KIZAZI OG WA ARUSHA AVAMIA MKUTANO WA MAKONDA NA KUMPA ELFU TANO " HII NDIO CHUGA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 139

  • @redtk2971
    @redtk2971 11 หลายเดือนก่อน +24

    BABA KAFUFUKA MZIMU UMERUDI AMA KWELI ALIKUPIKA UKAPIKIKA🙌🙌🙌

  • @demask3423
    @demask3423 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kizazi og angekuwa anajua tu kuongea angekuwa mbali sana. Sema Mungu hakupi vyote. wala hakunyimi vyote😂😂

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kaza kamba makonda ❤ tupo wote! Tupo nyuma Yako🙏🤝

  • @AlexChonanga
    @AlexChonanga 11 หลายเดือนก่อน +14

    Good job mhe Paul makonda ❤❤❤❤❤

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 11 หลายเดือนก่อน +23

    Huyu ndio achukue baada ya Mama Tz tunataka mtu mkali😂😂

    • @DaudJoel
      @DaudJoel 11 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂

  • @ericmtalemwa3573
    @ericmtalemwa3573 11 หลายเดือนก่อน +5

    Wow❤ hongera Sana kizazi OG.

  • @charlesmihuwa6287
    @charlesmihuwa6287 11 หลายเดือนก่อน +10

    Masihala masihala mtake msitake endeleeni kuponda lakini wenye akili wanajuwa hili ni zaidi ya lile goli la wakati ule la Mkono

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 11 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda angegombea urasi asingekuwa nampinzani🤣🤣🤣

  • @SarafinawerneryChiwembi
    @SarafinawerneryChiwembi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Raisiii ajae ,magufuli ajae Imani kubwa kwako

  • @Bigger.99
    @Bigger.99 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa atahamia upinzan na atachukua urais saiv anatumia fursa🎉🎉🎉😅😅

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 7 หลายเดือนก่อน

    Ila amefanya vizuri kumperek makonda Arusha 👏👏

  • @denisintongolo7144
    @denisintongolo7144 7 หลายเดือนก่อน

    Kenyonyo akiwaga na Mali yake hawezag kuongea mkute yupo na wadudu Sasa utampendaa😂😂😂😂

  • @Lushinge27
    @Lushinge27 11 หลายเดือนก่อน +7

    Kenyonyo nilikuwa namuona mkubwa kumbe mtoto hata kuongea hawezi mpaka aambiwe sema hivi😮😮😮😮

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa😮😮😮😮

    • @EMMAMEDIA-h1c
      @EMMAMEDIA-h1c 11 หลายเดือนก่อน +3

      Tatizo la chuga ukimpa uhuru wa kuongea hautaweza kumuelewa chuga ni nchi ya kipekee😂😂😂

    • @julushossa4088
      @julushossa4088 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @MAMASHEKHA-k4r
      @MAMASHEKHA-k4r 10 หลายเดือนก่อน

      Kuongea mbele ya watu sio Kaz rahs wewe watu wanaweza kuongea

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mh. Kazi yako ni NJEMA SANA! SISI TUKO NYUMA YAKO NA KAZI NI MOJA KUHAKIKISHA CCM NA MAMA YETU ANASHINDA KWA KISHINDO. LEO NIMEKUANGALIA SIKUWAHI KUWA KARIBU NA WEWE KAMA LEO NIMEJIFUNZA KITU KWAKO. NAKUTAKIA MEMA NDUGU YANGU

  • @kennedylangfell6435
    @kennedylangfell6435 8 หลายเดือนก่อน

    I love this guy

  • @EmanuelLairumbe
    @EmanuelLairumbe 8 หลายเดือนก่อน

    Legend ole sabaya!!

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda wetu jmn tumekumiss katibu wetu 🎉

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 11 หลายเดือนก่อน +6

    Harafu kuna MTU anasema Maghufuli aliiba kura na huyu na huyu ni makonda hapa wamepoteana sacosi chariii

  • @DaudSimkondia
    @DaudSimkondia 8 หลายเดือนก่อน

    Karibu Moshi baba🎉🎉😂😂😂

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 11 หลายเดือนก่อน +7

    Arusha olasti uku tuko kwenye giza umeme umekatwa mchana ukarudishwa lisaa limoja jioni na sasahivi umekatwa tena saa1

  • @barakawisdom9326
    @barakawisdom9326 11 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉🎉 piga kaz wanaokuonea wivu wajinyonge tu hamna namna

