu Yako, maana unatufundisha mambo mengi sana namna ya kuwa na nguvu ya maombi zaidi.
I have learned a lot, I have been following you online, may God give you strength to keep on spreading the His word.
Thank you promover TV for good work,
Naikabidhi nyota yangu kwa Bwana Yesu Kristo, Amen.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Amieli
I erick from Kenya nimebarikiwa Sana mchungaji kwa ushuhuda wenye nguvu za roho na YESU KRISTO akutie nguvu katika roho mtakatifu
Welcome to Kenya welcome so much, ur blessed.......
Damu ya Yesu inanena mema itatuvusha
Mtumishi umeninjenga sana God bless you.
AMINA AMINA Mchungaji Amiel. Mungu akubariki Sana katika Jina la Yesu Kristo was Nazareth,wewe Ni Shuhuda kweli.
barikiwa mtumishi wa Mungu you inspire me. Anyanje from Kenya.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukulinda
Mtumishi wa mungu ubarikiwe napenda mahubiri yako mungu akupe kibali uzunguke Tanzania nzima ili tupone wote
Amen through you man of God we are still blessed glory to God🙏🙏🙏
Amen Amen Amen
Allelua
Sifa Kwa Mungu katika jina la YESU
Ubarikiwe
Basi ukiomba uwenani rudisha nami
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa neno lako hapa nmepata kitu kikubwa sana moyon mwangu 🔥🔥🔥
Barikiwa mtumishi wa Mungu naomba no ya mchungaji aje geita semina jaman nasisi tupokee
Anatuabisha wanyakyusa wenzie tunapenda Yesu sana na kutii maagizo yake🖐️
Mtumishi Amiel una ujasiri mkubwa sana kama Meshack,Mnyeshan,Moses kulola,maboya n.k Mungu akubariki
Ubarikiwe mtumishi
Yaani unasema ukweli kabisa unatufungua macho jamani Mungu akubariki pamoja na promover TV
Uko vizuri
amen ..ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU WAKICHUKIA NAWACHUKIE TU.
Wapasuke tu ukweli unatufikia tunapona
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu tunayaonaka mambo haya unayo naongelea. Sika kwa Mungu wetu Aliye hai
mimi nina barikiwa tu🙏🔥
Amen tunabarokiwa sana
Asante yesu kunipa neema ya wokovu, na Mungu akulinde mtumishi katekela
Leo nimekuelewa sana Mchugaji.
Haleluya, Utukufu kwa bwana, asante kwa kutufumbua macho, mimi ni mmoja kati waliowahi kutumia maji na mafuta ya manabii, na sadaka na mafungu ya 10 nilikua natoa pale, je nifanyeje ili niweze kupona, maana nilishaacha kwenda tangu nimeujua ukweli, naomba msaada kwa hilo🙏
Mungu akulinde acha tupige injili mtumishi
Mungu akubaliki sana
😂😂😂😂katekela jamani mimi hua unanichekesha mpaka naogopa,najipata tu wacha niendelee nimalize clip nibarikiwe na nijue kujiepusha na watumishi wa uongo.barikiwa sana mtumishi wa mungu katekela.ama kweli mungu alikutoa mbali na atakubariki kabisa....karibuni tena kenya side za machakos,yatta,.....tunawatamani sana ili tupate baraka za face to face pia.🙏
MCHUNGAJI AMINIEL NAPENDA SANA MAHUBIRI YAKO KAA KATIKA HEMA YA BWANA MILELE NA MILELE ❤ AMINAA
Hallelujah Hallelujah Hallelujah in the neme of Jesus Ameeen
Basi uniombéeh mtumishi
🙏
Amen , welcome here Bungoma kenya
Ameen pasta amieli
Mungu akubarki sana mtumishi wa mungu
AMEN!! AMEN!! HALLELUJAH!! HALLELUJAH!! PRAISE GOD🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Karibu Kenya 🇰🇪 ❤
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Mungu akumbaliki sana Mt mungu asiti kutuma kufunua watu wamungu mafunzo masuri sana🙏
Yesu.atulinde.naww.mungu......mtumishi.akulinde.sana.yesu..anisaidie.atuagiziemalaika
Ameni mtumishi ubarikiwe
Asifiwe YESU sana ,Amina
Amina Bwana akubariki Mchungaji
Absolutely Amen 🙏
Safi sana
Amen barikiwa sana mtumishi Amiel
Amina Amina
Utukufu kwa MUNGU BABA ALIYEHAI🙏🏾🙏🏾❤
asante kwa mafuzo baba yangu
SADAKA SADAKASADAKA NI MUHIMU SAAAANA MTUMISHI. TUTAO SANA MUNGU NAYE ANAPOTUBARIKI NASI LZM TUTOE SADAKA MBALIMBALI KTK MAKANISA YETU NA KUWABARIKI WENGINE.
