Mbarikiwa AULIPUA UKRISTO. IMEKUWA DINI YA KUFIRISI WAUMINI NA KUTAJIRISHA WAHUBIRI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @mosessiame7882
    @mosessiame7882 วันที่ผ่านมา

    It's true pastor tumeyaona sana makanisani,unafaa kwamafundisho Mungu akubariki.

  • @SAMWELKATIGIZU
    @SAMWELKATIGIZU 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amina baba

  • @davidmwaipopo5171
    @davidmwaipopo5171 วันที่ผ่านมา

    ❤❤Mimi ndiyo mbalikiwa wa mafundishk yako

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤Muñgu atusaidie

  • @kamandapendo802
    @kamandapendo802 2 วันที่ผ่านมา

    AMEEN BABA

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa mbarikiwa wasabato wamemfilisi jamaa yangu na amepewa uzee wa kanisa

  • @SamwelJoseph-yk3cw
    @SamwelJoseph-yk3cw วันที่ผ่านมา +2

    Mbarikiwa, hupaswi kuzungumza kauli za ku~surrender na kujikatia tamaa kwa kusema kwamba ulishindwa kuzuia umauti usimpate mwanao kwa maana hiyo huoni sababu ya kuishi.. Listen, jambo hilo limeruhusiwa na MUNGU litokeee, kama ayubu aliondokewa na wanae wote, na Mali zake zote lakini akazidi kusonga mbele katika MUNGU naam, ni maombi yangu uzidi kusonga mbele Katika MUNGU kwani,, you are the LORD's club and the armor of war, you will defeat the old man, you will defeat the young man, you will defeat the horse and the horse rider,, ameeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @farajanovath8564
    @farajanovath8564 วันที่ผ่านมา

    Hahaaha eti makatibu apo umenifikirisha sana 😅😅

  • @davidmwaipopo5171
    @davidmwaipopo5171 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi mpaka saizi sijui nikasali kabisa gani nipo tu hm

  • @GabrielMassawe-sd6yp
    @GabrielMassawe-sd6yp วันที่ผ่านมา

    MBARIKIWA UBARIKIWE

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 2 วันที่ผ่านมา

    Hapa mtu wa mungu umepigaaa

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 2 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye mbia za mwenge nimezishidwa kuzuiakicheko😂😂😂😂

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 2 วันที่ผ่านมา

    Dar jamani kweli mbalikiwa katika kua yangu nimejionea mwenyewe kwli ww umeitendea haki BIBLIA

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 2 วันที่ผ่านมา +1

    Baba hili unalosema ni kweli
    Niliwahi kuongea sana makanisani likanifarakanisha nao sana na nilionekana napingana na uongozi,Sina nidhamu,nashinikiza watu wasimtolee Mungu,najifanya najua neno kuliko kuhani n.k
    Nimepewa jina la ajabu ila Mungu anawaona
    Asante kwa kuueleza ukweli huu na nitazidi kuusema kwa nguvu kw maana ukristo umedharaulishwa na Hawa mbwa kama isemavyo Isaya 56

    • @kamandapendo802
      @kamandapendo802 2 วันที่ผ่านมา +1

      Cha kukushauli tokeni kati yao ukatengwe nao
      La sivyo watakuumiza bule mimi nilitoka kwao

    • @jonathankessy9615
      @jonathankessy9615 2 วันที่ผ่านมา

      @kamandapendo802 Amina
      Ila Hawa jamaa bhana wanaushawishi Kila konaa

    • @StelaJohn-nj5yf
      @StelaJohn-nj5yf วันที่ผ่านมา

      Pole ndugu wengine tumeishia kuwa wachovu na wanatucheka sana! Mungu anawaona.

  • @felixmkalawa7644
    @felixmkalawa7644 วันที่ผ่านมา

    Mbarikiwa fungua tawi hapa dsm ww nimkweli maana yote unayoyasema hapapo ulipo ongeza ndivyo wanavyofanya

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi kanisani siendiii mana upolaji mwingi

    • @PastorsTz
      @PastorsTz 2 วันที่ผ่านมา

      Tafuta tu lenye maono sahihi au fanya ibada hata nyumbani Kilauea siku maana ibada ni uhai

  • @PETERMwawa-e3g
    @PETERMwawa-e3g วันที่ผ่านมา

    HAD UNAJIULIZA MICHANGO HIYO YOTE NITAITOA WP

  • @GabrielMassawe-sd6yp
    @GabrielMassawe-sd6yp วันที่ผ่านมา

    SASA HIVI WAMEBUNI SEMINA MBALIMBALI KWA MALENGO YAO

  • @apolinarytheking
    @apolinarytheking 2 วันที่ผ่านมา

    Hapa nakubaliana na wew

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t วันที่ผ่านมา

    kiristomwenyewe yu hai naukiristo siutapali matapeli niwatu wakishilikiana na mkuuwauharibifu rusifa nakundilake ndiyo haowakokinyume chaMungu.

  • @IsakaHosea-g9g
    @IsakaHosea-g9g 2 วันที่ผ่านมา

    MITHALI 21:3 kutenda haki na hukumu humpendenza Bwana kuliko kutoa sadaka.

