HUYU MCHUNGAJI NILANGO LA KUZIM SHETANI ANMTUMIA EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769 #

ความคิดเห็น • 263

  • @vailethmwageni8441
    @vailethmwageni8441 7 หลายเดือนก่อน +3

    Maneno ni mengi .sasa ni hivi nakupenda sana baba angu JOSEPHATH .E.MWINGIRA .damu ya yesu izidi kukufunika Efatha ni mbele kwa mbele tunasonga mbele in Jesus name,🙏🙏🙏🙏

  • @davidkiondo7484
    @davidkiondo7484 9 หลายเดือนก่อน +3

    Chapa injili mtumishi wa Mungu, kiukweli nakuelewa sana na nabarikiwa, hii ndio injili katika nyakati hizi za uovu, injili ya matengenezo, ahsante sana mtumishi wa MUNGU

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 9 หลายเดือนก่อน +2

    Aise unachokisema ni kweli tu!! Labda niseme tu Yesu Kristo akufunike uendelee kuwa nuru ya mataifa. Maana ww unasema kweli. Sijaona uongo wowote hapa jmn. Namshukuru Yesu kwasababu amenipa ile roho yake nzuri. Huwa natambua kama mtu atakuwa anasema uongo. Ndugu Paskali, Yesu ni mwema. Na umesema kweli tupu!! Endelea kuwafungua wengi.

  • @Carolinemasamu
    @Carolinemasamu 8 หลายเดือนก่อน +3

    I LOVE YOU APOSTLE & PROPHET J.E MWINGIRA❤, Mungu azidi kukutia Nguvu Emen🙏🏽

  • @lwitikoasa6899
    @lwitikoasa6899 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mtumishi Pasco kasiani ulinza vizuli unamaliza vibaya Kila mtumishi wa MUNGU kwako ni mbaya

    • @yudomalex5499
      @yudomalex5499 5 หลายเดือนก่อน

      HATA YUDA ALIANZA KUWA MWANAFUNZI WA YESU mwisho wake akambeba shetani akaanguka.Mwache PASCO ATAVUNA ANACHOKIPANDA

  • @gracekivuva-nc9lp
    @gracekivuva-nc9lp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hi !man of God be blessed whenever i listen to your sermons sometimes i find myself praying,may Almighty God grand and protect you in Jesus Mighty name much love from, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hanagango6922
    @hanagango6922 3 หลายเดือนก่อน +1

    Cassian upo sahihi kabisa 100% kabisa coz mm mwenyew nilikua hukohuko kwa mwingira watu wamepigwa upofu hawaelew wanaona sawa but wasiotaka kuelew watakuja kuelewa na itakuwa wamechelewa

    • @ElizabethMakwaia
      @ElizabethMakwaia หลายเดือนก่อน

      Na sio lazima wote waelewe kwani kelewa na kufunguliwa ni neema ndugu yangu. Tushukuru sisi tunaoelewa.🙏

  • @africachulla4361
    @africachulla4361 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dance ya kanisani inamsifu Mungu, siye tunaachia Kwa Yesu wetu aliyetuokoa nyie mnaotaka kucheza Kwaajili ya Dunia endeleeni mtavuna Wakati Waja

  • @africachulla4361
    @africachulla4361 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni wakala wa shetani kumbe ,watu tulikuwa wachafu Sana mtumishi wa Mungu ametufundisha tumeachana na dhambi wewe unamsema Kwa ubaya na hatujawahi fundishwa kumkosea Mungu na anatukemea dhambi, mahubiri gani hayo hubiria watu wamjue Mungu kama Apostle Mwingira anavyofanya hata Yesu alihubiri watu kuujjua ufalme wa Mungu na waache dhambi ,jehanamu inakusubiria

  • @user-rj2sh1hg4f
    @user-rj2sh1hg4f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi nakupongeza sana endelea ata watu wakutukane usife moyo endelea kuhubiri na kuwaweka wazi hao manabii wa uongo na nakuombea mungu azidi kusimama nawe pamoja na jamii yako kwa jumla mubarikiwe sana tena sana

  • @user-ld2qv1dc3u
    @user-ld2qv1dc3u 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mchungaji wa Bwana kwa moyo uliokuwa nao wa kutufundisha injili ya bwana na wanao sikia tubadilike Yesu atukute tukiwa Tayari tuepukeni sana moto wa jehemamu

  • @emmanuel-tl5zg
    @emmanuel-tl5zg 9 หลายเดือนก่อน +2

    Paschal cassian unatumia Biblia gani ambayo inakuruhusu uwahukumu wengine? Soma Biblia vizuri, acha mara moja kupotosha watu na kumsema Mtumishi Mungu.

