Msami - Mdundo (Official Music Video) SMS SKIZA 7918942 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024
  • #Msami #Mdundo #SlideDigital
    (c)Slide Digital
    Written and performed by MSAMI
    MSAMI SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
    ffm.to/msami
    Follow Msami on:
    / msamibaby
    / msamijiovan
    / msamijiovan
    / msamibaby
    Channel Administered by Slide Digital
    / slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 209

  • @mshumbusikahabuka2096
    @mshumbusikahabuka2096 7 ปีที่แล้ว +3

    Asee we jamaa unanipa mzuka wa kudance tu, hujawai kosea katika hilo

  • @davidshaban2529
    @davidshaban2529 6 ปีที่แล้ว +2

    Unafunika kinyama basi to Ila nzikubali ngoma zako mbaya

  • @marimarimu3697
    @marimarimu3697 7 ปีที่แล้ว +2

    Mdundoooo jamani mpaka rahaa

  • @ndokidully944
    @ndokidully944 7 ปีที่แล้ว +2

    umetisha brooo hiyo styel ya kushika goti hatari sana

  • @azory7271
    @azory7271 7 ปีที่แล้ว +2

    Msami tena Cnaga wacwac hta kdogo

  • @04704803
    @04704803 7 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma tamu msami sijaona kwa kweli...mizuka inapanda hatari yaan naishiwa maneno

  • @albertchuwa9055
    @albertchuwa9055 7 ปีที่แล้ว +2

    msami ana balaa.....heheheee eeeee...hatariiii

  • @husnathjuma6037
    @husnathjuma6037 7 ปีที่แล้ว +2

    penda sana mie huy kaka

  • @boniphacecyprian7718
    @boniphacecyprian7718 6 ปีที่แล้ว +3

    unajua baba

  • @nyoyaboy472
    @nyoyaboy472 6 ปีที่แล้ว +2

    upo vizuriii wee mkali wengine wanabak fan

  • @tauwfiqkhajijr.9315
    @tauwfiqkhajijr.9315 7 ปีที่แล้ว +2

    Unajuaaa mzee baba

  • @ommyiddi841
    @ommyiddi841 7 ปีที่แล้ว +2

    Ctaweza kuisahau step by step ni ngoma kali sana kakae uifikilie uliitungaje mpka ikawa kali ikatikisa nchi nzima halafu ulete kitu kingine kama kile au zaidi kile .

  • @kidukimboka7287
    @kidukimboka7287 7 ปีที่แล้ว +2

    umebalikiwa kuliko wanawake wote

  • @kallamudaily73
    @kallamudaily73 7 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma kali mwanangu dance kali pia unanikumbusha enzi zetu za spider mob, lunatics, best friends na makundi mengine ya shakers pande zetu za imasco, super min, luxury pub ilikuwa noma sana

  • @yunusifussy7289
    @yunusifussy7289 7 ปีที่แล้ว +1

    msim unanikosha hile kinyama yanini uko juu sana

  • @fadhilamgao2516
    @fadhilamgao2516 7 ปีที่แล้ว +1

    mungu hukupe huai huenderee kuiinua Tanzania love you

  • @Dpk_construction
    @Dpk_construction 7 ปีที่แล้ว +2

    Yes ili dude mzee

  • @mamahajrah4746
    @mamahajrah4746 7 ปีที่แล้ว +1

    Mi uchezaji wa msami naupenda sana anajua tumia mwili wake had raha jaman hongera zake

  • @godkalua1452
    @godkalua1452 7 ปีที่แล้ว +2

    Hukoseagi midundo yako nice song

  • @beautyhennayummyfoodmwechi6833
    @beautyhennayummyfoodmwechi6833 6 ปีที่แล้ว +4

    Kachiri mama aaaaaaaaa kachiri babaaaaaaaaaaaaa msami balaaaa ww keep up

  • @bezaspilo8449
    @bezaspilo8449 6 ปีที่แล้ว +2

    me shabikii wako number one

  • @hummblelion5075
    @hummblelion5075 7 ปีที่แล้ว +1

    jombaaaa unatisha balaaaaaaaaaaaaaaaaaaa the best dancer ata moses yoboo amna kitu pale

