ASKOFU METHODIUS KILAINI ATOA UFAFANUZI HUU TAMKO LA PAPA FRANSIC KUBARIKI WAPENZI WA JINSIA MOJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 375

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 10 หลายเดือนก่อน +4

    Poleni sana wafuasi wa RC. Kukubali mwongozo wa kiongozi wenu mkuu katika hili ni sawa na kusema shetani atawaingiza mbinguni!

    • @MichaelMagoti
      @MichaelMagoti 10 หลายเดือนก่อน

      POLE SANA 😂😂😂

  • @joshuanyamaiswe4327
    @joshuanyamaiswe4327 10 หลายเดือนก่อน +16

    Watu wanachelewa sana kujua kuwa ndiye mpinga kristo na akaapo ndipo penye kiti cha enzi cha shetani.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 10 หลายเดือนก่อน

      Nani alikwambia ilo andiko linamaanisha hivyo? Kweli we kituko, kama hujui kitu kaa kimya

    • @reubenbushiri1753
      @reubenbushiri1753 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@francisjoseph1074Masabato huyo achana naye atakupotezea muda tu

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu katika Uislamu dini pekee inayopiga vita kufuru kama hizi za sodoma na gomora

    • @joshuanyamaiswe4327
      @joshuanyamaiswe4327 10 หลายเดือนก่อน +1

      Uislam ni dini iliyoanzishwa na wakatoliki wenyewe . Hivyo ni Tawi la ukatoliki.
      Ma padri wa kikristo ndio walianzisha uislam. Hata Ibada zao zinafanana.
      Ibada ya wakatoliki ni Ibada ya jua. Ya waislam ni ya mwezi na nyota, Ibada za rozari na huku tashbih. Maji ya baraka na huku maji ya zamzam.nk.

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      @@joshuanyamaiswe4327 Uislamu upo tofauti na izo fikra ulizonazo na huo ni upungufu wa elimu kwasababu hujui misingi ya Imani ya dini ya Uislamu na ya ukatoliki.

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna baraka ya Mungu kwa UJINGA WA WATU WA JINSIA MOJA NENDENI KWA SHETANI MUBARIKIWE HAKUNA BARAKA KWA UJINGA HUO WANYANYAPAWE HATA WAUWAWE

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbariki mwenye dhambi, huu mstari sijaona kwenye biblia. Mimi nimeona mstari kama huu wa Mithali 10:6. Sababu ni kwamba hata sala za mwenye dhambi ni chukizo kwa Mungu ( Yoh. 9:31). Mungu hasikii sala ya mtu mwovu. Sala pekee ya mtu mwovu inayosikilizwa na Mungu ni ile ya kutubu dhambi na kuziacha kabisa na si kuzirudia-rudia dhambi hizo hizo na kutubu. Sasa anabarikiwaje mtu mwovu? Tahadhari ni hii ninyi waumini ambao hamsomi biblia kwa kuwa mmeamini biblia ni ya mapadri, wachungaji, maaskofu na viongozi wa dini, ninyi mtapata taabu sana. Na bila shaka mtaangamizwa sana kwa sababu hamjui kilichoandikwa ndani yake, kwa mafunzo na makatazo yake.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Rimsir kunywa juice na keki ntalipa mimi

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 10 หลายเดือนก่อน +11

    Wakiambiwa ukristo co dini wanakasirika Uyo Papa mwenyewe ni shoga uwezi shangaa kubaliki mashoga wenzie

    • @IbrahimAli-yd1ng
      @IbrahimAli-yd1ng 10 หลายเดือนก่อน +4

      Kabisa

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa kaka Tena huwezi kusikia hata siku Moja eti sheikh anatetea ndo za jinsia moja

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 10 หลายเดือนก่อน +3

      @@HassanJaphari-rx7jy sana kabisa

    • @cadiaOnesmo-hd5lr
      @cadiaOnesmo-hd5lr 10 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo ugaid ndiyo dini ya kwel

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 10 หลายเดือนก่อน

      @@cadiaOnesmo-hd5lr je ushoga ndo dini ya kweli

  • @mussalameck2166
    @mussalameck2166 10 หลายเดือนก่อน +2

    ukisoma ufunuo wa yohana nadhani imezungumzia vizuri sana ile pembe ndogo juu ya mnyama ambae kazi yake ilikua ni kunena makufuru akijifananisha na yule alie juu pinguni ambae ni Mungu ivyo kataeni mnavyoweza ila ukweli acheni tu usemwe kwamba musiyempenda yupo njiani anakuja tena atokawia sana na anakuja kutimiza yale yaliyoandikwa kumuhusu na kufunga istoria ya ulimwengu na sio mwingine ni yule aliepewa nauli akachezea kamali kama wauni wanavyomziaki sasa basi me nazan ni saa ya kushika ulichokishika tena kwa nguvu ili ajapo tupate kukumiwa kwa haki

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Kila neno lililonenwa kwa vinywa vya manabii lazima yatimie,xx tutakuwa kuyakataa yale mapando yote ambayo sio MUNGU ameyapanda,lazima ngono iote pamoja na magugu

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 10 หลายเดือนก่อน +17

    Muwe wa kweli tu, mmevuliwa nguo na papa, ndo maana mnapata kigugumizi kwenye maelezo..😂😂 amesema tena ajaomba wapenzi wa jinsia moja wafungishwe ndoa😢

    • @IbrahimAli-yd1ng
      @IbrahimAli-yd1ng 10 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kabisa

    • @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
      @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 10 หลายเดือนก่อน

      Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
      @kwayaviwawaparokiayabashne9281 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ulikua wapi wakati baba mtakatifu anasema acha kudanganyika na waadishi feki Baba mtakatifu hawezi kurusu sisi kuoana

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      Mbona mwenyewe hajakanusha​@@kwayaviwawaparokiayabashne9281