  • @user-ll4it1gx8i
    @user-ll4it1gx8i 8 หลายเดือนก่อน

    Manabii wa baali walikuwa wengui mno lakini wa Mungu yehova alikuwa Eliya peke yake na aliwashinda wote nawe cassian usiogpe Yesu atakushindia tu,.Leo wa msubiji.

  • @moshinyashebo7981
    @moshinyashebo7981 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kama alikuwa wakala na alakimbia uko nani kamfungua nahizo vifingo mpaka anene watumishi wa mungu amwachie mungu mwenyewe afanye alicho itiwa jufanya ni kujubili injiri ya yesu kristo mungu anirehemu Mimi na wote tuijue kweli yake

    • @ElizabethMakwaia
      @ElizabethMakwaia หลายเดือนก่อน

      Ni neema ya Mungu ndio iliyo mfungua ambayo tunajaliwa na Mungu.

  • @user-cq4yb6bl9x
    @user-cq4yb6bl9x 6 หลายเดือนก่อน

    Nakubali kabisa ubarikiwa

  • @omegamchaki6696
    @omegamchaki6696 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukupa mafunuo zaidi mtumishi wa Mungu....huwa naoenda kukufuatilia sana...nabarikiwa na huwa inakuwa ni wakatiwangu wa kutubu kila ninapokusikiliza...wokovu ni chagua sahihi...Ubarikiwe mnooo🎉🎉

  • @johnmhangi315
    @johnmhangi315 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nasubilia siku ya mwisho maana kila anaye inuka kumshambulia mtu wa Mungu,mtumishi wa Mungu unaacha kuwafundisha watu,unawafudisha mafundisho ya watumishi wengine,kuweni makini kila mtumishi wa Mungu amepewa namna ya kuwafundisha waumini wake,Acheni kukosowa watumishi wa mwokoz.wewe fundisha watu wako wapate kuelewa neno la Mungu

    • @judithnakoli
      @judithnakoli 9 หลายเดือนก่อน

      Be blessed man of God, hubiri ukweli, haijalishi watu wanapinga ukweli, wakati mimi ninapoongea na watu wanasama kanisa gani hilo? Kwa maana wachungaji hawaambii washirika wao ukweli kwamba wasipozaliwa mara ya pili hawezi kuona uzima wa milele Yohana 3:3 Sio kupanda mbegu wala kufunja madhabahu.

    • @judithnakoli
      @judithnakoli 9 หลายเดือนก่อน

      Niko Mombasa wacha tuhubiri injili ya kristo ya kweli Ambao inaleta toba.maana injili ndio uweza uletao wokovu.

  • @emanuelmichael1616
    @emanuelmichael1616 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sikuamini nilicho ina tena kwa kanisa kubwa la mtumishi anayeheshimika. 😮😢....ni jama shetani aliingia kwa mtumishi na roho hiyo ikasambaa sana jwa jinsi ya ajabu. Mungu akubariki mtumishi kwa kuwa muwazi na kukosoa bila woga na bila kijali umri wako🙏🙏

  • @user-xc6jl1pm6h
    @user-xc6jl1pm6h 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Mtumishi
    Waelezee watu waijuwe kweli ya Mungu! Ili waokolewe!.

  • @MatiasJubeck-qw2mi
    @MatiasJubeck-qw2mi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mno mtu.ishi wamungu

  • @muthonijgatia4350
    @muthonijgatia4350 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe paster nitakuombea sana Mungu akujase zaidi dio utuhumbilie ukweli wa Mungu na kunipeleka kwa injili ya kweli mimi nakufutilia sana

  • @oldtech8221
    @oldtech8221 8 หลายเดือนก่อน

    Cassian labda kweli Una kitu Mungu ameweka ndani yako.. no body knows ,ila me nakushauri weka speech au mafundisho yako kwenye mtiririko hii itasaidia ujumbe kufika kwa urahisi kwa walengwa

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 9 หลายเดือนก่อน

    Daud mtumishi wa Mungu alicheza mbele za Mungu mpaka nguo zikadondoka ( Mikai akamwambia Daud " Umenihaibisha mbele za watu)" Daud akamjibu mke wake Mikai" Nilikuwa nacheza mbele za watu si mbele za binadamu" SHETANI /LUSIFA aliyekuwa kiongozi wa kumsifu Mungu mbinguni alipofukuzwa mbinguni Vitu vyote vya Mungu akafanya vya kishetani __:::Kajifunze kwanza ujue maandiko vizuri .Paschal Mungu akusaidie

