CHADEMA BADO NIPO NA NITAGOMBEA TENA UENYEKITI - MBOWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @MICHAELWILLIAM-p7h
    @MICHAELWILLIAM-p7h วันที่ผ่านมา +2

    Uenyekiti changamoto tu kuachia vip ukipata urais,20 yrs inatosha waachie wengne mi naimani unaweza kujenga chama hata ukiwa nje ya madaraka kwa sababu nafasi yako ndani ya chama ni kubwa,jifunze CCM ni chama strong kwakuwa wana democracy ndani ya chama.For real you must GO.

  • @Catty-e7o
    @Catty-e7o วันที่ผ่านมา +2

    Mugabe junior😂😂

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v วันที่ผ่านมา +1

    Hapo nimeona unable wa mbowe kud dek.Nilifikiri hagombei, hatari kwakisu maana hii Ni hatari nanusu

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf วันที่ผ่านมา +1

    Utajipigia kura mwenyew mm nichadema ila ..ww kwa sasa your nothing...

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 วันที่ผ่านมา

    Acha tamaa ww udikiteta tuu

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba วันที่ผ่านมา

    Ukiona maneno mengi ndani ya chama soma nyakati

  • @SuolFat
    @SuolFat วันที่ผ่านมา +1

    Mwana kondoo ameshinda

  • @samkitwima7933
    @samkitwima7933 วันที่ผ่านมา +1

    Ule msemo wa "Useful Idiot" aliopewa Carlson Tucker na Hilary Clinton baada ya interview na Putin nahisi unamfaa huyu jamaa😂😂
    Najuta kwa nini miaka 10 iliyopita nilikuwa Shabiki wa Chama hiki. Huyu Jamaa anatumika na Sysytem since day 1. Chadema akirudi huyu inakuwa CUF chap tu.

  • @samevarist751
    @samevarist751 วันที่ผ่านมา

    Mmmm