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 10 หลายเดือนก่อน

      Bado hamjasema

  • @manswetitsuut
    @manswetitsuut 10 หลายเดือนก่อน +2

    Siyo kwamba baraka inapatikana kanisan tu elewa baraka inatoka kw Mungu na elewa Mungu yupo mahali pote

  • @ImanSaid-ox3po
    @ImanSaid-ox3po 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wakristo kumbe wanageuzana wao kwa wao.... nilikuwa sijui

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kufuru Kwa kweli M/mungu atuokoe na dhambi hii

    • @ImanSaid-ox3po
      @ImanSaid-ox3po 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@HassanJaphari-rx7jy Nilikuwa sijui kwanini mapadri hawaoi leo ndo nimejua {kumbe huwa wanalana wao kwa wao}

  • @alphoncembasa592
    @alphoncembasa592 10 หลายเดือนก่อน +9

    Kubariki maana yake nini sasa . si ni kuunga mkono

  • @kasimmohamed8225
    @kasimmohamed8225 10 หลายเดือนก่อน +7

    hapa hakuna dini

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      Uislamu ndio Dini ya kweli na uzima

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu Baba Mwenyezi Akutunze mtumishi Wake kupinga anachokitangaza Papa. Inatisha Sana!!!

  • @DativaEvarister
    @DativaEvarister 10 หลายเดือนก่อน +5

    Ifike mahali wakatoliki musome biblia muache kusomewa jumapili kutoka kwenye misale ya waumini, mtajikuta kuzimu na mtakuwa mmechelewa kumrudia Mungu

    • @benedictmsofe5859
      @benedictmsofe5859 10 หลายเดือนก่อน

      Ooh masikin... Pole ndugu yangu ambaye tayari umeshafika mbinguni

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 10 หลายเดือนก่อน +1

      Haswa na shetani hataruhusu kitokee hicho kitu ndani ya hii taasisi kwani wataifaamu kweli na kweli itawaweka huru Yohana 17:17 na neno la Mungu ndio kweli inayotakasa/ kutusafisha na uchafu wote yohana 8:32
      Ushauri Mungu amekwisha utoa kwenye kitabu cha ufunuo 18:4 (Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
      Ufunuo 18:4

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli wee hamnazo unamwambia mwenzio maskini? ila wewe ndo maskini wa fikra

  • @elizabethkimwemwe7847
    @elizabethkimwemwe7847 10 หลายเดือนก่อน

    Ni wakati wa kusoma boblia hasa vitabu vya Daniel na Ufunuo, bado mengi na makubwa zaidi yanakuja roho ya mpinga Kristo iko kazini,tokeni kwake mkimbie ghadhabu ya Mungu.

  • @paulina.baynit7970
    @paulina.baynit7970 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ilikuwa muhimu kweli baba Mt. kusaini hiyo documenti isiyo na maadili kabisa! Maaskofu Tz. Toeni maelezo ya kueleweka maana mnazidi kutuchanganya.

  • @manswetitsuut
    @manswetitsuut 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mi mkatoliki lakini kutakuwa maajabu zaidi mbeleni, tusihangaike na makanisa mbona Mungu Kweliii yupo tena ni Alfa na omega maarifa iko wapi watu wa Mungu dini au kanisa usitegemee ikufikishe mbinguni. Namshukuru Mungu kumjua yeye alie mwanzo na mwisho

  • @MexiTanix
    @MexiTanix 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kanisa Katoliki ni kanisa la kishetani. It's only a matter of time, a lot more will come to light

    • @MichaelMagoti
      @MichaelMagoti 10 หลายเดือนก่อน

      SHETANI HANAFANYA KAZ KUPITIA WATU WALIO KANISAN NA SI KWAMBA KANISA NI LA KISHETAN HATA UNAKOSALI YUPO TENA HUENDA ANAKUSUBILI KWA HAMU HAKUCHANGANYE ZAIDI HIVYO SALI USIJE UKAINGIA MAJARIBUNI NA SI KUONGEA UNAVYOSEMA

  • @aloycejaccob9827
    @aloycejaccob9827 10 หลายเดือนก่อน +5

    Acheni viburi waikiristu wenzangu tupige vigelegele tufurahi😢kwa kuwa mungu wa kweli ametufunulia tumeshamjua shetani

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa ndio maana anapoulizwa anarejea kwa baba ake mtakatifu maana ndie amemuajiri,lakini Kama angekua ameajirirwa na Yesu mwenyewe angerejea kwenye biblia kwani Jambo liko wazi,shida ya watu hawaelewi kuwa dini zinatoka kwa wazungu Ila wokovu unatoka mbinguni, Mungu atusaidie tulio tayari kusaidika mashoga wakafe peke yao

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 10 หลายเดือนก่อน

      Jamani, Askofu Kilaini anatoa idhini ushoga? Shetani kamdanganya kidogo tu Askofu chali, na usomi wake.

    • @MichaelMagoti
      @MichaelMagoti 10 หลายเดือนก่อน

      SHETANI!!!!!!!!!!!
      WE MWEMA ETIII
      YESU ALIWAITA NYIE WANAFIKI

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 10 หลายเดือนก่อน +3

    Karibuni katika uislamu kwenye dini ya haki na yenye kusimamia amri za Mwenyezi Mungu mtukufu bila kupindisha pindisha

    • @akilyemily5788
      @akilyemily5788 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nawe ndio umepotea muislamu na mkatoliki ni walewale wana nywea kikombe kimoja kama uamin muulize shehe wako maana ya kufisha na kuhuisha akupejibu kama ajakuambia subili nika muulize shehe mwenzangu na akikujibu mwambie mbona mna kataa isa akufa aliali Quran ina kubali

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 10 หลายเดือนก่อน

      @@akilyemily5788 unazingumza utumbo ukidhania sijui Dini, Quran inatwambia na wala hawakumsulubu na hawakumuuwa. Na wewe Kwa Akili zako binaadamu akifa akafufuliwa ndio anakuwa Mungu? Au Akili yako inakwambia Mungu anaweza kufa ? Huenda hujui hata maana ya Mungu ndio maana hujui unalolisema. Mungu ni wa Kwanza asokuwa na mwanzo na Hana mwisho, Muumba WA vote na muweza WA kila Jambo, yeye ndio mwenye kustahili kuombwa na wala haombi wala kumuhitajia mwengine. Sasa Nambie unijibu Jesus anasifa za Uungu kama nilizozitaja hapo juu ?

