Mario made me know you on that day he posted your new hit KUBALi. I had to visit your channel n found out that you're soo talented with great vocals... All your songs are amazing to me but naomba unipe fursa ya kutoa cover ya hii nyimbo.. I love t more than eny other... I listen to it everyday n am just addicted to t... Cant get enough of this
Lody usijekubar kua any under any lecord leber coz talented inajitegemea na unauwezo mkubwa kuliko others artist in Tanzania watakunyonya wataua mziki wako usilizike na lever zako don't forgot sio lever za African industry so simama wew Kama wewe ila nyuma yako kua na team to ya wanayokusapot just do that bro I know your talent thats why I respect you nigguh
@@lodymuzic tuko pamoja ndugu yangu ni swala la muda tuu ukifika kila mtu atasema amechelewa kukujua your doing good kwa kweli ngoja nikuombee interview kwa diva wasafifm
Hivi hizi redio zinapiga mziki gani?wanaacha kupiga mziki mzuri kama huu, yaani hizi redio MUNGU anawaona.....dogo upo vzr keep shinning ipo siku utatoka
Ambao LORD MUSIC amelike na kucoment kwenu screenshot mapema maaana soon tu atakuwa on that top
Duh! Nahisi tu kama ningeisikizisha dunia nzima ikutambue✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽🔥🔥🔥🔥
Msengee umenitoa machozii falaunajua sanaaa 😭💪💪💥💥💥💥
Lody na Producer wako wote mpo vizuri sana kazi iendelee
Sure
Huyu Jamaa anajuwa sn
Nime mkubali.
Eeeeh bwana nyimbo bomba, nyimbo safi, melody kali,sauti ya lody music BIG UP BRO the song is 💣💣
Mario made me know you on that day he posted your new hit KUBALi.
I had to visit your channel n found out that you're soo talented with great vocals...
All your songs are amazing to me but naomba unipe fursa ya kutoa cover ya hii nyimbo..
I love t more than eny other...
I listen to it everyday n am just addicted to t...
Cant get enough of this
Umeletwa dunian tu kuimba hii stly inshot ur the choosen one my G
DAH BROTHER MUSIC WAKO MTAMU SANA YAN HAUCHOSHI WE LOVE YOU BRO .FUN FROM MTWARA TZ
We ni mtunzi mzuri na umejaaliwa saut na melody kali sana, the way unavopanda na kushuka na hiyo tone, daah!! Bright future ahead, be humble always
Humble, Umesema Kweli ndg yangu
Anajua na anajua tena
jiweeeee
Great song, so touching it is a soul food👌keep up the gd work 👌👏👏
@@lodymuzic kaka wee mkali naomba namba zako tuchat WhatsApp
Since have know this guy,aki wallah ako na mistari jamani,i feel guseburms wen listening to his music 🎶good job bro 👏👌
Love yu
@@SalimSalim-fp7zd thank you 😊
Mistari ajab sana
Really??
Unajua sanaaa mwanangu alafu unajua Tena yani 🙌 Mungu Akusimamia kazi zako Mwamba 🔥🔥🔥
mungu atalipa jasho lako bruh.., yeye hawahi wala hachelewi hujibu kwa wakati sahihi.. AMEN🙏
Lody usijekubar kua any under any lecord leber coz talented inajitegemea na unauwezo mkubwa kuliko others artist in Tanzania watakunyonya wataua mziki wako usilizike na lever zako don't forgot sio lever za African industry so simama wew Kama wewe ila nyuma yako kua na team to ya wanayokusapot just do that bro I know your talent thats why I respect you nigguh
maze i have listen to this jam, the whole day literally. Nice vocals, we need a video now... top notch Lody Music
Hii Melody Kama Ya Adera Kwenye Hero, Ila Sio Mbaya Bro Umetisha Sana Mzee Baba Salute kwako
Ni beat cyo melody
Good vocals,flow listening to this just from a heartbreak hits different...go go go boy
Nyieh Kuna Watuu Wanaimba Big Up Kwa LUPASO Brother Unajuah
Jaah Akubless Brother
nakujua from alawi to lody music,,kitu moja enye unanibamba nayo n the way unacheza na iyo kitu inaitwa maandishi,,,
@@lodymuzic wewe ni fundi bro, keep it up. Mpe salaam Adam berry
Hii aucostic ni balaa 🔥🔥. Nimeirudia kama mara 100.
Translation in English pls
lody unastaili uwe under label maana kipaji chako ni kikubwa mnoo ila wanaokuelew ni wachache🔥🔥🔥🔥🔥🔥
OMG 😳 this is a super talent right here nashaa leo ndio nimekusikia via Tiktok the youtube wakani recommend
Ebwana eeeh this is so fire my gee yuh kill it💥💥
Huyu jamaa anajua asee sa sijui watu hawamuoni au wanamuona afu wanavunga km hawamuon.. Brother lody keep it up
bongo wapuuzi san kwan hawakuon mkuu hizi vitu ni htr san respect kwako 🙌🙌unajua
Lody music ni zaidi ya Platform na Marioo ...utunzi anao sauti anayo sema pesa ndo hana kama wengine ila pongezi kwake
Namuona mbali sana hyu kijana anaimba amerlax Ila anajua hadi anakela mungu mfungulie mlango
You're talented Lupaso Kid. Good music appreciation on you.
