Alimzalilisha sana mumewe je wakiwa ndani ivi huyo mumewe si anamatatizo kweli ? sijafuraishwa na icho kitendo cha shilole kabisa kma hujafuraishwa pia gonga like apa
Weeee mm wakwanza nimefuyai sana kama wamepatana mm nilikuwa tumbo joto maana si kwakufanyia vile uchebe kama walikuwa na tofauti shilole akupaswa kuonesha kwa watu alafu akumbuke yy ile ndowa inaeshima zake ila nimefulayi kama wapo sawa I love you shilole
Hata mm sijapenda shishi unatakiwa ubadilike ushakuwa mtu mzima halafu hata kama umegombana haifai kuonyesha Mbele za watu ila uchebe ni mvumilivu sana kumvumilia mtu kaka shishi uwe na moyo wa jiwe bigup uchebe kwa moyo wako
Dada shishi na kuamini sana mbona unaniangusha jamn nakupenda dada ndoa si lele mama hebu jishushe ili maisha ya songe mapungufu yapo ila jarb kujishusha jamn
Shilole ulikosea sana, usiwape watu nafasi ya kuharibu ndoa yako,maana ulichokifanya pale ni njia tosha ya kuwapa faida na nafasi maadui zako wasiopenda ndoa yako, shilole mumeo anaupendo wa dhati jua hilo,ni hayo tu.please shilole.❤
Alifanya vibaya wallah roho iliniuma sana kumfanyia vile mbele za watu Asante sana sns kumbe nanyinyi pia mliona na mpenda shishi nishabiki yake lakini hapo kanikera sana anacheka na wote pale mumewe anamshushuwaza vile so sad 😞
Daa shishi ulitubwaga jamani na attitude hio couple hio yenu nzuri mbona hadharani mumeo huyo jamani tena wa ndoa stara hio shishi dada wengi wanalilia nafasi hio
Acheni upuuz hujui nin wamekosana hio inatokea sana kwenye ndoa inaonesha ao wanao to a comment hajawahi ngia ndoani hio ni kawaida hamjui nib kakosewa achana na ndoa za watu kila mmoja agate zake ndoa kitu chengine waache wenyewe
That's normal! Ain't it? We don't know what happened btwn them, who're we to judge? How was she supposed to fake feelings? Not everyone s an expert in that!
Halafu wanaume tusipende vya mteremkoo ukiishi kwa mwanamke umeishi utumwani yani km n mm ahamie kwngu ili akinizingu anachezea mkonong'oto maana ukihamia kwke ukimpiga usiku anaweza kukutupia kibegi chako nje ukalala nje bure inabidi uwe mpole hata akikufokea maana usiku mkubwa
Alimzalilisha sana mumewe je wakiwa ndani ivi huyo mumewe si anamatatizo kweli ? sijafuraishwa na icho kitendo cha shilole kabisa kma hujafuraishwa pia gonga like apa
Yaan niatari Kama njee anafanya hivyo ndani je
MI mwenyew cjapenda
Nimefurahi sn sipendi watu wakiachana wallahi japo wakati mwengine ubudi bt sifurahii Allah atawaongoza amiin
Shishi ahuko sahihi atakama muligombana mungeyamaliziya ndani
dada angu umekosea sanaa kwan ugomvi ni nyumbani hatujakuzoea hivo na mumeo sio vizur bhanaa mbele za watu sio vizur 😚
Weeee mm wakwanza nimefuyai sana kama wamepatana mm nilikuwa tumbo joto maana si kwakufanyia vile uchebe kama walikuwa na tofauti shilole akupaswa kuonesha kwa watu alafu akumbuke yy ile ndowa inaeshima zake ila nimefulayi kama wapo sawa I love you shilole
Binafsi nimefurah Sana coz nawapenda Sana Hawa watu Wallah...
Mwenyezi mungu ailinde ndoa yenu inshaAllah
Hata mm sijapenda shishi unatakiwa ubadilike ushakuwa mtu mzima halafu hata kama umegombana haifai kuonyesha Mbele za watu ila uchebe ni mvumilivu sana kumvumilia mtu kaka shishi uwe na moyo wa jiwe bigup uchebe kwa moyo wako
Hajui nn maana ya ndoa,mjinga tu
Kweli hakufanya vzr lkn mola atamupepezusha shetani mchafu mbali ndoowa yao ibumu milele inshaallah hayo ndiyo maisha ya ndowa ☝️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌
Nimefurai sanaaaa nawapenda sana
Kabisa hatamimi nilichukizwa na cho sikupenda alichomfanyia😏
Nakupenda sana *shishibaby* ila drama zingine tupunguzie bhana.