  • @joyceabdallah4363
    @joyceabdallah4363 9 หลายเดือนก่อน +1

    Weee paschal Kila mtumishi ni mpotoshaji ila ww ndo uko vzr..hapana ....miminjtaendelea t kusali huko efatha kwa kweli hata usemeje

    • @nzbtscounselor7385
      @nzbtscounselor7385 8 หลายเดือนก่อน

      hatoki mtu mm wala tuu nimefanyiwa mengi na yeye aanzishe kanisa haruhusiwi kuhukumu

  • @africachulla4361
    @africachulla4361 8 หลายเดือนก่อน

    Huduma ya Mungu haipingwi hata siku moja tupo tuliopitia shida tunashuhuda nzito lakini Mungukamtumia mtumishi wa Mungu apostle Josephat Mwingira leo tumepona tunamtumikia Mungu ilihali tulikuwa hatufai kwani tulikuwa wahovyo,acha mambo yako

  • @renatusmakalius
    @renatusmakalius 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mchungani
    Hili kanisa lina tukatisha san tamaa
    Hawa wakata mauno vile kwa watoto wadogo wanaona nini zaidi?
    Hali hii haikubaliki madhabahuni

  • @apostlemayungakanuda4898
    @apostlemayungakanuda4898 5 หลายเดือนก่อน

    Kama huyu Cassian angetambua mchango ambao mtume na nabii Mwingira alioutoa katika kanisa la TZ,hakika angenyamaza kimya. Ameweka msingi wa kanisa la TZ, ameng'oa visiki, ametengeneza njia katika mazingira magumu ambapo watumishi wengine wanapita vizuri. Ndugu yangu Cassian, hongera kwa kazi unayofanya, lakini si kila mtumishi ni wa kugusa; Mwingira sio level zako mtumishi wa Bwana

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hauko sawa paskali jicheck vizuri , una matatizo

    • @user-fw8pb2of4y
      @user-fw8pb2of4y 9 หลายเดือนก่อน

      Pascal kakwama,asaidiwe tu.

    • @edmundmato669
      @edmundmato669 9 หลายเดือนก่อน +1

      Tenaa siyo madogoooo

    • @ElizabethMakwaia
      @ElizabethMakwaia หลายเดือนก่อน

      Pole wewe, omba sana neema ya Mungu akupe macho ya rohoni.

  • @martinlaurian5020
    @martinlaurian5020 7 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe mtumishi kwakusema ukweli

  • @Saidmathayo-uv4gj
    @Saidmathayo-uv4gj 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ww Kila mtu ni WA shetani pekeako ni WA mungu

  • @obedcosmas1649
    @obedcosmas1649 9 หลายเดือนก่อน +1

    BWANA YESU APEWE SIFA MTUMISHI
    HAKIKA KWA NYAKATI HIZI NDIO UTAELEWA KUWA TUMEOKOLEWA KWA NEEMA MAANA HUYU ATAMKOSOA HUYU NA YEYE KUNA KOSA ANAFANYA MWISHO WA SIKU MWANADAMU ATAISHI KWA IMANI NASIO KWA MATENDO MAANA KWA MATENDO HAKUNA ATAKAE KOMBOLEWA TUMTAFUTE MUNGU WATUMISHI AMEN

    • @nzbtscounselor7385
      @nzbtscounselor7385 8 หลายเดือนก่อน

      asante kwa hayo hatuwezi na tusijihesabie haki kila mtu habaki na iman yake maana ajuaye ya sirini ni Mungu pekee mm kwa sasa nazid kuchanganywa tuu na hawa watumish

  • @_creator821
    @_creator821 9 หลายเดือนก่อน +1

    Unako elekea unakuwa Mlango mkuu wakutupeleka kuzimu na Tumegoma hatuendi nenda mwenyewe.

  • @janepatrickmesso7487
    @janepatrickmesso7487 9 หลายเดือนก่อน +3

    Unazingua, unazingua, nasema unazingua paschal

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nilishakwambia dogo unasumbuliwa na ujinga

  • @nzbtscounselor7385
    @nzbtscounselor7385 8 หลายเดือนก่อน

    kuhalisia tusubiri hatma ya kila mmoja maana unaweza ukasema watu wanahubiri uongo na hata unaweza ukasema huko sahihi kumbe hata hao wauongo wasiwe bado hawajafika kila mtu habaki jins alivyo asante kwa somo ila bado unatuchanganya

  • @rosemarymathias4496
    @rosemarymathias4496 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unirehem mm pamoja na tumbo langu yaan kizaz changu mtumishi Mungu akutie nguvu

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 9 หลายเดือนก่อน +3

    SAUTI YA MTU ALIAE NYIKANI...

