HABIB MAZINGE | OMAR SHAFFI | MAJINI NI DINI GANI | DEBATE YA SUMBAWANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 85

  • @nasraalobaidani3194
    @nasraalobaidani3194 6 ปีที่แล้ว +1

    AlhamduliLLAH kuzaliw katk uislam ukrsto niukafir na nibiashar tu na sku yamwish ndp wkrist watajut InnaliLLAH

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว +2

    kwaio ukristo umebebwa na shetani,yani mashetani yemajaa kwenye bibilia
    1: Yuda kaingiwa na shetani- wakristo wanamsifia
    2: yesu kamuita petro shetani ondoka- wakristo wanamsifia petro
    3: kiti cha enzi cha shetani kipo kanisani-wakristo wanaisifia kanisa
    4: yesu kabebwa na shetani mara 3
    5: mashetani wachafu wanamuita yesu mwana wa mungu,wakristo wanasifia mashetani wachafu
    yani sjui mashetani wachafu wako na nafasi kubwa kwa wakristo,alafu hapo hapo wanawafukuza kanisani..toka toka

    • @jantrixwakirori39
      @jantrixwakirori39 2 ปีที่แล้ว

      Nakubaliana na haya kuwa ukristo ni ushetani mkubwa juu unabii wanaongea na spirits kuwa ni yesu kwa kusikia sauti na vilevile unateswa na sheitani na we unaongea na yesu kwani hawezi kukuondolea ama akuambie uyo a naye kutesa ni Nani na yeye anayekupea unabii kwa kunena direct ni Nani.

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 ปีที่แล้ว +1

    najivunia kua mwislamu

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 6 ปีที่แล้ว +1

    wakristo sijui wananini hadi wanakuwa hawaelewi ama kweli MUNGU amefanya haki kuumba moto kwa watu wabaya

  • @chrispinimpepo7447
    @chrispinimpepo7447 6 ปีที่แล้ว

    waisilam na majini ni nomaaaaa

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว

      Hivumi unajua kuna majin waislam na majin wakristoo au avmchaaa kujib kitu usokijuwa utachomwaaaa pumbaaaaaaaa

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 7 ปีที่แล้ว +2

    Afu majini yao yote yanamajina ya muislam oonh jini maimuna jini

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 6 ปีที่แล้ว

      Rosemary Benjamin hujatumia vizuri akili, MAJINI ya nchi za ulaya na uchina yataitwa JINA GANI

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว +1

      Sasa nn cha ajabu hapoo yaan ndo ujuwe kuwa hata majin wanajua wazi kuwa uislam ni din ya hakiiii.badilikaaa kabla haujachomaaaaa

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว

    ina maana majini wachafu na wakristo ni kitu kimoja,sasa jiuluze majini wachafu wanaenda motoni na wakristo motoni maana imani yao moja

  • @farhaaabdallah2783
    @farhaaabdallah2783 6 ปีที่แล้ว

    bwana Yesu nakupenda

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 ปีที่แล้ว

    Kumbe Simba ulanga alikua mpotoshaji tu hakua anajua chochote na wakristo wengi sio wasikilizaji wazuri, wengi ni kupiga vigele gele na makofi tu .

  • @makanikiamsanga906
    @makanikiamsanga906 7 ปีที่แล้ว

    SIO HAKI KUMTOA MTU AU JINI KWENYE NYUMBA YAKE, UKIONA JINI ANATOLEWA KWA MTU UJUE SIO KWAKE.

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 7 ปีที่แล้ว

    Na mnaambiwa muislam bila raisims(yan ubaguzi)huyo cio muislam ,,ndomn wanajion ulimwengu ni wao tu ciwengen ni makafili😂😂huyo Mungu wenu simuelewg..by the way Mungu wetu sisi ni waupendo Kwa viumbe vyake vyote mwenye kuviumb na kuvitakatifuza 😍😍Amin a halelluj

    • @katohjasho244
      @katohjasho244 6 ปีที่แล้ว

      Rosemary Benjamin shida yako husomi bibilia unasomewa ni pastor

    • @rosemarybenjamin4333
      @rosemarybenjamin4333 6 ปีที่แล้ว

      Katoya Jasho pole

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว

      Pole saana utachomwaaaa naakili zako fupi kama shilingi ya tz

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว

      Funguka ewe mwanaadam Allah azabu zake huziwezi wewee jiepushe mapema na azab zakee

  • @sumalago864
    @sumalago864 7 ปีที่แล้ว

    walimu wa kikristo hawaeleweki---hawafundishi zaidi ya kutoa mafundisho kutoka vinywani mwao na si maandiko..!!...