  • @paulooabraham544
    @paulooabraham544 7 ปีที่แล้ว +11

    Msami ww hauna mpinzani kwako nomeinua 🙌🙌 salut mwanangu naomba ukaze2 nipo pamoja na ww

  • @luckmc7885
    @luckmc7885 6 ปีที่แล้ว +2

    Yaa babay

  • @edithemma7354
    @edithemma7354 6 ปีที่แล้ว +2

    umetisha sanaaaaaaaaaaaaaaa

  • @maxmilianmariceli6708
    @maxmilianmariceli6708 7 ปีที่แล้ว +24

    Kali kinoma jamaa kazi nzuri

  • @skytv2421
    @skytv2421 7 ปีที่แล้ว +44

    Hujawai kutuangushaa broo like here kama unamkubali msamii

  • @brandydavid8578
    @brandydavid8578 7 ปีที่แล้ว +1

    umetisha msami mm ni fan wako sana nyimbo zako zote ni kali umetisha

  • @cloviseustashe9284
    @cloviseustashe9284 7 ปีที่แล้ว +5

    dahhhh sio kwa ngoma hiii kaliiiiii kinouma brooooooo..........

  • @lazarokakuru9203
    @lazarokakuru9203 7 ปีที่แล้ว +6

    Msami sio wa mchezo mchezo duuuuh!! Ngoma shidaaah big up bro ngoma kal xn kam kawida yak hatr hatr

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 7 ปีที่แล้ว +1

    Huku siko kuimba bali kukomoana. First time nakuona kwenye EATV jana babu umenivuruga sana. Wewe sio mtu mzuri kabisa. Kuna zawadi nakuandalia ili kukuza muziki wako. Tulia hivyohivyo!

  • @jacksonninja4380
    @jacksonninja4380 7 ปีที่แล้ว +1

    💪💪💪bonge l ngoma nmepnd mnavo chez😎😎😎

  • @joharichonanga8422
    @joharichonanga8422 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwaaaaaaaaa. Nakupenda mpaka naumwa. Kazana msami

  • @jameslucas5144
    @jameslucas5144 7 ปีที่แล้ว +6

    kk @msami hiii ngo
    a mpaka lahaaa na inaeleweka umefanya kufuluuuu mzeeeee

  • @antoniodomingo7921
    @antoniodomingo7921 6 ปีที่แล้ว +1

    we mkali sana nakupenda bure .hilo jithoo hatareee😍😍😍

  • @idreamfoto
    @idreamfoto 7 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye sekta hizi Msami Aisee nakupa heko ✊🏽

  • @richbrain5672
    @richbrain5672 7 ปีที่แล้ว

    nakubali mwamba wangu hakuna wakufikia mziki wako nice good music my brothe

  • @desekepi
    @desekepi 7 ปีที่แล้ว +47

    Kama unajua aby dad ni mkali kwa huo mdundo weka like hapaa

    • @sammabula7359
      @sammabula7359 6 ปีที่แล้ว

      Peter Senyota Desekepi hii Ngoma imenifanya nimtafute anipigie afropop moja kali

  • @officialchuma3505
    @officialchuma3505 7 ปีที่แล้ว

    Hujaniangusha mtu wangu ipo good sana

  • @mariahishka6596
    @mariahishka6596 7 ปีที่แล้ว +33

    The dance killing me!!

  • @georgepatrick7249
    @georgepatrick7249 7 ปีที่แล้ว +1

    Ebhanaaaaaa Jamaaaa Ni Shidaaaaa More than Fire MsamiBaby So Nice Song brother BIG Up Blood yang

  • @abdallahkilima2517
    @abdallahkilima2517 7 ปีที่แล้ว +5

    ngoma Kali sanaaaaaa safi sana msami

  • @francessimime3208
    @francessimime3208 7 ปีที่แล้ว

    abydadi kwa biti yuko vzr m xn msami ni sheedah kwa hii kazi

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana msamiii

  • @hadendon9680
    @hadendon9680 7 ปีที่แล้ว

    Na imagine hii ngoma 🔥 wakitupia kwenyewe vigodoro , hizo viuno feni utazozipokea yani itakuwa balaa