  • @eliasmwakasaka8454
    @eliasmwakasaka8454 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe unatafuta kufa mapema
    Mwingira hachezewi
    Don't mess with my dad

    • @nzbtscounselor7385
      @nzbtscounselor7385 8 หลายเดือนก่อน

      mmh hakika mwache tuu sisi tumetendewa mengi yeye asikie anavyoongea ila sisi tumepona kwani daudi alichezaje tutajie wa kweli kila mtu mmbaya mch paschal angalia

  • @user-rj2sh1hg4f
    @user-rj2sh1hg4f 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mtumishi wa mungu wa kweli, kila ninapokusikiza huwa nabarikiwa sana na asante sana kwa kunifanya nielewe ukweli kuhusu manabii wa uongo wanaotupoteza acha mungu akubariki na azidi kukuweka hai hili uendelee kutupa huo ujumbe wa mungu wa kweli nilioutafuta kwa mda mrefu😢😢

  • @user-by8mr2nq4x
    @user-by8mr2nq4x 9 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa na mahubiri Mungu akubariki Mchungaji

  • @africachulla4361
    @africachulla4361 8 หลายเดือนก่อน

    Hana lolote Mungu amsaidie hajui anachotenda

  • @florafrancis1598
    @florafrancis1598 9 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa....tujitakase Mungu anahitaji watakatifu sio wenye kujichanganya...Ameni

  • @deboramwambeule6728
    @deboramwambeule6728 9 หลายเดือนก่อน

    Fanya kazi ya injili sio kusema watu mtumish kwa nini usiite mmoja mmoja uwasaidie

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 9 หลายเดือนก่อน

      Yeye anahubiri injili ya kweli. Injili haijui ww ni mtu gani cjui. Lazima tuwaseme kila siku.

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 8 หลายเดือนก่อน

    Hii ni mbaya sana jamani kanisani...

  • @user-ll4it1gx8i
    @user-ll4it1gx8i 8 หลายเดือนก่อน

    Asiye kubali mahubili,au mafundisho uyo kweli aja andikwa katika kitabu cha mwana kodoo.

  • @africachulla4361
    @africachulla4361 8 หลายเดือนก่อน

    Endeleeni kumuombea cjui ni Mungu yupi mnamuombea huyo, msidhani sisi hatujaokoka tena tunaheshimu Mungu Sana tulikuwa hatufai huko Duniani kabisa sasa tunatumika Kwa Mungu wetu,sifa Kwa Mungu wetu tutamsifu Wakati wote hakuna dhambi katika kumsifu Mungu,

  • @marianakapama2887
    @marianakapama2887 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli mwingira alikosea ila unaleta story ya mwaka jana ambayo labda alitubu kisa kupata views youtube mmh

  • @nancyfamilysharesmoments7634
    @nancyfamilysharesmoments7634 9 หลายเดือนก่อน

    Jomoniii Mungu nisaidie Sana nisirudi nyuma bali niongoze Kwa roho wako mtakatifu maana yanayoendelea rohoni ni mabaya nisaidie mwanao nipe kulijua neno lako Kwa undani.

  • @user-mk7ko3fj9t
    @user-mk7ko3fj9t 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hubiri neno,acha kusema watu,sio kazi yko kuhukumu,wewe TU huaminiki.acha Izo,usijifananishe na watumishi walio Lea wengi,tumekusikia,ila acha kuhubiri watu hubiri neno yatosha

  • @user-fw8pb2of4y
    @user-fw8pb2of4y 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana pastor,EFATHA hatoki mtu.jikague

    • @user-sd5gi3us5y
      @user-sd5gi3us5y 9 หลายเดือนก่อน +2

      Pole sana we ng'ang'ana na mtume si umeikataa kweli ni bora ukae kimya Ila utaona siku ambayo utakua ndani ya jeneza pekeako hukum ikiwa Mbele ako hakuna cha mtume wala efata ni heri ungekubali wokovu Sasa madam neema ipo
      MUNGU akusaidie

    • @user-fw8pb2of4y
      @user-fw8pb2of4y 9 หลายเดือนก่อน

      @@user-sd5gi3us5y Kumbe unaogopa Jeneza? Sikwambii maneno mengi ila jambo moja tu sikuombei mabaya ila nakuombea MUNGU akupe kuijua kweli.

