MWALIMU aliyemfundisha DIAMOND kiingereza Afunguka/ HARMONIZE/Darasa LILIKUA GUMU/HAJUI grammar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 540

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 ปีที่แล้ว +45

    Kwa maelezo haya kama unamkubali teachear wa kiingereza acha kuvunga gonga like yako hapa huyu kweli teacher maana busara nyingi sana

    • @p.starnchumuye5257
      @p.starnchumuye5257 6 ปีที่แล้ว

      wilonja hatua katombane nae huko...!!

    • @wilonjahatua2067
      @wilonjahatua2067 6 ปีที่แล้ว

      P. Star Nchumuye the big head but no nothing

    • @p.starnchumuye5257
      @p.starnchumuye5257 6 ปีที่แล้ว

      wilonja hatua acha usenge we ndo unantembeza..?ushoga sfagilii kaka

    • @paulhollela9493
      @paulhollela9493 2 ปีที่แล้ว

      Niko na wewe brother nakubali one love. You are the best bro ✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @joshuagilisho8810
    @joshuagilisho8810 6 ปีที่แล้ว +3

    Diamond is just so artistic, language is art good job learning English so fast at your age Diamond ..kila mtu anaeza soma lugha ya kiingereza ...

  • @elizabethyamy2705
    @elizabethyamy2705 6 ปีที่แล้ว +1

    weleo leo unaenda timuliwa wasafi hawapenda hizo kiki 😃😃😃💃💃💃

  • @بلاديبلادي-ه5ث
    @بلاديبلادي-ه5ث 6 ปีที่แล้ว +1

    Very nice mwali namm naomba kufudishwa unapatikana wp

  • @beyoncendegwa7803
    @beyoncendegwa7803 6 ปีที่แล้ว +8

    Mtangazaji nakupa jina mpiya mama mawigi😂😂you are very fun

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 6 ปีที่แล้ว

      Beyonce Ndegwa we naona utapata tabu sana. Lkn mcheshi nampenda sana

    • @savelianmteisi7124
      @savelianmteisi7124 6 ปีที่แล้ว

      Beyonce Ndegwa .umenichekesha sana

  • @felizwanzagi8465
    @felizwanzagi8465 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana bro.Fungua kituo tafadhali and welcome back.

  • @sirisaidimwinyihaji1887
    @sirisaidimwinyihaji1887 6 ปีที่แล้ว +17

    Gonga like hapa kama unaamini mwalimu huyo kiengereza chake choote alisoma #Actually

    • @saidomar5555
      @saidomar5555 6 ปีที่แล้ว

      Asante, kazi nzuri kusomesha kiingereza wengine ubarikiwe zaidi. Elimu haina mwisho.

  • @stellaedward7726
    @stellaedward7726 6 ปีที่แล้ว +2

    Dah! Nampataje huyo mwalimu

  • @abdashmjahid7239
    @abdashmjahid7239 6 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji niko pande za Yemen republic naitwa Dullah nimekupenda sana nawewe mkali sana kwa utangazaji jifunze kingereza utakuwa mkali zaidi international reporter.

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 2 ปีที่แล้ว

    saaaana ticha allen alifundisha datastar yuko vizur sana

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni mfano wa watu waliotusua kimaisha kupitia diamond. Na amemtambulisha jamaa katika jamii. Big up chibu

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 6 ปีที่แล้ว +1

    Mond kwel mungu amubarik
    Paka anawafundish ni mtumzima kwel

  • @godemmanuel4213
    @godemmanuel4213 6 ปีที่แล้ว +1

    Tcha alen nimekubali. Tcha wangu pamoja sana

  • @jonasjoachim8412
    @jonasjoachim8412 6 ปีที่แล้ว +2

    sema Huyu Teacher ka shoga Mambo zake..😂😂

    • @Gagadagumusic
      @Gagadagumusic 5 ปีที่แล้ว

      Jonas Joachim 😁😂😂😁😁

  • @elizabethmushi6418
    @elizabethmushi6418 ปีที่แล้ว +1

    This is my teacher I love him so much!! Has kind heart

  • @blakteaful
    @blakteaful 6 ปีที่แล้ว +4

    15:18 *Ticha usimwache mtangazaji bana...* 😂 *Kechi ndo Nini?!*

  • @abdirahmanmohamed9037
    @abdirahmanmohamed9037 6 ปีที่แล้ว +6

    Huyu teacher anapatikana wpi ni teacher nzuri sana

  • @petrophilip2279
    @petrophilip2279 6 ปีที่แล้ว +2

    All you guys throwing shade at this guy and hating on him are missing the point. He is making the dinero, some serious cash, with little effort, kwa upole zaidi. He is an excellent marketer. That's why I think his plan is genius. Make the money "Ticha".

