Amakweli hasidi hana sababu. Eti haina tofauti hii na nyimbo za ibilisi diamond,fanyeni bifulenu kwa kiaasi. MUNGU ATAKULINDA DADA YETU NA AKUHIFADHI NA MAHASIDI WAKO "ameen"
Wewe maryamu katika waimbaji wewe nakukubali Sana Sana sana.wallahi nakukubali sana.sautiyako nisaut yakimaruhaniyy.allah akuzidishie itumie katika kheri
Maa shaa Allah Qaswida nzuri sana In shaa Allah tunategemea Ramadan kupata live stream katika darasa za Ramada baada ya sala ya laasri pamoja na salatul taraweh katk miskit mbali mbali ya Zanzibar In shaa Allah Allah akitufikisha.
Jamaan dah shida Ni kaswida au Kuna jengine mpaka mumtus hivyo dada wa watu Kama Ni kaswida cyeye tu nyimbo Ni vibaya lakini na kumtukana mtu Ni vibaya mmesoma wapi wenzetu
Mashallah qaswida nzuri hongera👏👏
Mwenyezimngu Akuzidishie
real love from kenya
Imba zaidi na zaidi na utafika mbali sana.sisi tuko na wewe japo hutujui.lakin Dua zetu kwako na ubani tutakutilia ufike mbali Sana.inshallah
Masha Allah ❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mashallah!!!
Utu ni utu, utu si kutukukanana, utu kusameheana
Mashaallah
Kaimba vizuri na anayo sauti nzuri sana Masha Allah.
Amakweli hasidi hana sababu.
Eti haina tofauti hii na nyimbo za ibilisi diamond,fanyeni bifulenu kwa kiaasi.
MUNGU ATAKULINDA DADA YETU NA AKUHIFADHI NA MAHASIDI WAKO "ameen"
Masha allah masha allah mashallah min zaman ana dawir hathi nasheed alhamdulillah barrak allahu feek
Masha Allah napenda niskilize qaswida zko any time
Maashallah qaswidah nzuri na inayofunza heshima na upendo kwa wazazi wetu
Wewe maryamu katika waimbaji wewe nakukubali Sana Sana sana.wallahi nakukubali sana.sautiyako nisaut yakimaruhaniyy.allah akuzidishie itumie katika kheri
So nice song Maryam Mungu akujaaliye kheri amina
Mashaallah 🇹🇿👌👌👌💯❤️❤️❤️❤️
Dada Maryam nakupendaga sana my
Ma Sha Allah ,Allah akupe umri mrefu
Mashallah, Baraka Allah Fiq,
Mashallah tunasubiri tarehe 21/4/2024 kolabo yako na sharif koba na masud, patakuwa patamu
Unitag
Amenikumbusha ummuh kuruthum ❤❤❤
Mashaallah naipenda sana hii inafundisha bora utu kuliko kitu
J'étais juste comme je rêve de que j'ai commencé à écouter sa voix
Beautiful voice.
Mashallah
Mashairi pia mazuri ma sha Allah... music toa habibty
Mashaallah Mashaallah
Mashwalwa jazkalwah kheri
❤❤❤❤❤ mashallah mashallah mashallah ❤❤❤❤
Mashallah mashallah ujumbe mzuri sana, Mola akupe moyo ndugu yangu utoe ujumbe mwengine mzuri zaid ya huo..
Allah, mashallah, ukhty Mariam allah akupe kherii inshallah,
Masha Allah nimeipenda sana keep it up
Mashallah machozi 😢😢yamenitoka baada ya kusikiliza kasida hii molaakuzidishie my sister so nice kasida
MashaLlahu ur very wright my Sister utu ni Utu.Utu c wakutukanna wala kukaripiana mbele za watu mbalimbali.Thnxsss Madam
Mashallah ukhty Maryam hamdun
macha alloih mgu nahubariki ba wena dji djema ye kasuda yikiri soifi
MashaAllah sauti nzuri
utu kusahemeana huu ujumbe umenigusa sana
Mashallah very nice message dear..Allah barik inshallah
Usiwasikize hawa wanaopenda kutia ila kwa huu ujumbe wako
Mashallah, I wish , I knew the meaning of the message though.
Mashallah nice qaseeda
Mashaalah mashaalah mashaalah bi ukhty maryam
Maashaa Allah
Subhaana llah hadi raha
Maashallah
Mashaallah mashaallah khabinty..
Early utu is a nise qasida
Manshaallah
Maneno kuntu umeongea hubibty❤❤❤
Mashaallah imenikumbusha mbali hii qaswida
Mashaa allah ❤❤❤❤
Maashaallaah ukhty wangu
Mashallah pambe kasda
mashaallah mashaallah mashaallah
Mashallah
mashaallah
Mashalah sauti nzr
Mashalah sauti nzuri sana
Nice voice Bi Maryam
Mashallah mimi pia nataka kutoa qaswida qaswida yako nzuri mashallah ... unanzaje kutoa qaswida kama ww ? Ikiwezakana nataka ku join.naww
acha waseme Ila uko vizuri,
Alf mabrouk Bi Maryam.
Ajab sana MashaAllah
Thank
Mashaaala kasida mzuri sana
Alhabiiib habiiib habiib
Maashaallah.mashaallah
Masha Allah ,nimeipenda kweli maneno mazur hayo
Nakkubar sana Mariam habity 💕💕💕
Ma shaa llah nimeipenda
Nice message
Mashalla. Ujumbe.mzuri
Sauty amezing kasida inautulivu wamziki
Mashaaaaaah wajin nzur san
MashaAllah!
MashaAllh 🙌
Lzma tuwe n utu jmniii kaongea kweli📌📌
Mashaallah ❤
ma sha allaaaaaaah
Masha Allah
mashallah maryam
NZURI MASHAALAH .
Love it
Nice
Mashaallah bi Mariam
Leyla Iddy , ❎
utajiju
Man'sha llah
❤
Ujumbe maridhawa. Umejulisha kazi kwetu sasa
Mashaa Allah tabaraka Allah.... kaswida ipo makini na ina maadili mazuri mashaa Allah
Ma shaa Allah
Bismmilah Masha Allah
Wo tabarkullah.
Mashaalhwa mungu akujaalie
Mashalah
Mariam
Utu
Dah huyu ni mtoto mzuri sana
Maaashaallah kwa nasaha nzuri na qaswida nzuri.
Binadam bhana hata hufanye vp hawawzi sema ok hunaimba vizur sana Dada
Mashaaalah
Mashaallah dada yangu
Nice sis
Hii sio taarab ipo tofauti na taarab we ujui kutofautisha taarab na kaswida kumbe utapata tabu sana
Utu si kutukanana, kuvunjiana hishma, ni sahihi
mashallah
Ndio yale yale umeacha mashair ya jukwani, umekuja kwny minanda
Maa shaa Allah Qaswida nzuri sana In shaa Allah tunategemea Ramadan kupata live stream katika darasa za Ramada baada ya sala ya laasri pamoja na salatul taraweh katk miskit mbali mbali ya Zanzibar In shaa Allah Allah akitufikisha.
KHEIR INSHAALLAH MDAU WETU
Jamaan dah shida Ni kaswida au Kuna jengine mpaka mumtus hivyo dada wa watu Kama Ni kaswida cyeye tu nyimbo Ni vibaya lakini na kumtukana mtu Ni vibaya mmesoma wapi wenzetu
utu ni utun.