Kazi iendelee 👏dogo ata huitaji uitwe kwenye lebal yeyote, wemwenyee watosha lebo tosha #lodymusic 👏👏
Mwamba unajua sana...Uwezo wako ni Mkubwa sana....🎼🎼🎼🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dope song,keep em coming, ajab sana,love from 🇰🇪
Watu na vipaji vyao brooo your selected naturally with music environment
Daaah...oyaa unajua mzee duuuh zaidi ya KUBALI hii
Aaaah we kaka unajua 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 .. U Deserve a lot of support
Huyu dogo ameweza
Humu humu kaka watatutafuta wenyewe trust on what you do my G always tuko tunakusupport with your good music 💪
@@lodymuzic tuko pamoja ndugu yangu ni swala la muda tuu ukifika kila mtu atasema amechelewa kukujua your doing good kwa kweli ngoja nikuombee interview kwa diva wasafifm
Dah lody nakubal sana music wako mdog wng mungu akuongezee. ujuz nakae kwenye mzikii
King of lyrics... salute
Unyama mwingi humu asee🙌🔥
leo ndio naamin kwamba bongo kuna watu wana vipaji sema hawapewi chansi
Unaweza bro. We expect more like this from you. I love your tone. Tuned from Githurai 45.
You are so talented. Keep it up NEVER GIVE UP
Mzee✊🏿
Darh mwanangu Unajua sana kuimba mashaili mazuri sound good
100 100.1000 100000000000000000000000000000000000 hkn kiba hkn mond hkn jeshi u a the number one proud of u dogo looooooh unagusa moyo wamgu
I'm not a bongo fan,,, but this guy is the real deal,,, stick to this lane 💯💯
This boy is a true musician. no doubt, someone must invest on him it shall hugely pay back!
🔥 🔥 🔥 🔥 Kila hatua dua Kaz nzur lody
@@lodymuzic kaza kaka at Wale walikua kam ww nice song
We mze ni noma nlijua umebahatisha #kubali kumbe unaweza 🙌
Kaka hakuna kipengamizi unajua,bonge la shairi hili nice
Bonge moja la hit song 🙌🙌💪
Unyama sana king of merody sarut ..ap pboyofficial
Dah!! Hatar ngoma kal xn mwnng
Fundi langu la burudani ya moyo mziki mzuri Kama. Uhai blood
Sijajua kwanini konde yuko juu Hutu jamaa yuko chini. Infact anajua sana kuandika
Nanza kku fatilia ndgu nimevutiwa na kipaji chko kaza mwangy unaweza sna
Naelewa anachokifanya mwamba good man japo badilika usiimbe mziki type moja tu utalost home boy
my no.1 artist in africa from today
🔥🔥🔥 mbna vijana wapambanaji kama Hawa bdo wapo chini xna shida ni nn jamani cz huu ni moto mwengine kabisa
salute nying kwako mdogo ang komaa humuhumu njia ipo mbona
Hii ni zaidi ya KUBALI, we niwa motooo balaa
So Baby promise 😍 gud voice 💯
Nahisi Kama nlichelewa kukujua,hata dunia imechelewa kukujua myG u gat ua own flavour am ua fan from today onwards👊
Hivi hizi redio zinapiga mziki gani?wanaacha kupiga mziki mzuri kama huu, yaani hizi redio MUNGU anawaona.....dogo upo vzr keep shinning ipo siku utatoka
Nilichelewaa wapii Mimi kukujua wewe fundii aaaah asee men your talented Sanaa
Soo dope! Mashairi Pambe sana! Sauti nzuri zaidi🔥🔥🔥
Appreciate on 🔥
hii nyimbo inaitaji promotion itafika mbali sanaaa
Am addicted to your voice 🔥🔥🔥🔥
Nakukubali sana brza lody
Hii ndo NEXT LEVEL yenyee sasa others follow
This guy called lody is a true legend obish angekuwa mkenya2
U got a clean talent ....may God favor u 🙏🏼
Tafuta management nzuri unajua sana level zako ni za kina marioo kina ibrahh akuna wanachokuzidi tafuta management nzur
Ngoma kali sana hii,itolee kichupa aisee
We mkali sana lody music
Nikuelewa kijana makin xana mzee uko vizur
Wataelewa tu hata wakifumba macho watackia 2
Superstar ni wewe tu kwa sasa 😍😍😍
The voice and the lyrics 😍
Ontop only voice of that kind✅
Lody your so talented bro keep it up.
Another heat hongera kijana utafika mbalii
My gee wewe Ni noma kiukweli kazi iyi una ifamiya poa
Oyaa mzee management ifanye kazi ya ziada kipaji kabisa hichi nakuona Tanzania 🇹🇿 budah
Mwan unajua San kaza kaza ndug yng utafika mbal nakuahd💪💪
ingekuwa mziki soccer tungepiga sub WCB lavalava out lody music IN
Great LYRICS broo and your voice is 💪💥✌❤💯
Mungu akupe nguvu una madini mwanangu unatish nime elewa Sana mwamba 😫👆👆👆👆👆
Bless up my gee👊🏻keep it up voice killer mzee wa mikabala huna baya
Promos na medicine ngoma kaliii sanaaaaa
Jamaa yangu unaimba mpaka muziki nauona mwepesi sana unakipaji kikubwa
Listening to your songs is what I gonna do.i promise
Man!! You're so talented 😢😢❤❤❤you just need support and a good management, you can become a big thing
We jamaa unajua sana kaza sana nakuona mbali sana bro
Uko vizuri broo kaza utato kwenyegemu.
FAN OF FLOW SWEET MUSIC, THIS HITS DIFFERENT, FROM KENYA👏👏THANKS TH-cam FOR RECOMMENDING. GREAT WORK. We want MORE.
Ndo nimeiskia leo hii🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Exellent boe!! This is pure music my gee
Dah Ni wakati sasa mziki mzuliii sanaa
Bro unajua RESPECT kwako