Msami - Kokoriko (Official Music Video) SMS SKIZA 7918939 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 3 ปีที่แล้ว +2

    Nomaaaaa HIIIII video jinsi ilivyoaanza kwanzaaaaa

  • @evancerwamugata1064
    @evancerwamugata1064 3 ปีที่แล้ว +3

    Haya sasa mwenye nyumba karudi wapangaji kaz wanayo

  • @paulojames1299
    @paulojames1299 3 ปีที่แล้ว

    bigap bloo iko powa Sana mpe hay pita modo

  • @neycarixta3937
    @neycarixta3937 3 ปีที่แล้ว +6

    Nilikumic mpaka basiiiiiiiiii yaniiiii,umekuja na kali tena👏🏽👏🏽😍😍😍

  • @abdulqareemabdallah2579
    @abdulqareemabdallah2579 3 ปีที่แล้ว

    God nakupendaga sana msami dansi yako nyimbo dah hatr sana

  • @saidiphily4964
    @saidiphily4964 3 ปีที่แล้ว +6

    Ngoma Kali
    Dance wakali
    Msaniii mkali
    Location Kali
    Aidia Kali
    Naombeni like
    Za msami

  • @chidytutla5210
    @chidytutla5210 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali kweli we ni King wa kudance

  • @alexjoseph9539
    @alexjoseph9539 3 ปีที่แล้ว

    Umeuwa game msamii yalayala yashababi dah htr

  • @athumanimakamba6073
    @athumanimakamba6073 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana mzeee wakaz

  • @francischaula1576
    @francischaula1576 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa ni best one sem ni vile tu wcb imeficha nyota za wengin ila msami fundi tz cjaona🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️

  • @jonsotv9658
    @jonsotv9658 3 ปีที่แล้ว

    Nimewaona vijana wa migo. Wa bagamoyo

  • @bymertz163
    @bymertz163 3 ปีที่แล้ว +1

    Piiiiiiiii sana Msami ,Sure nakubali sana mziki wako kaka mkuu

  • @agwemma4045
    @agwemma4045 3 ปีที่แล้ว +3

    Kucheza Sasa duu Ndo moto🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @renistaphilipo3583
    @renistaphilipo3583 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubal Sana mwamba

  • @karimchindema9823
    @karimchindema9823 3 ปีที่แล้ว

    Sasa kinachokufanya ukae kimya nni.... Ole wako ukae kimya Tena... Unatundu lako ambalo unalitoboaga ambalo hakuna msanii yeyote anayeweza kuliziba... NYC song

  • @issahhussein1922
    @issahhussein1922 3 ปีที่แล้ว

    Nakuaminia sana linapokuja suala lakucheza

  • @pogbabundala8758
    @pogbabundala8758 3 ปีที่แล้ว

    Nakubaliana na ww msam uko vzuur sana broo

  • @barakachacha852
    @barakachacha852 3 ปีที่แล้ว

    Kibega imerudi tenaa... Mabwa imerudi tenaa... Haya twende sambolo

  • @geofreymbuliqwe1963
    @geofreymbuliqwe1963 3 ปีที่แล้ว

    Sana kaka biq up

  • @reginaobasco7933
    @reginaobasco7933 3 ปีที่แล้ว

    Sijawhyi ukupinga ubaki kuwa juu MSAMI baby🔥🔥🔥🔥

  • @getrudabeatusi5441
    @getrudabeatusi5441 3 ปีที่แล้ว +94

    Msami tulikumis jaman ktk game gonga like kma ulimis mizik ya msam

  • @innocentnkya5916
    @innocentnkya5916 3 ปีที่แล้ว

    Makini sana mzee baba💪

  • @mfaumengunja6566
    @mfaumengunja6566 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika n king of dance. No one like u. Dondoxha like hapa Kama unamkubal msami