  • @mussamsafiri2903
    @mussamsafiri2903 7 ปีที่แล้ว

    unatisha saaaaana msami wapekereke bro

  • @oscargeorge4134
    @oscargeorge4134 7 ปีที่แล้ว +3

    Msanii pekee ninaeweza kulipa kiingilio halafu nisijutie

  • @rahimrifaiiyabdullah1530
    @rahimrifaiiyabdullah1530 7 ปีที่แล้ว

    Msami unatisha kaka hasa kwa unvyocheza

  • @grolymwigune3003
    @grolymwigune3003 7 ปีที่แล้ว

    msami siyo powa umemteka mwanangu aiseee na hiiiii

  • @harunahussein6717
    @harunahussein6717 7 ปีที่แล้ว

    Mamaaaaae msami umeua dance zako zinajieleza...

  • @theodatatunde8232
    @theodatatunde8232 7 ปีที่แล้ว

    Ni nomaaaaa nimependa sana nyimbo ya mdundo

  • @oscarmwambonja628
    @oscarmwambonja628 7 ปีที่แล้ว

    we Msami Baby noma, unajua kucheza, kuimba, sichoki kutizama Video zako @Msami

  • @wemasanga4960
    @wemasanga4960 7 ปีที่แล้ว

    mhhh nobody lyk msami...nakkubal t infnty love yooo msam baby!!!!!

  • @Jordan_g9
    @Jordan_g9 7 ปีที่แล้ว +1

    kunakadens kakikehapo kananiacha hoi,hako kalikofunga kanga jamaniiiiiiiiii

  • @abrielamichael786
    @abrielamichael786 6 ปีที่แล้ว +1

    lv uuu msamii nakukubal sana bro

  • @felixsostenes2409
    @felixsostenes2409 5 ปีที่แล้ว

    Aseeeeee ww t🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mpaka checheeee

  • @twitterbest8277
    @twitterbest8277 7 ปีที่แล้ว

    aaah we inatakiwa tukwitwe #msami mkali style

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 7 ปีที่แล้ว

    Kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @Samo_love
    @Samo_love 7 ปีที่แล้ว +1

    Loh fundi wangu hatareeee

  • @mwanzamwanza8753
    @mwanzamwanza8753 6 ปีที่แล้ว +1

    watapta tabu sana

  • @mwanamzungu9052
    @mwanamzungu9052 7 ปีที่แล้ว +1

    Goma limetulia😍😍😍😍😍

  • @akwilinomwanyeho8079
    @akwilinomwanyeho8079 6 ปีที่แล้ว +1

    naikubari Sana hii ngoma

  • @ricksonelias444
    @ricksonelias444 7 ปีที่แล้ว +13

    🔥🔥🔥🔥 nakukubaliii mzeee baba watakusainiii 2 fiesta kwa ulivyooo liamshaaa dudee

  • @mtaithajeremy7893
    @mtaithajeremy7893 7 ปีที่แล้ว +21

    wap like kw msami

  • @natashamoyo7951
    @natashamoyo7951 7 ปีที่แล้ว

    Keep it up misami u are the supper Star of Africa thumbs up hey

  • @swalihinatv2031
    @swalihinatv2031 7 ปีที่แล้ว +1

    Nakupendaga msami

  • @ibrahimomarmussa4137
    @ibrahimomarmussa4137 7 ปีที่แล้ว +1

    Daaa Msami umetisha japo nipo Morogoro Lakini cjui kiswahili ila Mdundo ni ngoma kali madansa wakali Tishaaaaaa sana
    #VIEWS_1M_One_Week

