Pamba keki ya sufuria hivi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 16

  • @Winne-mo7zc
    @Winne-mo7zc 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante mummy hakika sijutii kukufahamu, najifunza mengi kupitia ww

  • @hellenomar2177
    @hellenomar2177 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera, neema, duuu, kazi nzuri nimependa hiyo,dast yoyote ukitaka kubadisha unaweka ladha , ya aina gani,

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  5 หลายเดือนก่อน +1

      Yoyote tu ila lemon nzuri au orange

  • @ZaidatKalindima
    @ZaidatKalindima 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante dada neema najifunza vingi kupitia ww sijuti kukufahamu

  • @ladyphiri
    @ladyphiri 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba kujua uzito wa keki na umetumia tin gani?

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  5 หลายเดือนก่อน +2

      Pika keki kulingana na bajet ya mteja ukiangalia uzito WA KWNEYE picha huwezi kujua faida yako. Wewe angalia kama ni kilo Moja unauzaje, kama ni kilo na nusu pamoja na mapbo itauzaje. Hii ni gram 2000 yako kilo mbili

  • @ZakiaHamisi-g1f
    @ZakiaHamisi-g1f 3 หลายเดือนก่อน

    Hivyo vichuma vya kushikia vinaitwaje

  • @zawadiasajile177
    @zawadiasajile177 5 หลายเดือนก่อน

    Asante madam nimeelewa haswaa

  • @AffectionateArcade-im7ym
    @AffectionateArcade-im7ym 2 หลายเดือนก่อน

    Da neema ili kupamba cake kama hiyo na kutengeneza viungo umetumia foundanti kopo ngapi

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  2 หลายเดือนก่อน +1

      @@AffectionateArcade-im7ym sijakumbuka kwakweli ni ngapi anadaa labda pakti tatu Moja na nusu ya sufuria na nyingine ya viungo

  • @DeboraNgwavi
    @DeboraNgwavi 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo mezani unaweka nini ili kusukuma hiyo foundant.?