Amina
Amen nimepokea nyota yangu ya kibali na nyota yangu ya ndoa
AMEN
Mkristo asipotoa sadaka atabarikiwaje.Ikiwa Mungu alimtoa mwanae wapekee km dhabihu na akatuvuna sisi wengi na hivyo baraka zetu twazipata ktk utoaji.
Amen Ameeen 🙏🙏🙏asante mutumishi wa Mungu 🙏🙌❤
Be blessed man of GOD
Jamani sijui nimimi pekeyangu naona TZ kuna mafunzo mazuri ya kumjua MUNGU
Wow jmn sifa na utukufu kwa Mungu
Karibu Tz
M mwenyewe naona tz 2naneema
🙏🙏🙏
Aisee 🙌
Amen 🙏🙏
Heeeh! Najaribu kulala lakini usingizi umepaa kwa ajili ya mafudisho ya uzima . Bwa na awabariki nyote muliofaniksha semina hii ktk jina la yesu
Amen Amen Ameeeeeeeeen
Napenda mafundisho ya huyu mchungaji
Hakika wewe ni Askali wa Yesu,Yesu ahimidiwe kwA kukuokoa
Mngu aku bariki Sana mtumishi
Mungu akubariki sana mchungaji
Ubarikiwe mtumishi
Jina la Bwana Yesu litukuzwe
Duuuuuuu kwakweli Mungu atusaidie
Hiyo do injili ya kweli
sawa
Plz send this u tube plz
Amen God bless 🙏
Oooh jesus🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu ni mwenye rehema jamani
Amena
Naabi neno la mungu limenigusa ubarikiwe
Mchungaji naomba namba yako
Jamani kanisa hili Laonekana limetulia sana ilhali injili ni moto🔥..hehe,nawapenda sana lakini,nawafuatilia kutoka Nairobi 🇰🇪
Niko na shita kwa biashara yangu paster
Kweli kabisab MUNGU akuweke
Wachawi wapatishwe haya wabanweeeeeee wananisumbuwa wapigweeee
Ameeen Ameeen Ameeen i receive
Barikiwa Sana
bwana yesu asifiwe Raja pia sadaka ya tatu
Ameeen Ameeen Ameeen🙏🙏🙏🙏
Usiwe mashahidi wa Hao wenye nyimbo za Duniani ukiwa madhabahuni mtumishi wa Mungu kuna washilika hawajasimama vizuri
Usiwe mwepesi wakukosoa kila neno mtumishi alinenalo kumbuka hahubiri yeye mbali anaongozwa na roho mtakatifu
Bwana yesu nakushukuru kwa ajili ya mtumishi huyu, mtumishi huyu unamjua wewe uliyemuumba wewe MWENYEWE. Tufanye nini sasa,wewe MUNGU ni MUNGU PEKE YAKE.
Amen mtumishi wa Mungu mimi sijuwe kama nyota yangu ilipo naomba nifunguwe kwajina la yesu Amina
Amen mutumishi nalomba namba Yako ya wtsp ilinikuwe nafata mafundisho Yako namaombi yakilasiku.
Mch amieli asante kwa neno
Mtumishi wa Mungu andika kitabu
kitabu kipo dear
Aminaas
Ameni mtumishi
Tumefunguliwa
True
Amen Amen Mungu tusaidie bila wewe atuwezi
Mchungaji huyu kaitwa na MUNGU mwenyewe ili amtumikie MUNGU ameweka vipawa vikubwa ndani yake huyu si Mchungaji wa kuchezea hata mimi hajawahi niona ila shuhuda zake zina nguvu za MUNGU aliye hai katika jina la YESU kritor aliye hai ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU aliye hai
Amina Bwana Yesu afungue nyota yangu
Wamashetani wanakasilika
Ulimwengu umevamiwa na wanaodhihaki uwepo wa Mungu. wanasema uwongo wa kutisha.
Mbalikiwauyo mjinga sana anaekataa watu wasitoe sadak
Sadaka lazima nitoe, sanasana fungu la kumi
Isaya 9:6
🔥 🔥