Chunga sana ulimi wako ndg yangu utakuja kupata matatizo makubwa usiyajue dawa yake kwa kuwadharau na kuwasema vibaya wachamungu.jiepushe sana kusema na kuwasimgizia wachamungu utapata shida sana ndg yangu
@@mansurali109 mchamungu gani huyo mganga wa kienyeji vijana someni dini acheni kufata hawa wazee wapotevu masufi anaropoka hovyo hovyo anaongeaje na Allah ana Kwa ana
Twakupenda sheikh wetu sheikh Rocket Mwenyeezi Mngu akuhifadhi.
ماشاء الله Yani Leo ndio nimejua ukweli ukweli hasa wa sheikh huyu, Allah ampe afya njema
1928-2021 ma shaa Allah Allah akuzidishie umri wenye kheri na furaha from kenya
Msiweke sauti zenyevinanda wekeni nashid kwa sauti ya chini,ambayo inawezesha maelezo kuisikia vizuri.
MashaAllah! Katika Hija hizo 51 mimi nimesafiri nae mara 11 (nikiwa Kiongozi wake)
MASHA ALLAH
Anapatikn wapiii huyo
@@mwanajeshimkuuu7643 DSM
@@mwanajeshimkuuu7643 anapatikana DSM
Tusaidie namba za shekh rocket au alienae karibu
nimtu mzuri sana kuswali mnaleke tuko jirani tu vijiji vyetu
Alhamdulillah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mangoma ya nini sasa! Mnakera sana
Wacheni kutia ngoma
Huyo mzee nimepata stori zake sana na athari zake nzuti zimetapakaa sehemu nyingi hapa mtwara.
Kuna ukweli gan
Masha Allah tabaraka rahman wana kwetu wanamuita rocket
babuuu au shekhee?????😂😂😂😂
babu nasema ila sio kweli baadhi anadanganya
Assalam alaykum warhmatullah wabarakatuh toeni miziki tumsikie sheikh mwenyewe miziki zakera jamaa
Sana,sasa sijui kwa nini ameiharibu hii video kwa kuweka muziki
Asante hatukusikia
MAASH ALLAH JAZAKALLAH KHEIR
Hio miziki inamaana gan
Mashaallah Mashaallah
Mashaallah
😂😂😂😂😂😂😂😂 hatar nimependa uvaaji wake 😅😅😅😅
Tusikilize ngoma? Au tumsilize mzee wetu? ( roket)
Kaswida hiyo inazuia sauti kusikika.
Maa shaa allah
Maa shaa Allah tabarakallah
Maa Shaa Allwah
Shukraan Sana sheikh
Mashaalaa mungu amsimamie
Mashallah lafiki take marehemu babu waswali naleke
Mashaaala
Mbona hujamuuliza kwa miaka 51 kaenda hijja.Alikuwa na wafadhili wanamsaidia?
Ondoeni mziki mtu anapozngumza
Mesahau kuwa siriya munguipo kwaviumbewake
UTAKUWA HUJAMUELEWA VZR
Elezea wewe ulivyoelewa thahbul_kissa
Huyu mzee toen namba yake au ya mtu wake wa karib
. Musituekeee ngoma.
Wakati Mwingine mkiwa mnaanda kipindi msiweke sound track.. inasumbua usikivu.
Mziki wa nini sasa. Umearibu ujumbe wore
Pliz ondoweni hiyo music ili tumsikie maneno kwa usafi
sasa hicho kinanda cha nini hatusikii vizuri zima tusikie ukimaliza hayo magujiano utawasha
Mziki nimeelewa Ila Mzee sijamuelewa kasema makha kwa miguu
Upumbavu wako Wacha urongo wajuwa makarama nini
sasa mumeeka miziki yanini twataka kuskia vizuri hayo maneno
Izo kaswida zinatubabaisha siku nyengine msiziweke zinatuboa
Sauti ya iyo qaswida imeeondoa ladha
Mziki ondoa
Acheni kutia miziki inakera kweli huu ni upuuzi mtupu
Miziki hiyo jaman unafanya nini
Tatizo mnaongeza sauti ya music mpaka hatusikii anaongea Nini
Toba mrongo huyo mzee
Huyu ni muarabu mbona anasema mmakonde jamani anakaa wapi nimeumia maskin Allah ampe umri
Huyu ni hizbiya mpumbavu tu
Sizani mtu aliyekwenda hija 51 amazing atakuwa ni mpumbavu au anaejiona mwelevu aka wa ndio mpumbavu bila ya kujua
Mziki wa nini
MA SHAA ALLAH
Sasa mpaka mupige ngoma?
