Hongera, mmeangaliwa zaid duniani kuliko ule uliojaza wasanii. Hela walizolipwa wasanii bora wangepelekewa watot yatima Mungu angewabariki wao na Taifa
Prof.J. kumwona alivyo Leo ni mojawapo WA miujiza iliyowahikutokea ktk maisha ya Mwanadamu,! Ila Mh.rais Samia Suluhu Hasan amekuwa Masaada mkubwa Sana ktk sehemu ya miujiza huku! Mungu apewe sofa!
Hongera, mmeangaliwa zaid duniani kuliko ule uliojaza wasanii. Hela walizolipwa wasanii bora wangepelekewa watot yatima Mungu angewabariki wao na Taifa
Nenda kwenye shule za Serikali uone watoto wanavyokaa chini hakuna madawati
Serikali inashindwa kuhudumia Watanzania huduma za muhimu wanatoa pesa kwa wasanii ili iweje
Mungu mkubwa Professor anaendelea Kua Imaraa
Uchaguzi wa halali huwa na Baraka zake pia
Hongera lisu
Safi sana👏👏
Kweli kwa hili Chadema ni chama cha Demokrasia hamkujipa bure hili jina .
Prof.J. kumwona alivyo Leo ni mojawapo WA miujiza iliyowahikutokea ktk maisha ya Mwanadamu,!
Ila Mh.rais Samia Suluhu Hasan amekuwa Masaada mkubwa Sana ktk sehemu ya miujiza huku!
Mungu apewe sofa!
Alieona nundu a k a mkia ukikatisha agonge like ..
Safi sana
Chadema piipooooz
Power
Kashinda lisu sio chama mm nakataa ktk akili yangu chama bila watu mazubuti sio chama watanzania mkubali msikubili hiyo huo ndio ukweli
❤
Mwalimu wa masa ulisema hatufiki mbali hapa ni wapi
😅mnajisumbuw tu mngeenda kulala mama samia hatoki 🏃🏃🏃🏃😂
Akili ndo kitu huna😂😂😂😂
Mwisho wenu umekalibia
Nenda kalale ww na mama ako
Toa maada za kipumbavu chadema ni chama Cha haki
😂@@FredyKaitani
Halafu huwa anatumiwa na chama fulani, na ni timu ya nani huyu
Buku buku
Safi sana