JE!! UBATIZO NI ONDOLEO LA DHAMBI?? TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 77

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 4 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa amani shee imani petro kazi kubwa uliyoifanya allah anaiona

  • @mariamrkabura5414
    @mariamrkabura5414 9 ปีที่แล้ว +1

    big up Christians. Mungu atawalipa kwakazi nzuri muifanyao yakuhubiri Injili

  • @saeedsalim4409
    @saeedsalim4409 10 ปีที่แล้ว +3

    Allah awape kheri na baraka kwa kazi yenu InshaAllah..

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  10 ปีที่แล้ว +2

      Saeed Salim amina

    • @jamesgasper7255
      @jamesgasper7255 8 ปีที่แล้ว

      sasa kigumu kipi apo? watumishi mumesha eleweka kilicho baki ni roho mtakatifu kuchukua walio kusudiwa kazi yenu sio bure hampo peke yenu kazeni buti

  • @hassanyusuf7572
    @hassanyusuf7572 9 ปีที่แล้ว +7

    I'm somali from USA good job bro in islam

    • @iddmnyamwezi1698
      @iddmnyamwezi1698 5 ปีที่แล้ว

      Mbn humetoka nje ya mada hawa makafiri vp

  • @r.kassimtoutautre3432
    @r.kassimtoutautre3432 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice job 🇧🇮Who lives 🇹🇷

  • @zuberykahomi414
    @zuberykahomi414 9 ปีที่แล้ว +3

    Jazzakallah Kheir

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 7 ปีที่แล้ว +8

    Allah awalipe kila la heri mashekhe hapa duniani na akhera pia...Amiin

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaa rabbi mpe makaazi mema shekh imani petro, innalilahi lilah waina illaih rajiun

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 ปีที่แล้ว

    Kweli bibilia. Nisawa kama mkologo haina limit hapa ivi pale hivi ufuate lipi ? Yesu msixini paulo msinyimane duu

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakiristo wana midhambi balaa 😀😀😀

  • @kanyindakumwembe475
    @kanyindakumwembe475 9 ปีที่แล้ว +3

    kueleweshana ni matokeo ya majibu mazuri miongoni mwenu,Allah awabariki kwa kila mnachokifanya kwa ajili ya dini

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 7 ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH mashekh wetu

  • @hamza89945
    @hamza89945 4 ปีที่แล้ว +2

    Wakiristo hawana akili. Maandiko yako wazi hawaelewi. Hata mtoto wa nursery aweza kuelewa na akaacha ukiristo. Kutiana kwenye maji ni mpango gani jamaa🤣🤣🤣

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 6 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 6 ปีที่แล้ว +5

    yaani ukristo ni ushabiki mtupu,maskini hata wachungaji wakubwa kama akina mtikila wanababaika tu ,kama ubatizo was yesu ni wa neno na moto je huo wa maji mmeutoa wapi?

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 ปีที่แล้ว

    I.R.P Mtikila hongera sn umenena vyema

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 8 ปีที่แล้ว +5

    yaan hawa wakristo hawajui wachokifany maskin allah atawaongoza mutaijua hak inshaaallah

    • @mohammedmkomi9087
      @mohammedmkomi9087 7 ปีที่แล้ว

      wambie makafiri hao wakristo

    • @nathanielymkuki2695
      @nathanielymkuki2695 6 ปีที่แล้ว

      Ubatizo ni ondoleo la dhambi Mark.1:4-6

    • @tumainimayengela9637
      @tumainimayengela9637 6 ปีที่แล้ว

      nikuulize rafiki,unaijua maana ya kafiri kiusahihi? au umekiremishwaa huko madrasa?

    • @tumainimayengela9637
      @tumainimayengela9637 6 ปีที่แล้ว

      Biblia inasema,aaminiye na kubatizwa ataokoa,bali asiye amini na kubatizwa hataokoka.kubali kubatizwa ili uokolewe na usiufanye moyo wako kuwa mgumu.