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 6 ปีที่แล้ว +1

    Nawanao sema diamond kafundishwa n wem kiingerez jamn wabongo un mambooo

  • @winfridawilliam9484
    @winfridawilliam9484 6 ปีที่แล้ว +1

    Ticha Allen alinifundisha English Data star training college.alikuwa my friend Sana na ni mtu wa watu sana.miss u much Mr Allen

    • @norahrajab8164
      @norahrajab8164 5 ปีที่แล้ว

      nisaidie anapatikn wap na no yke

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 ปีที่แล้ว +1

    Na mimi ntakuja unifundishe maana kingereza sio lugha yetu mwalimu keep up a great job baba

  • @allisonmadii7620
    @allisonmadii7620 4 ปีที่แล้ว

    Walimu wa viingereza bhana wakiwa wa kiume basi wengi wao huwa kama gays Fulani yaani..nashangaaga sana.

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 6 ปีที่แล้ว +2

    hahaaa yaan huyu dada nampenda hataree ety catching ndio nimi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mishymorgani5966
    @mishymorgani5966 6 ปีที่แล้ว +3

    Lugha yakingereza nitamsanaaah jamaniiiiii Ukijua kuongea😇😇😇

  • @ibrahimalisharif275
    @ibrahimalisharif275 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa karibu na Mondi usha kua star,sasa huu mwalimu atakua wa taifa

  • @roseamal6694
    @roseamal6694 6 ปีที่แล้ว +2

    I am glad you are trying....this lady is funny...eti wigi limenitoka....lol

  • @alinotirj7733
    @alinotirj7733 6 ปีที่แล้ว +2

    Ata ww teacher 👩‍🏫 bado kingereza chako bado cha TZ tu😂😂😂😂

  • @joshuaisrael6728
    @joshuaisrael6728 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila huyu tcha yko fresh sjui ntampataje kwelii

  • @boramimi5389
    @boramimi5389 6 ปีที่แล้ว +5

    Dah, taratiiiiib tutaujua ukweli tu. Hatimaye aliyemfundisha mond kiingereza tumemjua.

  • @juoanjuo
    @juoanjuo 6 ปีที่แล้ว +7

    Harmonize na Sarah tunaomba uwafunze hicho kingereza😁😁

  • @zukramnango8191
    @zukramnango8191 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nimeipenda sana napenda sana kujua kingereza Yani mm sijuwi kabisa Ila napenda kujua

  • @zedybaybe4433
    @zedybaybe4433 6 ปีที่แล้ว

    Nipeni kazi jamani I'm jobless from +254 nifunze hicho kingereza

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 6 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😆dinn umenichekesha had unasikitika et Hahahah ila teacher utakuwa unafundisha bei weye mmmhh

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 6 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 MT..wewe noma sana 😂

  • @aliathuman2078
    @aliathuman2078 3 ปีที่แล้ว +3

    English language is the easiest language to master...you just need to be interested in the language...the same way many kenyans find it difficult to speak swahili is the same way many Tanzanians find it difficult to speak English.. its just a matter of interest

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 ปีที่แล้ว

    Huyo atakuwa ghali sana jmn!!

  • @likimaro6
    @likimaro6 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwalimu mwenyewe naona anahitaji shule pia. Hata Kiswahili naona ni shida kwake

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 ปีที่แล้ว +5

    Werayuh livingi ndo kingereza cha marekani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #ngi katoa wapi

