Bahati bukuku mwalimu wa ndoa latest version

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • wimbo mpya sana kutoka kwa malkia wa maadili bahati bukuku,share comment subscribe to our channel @balozi tv

ความคิดเห็น • 72

  • @GeoffryAjongo
    @GeoffryAjongo ปีที่แล้ว +5

    Najifunza mengi sana kupitia nyimbo zako,,mungu aendelee kukupa ujasiri uendelee kutuelimisha kupitia nyimbo zako

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 ปีที่แล้ว +5

    Najifunza mengi sana kupitia nyimbo zako sawa my.❤😢 barikiwa sana mng akulinde na kukubariki❤

  • @pendaelimolell3510
    @pendaelimolell3510 18 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa na nyimbo za huyu mama yangu wa kiroho god bless you bahati bukuku

  • @godfallo2202
    @godfallo2202 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu wa mbinguni amekufunulia, akili zako na fahamu zako haziwezi,hii nihekima toka juu, ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU alie hai. Songa mbele.

  • @DinnaSimon
    @DinnaSimon ปีที่แล้ว +2

    Kila ninaposikiliza huu wimbo na barikiwa Sana Mungu akubariki mtumishi

  • @bonnyswai4429
    @bonnyswai4429 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana dada yangu

  • @EzekielMeshack-y7j
    @EzekielMeshack-y7j 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana dada ❤

  • @FrançoisHicuburundi
    @FrançoisHicuburundi ปีที่แล้ว +2

    Nakupongeza Dada,very smart this song

  • @LeahJefta
    @LeahJefta ปีที่แล้ว +2

    Amen mungu atusimamie

  • @stanslausmajalla8896
    @stanslausmajalla8896 ปีที่แล้ว +2

    Wabeja sana mayu

  • @SilviaAwino-c9p
    @SilviaAwino-c9p ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa nyimbo zako zinanijenga sana

  • @immaculatakalinga2599
    @immaculatakalinga2599 5 หลายเดือนก่อน +1

    barikiwa sana

  • @ShukuruHashim-re4kb
    @ShukuruHashim-re4kb 8 หลายเดือนก่อน

    Amen kabla sijamaliza masomo mwalimu wangu alinipa cheti, Iko poa sana

  • @gladyskyalo9018
    @gladyskyalo9018 ปีที่แล้ว +4

    Just an amazing and educational song, may God bless you abundantly

  • @leonardmambo842
    @leonardmambo842 ปีที่แล้ว +2

    napada wimbo zako sana lord bless u say much

  • @valeriekaswera
    @valeriekaswera ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wako ina nijenga sana dada.mungu akubariki

  • @neemamganga6802
    @neemamganga6802 3 ปีที่แล้ว +4

    Big up Mumy,, huo ndio uhalisia wa ndoa

  • @khadijabakari9092
    @khadijabakari9092 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana 🙏🙏 kwa kutufumbua macho wanawake

  • @lucykaranja8101
    @lucykaranja8101 3 ปีที่แล้ว +2

    Good move @bahatibukuku

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa mungu ubarikiwe wewe.😢😢😢

  • @masikaanastasie1311
    @masikaanastasie1311 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndoa bila Mungu nibure

  • @IrineAsheri-t8k
    @IrineAsheri-t8k ปีที่แล้ว +1

    Ubalikiwe na Sana

  • @kennedysimiyu1031
    @kennedysimiyu1031 3 ปีที่แล้ว +2

    Great one mwalimu wa ndoa

  • @kennethkunyima7116
    @kennethkunyima7116 2 ปีที่แล้ว +2

    You are popularly known by your great songs. I mean in Africa you are##one

  • @Susan487
    @Susan487 ปีที่แล้ว +1

    Amen glory be to the almighty God such a blessings song❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ashuraalli1561
    @ashuraalli1561 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni kumtanguliza Mzungu tu....

  • @prophetesssarahmacho9183
    @prophetesssarahmacho9183 ปีที่แล้ว +1

    Niukweli kabisa dada yangu

  • @winniekazungu4953
    @winniekazungu4953 2 ปีที่แล้ว +2

    wow wimbo mtamu kweli 🌹🌹🌹🌹

  • @aishalove3207
    @aishalove3207 ปีที่แล้ว +1

    God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @barbratemaei3779
    @barbratemaei3779 ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @ShukuruHashim-re4kb
    @ShukuruHashim-re4kb ปีที่แล้ว

    Natafuta mwalimu na mshauri wa ndoa popote alipo. Asante sana dadangu Bahati endelea kuachia vitu na MUNGU akubariki.

