Blo jamali tafadhali usiondoke wasafi basi atakama ukiondoka tafuta namna nyingine mungu amekupa iko kitu anamakusudi yake blo tumia kipaji chako natunajua sisi mashabikizako atuwezi kusikiliza stor zingine bila zako blo ww nimtunzi No 1 TZ
uzuri wako Jamal wewe ni mwanadamu,unajua hatujakamilika na kwako sio shida kukubali kuna kutereza.Mungu awajalie wewe na nduguyo Nasibu masikilizano yenye kheri zaidi
HAIJARISHI WATU WANASEMA NINI BT JAMAL JAMAL JAMAL UNA LULU YENYE THAMANI KUBWA SANA WE KNW U INDD WHRVER U A TUPO NAWE BRO.. MUNGU ABARIKI KAZI ZAKO SANA TUNAZIELEWA MNO.
Unajua Hawa ma'presenter wa kibongo wanafeli hapo tu kwenye matumizi sahihi ya lugha.... Kama huyu diva yupo vizuri ila anafeli viingereza vingi hajui wengi tunaomsikiliza ni wale tuliopo mtaan so anatukata
@@kidmozjkm7965 uscheki mwanangu minaijua ngeli mpaka basi ila uwezi kuniona naongea na mswahili mwanzangu nihanzebwe mbwe zakupelekewa Moto, sibora iyo interview waifanye mwanzo mwisho kwa ngeli Tu, ili wana nchi wajue kabla ya kumaliza bando lao
Yaan hawa watangazaji sijui kama wanakuwa wamesoma na kuelewa vizur hii tasnia ya habari, maana mtu anatumia Kiingereza tu akat kipindi kinatakiwa kiendeshwe kwa lugha ya Kiswahili
Diva ongea kiswahili zaidi maana wasikilizaji wengi hatujasoma tunafaham kuwa ww unajua kuzungumza please jalibu kuwavutia kwenye kipind chako hata wale wasiojua kingereza utapoteza radha ya kipind chako
Moja ya watu waliondoka wasafi niliumia ni mtiga abdallah asee uyu jamaa ni fundi wa kusimulia na ananias edigar ila jamal ni mtunzi mzuri kwenye kusimulia sio kiviile...
sisi kingereza ndo tunapenda sasa yani anavo changanya ngeli na kiswahili mimi naonaga rah sana wallah maana haiwezekani vipindi vyote mpaka kiswahili tu hainogi
Mungu ambariki huyo mwanamke mwenye bahat ya kumpata huyu mwanba👏👏👏👏👏
Jamal is very intelligent! I appreciate your work sir,keep soaring
Exactly
Blo jamali tafadhali usiondoke wasafi basi atakama ukiondoka tafuta namna nyingine mungu amekupa iko kitu anamakusudi yake blo tumia kipaji chako natunajua sisi mashabikizako atuwezi kusikiliza stor zingine bila zako blo ww nimtunzi No 1 TZ
uzuri wako Jamal wewe ni mwanadamu,unajua hatujakamilika na kwako sio shida kukubali kuna kutereza.Mungu awajalie wewe na nduguyo Nasibu masikilizano yenye kheri zaidi
all great and honoured heroes I admire were humble,see humbleness of Moses,Joseph and Jesus,Jamal you are on the right 🚒
Storybook the best with Jamal
Jamal, Tunakupenda sana Asee❤❤
Jaman dats why now days sioni "The story book "😢 jamal April Arudi kwenye story book he z de best wallah I luv jamal April ❤
Professor Jamal Appreciate 💪💪
Jamal mr story book...nakukubali sna, from 🇶🇦
Jamal my best storyteller 💯🔥
Jamar april ,jamar mustafa ~~huyu jamaa daaah yuko sahihi sana God bless u keep doing ✈✈✈✈
Jamal is very intelligent
uungwanaaa ni utajir big up jamal💪
He's very smart aisee 🙌
Professor ka ajiriwa na mwenye akusoma waah! This life no balance
Nigga got quotes of the year “ true friends are like diamonds very expensive and rare “ shit Nigga on point
Jamal anaongea kisomi🔥🔥
Jamal rudi mmzigoni ❤❤❤❤❤
Diva punguza mashauzi bhana kingee king,,, Jamal Äpril is the best
Jamal I am a fan from Kenya
HAIJARISHI WATU WANASEMA NINI BT JAMAL JAMAL JAMAL UNA LULU YENYE THAMANI KUBWA SANA WE KNW U INDD WHRVER U A TUPO NAWE BRO.. MUNGU ABARIKI KAZI ZAKO SANA TUNAZIELEWA MNO.