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 11 หลายเดือนก่อน +1

      Tena wajinyonge kwa kamasi kwenye tawi la mchicha

    • @barakawisdom9326
      @barakawisdom9326 11 หลายเดือนก่อน

      @@kamarhelo hahahahaha kweny mchicha tena

  • @donnngeta
    @donnngeta 11 หลายเดือนก่อน +3

    wallah arushaa imeitikaaaa

  • @AdiaMsaghaa
    @AdiaMsaghaa 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa kwel kutoka moyon nakuombea sana Kwa mungu

  • @Nyukiliabingwa
    @Nyukiliabingwa 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri

  • @mzalendokizazikpya
    @mzalendokizazikpya 11 หลายเดือนก่อน +4

    MAKONDA piga kazi kiongozi

  • @ChristopherChacha-j7i
    @ChristopherChacha-j7i 11 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda ni hatari unatisha sana nitafute bro nikwambie kitu nyeti kitakusaidia saana ktk safar yako ya maisha nina mengi mazur nyeti ya kukuambia

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 11 หลายเดือนก่อน

      Namini mkuu hasie na majivuno wala shida namini atakutfuta Insha Allah

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyekiti wa kitongoji. Mwekiti wa Kijiji . Diwani wabunge . Raisi. Wote ccm alafu matatizo kibao . Umsikini umepanda darini unawaangalia wananchi chini. Alafu makonda anasema anatatua keto za wananchi !!!!!;ni akina nani hao waliozizalisha hizo kero? Kama sio ccm? Alafu unamshangilia !!!! Kama kutumia mavi kufikiria ninini Sasa ?

  • @MajanjalaJackson
    @MajanjalaJackson 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kajamaa hakajui hata kujieleza hadi kanaelekezwa kweli ni kizaz og😂😂

  • @HassanSalmin-u7r
    @HassanSalmin-u7r 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee makonda uje na zanzabar kubovu Viongozi wetu Maje uri

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂Kizaz sana hahhaa hivi huyu n mkubwa 😅😅

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 10 หลายเดือนก่อน

      Ata Mimi napata tabu kumwelewa kizaz Og

  • @ABDIKENYATV
    @ABDIKENYATV 11 หลายเดือนก่อน +1

    which country is this

    • @MiryamKissawike
      @MiryamKissawike 11 หลายเดือนก่อน

      Chugastan 😂😂😂Arusha city is more than a country lol

    • @wardawarda6535
      @wardawarda6535 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@MiryamKissawike

    • @AnnaJaden-y6e
      @AnnaJaden-y6e 11 หลายเดือนก่อน

      From tiktok now you're here😂

  • @DaudSimkondia
    @DaudSimkondia 8 หลายเดือนก่อน

    Karibu Moshi baba

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mankind and ana ushawishi

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 7 หลายเดือนก่อน

    Karibu shemela

  • @barakamgimba5706
    @barakamgimba5706 9 หลายเดือนก่อน

    Nipen likee zenu

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hio ndo nyomi ya Arusha basi 2025 lema mapema sana anasepa na jimbo

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 11 หลายเดือนก่อน +5

    Watu tunampenda makonda kamutoa vibaya mbowe

  • @JonathanSimon-k5r
    @JonathanSimon-k5r 2 หลายเดือนก่อน

    Yani makonda ni noma watoa talifa wakasome😅

  • @rashidhassan8156
    @rashidhassan8156 9 หลายเดือนก่อน

    Haka kachuga kanwekewaga maneno mdomoni hakajuagi kusema😅😅

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kenyonyo namkubali sana mwamba anakojoa pazuri 😢😢

  • @kibanotv9028
    @kibanotv9028 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mhubiri 1:2
    Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 11 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @kizaziog
    @kizaziog 11 หลายเดือนก่อน +3

    💥💥💥💥💥💥

  • @SafwaZungu-om5cf
    @SafwaZungu-om5cf 8 หลายเดือนก่อน

    Ata wanyosha chuga 😂

  • @RahelMbise
    @RahelMbise 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakukubali jembe piga kazi

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hv hapa ni wapi

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 11 หลายเดือนก่อน +1

      Huko ni Arusha kwa machizi na ukatili wao

    • @LuluRodgers
      @LuluRodgers 11 หลายเดือนก่อน

      Hy umekatiliwa nn ​@@kamarhelo

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 11 หลายเดือนก่อน +3

    Unapewa nafasi hujui ata cha kuongea eti kizazi og

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 5 หลายเดือนก่อน

    Kila ki2 kafundishwee

  • @GerardLaizzer
    @GerardLaizzer 11 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂asee kenyenyoo buku tano