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiyo fungu la kumi tusitoe au

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 2 วันที่ผ่านมา

    Ng'ombe ukimlisha vizurii maziwa anatoa bila shaka sio kwahawa wa saizi wakina sonda mnoo nahao wazee wa kanisa wameacha kuwaombea watu wao wamekuwa wapigadebe wa mchungaji

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 2 วันที่ผ่านมา

    Mbalikiwa wew ni wa mungu unachokiongea ata ao wachungaji wanajua kwamba unaongea ukwel

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 2 วันที่ผ่านมา

    Binafisi nakuelewa nandomana ungovi mwingi unainuka wakung,Ng,ania vyeo makanisa

  • @DismasVenance
    @DismasVenance 2 วันที่ผ่านมา

    SONDA MUNO KIBAO MZEE MBARIKIWA SAIV KANISANI WAPIGAJI AKINA MWAMPOSA NA KUHANI MUSA NA MZEE WA UPAKO NA WANAOFANANA NA HAWA. HATA KUOKOKA HAWAJAOKOKA. WAJINGA HAO. PUMBUVUUZAO. MUNGU ATAVINYOOSHA HAMNA MDA.

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 2 วันที่ผ่านมา

    Amina mutu wa MUNGU sema wewe ni wakuigwa sana matendo yanasema maana wengi unawalipia hata kodi unawajengea ndo maana ulisema wewe ndani ya kanisa lako Huna viongozi

    • @SAMWELKATIGIZU
      @SAMWELKATIGIZU 2 วันที่ผ่านมา

      Amina mtumishi wa Mungu

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 2 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye fungu la kumi unatudanganya. Fungu la kumi ni lazima na siyo ombi. Amesema mwenyewe Mungu kupitia Malaki 3:8...
    Hapo mchungaji usipotoshe watu

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 2 วันที่ผ่านมา

      Agano jipya ulimsikia wapi Yesu au Paulo anasema fungu la kumi ni lazima??
      Hao ambao unawasoma kwenye Malaki 3:8, ni watu ambao Mungu aliwabariki kwa namna nyingi na ndio maana walitoa kwa mioyo ya kupenda kwa kuwa walikuwa navyo vingi ambavyo BWANA amewabariki navyo, ila hii ambayo sasa matapeli wanakazia ni UTAPELI.

    • @jacquelinemwakasala9563
      @jacquelinemwakasala9563 2 วันที่ผ่านมา

      Sasa wanapiga debe sana fungi LA kumi toa toa hadi wanatishia MTU mwenyewe atoe kwa moyo ndio sadaka njema sio wazee was kanisa mashemasi sijui nan kupiha deeeeeebe we kuna makanisa usipotoa unafuatiliwa hadi uogope unaitwa bahasha za fungu LA kumi zinafuatiliwa usipokuwa mtoaji unaitwa na wazee wa kanisa au mchungaji kuulizwa mbn hutoi ila mi nadhan mchungaji anatakiwa ahubiri kuhusu sadaka afu MTU atoe mwenyewe kwa moyo sio kutishana na kulazimisha afu kuwapa kipaumbele wale watoaji MTU asiyetoa anakuwa hapendwi kivile humo kansan

    • @helsonjonathan
      @helsonjonathan 2 วันที่ผ่านมา

      Kama ni lazima iyo sio baraka kwa sababu haina hiyari

    • @jacquelinemwakasala9563
      @jacquelinemwakasala9563 2 วันที่ผ่านมา

      @helsonjonathan ndio nnachosemea madebe yanapigwa sana hadi MTU unawaza naendaje church

    • @DismasVenance
      @DismasVenance 2 วันที่ผ่านมา

      FUNGU LA KUMI AGANO JIPYA HALIPOO MAANA MALAKI HAMJAMUELEWA ANATAKA KAMILI NA IKIZIDI AU IKIPELEA SIO KAMILI HII NI NGUMU KWA MTU YEYOTE DUNIAN NA UKIANZA KUISHI KWA SHERIA UNAPASWA KUISHI KWA SHERIA ZOTE SIO MOJA YA ZAKA TU. YAKOBO 2:10. NA PIA ZAKA NI AGIZO LA SHERIA MWENYE APUNGE ANDIKO HILI WAEBRANIA 7:5.

  • @DismasVenance
    @DismasVenance 2 วันที่ผ่านมา +1

    2WAKORITHO 9:7. KILA MTU NA ATENDE KAMA ALIVYOKUSUDIA MOYONI MWAKE "SI" KWA HUZUNI WALA "SI" KWA LAZIMA . WEWE ASKOF UPO SEMA ZAKA NI LAZMA NENO LINAKUKATAA. JAMBO LOLOTE LA KIROHO LIKIWA NI LAZMA HILI TUNALITAFSIRI KUWA UKABAJI HALINA BARAKA HATA TONE. NA WEWE UKITAKA SHERUA TOKA KWA NEEMA NENDA KWA SHERIA

    • @NeemaSilayo-g7f
      @NeemaSilayo-g7f 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yap, wachungaji wengine, walianza vizuri ila wakianza kiinuka, wanataka wao kuonekana ni YESU. Tafsiri ya maandiko wanapindisha Kwa faida zao. Mungu aendelee kufungua akili zetu, tuifahamu kweli.

    • @NeemaSilayo-g7f
      @NeemaSilayo-g7f 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tatizo nasi waamini, hatutafuti kujua ukweli kuhusu YESU, tunaamini Kila mchungaji anachosema ni sahihi, hatuelewi.... Mungu atusaidie.