Haki sio sawa alicho mfanyia mmewe haki
Hata mimi alinikera sana Shishi bby kwa kumnunia shem mbele za watu khaa jamani😐😐😐
Kweli kabisa huyo mumeo usimdharau
Mashallah
Mambo ya mume na mke hayawausu embu waacheni jaman yashaisha
Pia mimi sijapenda uchebe alikuwa na furaha sana pia Mimi nilipenda uchebe
Kweli kabisa iriniuma sana sio poa kabisa
Dah uchebe Ana tabasamu tamu kishenzi shishi my love shikilia apo mmependezana wallah
ndo tabu ya kua na mke alokuzid kifedha iyo
Atakama Shishi hakufanya vzr mume wako huyo si hawara
Sishangai kwa kufanya hivyo maana toka uyu dada alipo mkashfu piere liquid ndo siku nilimuona hovyo xn na huwa hajui alipotoka
Jamani mi naona Shishi hayupo sawa hata hivyo
Namkubali sana shishi
Dada shishi na kuamini sana mbona unaniangusha jamn nakupenda dada ndoa si lele mama hebu jishushe ili maisha ya songe mapungufu yapo ila jarb kujishusha jamn
Shilole ulikosea sana, usiwape watu nafasi ya kuharibu ndoa yako,maana ulichokifanya pale ni njia tosha ya kuwapa faida na nafasi maadui zako wasiopenda ndoa yako, shilole mumeo anaupendo wa dhati jua hilo,ni hayo tu.please shilole.❤
Mbona kawaida sana jamani kwenye ndoa
Uchebe is a real gentleman :-)
Alifanya vibaya wallah roho iliniuma sana kumfanyia vile mbele za watu Asante sana sns kumbe nanyinyi pia mliona na mpenda shishi nishabiki yake lakini hapo kanikera sana anacheka na wote pale mumewe anamshushuwaza vile so sad 😞
Sio vzr kuzinguana mbele ya watu
Hata kama umekosana na mwenzi wako si vema kupeleka hadhalani tofauti zenu
Kweli dada yangu umeniangusha sana kwani hata kama mmekosana lakini ukutakiwa kufanya hivyo
Alinuna sana hakuwa sawa kabxa
Washapatan tena datz love 💪💪
Sijui kwa nn wanaume wazuri waambulia wake wapumbavu. Nao wake wazuri kuishia wendawazimu. Kila mutu anamapungufu yake chamsingi tujifunze kustiriana
Ata mm cjapenda shishi ata km muna ungomvi cyo mbele zawatu
Katarini umesema kweli 😂😂😂😂
Lizeeee lizima , linajivunia hela za umalaya lililochuma siku hizo
Eti Ana miaka 32 hhhh. Zee Zima 😂 😂 😂 😂 Hhhhhh
Daa shishi ulitubwaga jamani na attitude hio couple hio yenu nzuri mbona hadharani mumeo huyo jamani tena wa ndoa stara hio shishi dada wengi wanalilia nafasi hio
🤣🤣🤣🤣🤣Shishi bwana Akili yk anaijuwa yeye mwnyw 🤣🤣🤣
shilole hujafanya vizur my love mapungufu ni chumban mama
Mpaka hapo mi naona yameisha
Katalina amenidhinda tabia jamn
Hata hivyo shishi kanunia maskini asingemkaushia mbele za watu wangemalizia nyumbani
Sawa ht mm nawapenda sana
Maskn uchebe nilimuonea huruma aibu hii alio mfanyia mkewe sio kwa hazara za watu ugovi wenu malizeni chumbani
🙆🙆huyu n shishi Trump ama Zuwena wa Ashraf jamani mbona sipati picha🙄🙄
Apunguze kilevyi siku hizi analewa bila mpango. Hbday
😂😂😂😂😂😂😂😂pombee sio chaii
Hakufanya vzr shilole atakama mumekosana hupaswi kuonyesha hadharani, umemkosea sana mumeo,
Ata mm sikupenda kabsaa nikumdhalilisha mumeo
upo sahihi
kiukweli kila mtu kaboreka kwa alichokifanya kwanini asiweke tofauti zake pembeni akasubiri nyumbani khaaaaa ushamba tu😡😡😡😡
Labda aliomba wameombana wakakubaliana
Hata kama wangekuwa naugomv bx ungfcha mambo yenu lakn dadangu kańyexha lif kbxa xio pw kbxa shilole nakupenda xna nakuxapot ila kwa hili xijapenda
Shishi jamani usisahau uyu ni uchebe wetu mpole
Maybe about ranger rovers
Ume jigamba sana eti mimi ndo tadumu na ndoa yangu .sasa tutayaona .mahasila paka kwenye media jamani
Shilole tuombe ladhi mashabiki zako kwani tumejisikia vibaya sana
Hata me sijapenda asingeonyesha hivyo mbele ya watu amemuaibi sha Mme wake
Nyinyi wanawake wasanii hamjielewi hamjazowea kujaa na waume mmezowea kudanga
Alikosea. Tena sana. Hata yeye akifanyiwa ivo hawezi furahiya hata kiloko.... 😁😁😁
Niatar 😂 alimzarau kweli
Wanaume mnakatazwa nara mingo abt marrying women older than you and also more financially than you but hamsikii..