    • @mishindunge1951
      @mishindunge1951 6 ปีที่แล้ว +1

      WAMALIKO LUMUMBA 🤣Mungu anakuona🤣🤣🤣🤣

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 6 ปีที่แล้ว +14

    Sawa ticha, ila sio lazima kila aliyekaribu na Diamond aimbe😀

    • @juddithernest6
      @juddithernest6 6 ปีที่แล้ว

      Graphix Master tisha sana I like it nimecheka

    • @dennisosamo8588
      @dennisosamo8588 6 ปีที่แล้ว

      Graphix Master ticha

  • @johnbend119
    @johnbend119 6 ปีที่แล้ว +2

    Teacher umetisha sana ongera zako💪

  • @frankrenatus5524
    @frankrenatus5524 6 ปีที่แล้ว +2

    Harmonize mfundishe kimakonde tu🤣🤣🤣

  • @eddoboy1920
    @eddoboy1920 6 ปีที่แล้ว +3

    Ucheshi wa huyu mtangazaji nimeupenda

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 6 ปีที่แล้ว +21

    Huyu mtangazaji ni mfunny jameni juzi wigi likamdodoka hahaaaa😂😂😂

    • @sheillahchisika8414
      @sheillahchisika8414 6 ปีที่แล้ว

      carol Praise Leo kajitahidi si kama ile siku ya wema

    • @isabellamethod6201
      @isabellamethod6201 6 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @mamujuma3156
      @mamujuma3156 6 ปีที่แล้ว

      carol Praise umeonaaee

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว +5

    Kama senge hili duh wewe ndo ulio mfudisha kingereza Cha. I look my forward 😁😁😁

  • @upendorobert7298
    @upendorobert7298 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera mwalimu, uko vizuri

  • @magrethmbungani4092
    @magrethmbungani4092 5 ปีที่แล้ว +1

    JAMAN HUYU MWALIM N TAPELI,, UKIMPA PESA TU ANAPOTEAAAA

    • @saidihysn2212
      @saidihysn2212 5 ปีที่แล้ว

      Dada unasema kwel ilo au

  • @alimaalimaa6048
    @alimaalimaa6048 6 ปีที่แล้ว +1

    mwalimu nakupenda bure

  • @isaackbm1935
    @isaackbm1935 6 ปีที่แล้ว +2

    Actually natamani nijifunze kwako😂😂😂

  • @mohdapper
    @mohdapper 6 ปีที่แล้ว +2

    @diamondplatinumz mtaarishie kipindi huyu kwenye wasafi itakua umefanya mchango mkubwa kwa taifa kuliko ata wizara ya elimu.... believe dat

  • @ratibuathumani7598
    @ratibuathumani7598 6 ปีที่แล้ว

    Sema mwalimu inabidi umlipe mtangazaji coz umetanga brand yko

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 6 ปีที่แล้ว +8

    Mwalimu Mungu akubariki

  • @joywangamary16
    @joywangamary16 6 ปีที่แล้ว +1

    wa Tanzania aki ya mama 😂😂😂😂😂😂

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 ปีที่แล้ว

    Kwani Tz hamsomi shule si kenya tunakisoma shule

  • @amo9579
    @amo9579 6 ปีที่แล้ว +2

    What's the big deal, most Luopeans in Kenya speak impeccable queens English formally and informally

  • @charitybaya5351
    @charitybaya5351 4 ปีที่แล้ว +2

    Glad to be a Kenyan otherwise English would be very difficult to me my granny is better than the teacher himself 🙅‍♂️ anyway practice makes perfect

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 6 ปีที่แล้ว +3

    10:22 😂😂😂

  • @alimatambwe8864
    @alimatambwe8864 6 ปีที่แล้ว +1

    Where ar you leaving?or where your location

  • @rahelchelango1799
    @rahelchelango1799 6 ปีที่แล้ว +12

    Mbna mwalimu mwenywe kama hamnazo

  • @nextlevelmusicnlm6477
    @nextlevelmusicnlm6477 6 ปีที่แล้ว

    Download App yangu link 👇 👇 👇
    play.google.com/store/apps/details?id=com.gj.star.music

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 6 ปีที่แล้ว +10

    Kumbe wanafunz tumo weng kweny family ya #Chibu🙌🙌😂😂😄😄😂

    • @zainabufeka5723
      @zainabufeka5723 6 ปีที่แล้ว

      zacharia mishai e

    • @mkambakusalimin7108
      @mkambakusalimin7108 6 ปีที่แล้ว

      zacharia mishai oya anapatikana wapi huyu mwalimu

    • @maireshmamu4328
      @maireshmamu4328 6 ปีที่แล้ว +1

      Huyu alitufundisha datastar

    • @johnohando2390
      @johnohando2390 6 ปีที่แล้ว

      I didn't know English is a big deal in Tanzania.

    • @johnohando2390
      @johnohando2390 6 ปีที่แล้ว

      Huyo teacher kidogo amelegea mbona.

  • @amuchowachifu69
    @amuchowachifu69 6 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe kuongea kiengereza TZ ni big deal....DUH...!!

