ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ongera sanaa burundi bujumbura tanzania drc congoo maendeleo sotepamojaa east africa is moving salut vivaa africa
DR Congo, Inchi Yetu Ililaaniwa Toka Kitambo Iyo Mikataba Itaishia Apo Apo Kwenye Makartasi Tu Alafu Inabaki Jina Maajabu Sana
Usiseme hivyo ndugu maana mameno yanaumba. Hatuhitaji mawazo hasi katika East Africa kwa sasa. Think positive
Hii ya Burundi itawai kufanya Kazi kabla hii ya ya Tanzania.
Wewe ni kichaa yaani ni sawa na kutaka kumzaa mama ako mzazi😅
Ushoroba ndio nini? Ni kihaya au kiswahili hicho?
Ushoroba maana yake ni corridor, yani njia kuu ya uchumi, mfano kwa Tanzania njia kuu za uchumi ni dar-moro-dom-tabora-kigoma, ama pia Mtwara-Songea-mbamba Bay, yani maanake njia kuu yenye miundombinu ya usafirishaji
Ushoroba Ni Corridor,bila kujali Ni wa biashara,au Elephant corridor,ushoroba wa tembo,ikimaanisha njia wanayopitia tembo.
Ongera sanaa burundi bujumbura tanzania drc congoo maendeleo sotepamojaa east africa is moving salut vivaa africa
DR Congo, Inchi Yetu Ililaaniwa Toka Kitambo
Iyo Mikataba Itaishia Apo Apo Kwenye Makartasi Tu Alafu Inabaki Jina Maajabu Sana