  • @JoyceJulius-r6g
    @JoyceJulius-r6g 8 หลายเดือนก่อน

    Huu mkutano tu wa mkuu wa mkoa jaman duh aisee watu wananyota jaman

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 11 หลายเดือนก่อน +5

    Maneno yamekaisha leo😅

  • @Gdjn974
    @Gdjn974 8 หลายเดือนก่อน

    Kizaz og muwe mnajipanga kuongea hasa uyo kenynyo mpka aambie mnazingua

  • @jackietogwa7957
    @jackietogwa7957 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂shemeji

  • @elianzenge9500
    @elianzenge9500 8 หลายเดือนก่อน

    Namkubali huyu makonda

  • @fredmapunda
    @fredmapunda 11 หลายเดือนก่อน +1

    Apa kuna kijana mmoja na itwa jonasani kimalo uyo jamaa ana nguvu sana pale alusha

  • @adrianongomegwa
    @adrianongomegwa 8 หลายเดือนก่อน

    Big ap

  • @djnangaxtwo2975
    @djnangaxtwo2975 11 หลายเดือนก่อน +1

    Chuga ni washamba ata kuongea awajui😂

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 11 หลายเดือนก่อน

      kaongee wewe Kama ndo umjin

  • @abinelikagezi9217
    @abinelikagezi9217 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakijui hata kuongea hadi kielekezwe

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH 11 หลายเดือนก่อน +2

    Noma sana chuuga juuu

  • @SurprisedDrill-ky9fi
    @SurprisedDrill-ky9fi 9 หลายเดือนก่อน

    Makonda una nafasi kubwa ili ukubalike nenda zanzibar unguja na pemba umemalizaaaaa usubiri trh tu

  • @SteveWamichano-pk3mv
    @SteveWamichano-pk3mv 9 หลายเดือนก่อน

    Makonda anafaa kuongoza nchi ya tz

  • @Abrahamreginald-od8dp
    @Abrahamreginald-od8dp 8 หลายเดือนก่อน

    naona mweshimiwa amekaribishwa na MDUDU

  • @AaziziMkambi-qf5mj
    @AaziziMkambi-qf5mj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakusubir siha sanya juu

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani uchaguzi tayari kampeni maana inaonyesha wazi watanzania wengi kazi hawana wanaishi kwa kubangaiza tuu leo j4 angalia hali ilivyo

    • @lilasuliman552
      @lilasuliman552 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli kazi hawana

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 11 หลายเดือนก่อน +1

      Miaka miwili kabla ya October 2025 hakuna kitakachofanyika. Sasa tutaachaje kuwa maskini??

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 11 หลายเดือนก่อน

      Wapuuzi tuu hawa kazi kulishwa matango pori nisa tunaridhika kero kibao watu wanashangilia ujinga ,wanshindwa kutoa kero kwali umaskini wa akili na ufahamu ni mbaya kuliko UKOMA

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 11 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda YUKO KAZINI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @JoelyJulias
    @JoelyJulias 9 หลายเดือนก่อน

    Pig kaz bab wanaona wiv😂😂

  • @JosseMichael-i2n
    @JosseMichael-i2n 10 หลายเดือนก่อน

    Uyu mwamba anapita zile nyayo za magufuli

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 11 หลายเดือนก่อน

    Majambazi yamerudi magufuri rudi baba jamani tunateseka sana

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 8 หลายเดือนก่อน

    Kizazi OG

  • @annashaoo-cs3wg
    @annashaoo-cs3wg 10 หลายเดือนก่อน

    Mtashangaa kanakua maarufu amtaamini

  • @MathiasUlanga
    @MathiasUlanga 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni je mbe fatene nyayo

  • @NiceLivingstone
    @NiceLivingstone 10 หลายเดือนก่อน

    Miaka 100 baba

  • @barakachibwana3708
    @barakachibwana3708 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu aje awe rais hatutaki rais mpole aseee ,mama badae muachie huyu

    • @maishayetufilm
      @maishayetufilm 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu bado sio mkali 😂 wampe Waziri Mkuu Kasim Majariwa 😂😂

    • @barakachibwana3708
      @barakachibwana3708 11 หลายเดือนก่อน

      Hata majaliwa afaa ni mkali hii tz inataka ufoke na wajue majukumu yao

  • @MwanaKanyoro
    @MwanaKanyoro 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda ataiweza alusha

