Hiyo verse tayari mh wazuri alishaiandika na kuikariri kabisa na ndio maana akaweza kuifannyia hardlips yaani kiukazia Yale maneno ya mwishoni mwa beti Yani vina so all in all ametisha mno
Ndo uzuri wa kiongozi kuwepo kwenye tasinia inayomuhusu.sasa sisi wa utalii tunapewa kiongozi asiyejua mambo ya utalii kabisa, unadhani tutasonga hapo ? ??
Aisee huyu jamaa ni very talented, Mungu akupe maisha marefu yenye baraka mafanikio na amani tele
FA hata ukishindwa kuendesha wizara ujue kwangu huna deni!!! Ulishamaliza kila kitu kwangu.... salute hon
hii ndo maana halisi ya kuwa kiongozi yaani unaongoza watu wa kitu unachokifanyaaa...💪🏽🙌🏾
yaan hapa n reality kama tutaenda kwa mfumo huu tutafika mbali akistaafu aingie mwingine na sii mpiga debe homngera sana mama yetu S S H.
@Legyn Sinodya
yes
Safi mwamba Asante mama Samia kwa uyu mtu amefti sn apo,
Yaan wengne ungeskia siwez kuimba nishakua wazir. Mungu akubarik na akuongoze kwa nafas yako
Allah akuhifadhi na Akupe Umri tawila kwa kweli kupata kiongozi Km huyu ni nadhra
Mwalim ataka verc mbili ambiwa Moja tosha Asante mama Samia hapa tunasema kipele kimepata mkunaj
Very humble soul indeed
BINAMU KAMA BINAMU Hapo umefanya poa sana Hongera sana Naibu Waziri
Daaah nimependa sana hii. The love of hip hop @mwanafa
Man..the legend is awesome 🔥🔥
Falasafaaa nakukubar mweshimiwa nakubali ule mstari wako wa, iposiku utaniheshimu au utaheshimu pesa zangu. nakubali Sana naona unaishi kile unachokiandika nakubali
Namuona ticha wangu Kaozya mzee wa mipango yuko poa sana hii imekaa vizuri sana.
Mungu akisema "NDIYO!" ... Hongera sana Mwana F.A.
Duuuuh kaupiga mwingi sana 🙌🇶🇦,raisi kapatia sana FA kumueka kwenye hiki kitengo kapatia sana mashaallah.
Legendary, FA nakukubali sana brother 💪
Naomben namimi like jaman kwa mh
Na ww usiwe mchoyo wa like nimekupa hyo
Nani kagumdua F.A kazimikia beat🔥🔥✊🏾❤️
Mikono ilikuw haitulii yaan 😎
Mungu akupe umri mrefu na azidi kukuangazi nimekumbuka mbali saaan
Unaweza na unaweza tena,Mungu akufishe mbali zaidi ya ndoto zako
Such a humble soul
Safi sanaaa mhe.
One beat no repetition
Ninge pendelea zaidi Steve Nyerere pia aweke angalao mstari ata mmoja ..
Hongera sana mh naibu waziri, hii nimeienda
Unyama kama wote. Salute Waziri katika wizara yake
This How I Love Hiphop...!!
Nilivhosikia beat tuu kwanza mimi mwenyewe nikajihisi kuchana hapa kitandani na nikajua tuu hii muheshimiwa ataua hii❤
Ahahahaa
Muheshimiwa wewe ni hatareee 👏🏻👏🏻👏🏻🔥🔥🔥🔥
Dah hii kitu nimeipenda sana bado nafikili alikiwa na verse tayari au kachora hapo hapo ila huyo ndo waziri tulokuwa tunamuhitaji safi sana mh
Mhe Naibu Waziri upo vzr sanaaa
Nakukubali sana mh mwana fa heshima kwako ❤
Safi sana mheshimiwa unahamasisha vizuri hakika Sanaa itakua
sema karecod under pressure angetulia ipo chini ya kiwango, big up mwanafalsafa
We nae!
Yani hiyo kazi ni ngumu sana kurecord kwa style iyo alafu watu kibao!!
Acha roho mbaya
Wivu wivu unachelewesha sana maendeleo achana nao utakupotezea wakati
@@geeva99 hawajui kazi ya record inavyohitaj utulivu wa hali ya juu
Nimekubalii kazii mwana fa nii Zaid ya mwambaa
Utakuja Kutoa verse kwa kila Mtu... Iko poa Sana 👏
I just love Mwanafalsafa❤❤❤ I support you brother all the way and forward...Natamani uwe Mr.President someday and soon...
