Narudi Kwako - Uinjilisti Forest Mbeya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @gracemagereli93
    @gracemagereli93 ปีที่แล้ว +3

    Ila wababa wamenibariki zaidi.Maana hawa watu ni adimu sana wakimpa Mungu nafasi kama hii hata familia zimepona.Mungu awabariki mnooooo

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo umenibariki sana, Hakika Mungu azidi kuwainua kwa viwango vingine

  • @johnbartazary9597
    @johnbartazary9597 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki Sana watumishi wa Jehova muumba mbingu na nchi🙏🙏🙏

  • @castomwakipesile9380
    @castomwakipesile9380 7 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana watu wa mungu kwaya kubwa niliwashuhudia tunduma usharikan na huyo ndugu anaimba na kupiga Gita kazi nzuri

  • @ayoubkissiva5338
    @ayoubkissiva5338 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana
    Wimbo mzuri sana
    Sauti mmezipangilia vizuri mno

  • @tazamatankfarm9759
    @tazamatankfarm9759 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakuona Bandari Mwangomo. Mwasandube sijamuona vijana wenzangu wa zamani. mmenikumbusha mbali sana

  • @evelinangulo6476
    @evelinangulo6476 2 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana,v mara ya kwanza niliwaaikia kwa malafyale redio baraka

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe 21 วันที่ผ่านมา

    Wapendwa naombeni msaada wa kujua mwamgobhole yupo wapi kwa sasa huyo kaka ni bizaa hadimu sana ni mwalimu mzuri sana

  • @gracemagereli93
    @gracemagereli93 ปีที่แล้ว

    Nimepata kiwa sana na wimbo huu.sichoki kuusikiliza.

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana tena sana🙏🙏🙏

  • @essahsaimonmwalwega6097
    @essahsaimonmwalwega6097 2 ปีที่แล้ว

    Yesu awatunze watumishi WA Mungu...kaka Tuntufye big up

  • @meremetasanga1992
    @meremetasanga1992 3 ปีที่แล้ว

    Naomba mwenye mawasiliano na hii kwaya anisaidie. Mungu awabariki sana!

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuibariki huduma hii...
    Nimewapenda sanaaa

  • @irenegodlove40
    @irenegodlove40 2 ปีที่แล้ว

    Nbarikiwa mno , Mungu awabariki. Please upload " usitamani kua kama yule,yamkini wewe hujui anayemsujudia" song.

  • @WebyJoctanNgogo-qb4jg
    @WebyJoctanNgogo-qb4jg 7 หลายเดือนก่อน

    Waoo very nice song anointed by the Hory Spirit not by the anointing of cooking oil and water and salt and soap

  • @saradaniel1159
    @saradaniel1159 6 ปีที่แล้ว +1

    mbaikiwe sana Watumishi wa Mungu kwa huduma hii Mungu aliyoiweka kwenu nabarikiwa sna ninapowaona Mkimtukuza Mungu.

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 5 ปีที่แล้ว +1

    saaafisana Tunazidi kujifunza kwa watu waliofanikiwa Mungu awabariki saaana

  • @jestinanyirenda781
    @jestinanyirenda781 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabark ndugu zangu na wimbo wanarudi kwako

  • @JosephMsuya-ho5zh
    @JosephMsuya-ho5zh 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mzuri

  • @dayanamichael2701
    @dayanamichael2701 5 ปีที่แล้ว +1

    nabarikiwa sana na utumishi wenu Mungu awabariki

  • @lainacemwasote7670
    @lainacemwasote7670 3 ปีที่แล้ว

    Ooooh!,hallelujah, barikiweni sana watumishi wa Jehovah.

  • @wilbertkyando7778
    @wilbertkyando7778 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabaliki sana ktk uimbaji wenu kwani nimebalikiwa sana, dvd yenu inaitwaje niinunue

  • @fadhilikiwelu1521
    @fadhilikiwelu1521 6 ปีที่แล้ว

    Daaah.... Album hii nimeisubiri kwa ham sana.. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.. Lazima niwe nayo hii album..!! Mzilete huku Arusha jamani.

  • @msyanituntufye3441
    @msyanituntufye3441 6 ปีที่แล้ว +1

    Dah huwa nabarikiwa sana kwa huduma hii mbarikiwe sana

  • @esthermwalukasa4204
    @esthermwalukasa4204 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa sana. Mbarikiwe.

  • @salomerobson9514
    @salomerobson9514 6 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo hii narudi kwako imenibariki Mungu amibariki

  • @fridamwakamisa1812
    @fridamwakamisa1812 หลายเดือนก่อน

    Wimbo Pendwa

  • @peace2337
    @peace2337 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana katika huduma yenu.

  • @hildatupa1924
    @hildatupa1924 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe wapendwa wetu

  • @danielnzali5609
    @danielnzali5609 6 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe...

  • @musamutambuki4154
    @musamutambuki4154 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe Mbarikiwe Mbarikiwe sanaaaaa

  • @webingogo3633
    @webingogo3633 4 ปีที่แล้ว

    Jamani,jamani wimbo mtamu huo!!!

  • @janemwanjibili9236
    @janemwanjibili9236 6 ปีที่แล้ว

    Amina mungu awabariki unjilisti forest

  • @dearjoh8515
    @dearjoh8515 4 ปีที่แล้ว +2

    I love this hugely

  • @vailethpopitolo997
    @vailethpopitolo997 6 หลายเดือนก่อน

    But God 😭😭🙌🙏

  • @PeterMachang
    @PeterMachang 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba mawasiliano

  • @ambakisyecharles9045
    @ambakisyecharles9045 6 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki kwa kwazi nzuri wapendwa.

    • @mpokimwasakifwa2800
      @mpokimwasakifwa2800 6 ปีที่แล้ว +1

      hakika nyimbo imetulia!!one of the best gospel song in Tanzania,mwenyezi mungu awabariki sana wana forest mbeye

  • @jennifermwaikuka9502
    @jennifermwaikuka9502 6 ปีที่แล้ว +2

    ujumbe mzr asante

    • @naftalkinyamagoha8146
      @naftalkinyamagoha8146 4 ปีที่แล้ว

      Duu mbarikiwe ukweli mmeadvance Sana'a toka tulikokuwaa tukaze butii watu was mungu mbarkiwe mpaka mshangae one ntawaarika Dar.

  • @janemwanjibili9236
    @janemwanjibili9236 6 ปีที่แล้ว +1

    inaujumbe mzuri sana

  • @evaradaeric4599
    @evaradaeric4599 6 ปีที่แล้ว +1

    This is my favourite song

  • @shereendoreen8411
    @shereendoreen8411 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @janemwanjibili9236
    @janemwanjibili9236 6 ปีที่แล้ว +2

    ziko álbum 2 narudi kwako na je utankana

  • @tazamatankfarm9759
    @tazamatankfarm9759 4 ปีที่แล้ว

    mwee wa enzi zangu wote siwaoni. mweee

  • @dorismakwayamoses
    @dorismakwayamoses ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️

  • @gabrielymadembwe768
    @gabrielymadembwe768 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @severinafungo9200
    @severinafungo9200 4 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @geofreyngelengeesau2649
    @geofreyngelengeesau2649 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mtuwekee album ya Tunaishi

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 6 ปีที่แล้ว +1

    nawaomba mje niwafanyie Interview kwenye Gospel fleva ya GMCL FM REDIO 99.3 tuwasiliane 0759879755,,,,,,Majirani zangu mnafanya vizuri saaana