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kati ya dini swezi kuwa nipamoja na uislam mohamd mwenyewe alikabaka ka aisha afu aniambie nioe wake watatu tu ingali ye alioa zaidi?

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 10 หลายเดือนก่อน

      @@ivonaevarista4654 jibu suali nililokuuliza , Mungu Kwa ufahamu wako Ni Nani na anasifa zipi za kipekee ili aitwe Mungu WA kweli

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini kiongozi mkubwa kama huyo anatoa tangazo/waraka/unao hitaji maelezo kiivo,,,,,,,, sasa kama baraka zinatolewa kwa watu wote ,ilikuwa vip watu wa namna hii ndio wakatajwa specifically? Kwanini isisemwe baraka za kahaba

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 10 หลายเดือนก่อน +2

    upo sawa usibariki ndoa hiyo mungu akurinde

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya ukristo na ukristu

  • @paulmayala9798
    @paulmayala9798 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ni vizuri sema mwenye chanel unaandika caption za uongo yaani zinatofautiana na kilichoko ndani!

  • @walterbhoke7935
    @walterbhoke7935 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi ya papa tangu mwanzo ni kupingana na mungu

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 10 หลายเดือนก่อน

      Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
      Danieli 7:25

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Yametimia wallah

  • @JosephMkumbo-ph9po
    @JosephMkumbo-ph9po 10 หลายเดือนก่อน

    Aksante baba Kilaini kwa ufafanuzi mzuri.

  • @yasintaMkama
    @yasintaMkama 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli Dunia imekwisha, mbona mtu akibeba mimba ananyimwa masakramenti, Sasa watakuwa wanaoana wenyewe bila padri, Kisha wanakuja kubarikiwa , hivyo wataishi na baraka feki,someni kitabu Cha warumi sura ya kwanza Pao alivyowaelezea, na kumbukumbu la torati limesena Hilo ni chukuzo Kwa Mungu.mbona hujibu vizuri maswali unarukia ya taraka, kweli metuvunja mioyo muafrika gani anapenda kusikia ushoga, Mungu aingilie kati sikieni maaskofu wenzenu wa Kenya nigelia na Gana wameona Bora kufukuzwa kanisani kuliko kufanya dhambi ha

  • @unyakuotv.1391
    @unyakuotv.1391 10 หลายเดือนก่อน

    Okoka sasa, umpe Yesu maisha yako kabla siku mbaya hazijakukuta, (siku ya kifo ukajikuta kuzim)

  • @rugalindaevodius8579
    @rugalindaevodius8579 10 หลายเดือนก่อน +3

    😢😢Laiti Papa ungemjua Yesu Kristo ungelisaidia kanisa la Mungu. Naomba umpate Kristo kwanza ili usiwe mkristo bila Kristo, wokovu ni halisi (Yesu yupo tele na anaokoa) maana Didi ni mwanadamu akijaribu kumtafuta Mungu ila wokovu ni Mungu anamtafuta mwanadamu, chanzo cha hayo yote ni kumkataa Mwokozi Yesu na kwenda kwa desturi zenu, ndo maana Martin Luther aliwagundua mapema akachomoka akawa salama. Plz nawaita Wakatoriki wenzangu okokeni njoo kwa Yesu haraka msife na dini shingono mkamkosa YESU mwenyewe😢😢😢 YESU ANAOKOA, YESU ANAOKOA, YESU ANAOKOA❤

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 10 หลายเดือนก่อน

      Hilo tu

    • @MichaelMagoti
      @MichaelMagoti 10 หลายเดือนก่อน

      TATIZ SI YEYE ILA NAFIKIR NI MADARAKA NDO SHIDA

    • @moriskalegeleshusha2619
      @moriskalegeleshusha2619 10 หลายเดือนก่อน

      Tafuta mtu akufundishe kitabu cha ufunuo ndo utamuelewa vzr huyo papa ni nani na amekaa hapo kwaajili ya nn

    • @MichaelMagoti
      @MichaelMagoti 10 หลายเดือนก่อน

      WE UMEKARIRI UFUNUO TU WAKATI BIBLIA NZIMA NI UFUNUO.
      TUSIONGEE SANAKIFUPI NI KWAMBA WEWE KAZ YAKO SI KUJUA HAYO HUNAYOTAKAKUJUA KAZI NI KUWA KATI YA HAO WATAKATIFU HUKO MBINGUNI NA SI HAYO AMBAYO HATA KWENYE KICHOCHORO CHA MBINGUNI HAYAKUPELEKI. SO BADILIKA NA WASAIDIE WENGINE KUBADILIKA KUSUD TUFIKE MBINNGUNI SOTE
      KUWA MAKINI USIJE HUKAJIKUTA HATA MBINGUN HUTA ENDA HAF UKAJIKUTA NA HUYO UNAEMWONGEA HUKO MOTON @@moriskalegeleshusha2619

    • @maheitumdintunya2928
      @maheitumdintunya2928 10 หลายเดือนก่อน

      wewe unataka kusema papa hamjui yesu kuliko wewe

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 10 หลายเดือนก่อน

    Hili ni tatizo. Papa asamehewe. Ukasimamishe hao MAZABAHUNI na kuwabariki. Hapana hapana.. Mungu mkuu aturumie tu.

