Nyie washirikina wenye majina ya kiislamu acheni kuharibu dini ya Mwenyezi Mungu uislamu haufundishi kuabudu kitu chocho te kando na Mungu Qur'an 9 : 36. Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na mbili katika hukumu ya Mwenyezi Mungu tangu alipo umba mbingu na ardhi. Katika hiyo iko mine mitakatifu. Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi zenu humo. Na piganeni na washirikina wote kama wao wnavyo pigana nanyi nyote. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu.
Katika utamaduni na mila za mijikenda na hata nduguzetu "Wassegeju" Mbuyu, Mwanga, Mkwaju,Mkone na kadhalka,Miti hii ni mitakatifu kwetu. kwa hivyo kua na Mbuyu na Pango pamoja ni neema kubwa sana kwa jamii hiyo ya kisiwa cha Funzi. Endeleeni kuhifadhi utamaduni huo.
Uncle angu hajaongelea mambo ya kuabudu mizimu ameongea kuhusu utalii ,,then huwezi hukumu mwenzio maana wewe mwenyewe si msafi muachie mwenye uwezo wa kuhukumu ahukumu na sio wewe mja
Khadija Wendo Mwachirenje Sijamuhukumu ila nimekwambia awachane na kuupatia kipao mbele ushirikina ni mambo ya shetani wa motoni au kutoa vipindi kama hivyo naona wengine tayari wanataka kwenda sehemu hizo kwa ajili ya kufanya ushirikina huo,kama ni mtangazaji asitoe matangazo kama hayo wala asioneshe ushirikina atafute vipindi vyengine vyenye kuleta maadili mema,Ukiunga mkono mambo hayo nawe unakuwa mmoja wao
Alichofanya nidhambi KUbwa na ataenda Moto ,,je Nani kakupa uwezo wakuambia mwengine ataenda kotoni?unajijua wewe utaingia peponi? Na huyo aliesema hapo nzi hizo hakuepo na kaambiwa watu walitumia hivyo vipo na vitakuepo kutoa taarifa sio kutumia ....
Kwakutoa taarifa kama hizo adi wengine watamani kuenda kufanya ushirikina wakidhani watafaulu ni dhambi na taharifa kama hizo ndizo zinapelekea watu kupoteza muelekeo hakuna aliye msafi duniani ika kuambiana kupo ndio nikasema motoni kama hatutobu kutoa taharifa izo za ushirikina
vita uchawi na wachawi, kwani Qur-aan inasema: “Na wanajifunza ambayo yatawadhuru wala hayatawafaa” (2: 102). Haya yamehesabiwa miongoni mwa madhambi makubwa yanayoangamiza. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Jiepusheni na maovu saba yanayoangamiza!” Wakasema: “Ewe Mtume wa Allaah! Ni yapi hayo?” Akasema: “Shirki, uchawi …” (Al-Bukhaariy na Muslim). Hakika ni kuwa uchawi ni ukafiri na shirki. Uchawi unampeleka mtu kutoingia Peponi kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Haingii Peponi mlevi chakari, wala mwenye kuamini uchawi wala mwenye kukata undugu” (Ibn Hibbaan). Uislamu kuupinga ushirikina umefunga njia zinazotupelekea huko, mojawapo ni kufunga hirizi. Amesema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Mwenye kuivaa hii (hirizi) huwa ameshirikisha” (Ahmad na al-Haakim). Amesema tena (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Mwenye kuvaa hirizi, Allaah Asimtimizie yake, na mwenye kutundika kaure, Allaah Asimhifadhi” (Ahmad na Abi Ya’la).
Nyie washirikina wenye majina ya kiislamu acheni kuharibu dini ya Mwenyezi Mungu uislamu haufundishi kuabudu kitu chocho te kando na Mungu
Qur'an 9 : 36.
Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na mbili katika hukumu ya Mwenyezi Mungu tangu alipo umba mbingu na ardhi. Katika hiyo iko mine mitakatifu. Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi zenu humo. Na piganeni na washirikina wote kama wao wnavyo pigana nanyi nyote. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu.
