Waaleikum salaam warahmatullah wabarakatuh, MaashaAllah tunazidi kuelimika kwa jumbe na elmu aliyokutunuku Allah. Allah akuhifadhi akuepushe na kila Shari akuzidishie afya na umri wenye kumpendeza allahuma Amin 🤲
Waaleikum salaam sheikh...Thanks for remembering umma the sweet words of Allah! May Allah shower his blessings on to you and give you long life with your family
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh sheikh wetu #nurdeenkishki shukraan jazzakah Allahu kheir kwa kutupa faida katika mambo ya Dini barakallahu fik
Waleykum salam walamadhulilaah wabarakat je mtu akizidiwa na maden na hayo hayo maden na ww ni mmoja wapo wa unae mdai sheikhe unafanyaje unamlipia au unamsamehee tu
Asallamu aleykum shehk nauliza sisi tunafa tutoe zaka zetu nimehisabu n 4000 ili ninunue mchele lkn tuko n jirani yetu ambao ni mama ako na watoto saba n hana uwezo watoto mpaka sasa hawajapata nguo sasa mm nikachukua ile pesa ili nimpatia ili iwe zakatul fitri je yafa
Waaleikum salaam warahmatullah wabarakatuh, MaashaAllah tunazidi kuelimika kwa jumbe na elmu aliyokutunuku Allah.
Allah akuhifadhi akuepushe na kila Shari akuzidishie afya na umri wenye kumpendeza allahuma Amin 🤲
Wallah ingekua watu wanafata sheria ya Allah alivyotuamrisha kusingekua na maskin wala mafukara mtu ako radh atupe chakula lkn kukupa anaona choyo😢😢😢😢
😭😪😪😪
Waaleikum salaam sheikh...Thanks for remembering umma the sweet words of Allah! May Allah shower his blessings on to you and give you long life with your family
Allah awalipe kila lenye kheri in sha Allah
Amina
Jazakallah
Shukran sheikh wetu Kwa ukumbusho
Mashallah tabaraka llah 🥰🌹🎉
Waleikumsalam warahmatulahi wabarakatuh
Watu nane wanao stahili kupokea zakatul fitri.
1.fukara
2.maskini
3.wanaosambaza zakaa
4.waliosilimu
5.watumwa
6.wenye madeni(walipiwe madeni)
7.Wafisabilillah
8.wapita njia (wageni waliopoteza vitu)
Wabilllah towfiq.
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh sheikh wetu #nurdeenkishki shukraan jazzakah Allahu kheir kwa kutupa faida katika mambo ya Dini barakallahu fik
@@bintyibrahim4891 Amiin ya Rabbil Allamin habibty
MASHA ALLAH sheikh umependeza
Shukran sana kwa ukumbusho Allah akulipe kheri
Mashallah tabarakallah Allah akupe umr mrefu uzidi kutoa elimu yenye manufaa kwetu nakwavizazi vinavyokuja
Mansha Allah sheikh tabarakallah shukran, subuhanallah Allah atuongoze
Waaleykum Salaam Sheikh, ...Shukran , barakaAllah fqh..
Maa shaa Allah shukran sheikh wetu kwa elimu unazotupa Allah akuhifadh
Wa'alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Alhamdulillah
Shukrani sana shekhe wetu Allah akulipe zaidi
Amina ya rabbil lil aalamin
Mashalah mungu akulipe heri
Ma Shaa Allah.
Aslm alkm ww.... shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏
Waalaykum salaam Warahmatullahi wabarakatuh
MASHALLAH TABARAK ALLAH
Shukraan sana Sheikh wetu kipenzi Allah akupe umri mrefu wenye kheri na baraka uzidi kutuelimisha nasi tuelimike kwa uuwezo wa Allah.
Amiin
Amini thuma amini
Walaykum salaam warahmatullah wabarakatuh. Jazakallahu kheir
waaleykum salam
warahmatullah
wabarakatuh
Maa shaa Allah
Waleykm salaam warahmatullah wabarakatuh
Waalykum msalam warahmatullah wabarakatu MashaAllah
Mashallah shkrani kwA ukumbusho sheikhe Nurdin kishki nakupenda kwaajili ya Allah
Asslaamun alaykum war-hmatullah wabarakatu
Shukrani Sana sheikh wetu Allah akupe.umri mrefu ili utupe daawa unayotupa kila kila siku.kila mda kila wiki ameen
@@suleimanhamad8410 waleykm salaam warahmatullah wabarakatuh
@@suleimanhamad8410 Aamiin 🤲
Mashallah sheikh wetu nurden kishk namuomba Alla subhnahuwataala akupe umry mrefu
Waaleyk Salam warahmatullah
Asalam alykum shukran shekhe umrukumbusha mungu akuhifadhi amiin
Walaykum salaam shukran jazakaAllAH khayr
Walkumsam walmtulahi wabakh nashukulu kwa ukumbusho mzuli ila mm iyo sauti yako inanimaliza walahi 😘😘😘💯
Jifunz kuandika vizur
@@ummutaswaufi3980 njoo unifundishe sass
Tena na download hii nieke kwangu in shaa Allah nijifunze zaidi
احبك في الله يا شيخ جزاك الله خيرا و الله يحفظك
Maashaallaah mungu akuzidishie elim naufaham
Mashallah
Manshaallah
MashaAllah
Waleikum salam warahmathullahi wabarakatuh shukrani sheikh sana
Shukran
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Kher
Waleykum salam walamadhulilaah wabarakat je mtu akizidiwa na maden na hayo hayo maden na ww ni mmoja wapo wa unae mdai sheikhe unafanyaje unamlipia au unamsamehee tu
Mashallah ila zile clip fupi mmekua wavivu kupost maadimn wengine awaoni iyo africa tv
MashaAllah shukran hii itakuwa ni zakat Fitri Au?
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh nko na shida jaman private ila comment zenyew hazjibiwi
Asallamu aleykum shehk nauliza sisi tunafa tutoe zaka zetu nimehisabu n 4000 ili ninunue mchele lkn tuko n jirani yetu ambao ni mama ako na watoto saba n hana uwezo watoto mpaka sasa hawajapata nguo sasa mm nikachukua ile pesa ili nimpatia ili iwe zakatul fitri je yafa
mashallah m.mungu akubarik lkn use gain weight upungue kidogo SORRY ☺
Tutoeni zakka jamani
FAHAMU NGUZO YA ZAKAT: AINA YA MALI, MUDA WA KUTOA, NISAB NA KIASI CHA KUTOA
th-cam.com/video/W5NTGQhe6Uw/w-d-xo.htmlsi=V2U10vlYSzxl6Hqn
Waaleykum Salaam Sheikh, ...Shukran , barakaAllah fqh..