Wanatumia nafasi zao kutengeneza trend ili kuwazuga wananchi wasahau matatizo lukuki yanayowakabili wananchi, watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa issue hizo kwao hazina nafasi bungeni hii nchi inatakiwa igawanyike zitoke hata nnchi sita na zote zijitawale kikanda chini ya mwamvuli wa Tanzania ndio tutapata kuheshimiana
Naunga mkono huja niliwahi kuona wanandoa wakitalakiana kimila wakiwa na watoto wanne vitu vyote waligawa ilipofikia nyumba wakasema nyumba itabaki na baba Kwa sababu anabaki na watoto nilipotoa huja nyumba ibaki na watoto wazee wakiniinuikia hapahapa nyumba ni ya baba,mwanaume akaoa mwanamke mwingine na mke wake hana makazi mpaka Leo watoto wamesambalatika wengine mjini wengine machungoni Kwa hiyo naunga mkono huja hii Kwa asilimia100
Kinachonishangaza unakuta mwanamke inahudumia kila kitu yaan anaenjoy lakin ukimwomba unyumba anagoma na nimke wako halali wa ndoa mara wiki inakata mara mwezi unakata mara miez mitatu inakata alafu siku ukija nyumban umechelewa anavuta mdomo kama vile mpemba kanyimwa supu ya sato yaan siku😂kumfanyia kama hakimu alivyofanyia mke wake mnasema mali tumetafta wote
Safi sana Mh Msambatavangu
Pamoja sana katibu wangu wa mfano ndani ya ccm...Bashiru Ali💪💪💪
Ukosawa mama bigap
Apana hii imekaa vizuri ushauli mzuri
Points zito , makonda aliona mbali Sana yaaan bas tu
Toeni elimu ya kuzaa siyo sheria bona wazungu hawapati mimba ovyo
Pointi nzito well said
Nyinyi bungeni wengi wenu si watu wenye akili hata kidogo mmefataa elaa za zulma tu hamna hata chakuongea
Nice
SHERIA YA NDOA ITUNGWE UPYA WANAUME TUNANYANYASIKA!!! WANAWAKE WANAVUNJA NDOA KWA MAKSUDI ILI ACHUKUE MGAWANYO WA MALI
Fact
Nimemuelewa! Unajua mwanaume ukifika Hali Fulani hivi huoni ukutane na mtu wa aina Gani mbele
Wanatumia nafasi zao kutengeneza trend ili kuwazuga wananchi wasahau matatizo lukuki yanayowakabili wananchi, watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa issue hizo kwao hazina nafasi bungeni hii nchi inatakiwa igawanyike zitoke hata nnchi sita na zote zijitawale kikanda chini ya mwamvuli wa Tanzania ndio tutapata kuheshimiana
Wewe bandilisha Elimu ya Tanzania mbovu watoto wako wanasoma nje na mashule ya kimataifa badilini mfumo wa elimu mtuvanamaliza sec hajui kingereza
Hii hoja ni nyeti sana(Haya ni mambo ya ustawi wa jamii) ukiitazama kwa chicho la tatu.
Bunge Hill kiboko
Yaani imefikia hatua bungeni hakuna mijadala wala kujali mambo magum tunayo yapitia wabunge wamebaki wanaongelea ngono tu
Naunga mkono huja niliwahi kuona wanandoa wakitalakiana kimila wakiwa na watoto wanne vitu vyote waligawa ilipofikia nyumba wakasema nyumba itabaki na baba Kwa sababu anabaki na watoto nilipotoa huja nyumba ibaki na watoto wazee wakiniinuikia hapahapa nyumba ni ya baba,mwanaume akaoa mwanamke mwingine na mke wake hana makazi mpaka Leo watoto wamesambalatika wengine mjini wengine machungoni Kwa hiyo naunga mkono huja hii Kwa asilimia100
Nchi yetu inapitia mambo magumu,Binge Lina wajibu wa kulisaidia taifa letu,,,
Kwani SI 50/50 Baba akitoa laki mama lakihaijarishi
Kwa hiyo tunaishi nao kwa tageti
Kuna vituvyamsingi aviongerewi warakufanyiwa kaz mnaa kujadiri vitu vyaovyo kabsa
Uko v
Huyu mbunge kila akichangia anachangia upuuzi tu... Mambo ya hovyo hovyo. Hivi hakuna vitu vya msingi vya kujadili?
Naunga mkono hoja
💪💪💪💪
Hizo sheria mnatungia wakristo au na waislamu pia
Hon is that goitre or?😢
Pumbavu ww
Una oja wewe watu wanataka maendereo