  • @blessingdeblessious2501
    @blessingdeblessious2501 7 ปีที่แล้ว

    kaka msami hii ngoma hauja itendea haki kwa upande wa video hasa location

  • @ommythegreatblog7040
    @ommythegreatblog7040 7 ปีที่แล้ว

    Msami baby...we mkali wa dance sikuzoteee

  • @Togolay
    @Togolay 7 ปีที่แล้ว

    sheeeedah! mdundo nomaa

  • @moshisuleimanilulengelule6408
    @moshisuleimanilulengelule6408 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri dance juu kama unapenda dance gonga like

  • @paschaltungaraza4766
    @paschaltungaraza4766 7 ปีที่แล้ว +5

    Ngoma imetulia iko poa xna

  • @awadhseleman696
    @awadhseleman696 7 ปีที่แล้ว

    ipo safi sana

  • @nirahb7298
    @nirahb7298 7 ปีที่แล้ว +7

    Daaah we jamaa ni 🔥🔥

  • @jayelias1654
    @jayelias1654 7 ปีที่แล้ว +1

    #duuh__msami
    Bby nouma

  • @reginaobasco7933
    @reginaobasco7933 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥 mdundo uwoo🎶

  • @denisstephano
    @denisstephano 7 ปีที่แล้ว

    Msami ujawah niangushaga
    Hii song n balaa

  • @gastocelestine7843
    @gastocelestine7843 7 ปีที่แล้ว +1

    hilo dance ni hatari.. ila kama umepooza kidogo humu.. ila bonge la ngoma

  • @avirlkagisa5073
    @avirlkagisa5073 7 ปีที่แล้ว

    Nakuelewagaaa weye mukaka

  • @sultanisra6031
    @sultanisra6031 7 ปีที่แล้ว

    aicee your the best mtu wang, yan ni firee hakunaa

  • @esthersecelela7257
    @esthersecelela7257 7 ปีที่แล้ว

    ila msami nakupendaga ❤❤🔥🔥

  • @esterkarine5780
    @esterkarine5780 6 ปีที่แล้ว +1

    msami baby🙌🙌

  • @sherylcarlos2580
    @sherylcarlos2580 6 ปีที่แล้ว

    Msami napenda swagger zako Aseee

  • @shabanikitemba3358
    @shabanikitemba3358 7 ปีที่แล้ว

    Makofi kwako msami

  • @dottolothy6838
    @dottolothy6838 7 ปีที่แล้ว +2

    olways on point @msamibaby

  • @preciousmohmed2349
    @preciousmohmed2349 7 ปีที่แล้ว

    Jmn msami fundi had kero sasa sema cyo swala wala nn

  • @anointed7145
    @anointed7145 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda... Jmny

  • @agneslwila9478
    @agneslwila9478 5 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa san msami

  • @nadhifajuma6485
    @nadhifajuma6485 5 ปีที่แล้ว

    Naqubali sana msami

  • @emmanuelkilema5901
    @emmanuelkilema5901 7 ปีที่แล้ว +1

    makini san

  • @hizzoweyz
    @hizzoweyz 7 ปีที่แล้ว +1

    nomaaaaa

  • @deetygar7361
    @deetygar7361 3 ปีที่แล้ว

    Msami hapewi heshima anayostahili

  • @RamadhaniShemahonge
    @RamadhaniShemahonge 7 ปีที่แล้ว

    Hiii beat ni fireeeeeee 😜

  • @huznimsaleh5006
    @huznimsaleh5006 5 หลายเดือนก่อน

    Hiz myimbo za maamuz wakat uwo nipo naanza chuo,😅😅😅nna mbaba anaeka kwenye gari yakeeee😂😂 nyieeee tumekuaaaaaa

  • @wemabrighton9576
    @wemabrighton9576 7 ปีที่แล้ว

    Kama unampenda msam kam mm gong like

  • @nadhifamohamed
    @nadhifamohamed 2 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri

  • @salimahamis738
    @salimahamis738 3 ปีที่แล้ว

    Nimekubari msami

  • @isaacleonardy9825
    @isaacleonardy9825 7 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa kinauma

  • @samkipeto9438
    @samkipeto9438 7 ปีที่แล้ว +3

    King 👑 of dance Tz

  • @hekimanzunda5892
    @hekimanzunda5892 7 ปีที่แล้ว

    tisha sana mkali