Pamoja na hayo utoe basi the story book mpya umekaa kimya sana bro.
jamal umeongea kiutu uzima mno kwel we ni profesor🙌
Interview nzur sana wasafi 4lifeeeh
umekaa sana Jamal tuna subili story book mpya
nakukubaliii jml
Come back please the story book
Unajua Hawa ma'presenter wa kibongo wanafeli hapo tu kwenye matumizi sahihi ya lugha.... Kama huyu diva yupo vizuri ila anafeli viingereza vingi hajui wengi tunaomsikiliza ni wale tuliopo mtaan so anatukata
Divaa tumia lugha yetu ya taifa(Kiswahili) achana na lugha za kizungu(English),,,Unatukera wapenzi wa kipindi chak bnaa!! badilika bas!!!
Sawasawa ,huu ni ulimbukeni
Uyu demu ni Kuma
😂😂😂😂
@@vipackyummy6916😂😂😂😂
@@kidmozjkm7965 uscheki mwanangu minaijua ngeli mpaka basi ila uwezi kuniona naongea na mswahili mwanzangu nihanzebwe mbwe zakupelekewa Moto, sibora iyo interview waifanye mwanzo mwisho kwa ngeli Tu, ili wana nchi wajue kabla ya kumaliza bando lao
Huyu dogo Story book imemahinda, ifutwe tu tujue moja, maana haina ratiba maalum, inakaa miezi mi2 ndio inawekwa, just nonsense.
Huyu jamaa n kichwa Sana,,
Huyu Diva ana ushamba kujifanya mnyamwezi sana accent yenyewe ya kijomba East Africa yote wanazungumza kiswahili ujinga kitu kibaya sana
Mtangazaji jaribu kutumia lugha kuu ya taifa kuliko kuzunguuka Sana kwa lugha ya kigeni
Kwan we uwerewi mbona hiyo ni rugha ya taifa
@@hatibuabdulla1039 wee mwenyew hujui kuongea ntaelewa wapi
@@hatibuabdulla1039 huelewi au huerewi na rugha au lugha
Rudi Tena darasani babu
@@harounali3109 hahahaha kiswahili tu chenyew kashindwa kuandk vzr ndo kusema kingereza atawez kwl 😂
@@geraldyona5597 alafu mtu anaweza kusema anajua kishwahili
Miss story book📘📗📙📚 😢😢😢
Dada kwenye kingereza una boa bana japo tuna kukubali punguza mbwembwe tumia ngeli ya kawaida tu mbona fresh?
Muache uzungu bhana mara kiingereza mara kiswahili mnatuchanganya bhana
Tunasubil story book mpya
Jamal April mwanangu tunakumiss sana
Wewe diva unaharibu kipindi kwa kutumia lugha ya kigeni watazamaji wengi ni waswahili acha hiyo tabia
🇰🇪🇰🇪🇰🇪😅😅😅😅😅English is not for everyone 🙄 at this century still Tz mna struggle ku understand
Hhhhhhh😂
@@wilsonmbuthia1385😂😅 Tz hku watu wengi wao ni elimu za form 4 tuh na standard 7😅😂 so lazm struggling za lugha n kawaida tuh
Tatzo ndo ilo igeni bbc swahili ni kubwa na awachanganyi malugha
Professor km professor🙌
Kiswahili kinazidi kupanda juu ,ila sisi Bado hatukipi nafasi ya kupanda juu
Yaan hawa watangazaji sijui kama wanakuwa wamesoma na kuelewa vizur hii tasnia ya habari, maana mtu anatumia Kiingereza tu akat kipindi kinatakiwa kiendeshwe kwa lugha ya Kiswahili
We lov frver jaml
Domo shida yake ukiwa na mvuto kdg tu yy anatak kukufanyoa figisu
kiengereza kingiiiiiiiiiiiii aghaaaa
Dope❤... nifikisheni 1k subscribers,niko na mix kalii
me too😍
Upo zanzibar
Huyu jamaa nilisikia alifumwa anaroga officeni usafini duuuh!!! Mwanga professor 😢😂
Safi sana
Tumia lugha ya kiswahili Diva
Jamal nimemis story zako broo unajua na unajua tena
Nimesha fatilia story book sioni tena mseme sasa tuna pata au ???? Tunasubili sasa..
