Kwanini Mnamtaja Manula tu. Mbona hata Salim hachezi? Na Manula alipokuwa anacheza kla siku mbona Kakolanya alikuwa hachezi wala Salim naye hakuwa akicheza? Hata kule yanga Diara anapokuwa fit hakuna kipa mwingine anayecheza.
Jiulize kwanza kwanini ana mwita nabii mpanzu?. Angali jina la mwanzoni ana itwa Elie Mpanzu , kwani hakuna nabii anaye itwa Eliya?. Mbona wa bongo mnapenda kukuza mambo?@@isso846
Ambakile nakupenda sana, makavu laivu. Mashabiki wa yanga wanatutia aibu. Hii mechi ni muhimu sana.
Sasa nynyi mtaweza kumueka camara inje hadake manula
Kwani wachezaji wote waliopo wanacheza jamani
Sisi simba hata hatuhitaji maneno ya pekee.
Kwanini Mnamtaja Manula tu. Mbona hata Salim hachezi?
Na Manula alipokuwa anacheza kla siku mbona Kakolanya alikuwa hachezi wala Salim naye hakuwa akicheza?
Hata kule yanga Diara anapokuwa fit hakuna kipa mwingine anayecheza.
Wamestuka na duka alilofungua kwa utopolo angoje mkataba uishe aende utopolo
Uyu kaka anayo mwiita nabi mpanzu aache hata kama anampenda sana ila anakosea sana ipo siku atamuita mugu panzu
Kwani shiva iko waiting mbona nyie mmefurahia chasambi kuwakataa wenzake mmeona ni sawa Acha na yeye aonyeshe hisia zake
Chasambi ameongea ukweli uliopo moyoni mwake. watanzania tunapenda kuambiwa yale tunayopenda kuambiwa. Tunapendwa kudanganywa ndio tunapata amani kwa kuambiwa uwongo.
sure hata mimi sipendi hilo nina la nabii. kila siku anaita hvo.
Jiulize kwanza kwanini ana mwita nabii mpanzu?. Angali jina la mwanzoni ana itwa Elie Mpanzu , kwani hakuna nabii anaye itwa Eliya?. Mbona wa bongo mnapenda kukuza mambo?@@isso846
Ww inakuuma nn