  • @akilyemily5788
    @akilyemily5788 10 หลายเดือนก่อน +2

    mnajitetea nini hiyo ndiyo dhamira yenu ufunuo wa yohana 18;2 akalia kwa sauti kuu akisema umeanguka babe like mkuu umekuwa masikani ya mashetani na ngome yakila roho chafu. Kuwen makini huyu ndiye mpinga kristo aliye tabiliwa atakuja

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika Uislamu dini pekee inayopiga vita kufuru kama hizi za sodoma na gomora ushoga

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 10 หลายเดือนก่อน

    Ivi hao watu inakuaje wawe vile wanajifunza au ndowaliletwa Duniani ivo walivo au inakuaje kitu kingine nini mahana ya ndoa nasubili mungu afanye kazi yake sijui kesho yangu mungu yuko karibu sana na yule anae mwitaji aina aja ya matusi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Wengi wanabadilishwa na hawa washenzi wamagaribi,Kuna pipi dawa za meno,pufim sabini ,pad,chancho wa wanaweke wajawazito na watoto,vyakula,na tamaa ya Hela kwa wengine nk

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 10 หลายเดือนก่อน +7

    Wenye dini yao washasema na mlivyokuwa hamna akili mnamwita mtakatifu

    • @ZakayoJoseph-g5p
      @ZakayoJoseph-g5p 10 หลายเดือนก่อน

      Eti mtakatifu ni mungu muumba wa mbingu dunia na malaika kama vile Gabriel

    • @sigfridchristian1890
      @sigfridchristian1890 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @thamani5842
      @thamani5842 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kama utakatifu ndo uo ushetani ukoje

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 10 หลายเดือนก่อน +1

    Watumishi wa mungu hayo yote hayatokei kimakosa neno la mungu lazima litimie kupitia Nabii DANIEL 7 ,Kuna watumishi wa mungu wamevaa ngozi ya kondoo lakini ndani yao ni mbwa mwitu wakaliii, Watumishi mnapoambiwa papa ndiyo wakala wa Ile namba 666 muelewe someni jamaani,

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน

    Tutaona mengi sana.PAPA APINGANI NA MAASKOFU KUHUSU KUFUNGISHA NDOA ZA JINZIA MOJA

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu papa,ni waku zimu,shetani ndio anaweza akakubaliana na uchafu huu,wa uharibifunwa haki za binaadamu,mkatarni papa ametia aibu kubwa jina la Kristo,

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 10 หลายเดือนก่อน

    YESU KRISTO hajasema tubariki wenye dhambi ila ametupa agizo kuhubiria wenye dhambi aaminiye na kubatizwa ataokoka kwani ninyi wokovu unatoka kwenu?mdo maana hamuoi mnamuiga paulo uku baadhi n vizinzi vishoga mnasagana mufe msipotubu uovu wenu asema BWANA WA Majeshi.

  • @manswetitsuut
    @manswetitsuut 10 หลายเดือนก่อน

    Ukitafakari Amri za Mungu vizr, Dhambi imehalalishwa Kw sisi Wakatholic lakini wengi hawajaelewa Kabisa na hata umwambie vipi hakibali wacha tuone mim sipo hapo kw Saiv

  • @laurentjoseph6204
    @laurentjoseph6204 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani Mungu aliwachoma mashoga wa sodoma na gomora, huyu jamaa anayeitwa papa anawabariki mashoga.... Wakristo poleni sana,hakuna dini hapo, ni usanii tuu wa kupigiwa vinanda ,hameni haraka!!

  • @mohamedichande-eb6jh
    @mohamedichande-eb6jh 10 หลายเดือนก่อน

    Aibu hyoo!

  • @Lidyakagondi-h9b
    @Lidyakagondi-h9b 10 หลายเดือนก่อน +3

    Uislam ni dini ya haki

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 10 หลายเดือนก่อน

    Mnatia aibu sana,Badala mkemee Ufiraji mnabariki wafiraji na wafirwaji? Huo ni ukichaa

  • @benedictmsofe5859
    @benedictmsofe5859 10 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji rekebisha kauli... SIO KWAMBA Kanisa "BADO HALIJARUHUSU". Ukisema BADO unamaanisha kuna siku itaruhusiwa... kitu ambacho hakipo.

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 10 หลายเดือนก่อน

    Askofu Kilaini hajesema vizuri. Mimi nampongeza BABA ASKOFU Kasala na Thadeus Ruwaichi Hawa wamekata kubariki! Sasa Kilaini anasema BARAKA ya Mungu iende kwa Kila mmoja hata shoga kweli!?? Nakataa kwa nguvu zangu zote

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 10 หลายเดือนก่อน

      Kibabu kinazeekea ushetani.
      Sitokaa niende kuhuzuria misa inayoendeshwa na Kilaini.

  • @pariskatene
    @pariskatene 10 หลายเดือนก่อน

    Kama mungu aliwaangamiza sodoma na gomora alafu leo uje ubariki watu kama hawa ata uteteee vipi mungu hawataki wa nao fanya mambo Aya ....laila ilallah Muhammad lasullullah

  • @aloycejaccob9827
    @aloycejaccob9827 10 หลายเดือนก่อน +6

    Ndiyo maana Mimi niliacha kwenda kwenye kanisa hili kabisa nilishawashitukia

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      Yaani kanisa ni ushetani tu naona. Ati anabariki huku anajidai hataki 😂. Yaani anatoa matako makusudi yaliwe halafu anajidai hataki kuwavunja moyo wanaokula matako ili apendwe na Mungu!!!. Heee, Mungu yupi huyo au SHETANI ?!!!!!!

    • @Alex_Anania
      @Alex_Anania 10 หลายเดือนก่อน

      Ulifanya vzr

    • @Alex_Anania
      @Alex_Anania 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wana Mambo ya giza.