  • @aminilendi5560
    @aminilendi5560 6 ปีที่แล้ว

    SIJONA HATA SIKU MOJA WAISLAM WANTOWA MAJINI MSIKITINI ILA WAKRISTO MAKANISANI KILA SIKU WANATOWA MAJINI KWAHIYO MAJI NI YA WAKIRISTO MSITKE KUJIBARAGUSHA

    • @lucybenjamini4925
      @lucybenjamini4925 6 ปีที่แล้ว

      mnayakana leo ndugu zenu hao ambao muhamed aliyasilimishaa af mnasali nayo makanisani ss tunawafukuza lakin ninyi mnayatafutaaa

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 ปีที่แล้ว +1

    majini mbona nima kirsto tu coz yapo makanisani yamejaa tele

    • @lucybenjamini4925
      @lucybenjamini4925 6 ปีที่แล้ว

      tunayatoaa kwa sababu yameingiaa mahalaa pasipo pakee lakin nyiee had mna sali nayooo looh

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 7 ปีที่แล้ว

    Wislma ni wachaw wanfuga majini wana roho mbaya kila kitu wao ni haram wakat Mwenyez Mungu kaviumba

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว +1

      Achaa ujingaa wewee wakuongea kitu bila kukijua wala kukielewaaa hebu jarib uende kanisan halafu jaribu kumuulizaa huyoo pumbavu mwenzenu mwenye njaa na dunia umuulize swali moja tuu ambalo unawaswas nalo uone kama atakujib akikujib unanibatizaaa pumbavuuu .ila ujuwe tuu mm ni muislam na najivunia kuwa muislam achen kumuendekeza muengerezaaa nyinyiiii atawapeleken pabayaaaaaaaaaa pumbaaaaaa

  • @jessemercus8282
    @jessemercus8282 6 ปีที่แล้ว

    Waislamu wote wanadai kuwa no ndugu.xo Siku ya kiama wooote wataenda bingu moja pamoja na shetani kwa kuwa ni muislamu....na je shetani ufanya wudu?

  • @jacksonshem4787
    @jacksonshem4787 5 ปีที่แล้ว

    duuuu kumbe na shetan ni ostaz duuuuu huu ni msiba mzito kwa waislam

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 7 ปีที่แล้ว

    Ivi ingetokea vita apo spati picha😂😂cio Kwa mapovu ayo

  • @salmamahfoozsalma2693
    @salmamahfoozsalma2693 7 ปีที่แล้ว

    nawasiwasi na icho kitabu cha majini sio kweli na Qur'an icho kitabu watu wamejitungia tu

    • @hasmondbinladen6217
      @hasmondbinladen6217 7 ปีที่แล้ว

      Icho kitabu kipo xw tatzo uelewa wakristo hawana,ile sehem inasema,,,, ata majini wnweza kuambia watu wvae kazu,mashung,vilemba,,,, kwaiyo point apo ni ata narudia ata majini wnaweza,,,,mfno tnajua dktr nd anotb ila ata mama anwz kumtb mwnwe,,,kwaiyo alotwmbia tvae kanz ndo amby alomwmbia yesu,ambye ni allah ndo alomwmbia,,,lkn jni pia anwz kusema ivo,kma vle shehe atvowza kukwmbia kw kukuelwsh ni xw na jni mna nae pia kiumbe tna mwma mna c shitan alozngmzw

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 ปีที่แล้ว +1

    ukiristo ni ukafiri tu

  • @HabibaHabiba-mi1ez
    @HabibaHabiba-mi1ez 6 ปีที่แล้ว

    Sikati tiket ya kuingia motoni siwi kafiri hata sikumoja mnamatatiz ya ufaham makafir

    • @daviddavid-gq8zp
      @daviddavid-gq8zp 5 ปีที่แล้ว

      Habiba Habiba !Wewe unayaabudu Mashetani (majini ) na Mungu wako Allah ambaye ndiye mkuu wa mashetani kwa hiyo wewe ni ni kafiri namba 2 badala ya ya mtume wako Mohamed bin Abdalah! Takbir!

  • @chalajisamson210
    @chalajisamson210 7 ปีที่แล้ว +2

    uislamu ni dini ya vurugu,jazba,fujo,maasi na kila aina ya uovu,,nini asiyejua kuwa dunia haiko salama kwa ajili ya uislam na waislamu wenyewe.kujitoa mhanga,mauaji loooooo..hatari sana.

    • @leticiamanugwa6395
      @leticiamanugwa6395 6 ปีที่แล้ว

      Una matatzo ww unagopa kufa ehee

    • @titussawe2145
      @titussawe2145 6 ปีที่แล้ว

      Go to hell

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 6 ปีที่แล้ว

      CHALAJI SAMSON lugha hujui MTU WA kwanza kujitoa muhanga ni yesu kwa ajili ya watu kwa mujibu wenu, MTU mwingine aliyewatoa wenzie muhanga ni Joseph kibwetere ili waende mbinguni, wengine ni Joseph kony, Jonas savimbi, kundi LA kigaidi LA aunt baraka, gaidi WA kimataifa aldof Hitler nk

    • @jessemercus8282
      @jessemercus8282 6 ปีที่แล้ว

      Muislamu ujitoa mhanga kwa sababu ya bikra. ..moto utawakaranga !!hakuna mabkra mtapata

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว

      Weee ndo usiongeee kabisaaa maana naonaaa kamaa hupo sawaaa na nahisi umejua ukweli badoo tuu njaaa itakuuaa .halafuu looo ujipigiwe wewee mwenyeo maana bado hujajitambuaa wewe ni nani na wajibu wako wa kuumbwa ni upii poleeee sikosa lako lakin ni ibilis amekuandama kisawasawaa

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 ปีที่แล้ว

    ukwa mkiristo ww n ukafiri utaenda motoni

  • @trizahmim9006
    @trizahmim9006 8 ปีที่แล้ว

    the truth is revealed that devil is a Muslim koran says

  • @chalajisamson210
    @chalajisamson210 7 ปีที่แล้ว

    Ukiwa muislamu unakuwa na tiketi ya moja kwa moja kwenda motoni.

    • @leticiamanugwa6395
      @leticiamanugwa6395 6 ปีที่แล้ว

      Kwan ukirsto alikuja nao yesu?

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂nakuonea hurumaa na nakuchekaa piaaa maanaa daaah pole lakin si akili yako ni akili ya huyo shetan wenu baba ibilisi wenu.hebu funguken enyi wajaaa bado tuu mpo kwenye upofuu.Allah awasameh maana hamjuwi mlitendalo

  • @makanikiamsanga906
    @makanikiamsanga906 7 ปีที่แล้ว

    MBONA HAKUNA BIBLIA KAMA HIYO, HIYO NI YA KWENU.

  • @trizahmim9006
    @trizahmim9006 8 ปีที่แล้ว

    waislam mko wapi hii imewakera hahahah mwashiriki na pepo wachafu

    • @mayasakitambwa4186
      @mayasakitambwa4186 7 ปีที่แล้ว

      trizah mim nyie ndio mnasali na mapepo yenu yatangia enzi za yesu wamsalaba sio issa wetu upo nyonyo 😂😂😂😂

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว

      Imetukeraaa wapii tunakuoneeni hurumaa hamjuwi mtendaloo nyinyiii tatizo mnaendekezaa njaa zaid kuliko akhera yenuuu fungukaa ewe kiumbe cha allah na jiulize kwann wanakubatizeni hawo wenye njaaa wenzenu kwa sabb wanajua wazi kila alietoka katika tumbo la mama yake ni muislam mpaka pale atakapobaleghe na kujua kutofautisha kati ya zuri na bayaaa fungukaaa ewe kiumbe mwenzanguu njaaa iwakuuuaaa hiyoooooooooooooooiiii

  • @makanikiamsanga906
    @makanikiamsanga906 7 ปีที่แล้ว

    TAKDIR MAANA YAKE NINI?

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 ปีที่แล้ว

      Takibir maana yake nikumsifu Allah jabar umeelewaaaa nazani

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 7 ปีที่แล้ว

    Kam Africa zamani babu zetu waliomba na mvua zikanyesha be4 haijaja is Dini so awa watu weupe wanatugombnish tu wasenge

  • @trizahmim9006
    @trizahmim9006 8 ปีที่แล้ว

    kumbe shetani Ana dini pamoja na majini waislam fungukeni macho jisomeeni koran wacheni kungonja msomewe maajabu hayo

    • @salmamahfoozsalma2693
      @salmamahfoozsalma2693 7 ปีที่แล้ว

      trizah mim kumbe kiti cha enzi kipo kanisani😀😀😀😀😀😀

    • @hasmondbinladen6217
      @hasmondbinladen6217 7 ปีที่แล้ว

      Ww inavonesha mwlm wko alpt shda kukusomesha,majini in wema kwaiyo tnkbl ni waislam ila mashetan ndo ylokfru ambyo ni ktk ww dini yao wakristo,,,sifa ya mung ni mumbaj wa viumbe wote,, unakbl? Lengo la kumba ni kuja kukutkza ambyo ni kukuabdu,na jni ni kiumbe,kwaiyo kma unktaa jni hna dni ya kikristo kwaiyo unjpng mwnyeo mna inmnsh kua yesu hjaumb majini ndo mna hkna nafas ya yy kutkzwa nao kwaiyo inthbtsh yesu c mung mna hjaumb majini,,,,,,nakkmbsh sifa ya mung kaumb viumbe vyote na lengo vje kumtkza kwa lengo la kumuabd

    • @fatmaally714
      @fatmaally714 7 ปีที่แล้ว

      jifanyanye huelewi lakin uataanza kuelewa pale tu utakapooanza kuonana na malaika mtoa roho

    • @fatmaally714
      @fatmaally714 7 ปีที่แล้ว

      jifanyanye huelewi lakin uataanza kuelewa pale tu utakapooanza kuonana na malaika mtoa roho

    • @bubasha88
      @bubasha88 7 ปีที่แล้ว

      Mungu hakutuma vitabu viwili Ufunuo 22:18,19. Lisilo pandwa na Baba lita ngolewa: Matayo 15:13

  • @trizahmim9006
    @trizahmim9006 8 ปีที่แล้ว

    sasa kwa sababu shetani ni muislam na waislam wote wataingia Janna je shetani ataingia nataka muislam mmoja anijibu

    • @hasmondbinladen6217
      @hasmondbinladen6217 7 ปีที่แล้ว

      Mi nakjb shetan ataingy moton pamoja Na nyny wakeisto ila jini ataingy pepon Na sisi waislam

    • @hasmondbinladen6217
      @hasmondbinladen6217 7 ปีที่แล้ว +2

      Na shida akili yko ww finyu hjui kma jni ni mwma Na shetan ndo alokfru MNA ata ww unaweza kua shetan

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 ปีที่แล้ว

      Wakristo kila siku wanatoa mapepo makanisani kwa maana ndiyo nyumba yao huko kanisani kisha nyinyi munawafukuza kwa nyumba yao

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 ปีที่แล้ว

      Mashetani wanaka kanisani wakiingia kanisani wanaanza nakusema toka wewe shetani pepo mbaya kwa sababu wa najuwa wako humo ndani kanisani

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 ปีที่แล้ว

      Mskitini hakuna vioja kama kanisani hakuna shetani alhamdullilah kwa neema ya uslamu dini ya haki

  • @trizahmim9006
    @trizahmim9006 8 ปีที่แล้ว +1

    najivunia kuwa mkristo

    • @sheriffshatterz
      @sheriffshatterz 7 ปีที่แล้ว

      trizah mim mathayo 4-5 iblisi anamchukuwa yesu kumpeleka mlimani
      swali: kuna uhusiano gani kati ya yesu na ibilisi????

    • @sheriffshatterz
      @sheriffshatterz 7 ปีที่แล้ว

      luka 10:17- wakati wa yesu wanafunzi wa yesu walienda kuhubiri....majini,pepo wakaamini kwa jina ya yesu...
      kumbe bibilia yenu inakiri kuwa majini pepo walikuwa wakiristo...
      sasa wewe ukipinga wapinga kwa ujeuri wako lakini bibilia yenu yasema majini na pepo chafu ni wakiristo...

    • @sheriffshatterz
      @sheriffshatterz 7 ปีที่แล้ว

      Timotheo 1:20 paulo anasema wanafunzi aliwachagulia shetani awafundishe kanisani

    • @sheriffshatterz
      @sheriffshatterz 7 ปีที่แล้ว

      yesu mwenyewe anasema petero ni shetani....sasa tuwambie leo 2017 petero alisilimu lini?

    • @sheriffshatterz
      @sheriffshatterz 7 ปีที่แล้ว

      kiti cha enzi cha shetani kiko kanisani
      ufunuo 2:11