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 9 หลายเดือนก่อน

      Haya ww baki hapohapo. Utajionea siku mmoja. Usilie siku hiyo.

    • @charlesmoses275
      @charlesmoses275 8 หลายเดือนก่อน

      Mpaka kieleweke, hatoki mtu Efatha

    • @nzbtscounselor7385
      @nzbtscounselor7385 8 หลายเดือนก่อน

      hata mm sitoki acha tuu kila mtu mmbaya

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani ilikuwa hujui mm nilivyosikia watu walioenda semini unaambiwa kesho yake hamna kurudia nguo ya ndani yaani sidilia na chupi kitu ulichokalia Jana ukalie hicho hicho hamna kubadilisha usipobadilisha nguo ya ndani inaitwa unaambiwa kabadirishe nguo puuu nikashangaa

  • @afro_bibo_tz
    @afro_bibo_tz 5 หลายเดือนก่อน

    daudi alicheza mpaka nguo zikamvuka😂😂

  • @godfreygammata9012
    @godfreygammata9012 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ehee Mungu wa mbinguni tunaomba utuongoze katika imani ya kweli maana kwa akili zetu hatuwezi kutambua.

    • @isackmbwambo4179
      @isackmbwambo4179 9 หลายเดือนก่อน

      Ni Mungu tu aingilie kati, watumishi wanatuchanganya, sasa yupi ni mkweli na yupi si mkweli

    • @marrypius576
      @marrypius576 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@isackmbwambo4179yan mim nachanganyikiwa jamn 😢😢😢

    • @marrypius576
      @marrypius576 8 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏 🙏

  • @user-ql4qw3ow4r
    @user-ql4qw3ow4r 9 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa kutufunulia ukweli huu Mungu akubariki

  • @user-lf6ti3ie7l
    @user-lf6ti3ie7l 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman ukweli pascol yupo sawa. C ni udunia huo kanisani? Mweee!!!

  • @muthonijgatia4350
    @muthonijgatia4350 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huo nabii rolinga sio wa kweli manabii wengi ni wa uongo lakini cassian ni muhubili wa kweli tukienenda katika roho hautapoteswa na mtu yeyote wapendwa wacheni tukae dani ya roho mtakatifu na tena mtaka utiivu

    • @boazgodfrey865
      @boazgodfrey865 9 หลายเดือนก่อน

      Nadhani angejikita katika kazi aliyoitiwa badala ya kuwazungumza watumishi wenzake,,,,hubili injili ya kweli waliokusudiwa watafuatana nawe badala ya kuwabeba watumishi wenzio,,,,Kila mtu ameitwa kwa namna ya tofauti na Mungu hakuwahi kumuita mtu akamwambia kusudi nililoliweka juu yako ni kuwasema wengine,badala yake anaweza kuweka kusudi la kuzivunja kazi za adui na kama Kuna mtu anatumika huko bila shaka ataanguka kwenye mtego wako bila hata kumtaja,,,so Mungu na atupe hekima ya kusogea mbele kulingana na wito wake

  • @user-du1rm5xh1n
    @user-du1rm5xh1n 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @kolethabenedict6533
    @kolethabenedict6533 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na mfalme daudi nae alivyocheza Hadi nguo zikavuka maungo yake yakaonekana...jeh! Alikuwa wakala wa shetani?

  • @FrankDeo-xu7zw
    @FrankDeo-xu7zw 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye mauno kwakweli pale wako vzuri atarii😂😂 ila Mungu atusaidie jmn

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa hakika Mungu aturehemu sana hiyo dance ni kanisani? I can't hold my tears...... ooh! Lord forgive us, Mungu wangu! Nia yako ni watu wote waokolewe na kujua kweli yako... Baba wasamehe na uwarejeshe kwa njia iliyo sahihi... ubarikiwe mtumishi Mungu awabadilishe kupitia mafundisho haya. Kanisa limegeuzwa na kuwa bar....tuko mwishoni kweli shetani anatumia watumishi wengi kupotosha wana wa mungu...Walokole ni wakati wetu kusimama na kuomba na kufunga ni kwa ajili ya hawa wenzetu maana ni shetani anawatumia sio kupenda kwao... tuwaombee Mungu muumba awafungue....

  • @godlovemalekela8575
    @godlovemalekela8575 9 หลายเดือนก่อน +1

    Daudi alicheza Hadi suruali ikaanguka, ALAFU Kwa kipindi kile chupi sizan kama zilikuwepo Pascal uwe mpole wew MUNGU hachunguziki,
    Ebu pata picha sasa waliomzunguka Daud unazan hawakukata viuno,,

    • @judithnakoli
      @judithnakoli 9 หลายเดือนก่อน

      Mpendwa hakuna mahali biblia inasema Daudi akacheza mpaka nguo zikaanguka kama iko nitumie nione nianze kucheza pia kanisani kama sio watu wamemuasi Mungu kweli .