  • @issakhan3770
    @issakhan3770 3 ปีที่แล้ว

    Makin song na Makin dance 🤛🤛🤛

  • @decoboy5904
    @decoboy5904 3 ปีที่แล้ว

    Umetishaa big up

  • @pathanemmanuel7775
    @pathanemmanuel7775 3 ปีที่แล้ว

    naqbali sana mtaaramu wetu

  • @antoinette4995
    @antoinette4995 3 ปีที่แล้ว

    Napenda 😍😍😍

  • @khadijarashid8697
    @khadijarashid8697 3 ปีที่แล้ว

    Jaman me hua napenda tuu unavyo dance hua ni 🔥🔥🔥

  • @joycestanslaus1151
    @joycestanslaus1151 3 ปีที่แล้ว

    Mfalme wa dance 💃🏻 💃🏻💃🏻

  • @johnnicola5941
    @johnnicola5941 3 ปีที่แล้ว

    Kwenye dance huyu mwamba hana mpinzani... Msami Baby🔥🔥🔥

  • @felisterjacksonmyovela8479
    @felisterjacksonmyovela8479 3 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @olusolamichael4461
    @olusolamichael4461 3 ปีที่แล้ว +12

    Duh huyu jamaaa anajua Sana jaman

  • @benomdaile7271
    @benomdaile7271 3 ปีที่แล้ว

    Msami akifaa na hii stailini yake ya mziki imekufaa yani nistaili yake peke yake na anaiweza peke yake. Safi msami tumekuelewa

  • @mustaphagairo1936
    @mustaphagairo1936 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaz kaz

  • @fatumabakari4639
    @fatumabakari4639 3 ปีที่แล้ว

    Msami unajua kuimba mpaka kucheza ilove you

  • @4wardybns753
    @4wardybns753 3 ปีที่แล้ว

    King amerudiiii

  • @allyhussein6363
    @allyhussein6363 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa akuna kama yeye. Yaan anacheza anaenjoy kabixa ila wengne wanacheza kama wamegombana na mtu vile. Mxami ww ni king of dancing 💥💥

  • @alfredyshija6653
    @alfredyshija6653 3 ปีที่แล้ว

    Msamii hii nyimbo ungetoa remix na innoss b natamani sana iwe ivo

  • @zainabumusa8218
    @zainabumusa8218 3 ปีที่แล้ว

    Lv u big bro,toka ug

  • @JWTECHTZ
    @JWTECHTZ 3 ปีที่แล้ว +9

    Msami nilijua tu upo unanoa kisuu msojaa 😍😍😍

  • @stnashofficial5399
    @stnashofficial5399 3 ปีที่แล้ว

    Wowow hiti

  • @jogoyeshabani4799
    @jogoyeshabani4799 3 ปีที่แล้ว

    Aise jamaaa msami ulipoterea wapiii ,,bigup msamii

  • @emmanuelsilungu446
    @emmanuelsilungu446 3 ปีที่แล้ว +1

    Keep it up king unajuaga mpaka unaboaaaa

  • @immagreez5313
    @immagreez5313 3 ปีที่แล้ว +2

    Ngomaaaa kaliii na kichupaaaa kikaliii Cha video..."kiduku kimeludi Tena,mabawa imeludi Tena"xo pow king of dance in tz

  • @wiliumregnad515
    @wiliumregnad515 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba ufai kumbe ausaau nakukubali

  • @yusuphally506
    @yusuphally506 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali sana ndugu yangu mimi apa dj kikucha from mton kindande

  • @ramadhanyusuph7633
    @ramadhanyusuph7633 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma fulani kari sana Saluti mmejuwa kuchacheza sana biti na kucheza kunaenda saluti sana

  • @lucasmwinuka3838
    @lucasmwinuka3838 3 ปีที่แล้ว

    Mambo yako msamiiiiii

  • @koalaness8921
    @koalaness8921 3 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo kali sana ... inakupa furaha !! ,,, sema msami akae umu umu anaweza