  • @alvismumkaranja3360
    @alvismumkaranja3360 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongela Kenya tunajua kingeleza tukiwa wadogo

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 ปีที่แล้ว

    Jamani Kingereza cha kuimbia cha Marekani ni kipi....... uku marekani sjakisikia

  • @valentineakinyi9345
    @valentineakinyi9345 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania mko nyuma.. how old a u like seriously .aibu

  • @artensoul
    @artensoul 6 ปีที่แล้ว +3

    It seems English is really a big deal over there in Tz...

  • @clevertechtz6291
    @clevertechtz6291 6 ปีที่แล้ว

    Nmembenda uyu mwalimu

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji nae n shida mwanalim anakuhus😂😂😂😂

  • @bellauwase8908
    @bellauwase8908 6 ปีที่แล้ว +6

    Harmonize u should be going with ur gf tho lol💃🏻🤦‍♀️

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 6 ปีที่แล้ว +20

    Teacher mbona kama vile simuelewi.. Hizo mbwembwe za kuongea kama vile kidogo 50/50 hehehe.. WAtu heeee, watu khaa!

    • @bensongeorge6443
      @bensongeorge6443 6 ปีที่แล้ว +1

      Muddyb Mwanaharakati hahahaha wasiwasi wako tu kiongozi, mbona yupo fit

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 6 ปีที่แล้ว

      Hata mm nimeliona hilo mkuu hahahaah kama mchele mchele hivi hahaa

    • @cecycecy3610
      @cecycecy3610 6 ปีที่แล้ว +1

      ujakosea alan ni gay alikuwa anafundisha datastar kitambo tu na anajua kuchamba kma mtoto wakike

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 6 ปีที่แล้ว +1

      Cecy unaniua kwa kucheka.. Baaahahahahaha eti anajua kuchamba kama mtoto wa Kike.. baaahahaha

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 6 ปีที่แล้ว

      Thubutuuuu! Hujui wewe watu na haiba zao!

  • @fababindawood5842
    @fababindawood5842 6 ปีที่แล้ว +5

    Kweli Mondi ame improved english yake nzur.

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 6 ปีที่แล้ว +8

    Mtangazaji mapepe kdg nimekupenda bureeeee ila wema kahusika

    • @adamumjomba82
      @adamumjomba82 6 ปีที่แล้ว

      Hadija Abdallah mbona wengine husema diamond kafundiswa kizungu na wema sepetu wengine kafundiswa na zari sasa tena mwalimu aliemfundisha kizungu anajitokeza sasa mkweli nina? Mbona mnachanganya watu?

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 5 ปีที่แล้ว

    Na mm teacher nakuitaji pia kwa ajili lugha ya kingereza naomba mawasiliano.

  • @zachariahexegesists7892
    @zachariahexegesists7892 5 ปีที่แล้ว

    Mwalim punguzaulembo wa manenounapotezauwanaume

  • @aishaallylyova9739
    @aishaallylyova9739 6 ปีที่แล้ว

    Teacher Allen kumbe umetufundisha weng asante sana namic data star

  • @davidorito1707
    @davidorito1707 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi teacher. Big up

  • @RAFIKI_TANZANIA
    @RAFIKI_TANZANIA 5 ปีที่แล้ว +3

    KAMA MNAWEZA KUNISAIDIA KUMPATA HUYU MWALIMU NINGESHKURU NAHITAJI KUJUA LUGHA JAMANI PLS NIPO SERIOUS MNO

  • @omaryibrahim1885
    @omaryibrahim1885 6 ปีที่แล้ว

    mwalimu sio ridhkiii

  • @vohaiabilah8900
    @vohaiabilah8900 6 ปีที่แล้ว +13

    ticher fungua shule ,mm mwenyewe nahitaji unifundishe

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 6 ปีที่แล้ว +1

    Ongela sana kaka ahsante nashukuru nimepata namba nitakucheki inshaallah

  • @henryrusasa5684
    @henryrusasa5684 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu, hukumaliza kazi yako!!

  • @MIKEBOSSNJENGA
    @MIKEBOSSNJENGA 6 ปีที่แล้ว +4

    Hahaa ati catchy ndo nini ?? Mbona waniacha..... Ghai....

