@benignajosephwatendewao2065 unanichekesha kijana Hakika dini ya haki mbel ya Mwenyez Mungu ni Uislamu tu bc izo zingin ni mbwebw tu Allah alituma mitume wake 25 kila mtume alitumwa kwa kaumu yake yan watu wake ila mtume wa mwisho mtume Muhammad s.a.w alitumwa kwa watu wote duniani ndie inatakiwa kuumfat mtume Muhammad na Qur'an mpak cku ya Qiyamaa afu ujue Qur'an ndio imekuja kufuta vyitab vyote vya zamani imefuta taulati zabuli na injili
Yani wewe kuiona mbingi itakuwa ngumu mtu ajihesabiae haki na kujiona yeye ni Bora kuliko wezake atalaaniwa ni vyema kuheshini dini ya watu wewe Baki na uislamic wako na yeye aishi na ukristo wake mbinguni wanapokelewa wale wenye matendo mema na wew ndiye uliye potoka
Hapo pia ALIPO pia panamtosha Wacheni kunenepa Watu vibaya alipokuwa palikuwa pabaya now Tumuombee mungu 🙏 Hakuna zito Kwa Mola
🎉🎉
Bado ajaokok anatakiwa aingie kweny dini ya haki dini ya Uislamu ndio atasamehew
Ukubali ukatae YESU KRISTO NDIYO NJIA YA KWENDA MBINGUNI.
@benignajosephwatendewao2065 unanichekesha kijana Hakika dini ya haki mbel ya Mwenyez Mungu ni Uislamu tu bc izo zingin ni mbwebw tu Allah alituma mitume wake 25 kila mtume alitumwa kwa kaumu yake yan watu wake ila mtume wa mwisho mtume Muhammad s.a.w alitumwa kwa watu wote duniani ndie inatakiwa kuumfat mtume Muhammad na Qur'an mpak cku ya Qiyamaa afu ujue Qur'an ndio imekuja kufuta vyitab vyote vya zamani imefuta taulati zabuli na injili
Yani wewe kuiona mbingi itakuwa ngumu mtu ajihesabiae haki na kujiona yeye ni Bora kuliko wezake atalaaniwa ni vyema kuheshini dini ya watu wewe Baki na uislamic wako na yeye aishi na ukristo wake mbinguni wanapokelewa wale wenye matendo mema na wew ndiye uliye potoka
Dini yake ni ya Kikiristo Baba yake na mama yake ni Wakristo na ali lala tumbo la mwanamke wa Kikiristo na atabakia kwa Dini ya Kikiristo