    • @rilkabuya6519
      @rilkabuya6519 4 ปีที่แล้ว

      Inshallah mungu atawaonyesha njia ya haki

  • @bundatelcom2734
    @bundatelcom2734 4 ปีที่แล้ว

    Aisee. Nimewasikiliza vizuri, najifunza lakini sikuelewa- nilicho amini ni kuwa kuna yesu wawili' aliye batiza na ambae ajabatiza. Tumfate yesu gani?

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว

    kumbe maandiko wanayaelewa lakini wanapuuzia tu,wakitoka hapo wanatumbukizana kwenye mito,lakini kawaida yao,hakuna mkristo anaefyata maneno ya yesu hata mmoja,imani ya kirumi imewatawala

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbr

  • @mgubulilefamily531
    @mgubulilefamily531 8 ปีที่แล้ว +1

    sasa mtikila baada uchambue mada ya ubatizaji unaongea mambo ya siasa tena

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว

    4wakristo wamepoteya kila anayekuja anawadanganya njomana MUTUME muhamadi S.A.W katumwa kufikisha haki nakweliyakilakitu TUKIONACODUNIYANI NATUKISIKIYACO KIKITENDEKA AKHEIRA

  • @jackisonjackson633
    @jackisonjackson633 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwer dini ni uislamu hakuna dini ila uislam

  • @abbasbankuu3067
    @abbasbankuu3067 4 ปีที่แล้ว

    Nani kampatiza yohana

  • @انلت-ي9ب
    @انلت-ي9ب 8 ปีที่แล้ว +1

    hawa..ni .wapinga.yesu. kabisa...wachaneni.nawao.WAKO hivo..na.maneno.mengi.sana..midomuni..ukiona..watu.wako.kiyume na mungu. .siwengine....muslam

  • @cleophacekalilo2729
    @cleophacekalilo2729 4 ปีที่แล้ว

    Ubatizo unaondoa dhambi ambazo ulishatenda kabla ya kubatizwa lakini ukishabatizwa na ukifanya dhati ni razimu utubu na kuungama dhambi zako
    Ubatizo siyo kwamba unatoa dhambi zako ambazo unatenda ukishabatizwa !

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว

      haya tupee andiko linalosema ubatizo unaondoa dhambi ulizofanya kabla ubatizwe,maneno hayo hayapo kwenye bibilia

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว

      Mh...!..hii Ndio naiskia kutoka kinywani mwako,’ labda tutolee na ANDIKO...!

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 6 ปีที่แล้ว

    Imani Petro wesimwali kabsa hatamaandiko wabaatisha

    • @salehesengiyanka5397
      @salehesengiyanka5397 4 ปีที่แล้ว

      Ww ndo mpumbavu kabisa kama humuelew iman petro

    • @davisrotich116
      @davisrotich116 4 ปีที่แล้ว

      @@salehesengiyanka5397 Kuna swali ushawai muona akitoa jawabu sahihi anapo ulizwa

    • @salehesengiyanka5397
      @salehesengiyanka5397 4 ปีที่แล้ว

      Yan mpka apo ulipofikia hata humuelewi kabisa au anatumia mafumbo, tatizo lenu mnashabikia ukristo bila hoja za msingi, yan nyie mnafanya kama simba na yanga. Kaka kuwa muelewa afu ukristo n kuwafundisha watu ngono, sasa kama mnacheza disko kanisan hiyo c ngono kabisa yaan n full vimini na kushikana shikana. Kaka tusifanye ushabik kaa ufikirie na uone dini ya kwel n ip. Asante

  • @abdallahissa2617
    @abdallahissa2617 4 ปีที่แล้ว

    Maswal ya waislaam huwa hayajibik sasa huyo bwana kachemka ata mjinga kajua kama kachemka je wap andiko linasema watoto wanabatizwa il kuw kama yesu?