    • @cadiaOnesmo-hd5lr
      @cadiaOnesmo-hd5lr 10 หลายเดือนก่อน

      Tatizo wengi hawaja fumbua macho Yani ni dini iliyo Vaa vazi la kondoo lakini ukiifuatilia kiundani utabaki na maswali Mengi mfano hvyo visanam Hadi wanavitembeza barabarani hvi kweli ni mtume yupi aliye Fanya hvyo, na Visalia vingi vingi vya watu walio kufa hvi Yesu hatoshi kukuombea mpaka sijui mtakatifu enyasi mara Petro natuvijitabu twingi twingi hvi Biblia haijitosherezi kweli tuamke zama zimebadirika Unapenda kusari Muombe Roho mtakatifu akuongoze sehem sahihi

  • @eliasgeffi9718
    @eliasgeffi9718 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kubariki watu wa jinsia moja maandiko yanasema Ni uchafu sasa unabarkije acheni siasa hapo mmechemka

  • @nasraammo9759
    @nasraammo9759 10 หลายเดือนก่อน

    Hii imeenda

  • @hafidhbarau9981
    @hafidhbarau9981 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 wakristoo, ukristo ni dini ya mashogaaa
    Ingieni kwenye uislamu hiyo sio dini

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa taarifa yako Ukristo sio dini,ni mahusiano Kati ya mtu na Mungu,wala Yesu hakutuletea dini,alituletea upendo.wazungu na waarabu ndo walileta dini ndo maana kila siku dini inaletaga ugomvi

  • @SalomeRenatusi
    @SalomeRenatusi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaenda kanisani siyo kumuabudu papa wala Askofu bali ni Mungu na mwanae Yesu Kristo Kila mtu atabeba msalaba wake

    • @Africaamkenitznawenuso
      @Africaamkenitznawenuso 10 หลายเดือนก่อน

      Unakubalije kutengewa chakula mwenye chombo kichafu nakinanuka ivyo

    • @AsimweGervas-tm1gf
      @AsimweGervas-tm1gf 10 หลายเดือนก่อน

      Acheni uongo papa hajaruhusu hilo,habari mnazotoa ni za uongo mtachomwa moto.

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika Uislamu dini pekee inayopiga vita kufuru kama hizi za sodoma na gomora ushoga

    • @moriskalegeleshusha2619
      @moriskalegeleshusha2619 10 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo anae wafundisha na kuwafungisha ndoa ni MUNGU au mwanae mbona kama una moyo mugumu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Haya tuambia hiyo Fransisco amesemaje

  • @ufunuoeliya719
    @ufunuoeliya719 10 หลายเดือนก่อน

    Kwan.chaajabu kipi izi dini za wazungu ni ushoga mbona tu kivuli ni Mungu lakin uhalisi si Mungu watu wanatetea vya dunian ila hukumu imeshasimama na kila.kazi itapimwa tena kwa moto

  • @stevenjoshua5866
    @stevenjoshua5866 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mashoga nyinyi utabaliki vp mashoga

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu katika Uislamu dini pekee inayopiga vita kufuru kama hizi za sodoma na gomora (ushoga)

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 10 หลายเดือนก่อน

      Hawa waliyo kubali kubariki na kuharalisha ushoga nadhani ni mabasha akiwemo kilaini
      Utachomwa moto hapahapa duniani

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo 10 หลายเดือนก่อน

    Mushindwe na mchomwe kwa moto wa roho mtakatifu, mtakatifu ni YESU kristo pekee,tena papa ni samaki.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Yesu kristo alisema mtakatifu ni MUNGU pekee

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Yesu kristo alisema mtakatifu ni MUNGU pekee

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kanisa la hovyo hili nilikuwa sijui aise aibu kweli kweli 😢

    • @MichaelMagoti
      @MichaelMagoti 10 หลายเดือนก่อน

      WATU WAKE NI WA HOVYO ILA KANISA ALIWEZ KUWA HOVYO MAANA KICHWA CHA ILO KANISA NI KRISTO KUMBE BADILI KAULI

  • @FRANKDONALDSENGOSENGO
    @FRANKDONALDSENGOSENGO 10 หลายเดือนก่อน

    Ni bora papa yohana paulo wa pili afufuke atetee kanisa la Mungu

  • @bonnymartin3348
    @bonnymartin3348 10 หลายเดือนก่อน

    Maaskofu mnaogopa mini mwambie Papa atengue kauli take ajitokeze hadharani na sio kumsemea. Na kuitwa baba mtakatifu lifutwe kabisa.

  • @Brave7371
    @Brave7371 10 หลายเดือนก่อน

    Tuelezeni,
    Kubariki maana yake nini,
    Mnabariki uchafu halafu mnajitetea,
    Huo Ushoga utalimaliza kanisa Katoliki,
    Kwanza hata kumwita mtakatifu Ni makosa makubwa.

  • @hussenaaghe2760
    @hussenaaghe2760 10 หลายเดือนก่อน +1

    Laana kubwa sana

  • @proschesicoAllysumail
    @proschesicoAllysumail 10 หลายเดือนก่อน

    Tuambieni basi hao mashoga na mabasha mnawabariki wakiwa wawili au ?

  • @MugishaZainab
    @MugishaZainab 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hayo maneno nitofauti na kauli ya PEPO mtakatifu hivi kwenye wa kristo wanawaelewaje Waha viongozi 😂😂😂 Yani Mungu anawalani Watu wajinsia Moja afu wewe uje tu kuwabariki afu unawabariki 😂😂 eti papa mtakatifu Yesu mwenyewe alikataaga kuitwa mtakatifu fungukeni bhana

  • @castmasawe3275
    @castmasawe3275 10 หลายเดือนก่อน

    Ukishajua mtu anafanya kosa Fulani mwelimishe ili aache lile kosa asije kupata madhara mbeleni...unaposema unambariki shoga wakati unajua amepotoka kwenye njia ya Mungu Mimi hapo sikuelewi unajua....kwamba unambariki ili aendelee kuwa shoga ama abadilike amche Mungu..Askofu alitoa maelezo angenisaidia kwanza..kwanini tubariki mashoga tu je walevi wazinzi wachawi mbona hatuoni..Mashoga kwenye agano la kale ukijulikana tu Ni mawe Hadi kufa Sasa tunaambiwa wabarikiwe jamani.

