des bon chants évangéliques et du Salut annonçant la bonne nouvelle mes félicitations au St James tumaini que Dieu vous bénisse asanteni sanaaaaaaaaaaa love you
Wimbo ulio na ujumbe kamilifu wa wokovu. Sauti za waimbaji pia ni nzuri kweli. Neema ya Mungu wetu ikawajalize mioyo yenu kwaya ya Tumaini Shangilieni St. James.
One of My favorite choir especially the song malaika wanaimba ,,nisamehe,, mwana mpotevu,,usiukumu, siku zile
Kwaya yetu ya Miaka Yote ,Kazi zenu ni nzuri kizazi hadi kizazi.
Hosanna hosanna Alléluia Amen Amen
Sifa kwa Mungu, tunafwata Tumaini Shangiliyeni Choir apa Kolwezi DRC Lualaba tangu 1998
Shangilieni Choir, Kazi nzuri na pia napenda mnavyo zingatia kuvaa mavazi ya staha (wanawake), Mungu azidi kuwapa nguvu ili msonge mbele zaidi
Nawapenda mpaka basi, MUNGU azidi kuwabariki... Amen.... ❤❤❤❤
Mungu pekee awatangulie Katika huduma yenu. Nawapenda mno ❤️❤️
des bon chants évangéliques et du Salut annonçant la bonne nouvelle mes félicitations au St James tumaini que Dieu vous bénisse asanteni sanaaaaaaaaaaa love you
Nakubali nyimbo zenu zuli
Wimbo ulio na ujumbe kamilifu wa wokovu. Sauti za waimbaji pia ni nzuri kweli. Neema ya Mungu wetu ikawajalize mioyo yenu kwaya ya Tumaini Shangilieni St. James.
Mungu awajalie kwa kazi nzuri.
M
2023 tunabarikiwa❤🎉🎉
wimbo umenibariki sana. mbalikiwe waimbaji
Kwa nyimbo zenu nahisi uweponi mwa Mungu
Safi. Mnaimba injili halisi
i love this song Yesu nakupa moyo wangu na maisha yangu
Kazi nzuri
Je vous aime tous et mon Dieu vous comble de ses bénédictions amen
Tangu Album Duniani Shangiliyeni
Hosanna hosanna Alléluia Amen