My bausi😅😅😅 my bausi simba himself 🤣🤣
Jamaa mpole Sana
Diva ongea kiswahili zaidi maana wasikilizaji wengi hatujasoma tunafaham kuwa ww unajua kuzungumza please jalibu kuwavutia kwenye kipind chako hata wale wasiojua kingereza utapoteza radha ya kipind chako
Tokea mtiga aondoke Wasafi naona wanataka kutoa na dini jingine La Jamal
Kizungu chako kibofu sana.....Tumia tu kiswahili
Kwanza diva anastahili kujua kusema boss si bause 😂
Safi jamali lugha yetu iko poa kabisa lkn huyo mwanamke mzungu ananikera sana
Basi peleka iyo 'am like' uko kwenu
Diva acha usenge ongea kiswahili
Tumia kiswahili bwana kingereza peleka ulaya au ongea lugha sio unachanganya lugha
Ongea kiswahil ww achan na hicho kiingereza cha mbwembwe
Sisi huwatch hii channel sababu ya Jamaal rudisha the story book
Unajua sana we jamaa
Story book bila Jamal acha ikae staki , Bado kamfuza Mtiga Abdallah
Daaaaa katika watu nao wakubali mpka naumwa uyu mwamba your very amble yan daaaa👊👊👊
Ivi watanzania mkishindwa naye mtupe uyu Kenya kisha tuonyeshe jinsi kumtumia uyu
Mm nampendaga huyu dada sauti yake
Umepotelea wapi tena
Kiswahili
jibu swali maelezo mengi swali dogo tú
Yani mjitu mingine bana kizungu ndio nn sasaa ndio ulimbuken au unajiona mjanja una elim KULIKO wote au ww ndio nn kwa mfano ya ukera sanaaa
Moja ya watu waliondoka wasafi niliumia ni mtiga abdallah asee uyu jamaa ni fundi wa kusimulia na ananias edigar ila jamal ni mtunzi mzuri kwenye kusimulia sio kiviile...
Hicho kizungu kinakera sana
Ambao hamjui Kingereza Njooni Niwafunze... Mwache kulalamika
Diva si utumie kiswahili unatuzonga bana 😂😂😂
Yaaaani d mondi usije mpoteza uyu mtu aseee tafadhari
Not because we dont understand English but we prefer swahili more
Tafadhali sie ni waswahili na tunaupenda uswahili wetu mnoo
Ahahaha kuja Kenya,utajuta kingereza mingi kiswahili kidogo tena sana imagine,ukiuliza Mkenya lugha ake ya Taifa anakujibu kuwa ni Kizungu 🤣🤣🤣
@@joshuayasolo4199 🤣
"my one and only boss" mjinga wewe
Hacha kiingereza hujui, mbwembwe nyingi acha mbwembwe
We diva wasafi TV ipo tz sio ulaya
Kipindi chamapenzi mnaongelea matatizo namaboss..sema Jamal namkubali
sisi kingereza ndo tunapenda sasa yani anavo changanya ngeli na kiswahili mimi naonaga rah sana wallah maana haiwezekani vipindi vyote mpaka kiswahili tu hainogi
kwanj kuna haja ya kuzungumza hiyo lugha hjzi radio na hawa watangazaji ovyo kabisa
this is too much hii ni redio ya kiswahili ipo tanzania kingereza cha nini hiki
Jamaa namkubali sana
Diva wiki ya kiswaili imepita juzi tu lakin unashidwa kukitetea luga yetu
Brother unazunguka kama mtu anataka k afu huongei mwaga mpunga mezeni sio nyoko nyoko
Oya jamal unatuboa sikuiz kipind hakipo na sababu haijuilikani
Huyu jamal ana madini sanaa nyie hamjui tu
Diva tunajua english unaijua sasa sasa kumbuka hapa sio uk ustuchoshe watu tunanjaa 😡😡
Rudi jamal wewe mi kiukweli story book yako sipati usingizi bila kuskiza.. naenjoy sleeping
Yani kiufupi divaa Sikufangilii Atakidongo
Daah huyu jamaa atuta muona the storybook tena😢😢 tumetewa mwingine ni choko😂😂😂😂 anafundisha uchawi tuu
😁😁😁
Diva unazingua😢 kizungu cha nini sasa 😮 tumia lugha mama
Anajiona anaweza sana lugha ya kiingereza. Atafute chombo cha habari kinachotumia lugha hiyo pekee. Anaboa sana
Wewe acha ubwakini
Anaboa hakuna asiyejua kizungu au aongee kizungu pekeee
Hichi kipindi kiwe cha wazungu basi maana wengine hatuelwi ngeli😂😂😂😂😂
😂😂😂 yeah
Huyu jamaa namkubali xana aisee
Si uongee Kishwahili tu hamn kwa nn mnapendez kujishebeduw Kwa lugha zawenyew😂😂😂