  • @lucasmwinuka3838
    @lucasmwinuka3838 3 ปีที่แล้ว

    Nimerudi kuangalia upya ngoma za msami aseee

  • @barakaswai6855
    @barakaswai6855 3 ปีที่แล้ว +5

    King Of Dance🔥
    Weka Mbali na Watoto🚫🙌🏽

  • @bboybaddest5028
    @bboybaddest5028 3 ปีที่แล้ว +11

    Bro,mi hata sielew ngoma zako zina deserve more than the airtime zinavyopata,ngoma kali sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😉😉😉😉😉

  • @abilitydance3854
    @abilitydance3854 3 ปีที่แล้ว +1

    Kali Sanaa @msami

  • @lava4officali238
    @lava4officali238 3 ปีที่แล้ว

    Daah huwa nakukubari man natamanigi ata unichukue unifundishe dence namm

  • @farijalangumba8916
    @farijalangumba8916 3 ปีที่แล้ว +3

    Msami baby hii kali🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kutokaughaibuni
    @kutokaughaibuni 3 ปีที่แล้ว +6

    Oooyooooo Kibegaaa iMerudiiiw Tenaaaaaaaa Oyaaaaahh weeeeeee Msami

  • @kimwerionlinetv5574
    @kimwerionlinetv5574 3 ปีที่แล้ว +1

    Ku dance nimekuvulia kofia broo

  • @noahmwasambulika4961
    @noahmwasambulika4961 3 ปีที่แล้ว

    Unaniua huku nahisi vunja kiuno dadeki unajua noma sana, nivile tu wa Tz hatupeani mtonyo

  • @josephmaeka6249
    @josephmaeka6249 3 ปีที่แล้ว +1

    You are special on this planet earth ata chibu haezi kukaribia kwa kudance

  • @ipyanakanyiki5080
    @ipyanakanyiki5080 3 ปีที่แล้ว +10

    Linapokuja swala la kudance bongo ww ni mfalme

  • @johnyotham2992
    @johnyotham2992 3 ปีที่แล้ว

    Kudadek ulikuap kaka dah tulikumis sanaa msami the king

  • @kobokoblack9908
    @kobokoblack9908 3 ปีที่แล้ว

    Kaka umeludi kwa kishindo kaka pamoja sana

  • @chumatyres7586
    @chumatyres7586 3 ปีที่แล้ว

    Msami fundi sana wa kudanci

  • @victormtui8980
    @victormtui8980 3 ปีที่แล้ว

    Umetishaaa

  • @hyasintakundy3568
    @hyasintakundy3568 3 ปีที่แล้ว

    Mimi acha na nyimbo napenda unavyo dance 🥰

  • @allykanyama680
    @allykanyama680 3 ปีที่แล้ว

    Unatish mzee n Nomaaa@@@@ San mshamb@@@ hawez kuelew maajub yako

  • @geofreymbuliqwe1963
    @geofreymbuliqwe1963 3 ปีที่แล้ว

    Sana kaka

  • @mwasitz2763
    @mwasitz2763 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥mkali waku densi

  • @youngkizibo9703
    @youngkizibo9703 3 ปีที่แล้ว +2

    This is hit song tunaicheki kutoka Kenya

    • @MsamiBaby
      @MsamiBaby  3 ปีที่แล้ว +1

      Wow asante

  • @tanzaniaphotographer3994
    @tanzaniaphotographer3994 3 ปีที่แล้ว

    unaboa sana unatuweka sana bhn😥😥😥 vitu km hivi tunamiss sn

  • @muddyhamza9606
    @muddyhamza9606 3 ปีที่แล้ว

    Umeua zaidi ya sana wewe ndio dance tz mwenye style ya tofauti Sana 🔥🔥🔥

  • @stevensamson6552
    @stevensamson6552 3 ปีที่แล้ว

    Baba kari sana. Hi sema unakaa sana kimyaa sasa mwamba

  • @aliceallen9498
    @aliceallen9498 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki

  • @ommyking9978
    @ommyking9978 3 ปีที่แล้ว

    Umeua msami bonge La Ngoma Blood🔥🔥🔥

  • @geophreylukanga7148
    @geophreylukanga7148 3 ปีที่แล้ว

    Msamii respect brother

  • @sabclassic5875
    @sabclassic5875 3 ปีที่แล้ว

    Motoooo fire

  • @erictz
    @erictz 3 ปีที่แล้ว

    KING GAB SALUTE BRO

  • @asiamuu8161
    @asiamuu8161 3 ปีที่แล้ว

    "unapiga chafya umevuta ugoro" nice sanaa much love it

  • @maikomatheo7143
    @maikomatheo7143 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiduku imeludi tena. One love king of dance❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @santorinpeter4730
    @santorinpeter4730 3 ปีที่แล้ว

    Imeludi tena sio kokoriko kuna raha sana kwenye mziki wako

  • @listerescobar8547
    @listerescobar8547 3 ปีที่แล้ว

    Sangolo imerudi tenaa Jamaa kama huna mifupa 🔥🔥🔥💯

  • @benjaminmoses8139
    @benjaminmoses8139 3 ปีที่แล้ว +1

    Nguvu Mpyaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 3 ปีที่แล้ว +1

    wimbo wa taifa

  • @zuwenaally-p8s
    @zuwenaally-p8s 3 หลายเดือนก่อน

    Tukiacha majungu msami anajua

  • @dianaklein9177
    @dianaklein9177 3 ปีที่แล้ว

    tumekumis sana msami

  • @vinotd7257
    @vinotd7257 3 ปีที่แล้ว

    mashokorageniiii 🤣🤣 kaka umetishaa

  • @Empdigitaltanzania
    @Empdigitaltanzania 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kubwa hii

  • @jabirynamkunda6398
    @jabirynamkunda6398 3 ปีที่แล้ว +18

    Gong like kam unasem msami ajawah kukuangush

  • @Typingbob-lw5ji
    @Typingbob-lw5ji 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali Sana msami anaweza saaaaanaaa

  • @mouddybest3526
    @mouddybest3526 3 ปีที่แล้ว +1

    King of dance msamii

  • @kulwachacha1337
    @kulwachacha1337 3 ปีที่แล้ว

    Ni zaidi ya good dance, good song

  • @millianochlorex3237
    @millianochlorex3237 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo mwishonii ase

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 3 ปีที่แล้ว +1

    Msamii master of dancing 💪💪💪

  • @mattanofficemusc3535
    @mattanofficemusc3535 3 ปีที่แล้ว

    Kamaulimic mastair ya msami na midundiko yake like hapa💥💥💥

  • @junohboy2657
    @junohboy2657 3 ปีที่แล้ว

    Sijawai kukupinga broo una jua sana 🔥🔥🔥

  • @danielynyanda8117
    @danielynyanda8117 3 ปีที่แล้ว +4

    Asee wew mtu ulikuwa umejifichia wapi mashabiki zako tumehangaika kukutafta Ivo dah! Anyway umenikomeshea waliokuwa wanajifanya wanajua kuimba na kudance. Tugonge likes kwa msami mpaka aseme zimetosha😅

  • @alisonbeati2726
    @alisonbeati2726 3 ปีที่แล้ว +35

    King of dance

  • @kajijames8169
    @kajijames8169 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa unakubalka sana big up

  • @sebabway9670
    @sebabway9670 3 ปีที่แล้ว +1

    Dadek kmbe na Bongo movie ndo wanafanyaga ivo wanatuenjoy tu😂😂😂
    Siangalii tn ushenzi tuu..😅

  • @venture5667
    @venture5667 3 ปีที่แล้ว

    Dats, ma boy