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 11 หลายเดือนก่อน

    kumbe hawa madogo mafala tu maccm...siwashabikii tena

  • @DaynessSteven-yr4ud
    @DaynessSteven-yr4ud 8 หลายเดือนก่อน

    Usiache kufika siha mkuu

  • @malombemunyithya9341
    @malombemunyithya9341 11 หลายเดือนก่อน

    Bingwa anajitahidi kupiga kazi

  • @Maas-d5d
    @Maas-d5d 11 หลายเดือนก่อน

    huyu.ni anko.magu kabisa anko.makonda kukupenda tu

  • @show...002
    @show...002 7 หลายเดือนก่อน

    uyu demu mke wake kenyonyo

  • @MihayoBalele
    @MihayoBalele 7 หลายเดือนก่อน

    Kenyonyo jifunze kuongea mbele ya alaik wewe super star gani huwezi kuongea

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 11 หลายเดือนก่อน

    Chuma hichoooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 หลายเดือนก่อน

    kwani huyu ni mtotoo naona anafundishwa kusema

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 11 หลายเดือนก่อน

    Kenyonyo unabebwa lakini kma hujiamnini ivi

  • @YohanaBundala-dt2dm
    @YohanaBundala-dt2dm 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @Yassir-bv7nl
    @Yassir-bv7nl 8 หลายเดือนก่อน

    og

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 9 หลายเดือนก่อน

    Astaghafrullah sasa hapo kuna mtoto hapo

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile 11 หลายเดือนก่อน

    Watafuta kwa tochi kuitoa ccm madarakani

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 11 หลายเดือนก่อน

    ukwe tena

  • @annuarimshuza6548
    @annuarimshuza6548 10 หลายเดือนก่อน

    Hana confedence

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 11 หลายเดือนก่อน

    Kenyonyo ni faraa

  • @manka154
    @manka154 9 หลายเดือนก่อน

    а, э, как я сюда попал?

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 11 หลายเดือนก่อน

    Rais ajayee

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 10 หลายเดือนก่อน

    Kenyonyo deparato

  • @engribertinnocent7536
    @engribertinnocent7536 11 หลายเดือนก่อน

    Yaan kibaya zaid hako kajamaa hakajuag ni nini chakuongea mpk kaambiwe yaani

  • @jonathansolomon456
    @jonathansolomon456 11 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda chukua fom

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 11 หลายเดือนก่อน

      Yanini 😢😢😢😢

  • @V24hrs
    @V24hrs 11 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuli kafufuka

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 11 หลายเดือนก่อน

    Mwamba kapanic

  • @MasterJonass
    @MasterJonass 11 หลายเดือนก่อน

    Mkutano wa wavutabang

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 11 หลายเดือนก่อน +4

    Huu ulaghai wenu wa kisiasa pelekeni kwa watoto wa chekechea labda🚮

    • @mustafaalli4698
      @mustafaalli4698 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wanatuona watanzania ni mazuzu ndo mana wanatulea hzo drama...😂

    • @felixsarakikya-ez3fk
      @felixsarakikya-ez3fk 11 หลายเดือนก่อน +1

      Makonda wewe ni jembe ukekaa arusha siku nne mkuu yako mambo mengi yakufanya kuna Barbara ya olasiti kuna stendi ya kisasa tumehaidiwa tangu enzi ya magufuli mpaka leo mkuu ungesema neno tukusikie

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 11 หลายเดือนก่อน

      Tunauleta kwa mbowe kwani uliandamana??

    • @ashrafbunu2371
      @ashrafbunu2371 11 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu kijana anakwenda kuwa raisi baada yasamia wasukuma mpeni sapota

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@felixsarakikya-ez3fkusubiri zinakuja

  • @SurprisedDrill-ky9fi
    @SurprisedDrill-ky9fi 9 หลายเดือนก่อน

    KAZI YA DR SAMIA INAONA MBALI ATAKUMBUKWA KWA MENGI MUNGU AMLINDE DADA SAMIA NI MWEMA NA ANAJAGUA WATU WEMAKAMATENI UZI HUO HUO HUO HUO HUO MPK TUKAMILISHE ASANTEN

  • @elishachenyatufurahipa1851
    @elishachenyatufurahipa1851 10 หลายเดือนก่อน

    Achen usenge
    Yaan Tutaelimika ln hk ndyo nn