Nimewaza pia itakuwa sikumoja shoga yangu niliwazab hivyo pia kwa magufuli na Mungu akajaalia.One day atakuwa I hope so
Hii wizara ni ya yako kabisa ....excellent
Nice wazr na wizara yke
Mtu wa sanaa yupo kwenye sector ya sanaa...RIGHT SELECTION
Narudia tena na Leo ...this is the KING of HIP HOP
Yeah Man, hii ndiyo maana halisi ya kuwa Kiongozi wa unachokifanya pia, siyo Dr.unampeleka kuwa Eng.!!
Kopele kimepata mkunaji. Kwa hakika ingependeza kila wizara ama taasi yoyote wawe wanateuliwa viongozi wenye taaluma ya kitengo husika.
Nomaaaaaaah sana mh FA
Mama mpige chini wazir kipara na big stars nchi itaenda vzr
Unyama mwingi sana Mheshimiwa Waziri
Hii ndio maana ya naibu waziri Sanaa kujua kitu anachokifanya 👍👍👍👍👍👍👍👍
Safi sana mwamba hujawahi kutuangusha
Da! Nmependa Sana hii
Hongera sana kwake.
Aiseeeee hii nimeipenda sana
Down to earth 🙌🙌
Congratulations 🎉🎉🎉🎉
🎉mtu atari sana
Hicho ndo maana halisi ya Kiongozi ,huwezi kuongoza kitu hujui ,hapo wizara Ina mtu
Hongera saan mwan FA
Safi sanaaaa big up
Nakubali unavyochana mkuu.🙏
Mhe.
Uko vzr.
Kazi vya vitendo
Mwana fa,mtu wangu wa nguvu sana
Nimeipenda hii
hii ni live kweri Raisi hapa umepatia kwa huyu waziri wa tamadun na sana
Alaf hii beat umekaa kimwana FA kabisa hii
Yaan kama ungeendelea hivi safi kabisa👍👍👍👍❤❤❤
Good Job naibu waziri
Barikiwa sana Kaka...
Wow nice mhesh good work bro
Always genius never fail
Namuelewa sana huyu Mwinjuma 😂😂
Safiii hiii ndio maana halisi ya uhalisiii
Mama s akupe wizara tu hyooo
Wow MashaAllah
Alfu halingi wala nini❤
Excellent
Kwa nnavomjuwa mama akija kubadili tena mawaziri bc huyu mwamba atampandisha kuwa wazir kamili wa hii wizara
Mara paaaa ikulu 🎉
Nakubari Kiongozi wewe ni hihop kwa kuzaliwa ndomaana unafit kweli kweli
Uko vizuri sana mweshimiwa😅
Well done
This is real hip hop😊😊
Mwamba Kaitungia hapo hapo kama Jayz. Freestyler🎉
Hiyo verse tayari mh wazuri alishaiandika na kuikariri kabisa na ndio maana akaweza kuifannyia hardlips yaani kiukazia Yale maneno ya mwishoni mwa beti Yani vina so all in all ametisha mno
I'm coming😋
Ndo uzuri wa kiongozi kuwepo kwenye tasinia inayomuhusu.sasa sisi wa utalii tunapewa kiongozi asiyejua mambo ya utalii kabisa, unadhani tutasonga hapo ? ??
Nomaaa sana Kiongozi
Hii ndo saana na watu wake
Legendary
Mama aliona mbali sana kuteua huyu naibu waziri
That's what's up men, ndo maana akaitwa mwana falasafa
Mm naliangaliaa hlo linampamizuka nabaki na cheka tu,,
Kiongozi anaongeza anachokifanya mafanikio kwa sanaa🎉
Bravo Bravo Mh Wazir.
Mama hapa wizara hii umeitendea haki
Safii snaa
Kiukweli mama ulifanya uteuzi mubashara sijui uliwazaje.
Waziri , president 2B
Oyooooooo like zangu hapa
Hatari boss mwijuma Fa
Yupo mahari pake
Ndio... Waziri anaejua uhalisia
Respect FA
moja ya teuzi zinazoongozwa na mtu anaejua anaesimamia nini