Mchengerwa Jana kasema ccm wamesimamisha wagombea NCHI nzima,,,mitaa,vitongoji,vyote ila upinzani ni 36% TUU,,, SASA ukijiuliza ccm hawajaenguliwa? Je wapinzani kabla hawajaenguliwa WALIKUA asilimia NGAPI? Kwanini tunalifumbia macho hili,,, maaskofu wamekenea ILO nalo ni kosa?
Mwaipopo Vita ya Masharifu Bado haujaimaliza saizi uko Kwa maskofu. Nakuona siku za usoni utaingia kwenye mfumo wa unao wasema watakufikisha mahakamani wakikudai Bilioni 1 sijui unayo?? au utarudi kuomba uruma Kwa watanzani. Nakushauli Muhubiri Mungu na Mtume Ili watu wasilimu kama afanyavyo Mashekhe wengine kwani utapata thawabu Kwa Mungu. achakuwaongelea watu. Niushauri tu ndugu yangu
Mambo hayapo hivyo huu ni munkar lazima akemee من راء منكم منكرا فليغير با يده .... mpaka mwisho wa Hadith sasa anakaa kimya kwamba hao watu wanatisha sana au wanachokifanya ni sawa? na hao masharifu uchwara waachwe tu waendelee kuibia watu kwa uhuni wao huu
Wambie ukweli ao maaskofu inatakiwa wasome arama za nyakati, zama izi sio za mwalimu wamezoe kupendelewa kama ville nchi hii ni ya kwao vile ao ndio wamesababisha mauaji ya kimbali Rwanda
Ww mjinga sana kila cku kuongelea udini tu, maaskofu wamekemea mabaya yanayoendelea nchin na ni vzur hata mashekh wakikemea mabaya yanayoendelea maana kukaa kwao kimya wanaonekana wako kidin!!!
We naona chuki ndio inakusumbua,kwa hiyo wewe kwa upeo wako unahisi uandikishaji ulikua halali,na hata kama hawawezi kuchukua nchi kwa hiyo unahalalisha kuenguliwa kwao kwa hila?shehe gani mpuuzi wee unaunga mkono dhuluma
Kazi nzuri mwaipopo
Safi ,kila baya linalojitokeza lazma ukemee vikali bila kujali la dini gn wala madheheb gn ......kazi nzuri mwaipopo Allah akuweke
Mchengerwa Jana kasema ccm wamesimamisha wagombea NCHI nzima,,,mitaa,vitongoji,vyote ila upinzani ni 36% TUU,,, SASA ukijiuliza ccm hawajaenguliwa?
Je wapinzani kabla hawajaenguliwa WALIKUA asilimia NGAPI? Kwanini tunalifumbia macho hili,,, maaskofu wamekenea ILO nalo ni kosa?
Mwaipopo mzee bangi a k a cha pombe nakuelewaga sna
Waambie mwaipopo wamezidi maaskofu
Wakatoliki wanadhani wao wana haki zaidi kuliko Watanzania wengine pia ni wabaguzi sana.
Ongea Baba.
afadhali umewachana ukweli ati wametoa waraka 😂😂😂 watoe kwanza kwa waumini wao wanaoingia makanisani bila kujistiri
Ni lisha semaga b4 why mama asi fute haya maswala ya vyama vingi. Vyama vingi ni upuuz tu
safi sana sheikh Mwayipopo wambiye uko right
Mwaipopo kuna maafa kariakoo watu wameangukiwa na ghorofa nenda katoe msaada inshaaAllah
Niko pamoja na wewe
Mwaipopo tatizo ni elimu yako ndogo sana huwezi kucompte na hao pia ma uelewa ni mdogo sana ndomaana unabwamwaja hebu jitafakari njaa inakusumbkua
Mwaipopo Vita ya Masharifu Bado haujaimaliza saizi uko Kwa maskofu. Nakuona siku za usoni utaingia kwenye mfumo wa unao wasema watakufikisha mahakamani wakikudai Bilioni 1 sijui unayo?? au utarudi kuomba uruma Kwa watanzani. Nakushauli Muhubiri Mungu na Mtume Ili watu wasilimu kama afanyavyo Mashekhe wengine kwani utapata thawabu Kwa Mungu. achakuwaongelea watu. Niushauri tu ndugu yangu
Yaani bonge la ushauri umempa, atakuwa kama yule musiba
Mambo hayapo hivyo huu ni munkar lazima akemee
من راء منكم منكرا فليغير با يده .... mpaka mwisho wa Hadith
sasa anakaa kimya kwamba hao watu wanatisha sana au wanachokifanya ni sawa? na hao masharifu uchwara waachwe tu waendelee kuibia watu kwa uhuni wao huu
Wambie ukweli ao maaskofu inatakiwa wasome arama za nyakati, zama izi sio za mwalimu wamezoe kupendelewa kama ville nchi hii ni ya kwao vile ao ndio wamesababisha mauaji ya kimbali Rwanda
Kiukweli ukiondoa nchi tano za Africa kama South, Misri, Morocco, Tunisia, Algeria, hakuna nchi inayopiga hatua kimaendeleo, kiustaarabu, utulivu
We hauna akili
Ww mjinga sana kila cku kuongelea udini tu, maaskofu wamekemea mabaya yanayoendelea nchin na ni vzur hata mashekh wakikemea mabaya yanayoendelea maana kukaa kwao kimya wanaonekana wako kidin!!!
kwaiyo chama kinachokosea ni kimoja tu au hili nalo hukuliona
Nachokpenda ukipiga bang lzm upate tarfa
Hivi wewe neno onto au kuonya neno hili una lielewaa
Maskofu wameongea ilikujenga Taifa lakini wewe mwaipopo upo kidini sio Taifa
WEWE ATAYE KUSIKILIZA AKAPIMWE AKILI
Ww mwaipopo unasumbuliwa na udini inafaa ukamatwe ufungwe na ucpofungwa sasa kuna cku za usoni utakuja ujute, maana maaskofu wanajenga ww una bomoa!!!
sio kweli mwaipopo yupo sahihi
She usiludi nyuma nchi yakwetu wote ila Hawa ndugu zetu hawana subila
Kama NCHI ni ya kwetu sote kwanini unachukizwa maaskofu kukemea uovu unaotendeka HAPA nchini? WAO sio sehemu ya Tanzania?
Kwani kosa la maaskofu liko wapi? Wapinzani wameenguliwa mbele ya macho ya ulimwengu JE ILO nalo halifai kulikemea?
We ni wa kupuuzwa kabisa,hujui unachoongea,
Wewe ni tapeli tu huna unachokijua wsjinga ndo waliwao
We naona chuki ndio inakusumbua,kwa hiyo wewe kwa upeo wako unahisi uandikishaji ulikua halali,na hata kama hawawezi kuchukua nchi kwa hiyo unahalalisha kuenguliwa kwao kwa hila?shehe gani mpuuzi wee unaunga mkono dhuluma
basi tukemee dhulma kwenye vyama vyote tuanze na suala la mwenyekiti wa cdm mbona ni mzee mboe miaka yote
Daudi unapataje ujeuri wakumtukana kiongozi wadini yetu jiangalie siovizuri
Dini ipi?
Chawa huyo,hawazi kuwa kiongozi anayetetea serikali inayoiba uchaguzi, mpuuzi kabisa huyo
Labda unasapoti we na mkeo
Labda unasapoti we na mkeo
Kaendelee kuvuta bangi,kabila hakuondolewa alimaliza muda wake