Said Tully wa Simba afunguka kuhusu Kariakoo Derby itakayopigwa Machi 8
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- “Simba kufungwa tena mara tano…itakuwa tumezoea tabia ya kufungwa” maneno ya Mjumbe wa iliyokuwa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Said Tully akiizungumzia #KariakooDerby ambayo imepangwa kupigwa Machi 8, 2025.
Tully amekumbushia namna walivyokuwa wanaisumbua Yanga enzi hizo ikiwa chini ya utawala wa aliyekuwa Mwenyekiti wao Yusuf Manji.
#Viwanjani #AzamSports1HD