Hiyo yanga imecheza na TP Mazembe ipi miraji? TP Mazembe ambayo haijasajili kwa miaka mitatu? TP Mazembe amabyo tajiri wake aliikimbia Congo baada ya kugombea uraisi? Wewe nenda yanga tuu.. hiyo michango ya wana yanga wanaoishi nje ya TZ inakufanya uwe dwanzi.. aisee!
Miraji huyo naona hakuelewi, ebu jaribu mvunje sehemu moja ya upande wa bega.
😂😂😂
😂😂😂😂
Mazembe hii imefungiwa usajiri mwaka wa pili sasa isiisifie sana yanga
Sasa ukweli ni Kwamba Constantine atafungwa na sfaxen
Miraji taratibu bega
Milaji maramoja nakukubali
sana
Hata kibu bongo man walimdharau hivyo hivyo lakini leo wanamtolea udenda hao ndio wabongo.
Miraji huyu anaonekana hakuelewi , mgonge makofi atakuelewa tu
Miraji bro punguza midadi sheh utamvunja mwenzio mabega😅😅😅
Benga iloo
Milaji
Tobba bega langu🤣🤣🤣🤣
Bega, bega, begaaaa! Mwandishi tahadhari kwako.
Kuna Mazembe ya kina Tresor Mputu na hii ya sasa
😂😂😂😂😂
Sasa Mtangazaji anauliza maswali au amekuja kubishana maana kilakitu ye anabisha tuh😅😅😅
Huyo hajazoea, kupigwa hilo bega, umezoea kumpiga,chagamba! Milaji jalibu kuwa na huruma kdg .
Miraji taratibu bega 18:32
Anaefanya maujiano na miraji anatakiwa avae gadi ya bega
😀😀 ila Miraji ety Mita 500 wakat ground ina mita 100
Huyu jamaa ana kigugumizi cha mikono kwahiyo ukiongea nae kaaa mbali la sivyo bega litaiva kwa makofi
😅😅😅😅kwakweli
Sasa utopolo wamekutana na mazembe mbovu mbona zaman hawakuifunga
Miraji unafaa kuwa mchambuzi
Miraj n bonge la mchambuz unaufatilia mpira wa kidunia huegemeag upande upo waz sn
Jamani namuonea huruma uyo mwandishi😂😂😂😂kwani kuongea bila mibanzi uwezi we milaji??
😅😅
Upo vzr sana kwa uchambuzi
Kaka milaji tunzo alifulai kumbe au mnyama uyo?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
100
Huyu kinachomsumbua ni unafki
Mazembe ipi mara moja....hii unga bhana...record ya mchongo hiyo
Kwani CS SFAXIEN ina ubora gani? Kwenye CAFCC timu haina point hata moja na unaifunga kwa tabu namna ile.
Unaijua Cs sfaxien wewe timu imebeba kombe la Shirikisho mara nyng kuliko timu yeyote Duniani. tp mazembe nae sio WA kumdharau pia @@simonnjovu586
Bingwa mara 3 wa confederation
Hiyo yanga imecheza na TP Mazembe ipi miraji? TP Mazembe ambayo haijasajili kwa miaka mitatu? TP Mazembe amabyo tajiri wake aliikimbia Congo baada ya kugombea uraisi? Wewe nenda yanga tuu.. hiyo michango ya wana yanga wanaoishi nje ya TZ inakufanya uwe dwanzi.. aisee!
Miraji taratibu bega