Katika utamaduni na mila za mijikenda na hata nduguzetu "Wassegeju" Mbuyu, Mwanga, Mkwaju,Mkone na kadhalka,Miti hii ni mitakatifu kwetu. kwa hivyo kua na Mbuyu na Pango pamoja ni neema kubwa sana kwa jamii hiyo ya kisiwa cha Funzi. Endeleeni kuhifadhi utamaduni huo.
Ushirikina huo
Mungu yuko jameni wacheni kuabudu majini epukaneni na hiyo jehaman mgeukieni Mungu muumba wa mbingu na ardhi
Muogopeni mwenyeezi mungu jamani kesho tutaenda kujibu nini?
3:50 my uncle miss you Sana jamani daaa hutaki kutoka funzi wewe kabisaa
Khadija Wendo Mwachirenje Mwambie uncle wako aache kuupatia kipao mbele ushirikina ni mambo ya shetani wa motoni uislamu haufundishi kuabudu mizimu
Uncle angu hajaongelea mambo ya kuabudu mizimu ameongea kuhusu utalii ,,then huwezi hukumu mwenzio maana wewe mwenyewe si msafi muachie mwenye uwezo wa kuhukumu ahukumu na sio wewe mja
Khadija Wendo Mwachirenje Sijamuhukumu ila nimekwambia awachane na kuupatia kipao mbele ushirikina ni mambo ya shetani wa motoni au kutoa vipindi kama hivyo naona wengine tayari wanataka kwenda sehemu hizo kwa ajili ya kufanya ushirikina huo,kama ni mtangazaji asitoe matangazo kama hayo wala asioneshe ushirikina atafute vipindi vyengine vyenye kuleta maadili mema,Ukiunga mkono mambo hayo nawe unakuwa mmoja wao
Alichofanya nidhambi KUbwa na ataenda Moto ,,je Nani kakupa uwezo wakuambia mwengine ataenda kotoni?unajijua wewe utaingia peponi? Na huyo aliesema hapo nzi hizo hakuepo na kaambiwa watu walitumia hivyo vipo na vitakuepo kutoa taarifa sio kutumia ....
Kwakutoa taarifa kama hizo adi wengine watamani kuenda kufanya ushirikina wakidhani watafaulu ni dhambi na taharifa kama hizo ndizo zinapelekea watu kupoteza muelekeo hakuna aliye msafi duniani ika kuambiana kupo ndio nikasema motoni kama hatutobu kutoa taharifa izo za ushirikina
waoooh ntaenda nami nkajionee yuko wapi huyo bint jini aliye ozwa naomba nimuone.
vita uchawi na wachawi, kwani Qur-aan inasema: “Na wanajifunza ambayo yatawadhuru wala hayatawafaa” (2: 102).
Haya yamehesabiwa miongoni mwa madhambi makubwa yanayoangamiza. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Jiepusheni na maovu saba yanayoangamiza!” Wakasema: “Ewe Mtume wa Allaah! Ni yapi hayo?” Akasema: “Shirki, uchawi …” (Al-Bukhaariy na Muslim). Hakika ni kuwa uchawi ni ukafiri na shirki. Uchawi unampeleka mtu kutoingia Peponi kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Haingii Peponi mlevi chakari, wala mwenye kuamini uchawi wala mwenye kukata undugu” (Ibn Hibbaan).
Uislamu kuupinga ushirikina umefunga njia zinazotupelekea huko, mojawapo ni kufunga hirizi. Amesema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Mwenye kuivaa hii (hirizi) huwa ameshirikisha” (Ahmad na al-Haakim). Amesema tena (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Mwenye kuvaa hirizi, Allaah Asimtimizie yake, na mwenye kutundika kaure, Allaah Asimhifadhi” (Ahmad na Abi Ya’la).
What? hizo miaka ni mob
Shirk
acheni shirki
makubwa