  • @nestorycosmas5717
    @nestorycosmas5717 6 ปีที่แล้ว

    Kama vitu hamvijui muulize kwanza.

    • @nestorycosmas5717
      @nestorycosmas5717 6 ปีที่แล้ว

      Mnafahamu chimbuko la dhambi ya asili ninyi?

  • @rajabukassim9891
    @rajabukassim9891 6 ปีที่แล้ว

    Kama ubatizo niondokenayo la dhambi watoto unaowabatiza wametenda dhambigani? Jibu halijatoka wakrsto mnababaisha

  • @peterngeri6661
    @peterngeri6661 9 ปีที่แล้ว

    Ni kwanini waadhiri wa kiislamu wanaleta mzaha kwa neno la mungu amekazania na kashajibiwa ubishi wanini kuna mengi twajifunza hapa lakini kwama utarudia maswali nikama hufahamu watoto watakiwa wajifunze kupitia vitabu vitakatifu wakristo kwa hakika munajaribu hawa wezetu hawataki wengine waelewa ubatizo hutaka kuvurunga na yote unayo ya chukulia dhihaka siku ya hukumu utaulizwa

  • @oswaldpancras8353
    @oswaldpancras8353 4 ปีที่แล้ว

    Ukiamini na kubatizwa utaokaka....(UKIAMINI) YESU Mwenyewe alibatizwa na Yohana, Je hii inamtoa Bwana Yesu ktk utukufu? BIBLIA sio kitabu Cha story...naona mnakisoma Kama Hadith.....Ukafir ni kutoamiini ktk Yesu Kristo, ubatizo ni tiketi inayokupa kibali Cha kuhesabika mwana was Mungu na ukitubu na kukiri kupitia ubatizo na kutorudia dhambi utaokolewa ....

  • @tumainimayengela9637
    @tumainimayengela9637 6 ปีที่แล้ว +1

    mukamate sana elimu usiiache iende zake kwa kuwa yeye ndiye uzima wako mithali 14:3.waislamu ninyi ni ndugu zetu hivyo tunawapendeni sana.ukristo ndo dini sahihi ya kukuwewezesha wewe na mimi kuweza kuurithi uzima wa milele,hayo ni maneno ya Bwana wetu yesu kirsto.ninyi waislamu muna muzigo mzito na ndo maana yesu anawaiteni kwa kusema;Njooni kwangu ninyi nyote musumbukao na wenye kulemewa na mizigo mizito nami nitawapumzisha.

  • @eunidasmoraa5111
    @eunidasmoraa5111 9 ปีที่แล้ว

    surely,,,why a you renailing our saviour Jesus??Anyway,say as you can but the denominator is,being is away of dying with Christ & ressurec with Him period,,,remember Jesus was crusfyed because of our sin i.e. you & me & now you are denying Him publicly without fearing anything?may you be forgiven brother through the blood of Jesus Christ.
    If you want to approve urself wrong;our Jesus die and finally ressurected & now He is sitting with His father God.what about Mohammed??he die & die & die & die he is powerless,,,
    image you fast in order to remember a certain king's son who was called Ramadhan!!,may God open your ears & eyes for you to know the truth

    • @kayakqatar8170
      @kayakqatar8170 7 ปีที่แล้ว

      Eunidas Moraa Thunderhead

    • @winnieopondo3001
      @winnieopondo3001 6 ปีที่แล้ว

      me hushindwa na waislam watabishana mpaka lini

    • @ernestmboya9771
      @ernestmboya9771 6 ปีที่แล้ว

      Indeed Islam is the true religion of God..

    • @ernestmboya9771
      @ernestmboya9771 6 ปีที่แล้ว

      @@winnieopondo3001 according to you ni kelele, lakini kwa wenye kuelewa Islam is the only religion..

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 ปีที่แล้ว

      Imani nikufwatwa matendo ya yeso sio maji