  • @catherinemsigwa8167
    @catherinemsigwa8167 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kanisa likemee dhambi na watenda dhambi,na siyo kuwabariki,wakijua wanabarikiwa wataona wanavhokifanya ni sawa

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 10 หลายเดือนก่อน

      Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
      1 Wakorinto 6:9-10. Chunguza onyo la biblia kuhusu uovu wa aina zote ni upi hawauungi mkono kwani!

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani kuanzia leo nikisikia Askofu wa aina yako unaendesha misa sitokaa nihudhulie maana ni misa ya kishetani/ kishoga.
    Washawishini waache ushoga kwa kuja kanisa waungame zambi zao na kutubu, hiyo ndio HEKIMA.
    Shetani kwa mtego mdogo tu Askofu Chali.
    Mashetani huko yaliko yanasherehekea ushindi mkubwa sana kwa Kanisa Katoliki kuwatambua na kubariki ndoa zao za jinsia moja.
    Shame on you.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kunamchakato wa kuunda dini moja new world order,,na huo mji unaojengwa hapo Dubai bila shaka ndo funga kazi

  • @georgenjeri8547
    @georgenjeri8547 10 หลายเดือนก่อน

    Kama Una Macho Usiangalie Tu,Inafaa Uone.Kama Una Sikio Usiskize Tu,Inabidi Uelewe Pia.Na Kama Una Moyo Jasiri Wa Kiimani,Fanya Maamuzi Yako.Maamuzi Yako Ndio Matokeo Ya Kesho Utavuna Ulichopanda

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 10 หลายเดือนก่อน +3

    Baraka huwez kuwaombea watu wakafanye mamb yasiompendaza mung askofu umesoma bibilia vizur mbona kama una ujinga ndan yake

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 10 หลายเดือนก่อน

      Biblia hipi bro wanayoijua ni wasomi wazuri wa theology wengine mpaka PHD lakini biblia blue kabisa fanya uinjilisti usiwalaumu
      Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
      1 Wakorinto 6:9-10

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 10 หลายเดือนก่อน

      Mbona kila kanisa lina sanamu na wanaliabudia kiongoz nawe umesema bibilia inakataza masanam kuabudiwa

  • @muhimusana
    @muhimusana 10 หลายเดือนก่อน

    Mnazingua Sanaa mbona mtetezi ni mungu hapana mwingine Dunia

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 10 หลายเดือนก่อน

    Mkiambiwa huyo ni wakala wa shetani ninyi hamtaki kuelekea halafu mnakuwa waongo waongo kama vile tu shetani alivyodanganyya pale Edeni, hivii ni wapi uovu Huwa unabarikiwa! Eti kunyanyapaaa ....shoga ulibariki Ili usilinyanyapae? Neno la Mungu linasemaje? Laana ya huu ushoga na ianze na ninyi shetani na awaaibishe na ndipo mtajua ya kuwa Huwa Hana huduma!

  • @LawrenceGingo
    @LawrenceGingo 10 หลายเดือนก่อน

    hata vire vinyago virivochongea nawamakonde viondorewe maramoja nirana nayure syoyo yesu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Tofautisha r na l basi

  • @Duduqwe234
    @Duduqwe234 10 หลายเดือนก่อน

    Mnataka kuhalalisha Usenge na Usagaji Kanisani!

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 10 หลายเดือนก่อน +2

    Izi habari zimetushitua sana sasa inabidi afafanue vizuri sababu atabomoa kanisa letu

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 10 หลายเดือนก่อน

      Kanisa sio lenu nilakwao wazungu ninyi m vibaraka ndio maana hakunaga papa mwfrika zaidi yakutoka ulaya heri umpokee Yesu Kristo usome neno la Mungu ujue yakupasayo

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 10 หลายเดือนก่อน

      Kaka lilikwisha bomoka zamani bro mgeukieni mungu wa kweli someni maandiko biblia maana mmezoeshwa somewa vitabu misale na majarida ya rozali sasa wito wa mungu anasema tokeni kwake enyi watu wangu msishiriki zambi zake ufunuo 18:4

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂maana yake hakunaga dhambi dunian bali tunajifungaga wenyewe. Kubariki maana yake kuharalisha.

  • @thamani5842
    @thamani5842 10 หลายเดือนก่อน

    Ooh mara hataki mara anabariki, ubabaishaji tu, hivi mtawapotosha watu mpk lini?

  • @kellymwegelingoha.3306
    @kellymwegelingoha.3306 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wakristo wote ni mashoga mamae

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 10 หลายเดือนก่อน

    ACHENI UPUUZI NDIO MAANA YULE BENEDICT ALIJIUZULU. ALIKATAA HUO USHETANI. NYIE MMESHARUHUSU USHOGA KINAMNA FULANI. SASA KWANINI MTANGAZE KUWA RASMI MASHOGA WATABARIKIWA

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa mmeshindwa kuvunja mnatuletea ushoga

  • @godlistenlazaro775
    @godlistenlazaro775 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo anatetoa huo ufafanuzi anahitaji neema ya Mungu. Namwambia atazitolea hesabu hizo roho za watu anazozisemea anazibariki. Narudia SHETANI AMELIINGILIA HILO KANISA. Mnabariki dhambi? Ninyi mtatolea hesabu roho za watu!

