Ahsante sheikh kwa elimu nzuri ya utoaji Dhaka, Samahani sheik,nina maswali 2 1.kama mtu ni mkulima na shamba huwa anakodi,je kiwango chase cha utoji Dhaka kikoje 2.kama mtu ni mtumishi na anataka kutoa Dhaka kutokana na mshahara wake,je hesabu yake ni ieile ya 663000 agawe kwa 40
Asalaam alaykm hii zakah ya kutoa shilingi elfu tano tano, mwengine unampa elfu tatu mwengine elfu moja inaswihi kweli maana naona kama kuna ubaguzi hapo kwa kutoa zakah hiyo
Shukran sheikh shafii tatizo waislam wengi hatujui elimu ya zaka Allah akuhifadhi
Mashaallah
Ahsante sheikh kwa elimu nzuri ya utoaji Dhaka,
Samahani sheik,nina maswali 2
1.kama mtu ni mkulima na shamba huwa anakodi,je kiwango chase cha utoji Dhaka kikoje
2.kama mtu ni mtumishi na anataka kutoa Dhaka kutokana na mshahara wake,je hesabu yake ni ieile ya 663000 agawe kwa 40
Maasha Allah Shaykh Shafii for the good Explanation concerning Zakaatul Maal.
Masha Allah tabarakalah kheri
Hii imenisaidia🙏
mashallah
Mashaallah subhanallah 😢😢 video ina miaka 9 halafu hamna views kabisa
Inaonyesha jinsi gani waislaamu tunavyokwepa kuijua elimu hii ya Zakka kwani hatutaki kutoa ! Inna li(A)llahi wa innaaaa ilayhi raaji'uwwwn !
Assalam aleikum. Jee ukuweka bank kwa fix deposit ile profit au interest utafanya nini na mwaka umefika
MaashaAllah lakini ungeelezea aina zote kwasababu lengo ni kupata elimu maana huenda mtu akaulizwa suala na ngamia
Asalaam alaykm hii zakah ya kutoa shilingi elfu tano tano, mwengine unampa elfu tatu mwengine elfu moja inaswihi kweli maana naona kama kuna ubaguzi hapo kwa kutoa zakah hiyo
Inakuwaje mtu anayetoa zaka akifa?
Je mtu anayetoa zaka akifa