Pambaneni na hali yenu
Nimeamini msemo wa Roma uchebe chawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanni mtumie picha za Dar 24 inamaana team ya sns haikuwepo pale...?..
Kweli ila sio vizur
Makubwa .
alizengua kiasi kikubwa yani aibu mpaka mume alishindwa paku angalia mbele za umati
Nafulahi kiukweli nilikuwa nimeboleka
Ache zarau akumbuke
Tatzo ukiwa staa kila kitu nacho kinakua inshu
Shilole umezingua, umemdharau Uchebe.
Acheni upuuz hujui nin wamekosana hio inatokea sana kwenye ndoa inaonesha ao wanao to a comment hajawahi ngia ndoani hio ni kawaida hamjui nib kakosewa achana na ndoa za watu kila mmoja agate zake ndoa kitu chengine waache wenyewe
😂😂😂😂 shisha ww ila ndio ndoa mimi pia niko hiyo 🤨
Mbona kawaida tu kwenye ndoa
That's normal! Ain't it? We don't know what happened btwn them, who're we to judge? How was she supposed to fake feelings? Not everyone s an expert in that!
Hakufanya vzri shilole kwa mume wake hata kama walikuwa na mkwaruzano
Shishi ulimkosea sana uchebe hata kama mlikuwa na ugomvi usingemuonyeshea hadharan au ndo mama kijacho tena au ni hizo pombe ulizokunywa
Asia Mct
hapo sasa ndio watu watajuwa uchebe ni chawa
Kweli kabisa mdogo wangu shilole nakpendaga sana ila kwa ili umeboa umemkosea sana mumeo mtake radhi
Atakama alikua na moods zake asingezionesha kwetu wangemalizana chumbani wenyew.... Next tym ikitokea hvo asimfanyie mwenzie hvo sio kitu kizur wallah
Apo sw nimependa mungu zaid kuwalinda
Shilole hatabadilika,yani uchebe angekuwa si bondiya kama Nuh mziwanda,niwazi angemzaba makofi
Nkweli alicho fanya sio vzr bnfs niliona asinge onyesha vile daaaah
Ila kamkuta uchebe anamaisha yke tayr hawezi kumzingua .akimzingua anarudi kwenye nyumba yke
kaa jamani uchebe anatabasam tamu nishiiiiida
Wanaect km shamsa ford kujichekesha kumbe ndan kunawaka moto hahahahaa unatuaibisha kununa mbele za wagen ww shishi ukubwa wa umbo tu
Tatizo alichelewa kufika sehem ya tukio ndo maan kanuna
But shishi is very naughty
Eti joto hasira🤣🤣🤣🤣
Amuache alafu aone mwewe tutavyompitia chaaap shenzy taipu🦅
🤣🤣🤣📢📢📢 Akimuacha tuuuh manyaku tume kaa muguu sawaa
keya Keya vibaya mnoo yaani
Ningekua mm angechezea makofi na mateke usiku kiburi chote kingemuisha huasipendagi ujinga🙇🙇
Shilole jamani
Kanuna Hadi aogopesha veepeeeee?
Shishi kiukweli tuombe mashabiki wako umetukoseha sana ty toa tamko kwa uli
Alijipatisha haya shilole siku yako
Ucheb kacelew kufik 😂😂😂
Uchebe is agentle man..He didnt show out what was happenning...But to shilole was kinda naughty...
Kweli sio poa alivo fanya kafanya ushamba Sana
Uchebe ajanunua keki hahahahahaaaa
Hahahahah Duuuh itakuwa
😆😆😆mtihan
Halafu wanaume tusipende vya mteremkoo ukiishi kwa mwanamke umeishi utumwani yani km n mm ahamie kwngu ili akinizingu anachezea mkonong'oto maana ukihamia kwke ukimpiga usiku anaweza kukutupia kibegi chako nje ukalala nje bure inabidi uwe mpole hata akikufokea maana usiku mkubwa
sijapenda kauli zako za kukimbilia kupiga. mungu akubadilishe
@@veronicanangale8923 jmniii nimsemoo usinifikirie vby mm simpigaji my eee
We shilole una fundisha nini wa dada wa dogo unawashauri nini
muongo uyo alikuwa anawachola alafu Shishi utani mwingi kuliko kula
Inaelekea alichelewa