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika Uislamu dini pekee inayopiga vita kufuru kama hizi za sodoma na gomora

  • @AbeliZebedayo-qh6uv
    @AbeliZebedayo-qh6uv 10 หลายเดือนก่อน

    Mm ndo maan stak hat kusal dheheb la roma ingawa mm ni mroma na staki kabisaa kusali

  • @thamani5842
    @thamani5842 10 หลายเดือนก่อน

    Mnajidai kumtetea uyo papa wenu lkn nyie ata kuna makanisa yashafungisha sana tu ndoa za jinsia moja. Saivi mnaingia huku mkitokea, mkiambiwa dini ya kweli uislam mnajitoa faham

  • @LucasNtalima-wq6ok
    @LucasNtalima-wq6ok 10 หลายเดือนก่อน

    Acheni uongo mlipaswa kukemea dhambi hii ya ushoga mnaanza kidogo kidogo huwezi kubariki ushoga.

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 10 หลายเดือนก่อน +4

    Ni kanisa langu ila naanza kulichukia kwa mambo ya kisenge kama haya kati ya mtu ambae ni mkristo ila akawa haendi kanisani Wala jumuiya hapo utazikwa kama mbwaa na ukiwa shoga ndoa zibarikiwe Sasa si uku*huu

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika Uislamu dini pekee inayopiga vita kufuru kama hizi za sodoma na gomora

    • @saidijafari2812
      @saidijafari2812 10 หลายเดือนก่อน

      Karibu kwenye uislamu dini pekee inayoongozwa kwa kitabu na si kwa kauli ya mtu na maandio hayabadiliki na hayatabadilishwa eti ili kuendana na wakati sheria ya mungu ni ya mda wote. Huwezi kuta shehe wa msikiti wa makka akalala na kuamka akasema ili kuendana na matakwa ya walio wengi kuswali Sasa hivi swala mbili tu asubuhi na usiku mchana mda wa kazi hakuna hiko kitu swala zilikua tano na zitabaki tano hamna kuongeza wala kupunguza ukiacha bc ni juu yako lakini maandiko hayajabadilika . Na ikitokea shehe wa msikiti wa makka akaleta sheria zake bc anaweza akapigwa maswali hata na mtoto wa miaka 7 tu kwa kupitua maandiko huu ndio uzuri wa huku haki bin haki elimu sawa

    • @cadiaOnesmo-hd5lr
      @cadiaOnesmo-hd5lr 10 หลายเดือนก่อน

      Muombe Mungu akuongoze upate mahalo sahihi pa kuabudu hzi ni nyakati mbaya watu wanatumia dini kuficha uovu lakini hata hvyo Roho yako inakushuhudia kuwa ameshakubari ushoga toroka Maana maandiko yako wazi hakuna kiricho sirini ambacho hakita nenwa hazarani wali kiricho sitirika ambacho hakitajulikana ndo kasha jionesha anaongozwa na Mungu hupi maamuzi ni yako

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      We Baki na Imani yako,aliyezikwa na askofu,padri,katekista, na ndugu wote wamezikwa hakuna aliyerudi na kam dhimbi au mema hafutiwi kwani MUNGU peeke ndo anahukumu nafsi ya mtu

  • @muhimusana
    @muhimusana 10 หลายเดือนก่อน

    Kibaraka wa kimagharibi uyoo mnae muita papa anafuwata maagizo tu

  • @obeidchamila6392
    @obeidchamila6392 10 หลายเดือนก่อน

    Hilibsio kanisa sasa NI chama fulani chenye kutaka fedha na ku sapoti ujinga wowote ,Mungu hatoi bataka kwa mashoga ,andikeni waraka na msimamo wenu maaskofu kwaa wakatoriki

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso 10 หลายเดือนก่อน +2

    Msitupumbaze kwa kutaka kuongozwa kipengere cha kutuzubaisha. Kikubwa ushoga hatutaki

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika Uislamu dini pekee inayopiga vita kufuru kama hizi za sodoma na gomora

  • @jacobsimon9649
    @jacobsimon9649 10 หลายเดือนก่อน

    Kanisa haliruhusu na hslifungishi ndoa za jinsia moja so . Hakuna wanandoa wa jinsi moja katika kanisa katoliki hvyo hakuna uwezekano wa kuwabariki hao watu sababu hawatambuliki kikanisa

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 10 หลายเดือนก่อน

    Hakuna binadamu mtakatifu, wewe acha kupotosha unabariki vipi watu wanafanya vitu ambavyo mungu amevikataa. Munapaswa kuwafundisha waache dhambi hiyo na wamurudie mungu wa kweli, na sio kuwabariki. Unapobariki ujinga Ina maana unaruhusu aendelee kufanya ujinga huo. Mungu awasaidie nyie wote mnao tetea uchagu huo kufanyika.

  • @husseinkassimu2714
    @husseinkassimu2714 10 หลายเดือนก่อน

    Maaskofu wa tanzania toweni waraka kama mlivyofanya kwenye ishu ya bandari wanafki wakubwa hiyo sio dini bali na biashara