Sipendi kusikikiza ngoma aina yoyote
Punguza mziki mziki mkubwa sauti za msemaji hazisikiki
yani huyu mzee akiwa sitendi gari likampita basi nilazima litaaribika wanamuheshimu sana madureva uyu daluweshi mzee kuswali mnalekee
Kumbee😂
Subhna Allah
Anakaaa wapi huyoo shekh
anapatika DSM au Mtwara
Masufi bana mtihani sanaa Allah awaongoze huyu anakudanganyeni
Kwa hivyo mkweli diamond Na Ali kiba au vipi ?
@@rastafare878namuomba Allah akuondoe kwenye kiza za usufi na ujahiil
Asiyejua maana haambiwi maana
@@tareqmarzowk1190 hicho ni kibri,
@@tareqmarzowk1190ww unauhakika gani kama anadanganya tufikie wakati tuwe tyr kubadlika haki inpodhihir isiwe ni wapingaji tu
Uyu mzee Ana walakin katika dini anayo zungumza nikinyume na mafundisho yadini
Hiiiiiiii,Kama hujaelewa,Yulia.
Kwani Nabii Musa AS aliyaelewa mafunzo ya Khidr AS?
Ni shida kumuelewa kama huna imani ya kweli
masha ALLAH Allah akubakize na afya tele miak 93 na hija 51 kheri tupuuuuu
Mkirikod watu wachen miziki
Mashallah tuswali naleke
Ni mshirikina mkubwa
Chunga sana ulimi wako ndg yangu utakuja kupata matatizo makubwa usiyajue dawa yake kwa kuwadharau na kuwasema vibaya wachamungu.jiepushe sana kusema na kuwasimgizia wachamungu utapata shida sana ndg yangu
@@mansurali109 mchamungu gani huyo mganga wa kienyeji vijana someni dini acheni kufata hawa wazee wapotevu masufi anaropoka hovyo hovyo anaongeaje na Allah ana Kwa ana
Kwenye dini hakuna qaswida ni mziki huo
Masufi ni wapumbavu tu na wewe mwenye hii channel unaeneza upumbavu utakwenda kulizwa hizbiya mmoja wewe
Hapo kusema anaongea na Allah moja kwamoja mmh
Sasa kinachokushangaza weye kitu gani.apo we kasome ndg yangu
Sass we kinachokushangaza weye nikitu gani apo kasome ndg yangu usifanye masiara na wacha mungu
Hujamuelewa hata wewe weka imani unapoomba Ni Kama unaongea na mwenyezi mungu live na majibu utayaona imani hujenga.
Hawa wanaopinga huwenda wakamtilia mashaka na khidhri a.s
Usibishe
Uwongo ni mchawi Hana lolote
Wew jamaa usimtuhumu kwa hilo una uhakika na hiyo tuhuma?
Dhana mbaya unayoifikiria ni zaidi ya uchawi unaodhania
Bora km hujapenda Kaa kimya usimdhanie mtu mabaya.kimya huleta salama.fikiria angekua Mzee wako sisi ndio tunasema hivyo ungejionaje?
Hivi mnajua kuwa anachokizungumza ni makosa hivi anawezaje kuzungumza na Allah ikiwa aliyepata hiyo nafasi ilikuwa nabii musa pekee huu si uzushi
Kasome Acha ubishi
@@ahmedmuhamed4379 Labda unisomeshe wewe kunako AQIDAH maana umeona mimi nimekosea kusahihisha kosa lililo la dhahiri
Kasome dungu huyo nimiongoni mwa watu wema.acha kuandika mambo ya upagani.shehe yuko sawa.
Unaongea nae ktk swala
@@kheirameir6284 unaweza kunitajia wema waliotangulia ni nani na nani wameongea na Allah uso kwa macho km hujui kukaa kimya itakuwa ni bora zaidi
HUYO NI MCHAWI
Haa wewe una matatizo na hujiwi Chochote katika Dini hujiwi mitume wote waliitwa wachawi mfano Nabii Musa na mtume Muhammad s,a,w