  • @joshuaisrael6728
    @joshuaisrael6728 3 ปีที่แล้ว +1

    Actually mbona nyingii

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 6 ปีที่แล้ว +1

    Naona wa Kenya wapo moto moto....
    Wazungu walituharibu saana....
    Mpo proud na English lakini you can not sit together as Kenyans.
    Bob Marley said, "They Kept us hungry and when they bring food they make you fight against your brother"
    Sasa mmepewa English mekuwa brain washed sasa mnaona English ni bora kuliko utu wenu...
    Dah asee

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 ปีที่แล้ว +28

    Harmonize akili.yake ngumu ndio maana haezi kushika kingereza haraka.

    • @neemajavan4125
      @neemajavan4125 6 ปีที่แล้ว

      Nafisa Mohamad hahahaha

    • @kiluwasalum5002
      @kiluwasalum5002 6 ปีที่แล้ว

      Nafisa Mohamad aaaaah 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @karshamapesa7938
      @karshamapesa7938 6 ปีที่แล้ว

      hahhahaha

    • @getrudeodanga2609
      @getrudeodanga2609 6 ปีที่แล้ว

      Nafisa Mohamad 😁😁😁😁😁

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 6 ปีที่แล้ว +1

      Nafisa Mohamad Lakini mziki wake ni mtamu unakuchezesha
      ki-pool tebo 😂😂😂😂😂

  • @immtm4930
    @immtm4930 6 ปีที่แล้ว +2

    sasa techaaa.. mwone basi na "Im srtong woman" umpe mawili matatu.. maana daah..

  • @lizzyb75
    @lizzyb75 6 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmm teacher vipi mbwembwe nyingi sana kama vile 50/50.🤔

  • @haroldukason4302
    @haroldukason4302 6 ปีที่แล้ว +4

    Wakenya mnajua kiingereza vizuri ila accent yenu haifanani na wenye kiingereza chao yaani wazungu. Kwenye grammar na fluency mko poa sana

    • @nancydavid7680
      @nancydavid7680 5 ปีที่แล้ว

      Its true accent zetu ni mbovu 😂

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 ปีที่แล้ว +1

    Ww ni noma sana

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 6 ปีที่แล้ว +2

    jamaa yuko so humble good good daaaaaaa

  • @jacquethomasgal7227
    @jacquethomasgal7227 6 ปีที่แล้ว +4

    A kindergarten teacher in kenya big up!

  • @nduwimanaclaude5034
    @nduwimanaclaude5034 6 ปีที่แล้ว

    marehem majuto

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 6 ปีที่แล้ว

    mm naomba namba nimlete mwanangu umfundishe

  • @daprince7545
    @daprince7545 6 ปีที่แล้ว +9

    Naeza kuja tz kuwafunza kingereza. l have enough experience.

    • @karshamapesa7938
      @karshamapesa7938 6 ปีที่แล้ว

      hahahahah

    • @lizybabyjohn2430
      @lizybabyjohn2430 6 ปีที่แล้ว +1

      Binadamu Hachekwi fungua shule huko uliko uwafundusheee

    • @nickbrown7982
      @nickbrown7982 6 ปีที่แล้ว +1

      Njoo to watanzania 80% atujui kingereza

    • @daprince7545
      @daprince7545 6 ปีที่แล้ว

      +Lizybaby John 😅😅😅😅 kweli mi nataka hamia Tanzania kila siku mambo ni moto kweli bongo 😅😅😅😅

    • @daprince7545
      @daprince7545 6 ปีที่แล้ว

      +Nick Brown nitakuja coz sijafika tz natamani sana mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥watapata tabu sana 😅😅😅😅

  • @johnmacha2194
    @johnmacha2194 3 ปีที่แล้ว

    Kuja kwa kibande hii nikunoe barabara!

  • @jamilasadam4235
    @jamilasadam4235 6 ปีที่แล้ว +2

    Mwlm duh actually nyng😳

  • @akilihabibu4203
    @akilihabibu4203 3 ปีที่แล้ว

    nice GUYS teacher

  • @devotaukani2816
    @devotaukani2816 6 ปีที่แล้ว +1

    yuko vizuri sana hiyo mwalimu

  • @babaranvil8637
    @babaranvil8637 6 ปีที่แล้ว +2

    love it

  • @alexanderson1805
    @alexanderson1805 6 ปีที่แล้ว

    Yani we mwanamke ni noma,,,hauna aibu piga kazi

  • @mariamrashid9017
    @mariamrashid9017 6 ปีที่แล้ว +1

    uyu Dada live anamchukia wema ndio mana alienda kuroga kwenye duka LA wema pumbavu utapata tabu sana