  • @karutomdee3107
    @karutomdee3107 10 หลายเดือนก่อน

    Usipotoshe naww tekeleza yale ulio ambiwa na papa mnakwepa nn

  • @bernardkuloba2993
    @bernardkuloba2993 10 หลายเดือนก่อน

    Mnaendelea kujikanyaga, yaani ni bora mnyamaze tu, mi sijawaelewa. Wafukuzwe tu, kwanini mkae na mashoga kanisani? Kwa tamko hilo kuna kila dalili kuwa mtakuja kufungisha ndoa za mashoga. Mnaanza kulegeza mdogo mdogo, mwisho mtakubali mabisa. Kwani mkiwaambia wasikanyage kabisa kanisani kanisa litaathirika nini? Kwani hamna waumini wa kutosha hadi muokoteze waumini kiasi hicho? Mpaka mashoga? Kwani mkiwakataa kanisa litaathirika nini? Labda tuwaite kwa kiswahili sanifu WASENGE, mnakaribisha WASENGE kanisani? Nimeandika WASENGE kwa makusudi ili muone ubaya halisi wa kitendo chenyewe, kama jinsi mlivyosisimka kiona neno WASENGE ndivyo jinsi mlivyotukera wakatoliki.
    Kwenye makanisa mengine hawaruhusiwi hata kukanyaga mlangoni, mmeona makanisa yametetereka? Huyu Papa naona amezeeka sasa, ndiomaana anaongea vitu pengine bila kujielewa, nafikiri makadinali wanapomchagua Papa wawe wanazingatia na kigezo cha umri, sio kila wakati wanachagua mzee wa miaka 80+ haya ndio madhara yake sasa. Ametu'demoralize sana, na akiendelea na haya mambo yake tutamuachia kanisa peke yake. 😬😬😬

  • @muslimmuslim512
    @muslimmuslim512 10 หลายเดือนก่อน

    Wew kukuruka upate kigugumizi papa kasha sema mwabaliki wapenzi wanjinsia moja maelezo yangine yanin sasa apo dini haipo tena

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 10 หลายเดือนก่อน

    Aisee askofu kaeleza vzr mnoo

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 10 หลายเดือนก่อน

      anatetea ugali maana anajua akitimuliwa atashikaje jembe kujitegemea maisha

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Wanapelekwa gerezani huko Roma

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 10 หลายเดือนก่อน

    Hao mashoga hawatakiwi kubarikiwa Bali kabisa linatakiwa liwaelekeze mashoga Sara ya TOBA na siyo Kuwabariki.Unawezaje kubariki kitu ambacho Mungu ashakilaani?

  • @husseinkassimu2714
    @husseinkassimu2714 10 หลายเดือนก่อน

    Mnapata tabu bure hiyo sio dini yakweli ukrsto aliuanzisha paulo kwa maslahi binafsi sio dini msio jua mtajua tu

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 10 หลายเดือนก่อน

    Hauja eleweka kabisa Baba tunao kuamini. Lengo ni nini kwa mtu uayemjua ni senge na wako kwenye ndoa yao ya kisenge?
    Unasema eti Baba Mtakatifu mwenyewe kasema, una maana ukiambiwa uwe hivyo utakubali hata kama ni kinyume na neno la Mungu kwa vile Baba Mtakatifu kasema?
    Usituchanfanye wewe Baba. Kama kweli hao wasenge unaowatetea wanania ya kumrudia Mungu mbona njia au nafasi ya kawaida kwa kila mtu ipo?
    Kuungama na kutubu kwa maana ya kutorudia tena?
    Haya endeleeni kubariki mashoga yenu ili waende wakabinuane vizuri kwa baraka zenu na hapo shetani mnalo.
    Biblia ambayo ndio sauti ya Mwenyezi Mungu ipo tunaisoma pamoja na sheria za kanisa, usikubali kufanya chochote kilicho kinyume na Biblia eti kwa saba mwenyewe kasema. No No No.
    Uelewa tunao vilevile.

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 10 หลายเดือนก่อน

    Waswas wangu maaskofu mtanza kuwamendea mashoga na mabahasha watawamendea maaskof.kaz tunayo.

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

    Yeye MUNGU kwanini asiwabariki kwa wakati huo ,iweje iwe xx tena na mwanadu!!!

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu askofu ajitambui kabisa wakat jambo lipo waz papa Francis anahalalisha ndoa za jinsia 1 kwel ukisoma sana unakuwa kichaa ndio maana msukuma bungeni anazishangaa hizi digree

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 10 หลายเดือนก่อน

    Ushogaaa

  • @bukurukayimba9104
    @bukurukayimba9104 10 หลายเดือนก่อน

    Tukisema katika unabii papa ni mnyama anayesemwa katika kitabu cha ufunuo 13 ndio hii ambayo ulimwengu unashangaa na kushtuka ,mpinga mkristo ndio huo upapa.

  • @Rodahpaschal
    @Rodahpaschal 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona yaliyokuwa sirini yanakuwa uwazini kabisa,,,,

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aanza tuone kama atabeba mimba

  • @DICKSONTimoth-xk7rj
    @DICKSONTimoth-xk7rj 10 หลายเดือนก่อน +8

    Kanisa la kishetani Duniani 😂😂😂😂😂

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika Uislamu Dini pekee inayopiga vita kufuru kama hizi za sodoma na gomora

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@HassanJaphari-rx7jyhata hindu,buzza,mizimu nao hawaruhusu, ila Muhammad na yey ni mbakaj,muuaji na mpenda ngono, anatuambia mbinguni tutapewa mipini ka punda na hakuna dhambi, yaan ushoga, ngono za aina zote, pombe, ulafi hoya hoya, hiyo siyo mbingu ni jehanum, neno la Mungu ndio key, na siyo papa

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      @@goldmansun5859 huo mdomo wako mchafu M/mungu ndo atakae uhukumu Kwa hayo maeno yako machafu ya uzushi dhidi mtukufu wa daraja mtume wetu Muhammad pbuh. inshaAllah

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน

      @@goldmansun5859 we si unajiona kidume wa maneno machafu wallah nakuombea Kwa M/mungu Kwa hayo yote uliyoyaongea ya uongo kwasbb ya chuki uliyonayo dhidi ya Uislamu na mtume Muhammad pbuh yakurudie mwenyew na watu wote washudie kuwa umekuwa hivyo Ameen yarabil alaamin

    • @hansiselemani8025
      @hansiselemani8025 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@goldmansun5859
      Ndo unavowaz ila din y haki islam tu..hayo maneno machafu yaliyo na makafir kuusrmea uislam vibaya ila ukweli utajulikana ,,ww fatlia tu