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 9 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa Kila nabii na mitume wa uongo wa kweli ni yupi tutajie

    • @vashtyburge3998
      @vashtyburge3998 8 หลายเดือนก่อน

      Kasome Biblia utapata jibu

  • @florencendatila9183
    @florencendatila9183 8 หลายเดือนก่อน

    Me mwenyewe nilikua naangalia sana chanel yao mmh nimeacha maana kuna vitu wanahubiri nakua naogopa mm uyu pascal hadanganyi

  • @TWENZETUEDEN
    @TWENZETUEDEN 9 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akusamehe mtumishi na kuwa makini usimsaidie Kazi shetani ,
    Pia Kumbuka hao kina mwingira ni Baba zako wa kiroho hao ndio wazee wa Injili hapa Tanzania bila kuangalia utofauti wetu wa madhehebu

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 9 หลายเดือนก่อน

      Sikatai lkn ujue shetani yuko kazini. Mwanzo kina mwingira walikuwa wako fiti sana lkn leo hii dahhh mambo yamebadilika. Kuwa makini sana ndugu.

    • @charlesmoses275
      @charlesmoses275 8 หลายเดือนก่อน

      Mwingira bado wa moto sana yaana moto wa Efatha hakuna wa kuuzima mpaka mbinguni

    • @nzbtscounselor7385
      @nzbtscounselor7385 8 หลายเดือนก่อน

      @@charlesmoses275 amen kihualisia waje wakutane na moto wa efatha wafungukie huko wamwache baba wa watu wasimnene vibaya mm wala sitoki

  • @esiliarthurmwaisango9146
    @esiliarthurmwaisango9146 8 หลายเดือนก่อน

    Unazingua mwamba mhubiri KRISTO YESU watu wamjue kama ROHO wa MUNGU anakaa ndani YETU hawezi kutuficha Siri zozote ACHA kushambulia watu huo ni ushamba. Ushambaaaaa ACHA soma neno hubiri fungua fahamu za watu wamjue Mungu wa kweli na kristo Yesu.kuna Siri za ufalme wa Mungu hazijahubiriwa Wala kufundishwa set your mind set on it. Unaamini vibaya kutokana na mawazo yako mabaya. REPENT BROO😂😂😂

  • @PrinceCharlz-pu9ps
    @PrinceCharlz-pu9ps 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ajali imemuhadhir huyu kijana

    • @Reginajohnson19884
      @Reginajohnson19884 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂 Ila jamani sio Mtume wa Efatha mbona wengine tumepata uponyaji na tuna roho ya Mungu kupitia pale tumemuona mungu kwa ushaidi wetu wenyewe , sasa simuelewi

    • @charlesmoses275
      @charlesmoses275 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaa hata mm nimemwona Mungu kupitia Efatha,huyo acha aendelee kulopoka

  • @user-xb7ze3qj8z
    @user-xb7ze3qj8z 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera nahisi umebaki wewe tu mtumishi wakweli maana wote wamepotoka

  • @nzbtscounselor7385
    @nzbtscounselor7385 8 หลายเดือนก่อน

    paschal cassian nabii yoeli alisema nini kuhusu kanisa na matendo ya mitume imeandika nini kuhusu kanisa maana alishasema roho wa bwana atakuwa juu ya nchi vijana watahubiri injili wazee wataona maono watoto wataota ndoto je wewe unalisemeaje hili sometimes kanisa linapaswa kuwa hivyo sikupondi ila ikiandikwa imeandikwa

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 9 หลายเดือนก่อน +14

    Sasa wew paschali tumuamini naniii mana kila mtu wewe unasema sio wa mungu je ni yupi umjuaye wa kweli binafsi hata mimi wewe sikukubali kwa sbb tayari wewe ulikuwa wakala wa freemason ukukimbia huko hasa iweje uwe wa kukosoa wengineeeee

    • @EmmanuelMikael-in1ej
      @EmmanuelMikael-in1ej 9 หลายเดือนก่อน +4

      Kaka huyu pascal ni mtu anayezungumza kweli MUNGU antumia sana.piga baragumu

    • @violetnasimiyu8718
      @violetnasimiyu8718 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe acha kumkufuru Roho Mtakatifu badala yake ingia kwa maombi umwulize Mungu

    • @petermbayi5885
      @petermbayi5885 9 หลายเดือนก่อน +1

      wewe kama unaona yale huyu mtumishi baschali anaongea ni uongo basi wewe fanya mahamusi yako wewe mwenyewe na roho yako na mungu akusaidie

    • @user-qi1ij9us8b
      @user-qi1ij9us8b 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe pascali acha ushenz utakufa kabla ya wakat wako, acha kusema vibaya watumishi wa mungu

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe unae SEMA Paschal alikuwa fremason alikimbia tafakali wewe kwann alikimbia na kufanya mamuzi ya kugeuka kumrudia MUNGU wake jua ni wa kweli anahbili like alicho kiona na kinaendelea katika dunia hii changamka wewe dunia imekwisha Kwanza yesu hakuja kuokoa mtu Alie Safi Bali mwenye dhambi Yesu BWANA wetu alimuokoa ili aifanye kazi yake kugeuza mioyo ya watu iliyopotea

  • @albertmlay8342
    @albertmlay8342 9 หลายเดือนก่อน

    Swali langu zabur 150 inasema tumsifu MUNGU kwa kucheza sasa tunaomba mtindo wa kucheza kibiblia

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 9 หลายเดือนก่อน

      Yaani kucheza, lkn sio kucheza kama mziki wa dunia. Unatakiwa ucheze polepole. Sio kukata miuno viduku cjui nini hata, havifai mbele za Mungu.

  • @leonardmakwela5551
    @leonardmakwela5551 9 หลายเดือนก่อน

    Roho za madhehebu ziangamie ndani ya mioyo yetu !
    Njia ni kumwamini na kimfuata
    Yesu tu

  • @obedcosmas1649
    @obedcosmas1649 9 หลายเดือนก่อน

    BARIKIWA MTUMISHI WA MUNGU

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 9 หลายเดือนก่อน

    We jamaa Huna lofoten sijawai kuona ukifundisha watu njia za mungu za ya kuboboja tu utombo,

  • @gbi380
    @gbi380 9 หลายเดือนก่อน

    Maandiko yepi anayapotoa? Yataje hayo maandiko

  • @florencendatila9183
    @florencendatila9183 8 หลายเดือนก่อน

    Yani tuombe Mungu atupe macho ya rohoni bila ivo

  • @user-uc5kq4ke8t
    @user-uc5kq4ke8t 9 หลายเดือนก่อน +2

    MTUMISHI WA MUNGU ACHA KUNYOA KIDUNIA.

  • @emmanuel-tl5zg
    @emmanuel-tl5zg 9 หลายเดือนก่อน

    Paschal cassian inakupasa utubu, kipimo hicho hicho unachowapimia wengine utapimwa kwacho, maana imeandikwa kazi zetu zitapimwa kwa moto.

  • @vashtyburge3998
    @vashtyburge3998 8 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli mtumishi wa Mungu. Umefika wakati wa kusema kweli na kukemea maovu. Watumishi wa nalindana. Hawakosoani eti ni wapakwa mafuta. Hayo mafuta kawapaka nani? Ina maana mtu akianzisha tu kanisa ni mpaka mafuta? Mafuta gani hayo?

  • @imanimwanjoka2671
    @imanimwanjoka2671 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae asaidiwe , kwa hiyo ww ndo mtumishi wa kweli

  • @JacklineMoti
    @JacklineMoti 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kutumia Zaidi maana hata mm nlikua naifualia but ikifika mda Sio mrefu nkasikia roho ikinihukumu n unsuscribe nka unlike nkajiondoa huko juu maongezi pekee utajua huu mlango sio

  • @judithnakoli
    @judithnakoli 9 หลายเดือนก่อน

    pia hizi tabia za kupanda mbegu chafu ya watoto kucheza tu,wala sio kuwafundisha neno ndio tunapata kizazi kibaya kisio mjua Mungu..

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa injili yake ni kama ya kulola Ilikuwa ikisema ukweli kwa kukemea uovu.

  • @sonywajustus
    @sonywajustus 8 หลายเดือนก่อน

    Umsema mtumishi hivi sio jia sahii
    Kwa mandiko yametoa mwelekeo wa.kurekebisha mtu
    Sasa mbona usimfikie mtume?

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 9 หลายเดือนก่อน

    Tuonye mimi ni TAG lakini unachotuonya ni kwelii,ila aliyeweka msingi kwa TAG siyo Kulola ni Lazaro

    • @barakaelias1116
      @barakaelias1116 9 หลายเดือนก่อน

      E,A,G,T ndo kulola Lakin T,A,G baba yake ndo huyo E, A,G,T

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 8 หลายเดือนก่อน

      @@barakaelias1116 we E.G.T walimeguka kutoka T.A.G.soma histolia kaka

  • @josephnkwamino6509
    @josephnkwamino6509 9 หลายเดือนก่อน

    Mwingira ana tumia mafuta ya upako,wanawake wanavaa suruali kanisani,wanasuka na wanakuwa wachungaji sijui maandiko hayo yako wapi kweny bibilia

    • @nzbtscounselor7385
      @nzbtscounselor7385 8 หลายเดือนก่อน

      kamsome nabii yoeli

    • @josephnkwamino6509
      @josephnkwamino6509 7 หลายเดือนก่อน

      Yoel 2:28
      KUTABIRI-siyo kuwa mchungaji, KUOTA NDOTO siyo kuwa mchungaji na KUONA MAONO-siyo kuwa mchungaji
      SHETANI HUTUMIA NENO KUKUPOTOSHA NA KUKUDANGANYA HAKUNA ANDIKO LILILOSEMA MWANAMKE AWE MCHUNGAJI NI SHETANI TU KAVAMIA HAPO

  • @florafrancis1598
    @florafrancis1598 9 หลายเดือนก่อน

    Ztuambie au tuonyeshe nabii wa kweli

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 9 หลายเดือนก่อน

    True, they care to better their lives none than other. They're tricky and most canning with their false prophecy and as we human being, we're tricked and follow. Chukizo batakatifu pa Mungu.

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @yudomalex5499
    @yudomalex5499 5 หลายเดือนก่อน

    kWANI MZIKI WA tAARABU NI WA SHETANI?

  • @anthonylusuva6039
    @anthonylusuva6039 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli Mungu azidi kukutumia

  • @MiracleChurchGairo
    @MiracleChurchGairo 8 หลายเดือนก่อน

    Wakweli nani tuambie lli tujue wakweli nan

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 9 หลายเดือนก่อน

    Nikweli daudi alikua anacheza kwa sababu sanduku ya Bwana imerudishwa!.Sasa wewe wa sebene Kama Mungu amekuponya yesu walimbusu na mgumbatia na kumpigia makofi na magoti hata wengine akawakataza wasiseme miujiza!.

  • @mashangalimashangali8327
    @mashangalimashangali8327 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji panahitaji roho ya Bwana kumuelewa na sio kwa roho za mihemiko ya kule tuliko na kuwaamini hawa Manabii.

  • @justinbaguma9912
    @justinbaguma9912 9 หลายเดือนก่อน

    nacho elewa kwako ni wivu wa wale washika wanao amini kwenye imani hizi
    tubu wewe pascal kuwapotosha watu wa mungu

    • @charlesmoses275
      @charlesmoses275 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisa huyu Paschal kaishiwa swaga

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 9 หลายเดือนก่อน +1

    Na hivi mtu akiitwa mtume au nabii ndie wa uongo ,vip huduma nyingine za kichungaji,kiinjilist na walimu,,,,,? Take care,kama hujui mtake Bwana akufunulie,na mwenye hekima anamfuata inbox kama unahc kuna eneo haliko sawa,kwan ww ni mtumish wa wote na si kwetu tu, vip kama hataona hii clip?,,,,

    • @eligiuselias4469
      @eligiuselias4469 9 หลายเดือนก่อน +1

      Umeangalia na kusikiliza mpaka mwisho?

  • @user-ro2mb5uc1y
    @user-ro2mb5uc1y 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU azidi kuku Linda mtumishi

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 9 หลายเดือนก่อน +1

    Utavunja matunda ya unacho panda.wasio elewa wanakuona upo sahihi .

    • @lusubilotembo7262
      @lusubilotembo7262 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli kbs yeye anaongea asiyo yajua

    • @eligiuselias4469
      @eligiuselias4469 9 หลายเดือนก่อน +1

      Andika wewe unayoyajua ili nawe uwasaidie hao wasioelewa,
      Sema wewe unaelewa nini?.

  • @emmanuel-tl5zg
    @emmanuel-tl5zg 9 หลายเดือนก่อน

    Hubiri injili ili watu wamjue Yesu.

  • @neemamatiko3745
    @neemamatiko3745 9 หลายเดือนก่อน

    Kama mnataja manabii wa uongo semeni basi wa kweli ili watu wahamie huko,wa uongo mnasema w kweli mbona hamsemi

  • @AyubuFumbi
    @AyubuFumbi 9 หลายเดือนก่อน

    Baba chapa kaz binadam hawana jema