  • @sekelamwasipaja-ue3zl
    @sekelamwasipaja-ue3zl ปีที่แล้ว +1

    Ni Mungu tu mwalimu mwema

  • @frolaibrahim1257
    @frolaibrahim1257 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kutufariji.

  • @tonnybrianmutwiri6247
    @tonnybrianmutwiri6247 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri our mum bahati bukuku mungu azidi kukuinua zaidi

  • @goodluckndagile9381
    @goodluckndagile9381 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mama kwa ujumbe mzuri, l love u more.

  • @vincentjuma9132
    @vincentjuma9132 ปีที่แล้ว +1

    Umeshama

  • @janzujoseph3083
    @janzujoseph3083 3 ปีที่แล้ว +2

    great 👌

  • @HildaLaurent-d4v
    @HildaLaurent-d4v ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤mwaaaaaaaa

  • @AnnaCheluwa
    @AnnaCheluwa ปีที่แล้ว +2

    Hata ukifundishwa inachosha

  • @ShukuruHashim-re4kb
    @ShukuruHashim-re4kb ปีที่แล้ว

    Wimbo mzur sana, dada Bahati MUNGU Akubariki

  • @veronicamwekuyu4298
    @veronicamwekuyu4298 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama nzuri sana

  • @marykiwoi7821
    @marykiwoi7821 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you mtumishi and thanks for encouraging wamama

  • @hellenbarasa3261
    @hellenbarasa3261 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana mtumishi wa mungu

  • @JeremiemulindaSadepand-pu1eo
    @JeremiemulindaSadepand-pu1eo 11 หลายเดือนก่อน +1

    amen mtumishi

  • @kanjanjamwimikes9228
    @kanjanjamwimikes9228 2 ปีที่แล้ว +1

    Stay blessed madam

  • @annangailo3810
    @annangailo3810 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli hakuna mwalimu wa ndoa

  • @JacksonChalamila-m2o
    @JacksonChalamila-m2o ปีที่แล้ว +1

    Bahat bukuku

  • @trissateddy9909
    @trissateddy9909 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed mumy

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 3 ปีที่แล้ว +2

    LAKINI KITU NDOA!

  • @merabushukia4352
    @merabushukia4352 2 ปีที่แล้ว +1

    Namimi namtafuta

  • @devotalaiton5888
    @devotalaiton5888 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kila nikifikilia huu wimbo najuta kwa nn nilitoka kwenye ndoa

  • @NeemaMalima-ef1ue
    @NeemaMalima-ef1ue 3 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😢 Amen

  • @remsimmbala7635
    @remsimmbala7635 3 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed

  • @BitenNzalu
    @BitenNzalu 2 ปีที่แล้ว +1

    Neeema ya Mungu

  • @MalovaMary
    @MalovaMary 10 หลายเดือนก่อน +1

    ndoa ndoa😭

  • @BoscoMwailenge-x1v
    @BoscoMwailenge-x1v 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @emmanuelelias775
    @emmanuelelias775 2 ปีที่แล้ว +5

    Hata mimi namtafuta huyo mwalimu wa ndoa, maana peke yangu nashindwa.

  • @gloriashukuru8139
    @gloriashukuru8139 2 ปีที่แล้ว +1

    Que Dieu vous bénisse abondamment

  • @josephkntiga9380
    @josephkntiga9380 3 ปีที่แล้ว

    Iko poa sana

    • @kissazumba5960
      @kissazumba5960 2 ปีที่แล้ว

      Ni kumtanguliza mungu tu

    • @nicksonhelman3531
      @nicksonhelman3531 ปีที่แล้ว

      @@kissazumba5960 kweli rehema za MUNGU zinaitajika

    • @johyjojho8199
      @johyjojho8199 8 หลายเดือนก่อน

      ❣️❣️❣️❣️

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 8 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭❤❤❤❤

  • @idhfdxdcb7849
    @idhfdxdcb7849 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @MaryWabwile-v6d
    @MaryWabwile-v6d 3 หลายเดือนก่อน +1

    hello ungetengeneza group la akina mama utufunze mengi jamani nani anaungana na mm

    • @balozitv3900
      @balozitv3900  3 หลายเดือนก่อน

      @@MaryWabwile-v6d Amina karibu kanisani kwangu Dar es Salaam Tanzania

    • @MaryWabwile-v6d
      @MaryWabwile-v6d 3 หลายเดือนก่อน

      @@balozitv3900 ungenisaidia na namba yako tafadhali

  • @mariajohn5403
    @mariajohn5403 2 ปีที่แล้ว +1

    Aleluya

  • @lujainn1538
    @lujainn1538 2 ปีที่แล้ว +1

  • @nicerjoseph2904
    @nicerjoseph2904 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @venancemwakasalavenancemwakasa
    @venancemwakasalavenancemwakasa 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen