Kiukwel dada anapenda kutrend uyuu😂😂😂 hizi mbwembwe zote uyu mzungu atakuja kulia baadae🤗🤗 muache aende so ridhik na havina muda hv mapenz hayajaribiwi
mimi nipo usijali tatizo mnapenda wadada kama hao wakuwadangia mnasahau kua kuna wanawake ambao wanajieshim na wamekulia kwenye dini na wanajielewa mnaona utwiga na figa mnasahau upendo na heshima ndo kila kitu hayo mengine hata kwa mloganzila yapo tu unamtengeneza vile unavotaka ila pole sana ndo maisha kikubwa omba mungu upate anaeendana nawe tu inshallah 🙏🙏
Hii ngoma unasikiliza hady unasikiliza then unasikiliza ulimaliza unasikiliza ukisha sikiliza unasikiliza unajuwa bado me nasikiliza Yan nasikiliza dula anasema we furahi me nasikiliza we enjoy tusisikilize we furahi dula wekiboko wa tenzi we twiga furahi.....
Roho inauma Dulla pamoja tunahuzunika pamoja na ww pole mfalme wa sengel ila usiumie sn ukashidwa kutupa Raha na nyimbo mpya za sengel king yataaisha tu dah nimelia sana
Usikwazike mdogo Wang maisha Yana mengi,na kheri nyingi zitakuja tu kwako km ukuwa mwenye kumfanyia ubaya..........tuna mifano ya hivyo na Sasa hivi tunaishi fresh kabisa.
Well done Dulla kunguru hafugiki wape muda kitawaka tuu hizo mbwembwe zote ni kujitokeza kama binzali kwenye mboga wakati haina ladha yoyote ni rangi rangi tuu
Dula makabila,nyamaza jikaze Kaa kimya najuwa atakukumbuka huyo na pia atajakukuomba msaha.Sio Leo ipo inakuja,pia usilumbane na mtu fanya kama haon utaja niambia Dulla
1:18 Haya mambo wanaume wengi yanatufika ila wengi wetu hatuna namna ya kujieleza tukaeleweka. Dulla umetumia umahiri wako mkubwa wa Sanaa ya muziki kuainisha hisia zako kwa ufasaha mkubwa bila kumtaja mtu jina lakini watu tumeelewa unazungumzia nini. Hongera Dulla umetuwakilisha vyema wenzako tuliofikwa na hayo. Naona 'Mzungu' amepanick sana!
Dulla Makabila uko juu badala ya tukio Lao la kuvishana Pete kuwa on trending umelipeperusha watu hawaliongelei sasa nyimbo ndio inaongelewa kila Kona na ndio iko on trending number one Hongera Dulla big up ❤
Nimeirudia mara 100 hili dude dah ogopa yalinikuta nlitamani kunywa sumu pale ambapo brother wangu alifunga ndoa na demu wangu😢 dulla usijali tutafika tu😢😢😢😢😢❤
Yaani kwenye hii dunia acha iiitwe dunia tu ,mm mpenzi wangu nilimtambulisha baada ya hapo mdogo wangu kaamua kuolewa yeye, nilikuwa na kilo 65,baada ya tukio nina kilo 40,
Hila Dulla kichwa chako ni another level !!! Lazima wakubali tu wee ndio King wa Singeli TZ 🇹🇿
Kunguru hafugiki bora ulivomuacha aende akadange mbele. Wanaokubali heshima kwa dula makabila gonga like twende.
Aliachwa mbona anatoa Siri????😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 mwanamke anahitaji matunzo mzee... Jamaa analia na mengi😅😅😅😅
Safi kaka dulla Allah atakupa waheri namwenye tabia njema wadangaji wamepatana biggerup dulla
Ukiachwa achika komwe lako,wenzio wanatoa gari we unampa mimba tu,lazima anywe P2
❤❤❤❤❤
Hii ngoma imeenda muda sahihi , dulla upewe maua yako , ubunifu mzuri.
Tujuane tuliorudia hii ngoma zaid ya malambili like.
Mm nimedanlod kabsa ad machoz yamenitoka
Sema kafup
Tupo
Wewe peke yako
Mi ata mara 6
Dullah fundi kinoma anajua kupangilia mistr kinoma au mnaonajee wanangu
😂😂😂sanaaa
Kabisa mwanangu
Uhakik mwana
Tunakubal mshkaji
Kabisaaaa
daaaa wote wamepata like me ndo sijapata tuu
nilichopenda ni kwamba kila aliyecoment kapata like kasoro mimi tuu😢😢
Labda utopolo wanaogopa picha ya Ayubu
Kiukwel dada anapenda kutrend uyuu😂😂😂 hizi mbwembwe zote uyu mzungu atakuja kulia baadae🤗🤗 muache aende so ridhik na havina muda hv mapenz hayajaribiwi
Apa dula kaimba Ngoma kali sana. Msaanii wangu kuanzia leo ni dula makabila
Dulla Makabila umetisha sana, uko sawa sana Jibaba. Wimbo hauchuji umekuja wakati muafaka. Kipaji unacho ndugu yangu.
Mimi ni fun namba moja wa Makabila from 🇰🇪 nipeni likes
😂😂😂
Nakubali sana mwanangu dulla Goma kali
Jamaa kaumia sana kwakweli sijamzoea hv dulla makabila 😂😂 kweli alimpenda sana zailisa sema umejichanganya mwenyew tu dulla
Dullah kaonesha mambo tunayokutana nayo wanamme lkn hatukimbilii kwenye media like zenu kama nanyi ni wavumilivu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉dullah
Nimependa ulivyoifanya hasira biashara congratulations brother
Tena yaani umewaza kama Mimi yaani mwamba ana piga minoti 💰💵 👏👏😄😄
Kabisa yaani amepiga hela
Saana ameenda na upepo😅😅😅😅
Sure
Alichokosea amesema kitu cha ndaani kinachowahusu walengwa hapo amekosea bora angetaja kitu kingine
Jmn kuachwa inauma kuliko hta kutairiwa bila ganzi..........pole sana mwamba
🤣🤣🤣🤣😂
SINGELI LEGEND DULLAH,, Umejuwa kwenda na upepo broo hii ngoma itaenda mjini✊
Kama umeuridilia huyu wimbo zaidi ya mara 1 gonga like 👍
Wimbo mzuri sana. Furahi bonge la goli
FURAHI KAMA KUNA DEMU UMEMUACHA KWA TABIA ZAKE MBAYA !
WAZEE WAKUCHA MADEMU WENYE TABIA MBOVU PIGA LIKE HAPA ✌🏻🔥🔥🔥🔥🔥
Daaaa acha tyu jamaaa kama kaniimbia mimi an
Dah nimecheka kifala 😂😂😂😂
Ammewa kumbusha tuuuh
@@ashirafuhuruma6412😅😅😅😅
Q@@achouraachoura5763
Mm siulinywea p2 bx uyo mzungu umzalie ,Zaylisa na Hajmanara sasa
Dulla Ongezewa Miaka Kumi...Mbinguni tutanpumzika...Mob love from kenya brother ❤❤❤❤
This is a true meaning of an artist, much respect makabila
Mnaweza kuchukia vitu kumbe ni kheri kwenu na mkapenda vitu kumbe ni Shari kwenu muombe Allah akupe mwenye kheri na wewe❤
We Fara tu
Mpende baba wa watu anaugonjwa wa kuzimia🔥 Kila siku kuolewa kuachika Zaylisa tulia🎉
Ngoma kali sana mwanetu...sema nini bora yule twiga wa chamazi kasepa..angekukaanga!
Sitakii kujua kamuimbia m2 walaaa nn, Dulla atabaki kuwaa msanii wanguu pendwaaa daimaa.... 4hrs ago 6 ontrending anabalaa lakee makabilaaa.... Respect saaaana singeli artist
Amejua kuandika mashahiri wallah Mashallah
❤❤❤❤❤
Manyara alitangaza kutoa million 50 Kwa atakayemuimbia Zaylisa haya sasa goma ndiyo hili Dula kafuate Hela zako maana umeimba vizuri sana.
#Furahi
Hhhhh😁😁😁
Mimi siulininywea p2 basi uyo mzungu umzalie 🎶
Wanawake ziwaua izo P2 hawajui tu
mimi nipo usijali tatizo mnapenda wadada kama hao wakuwadangia mnasahau kua kuna wanawake ambao wanajieshim na wamekulia kwenye dini na wanajielewa mnaona utwiga na figa mnasahau upendo na heshima ndo kila kitu hayo mengine hata kwa mloganzila yapo tu unamtengeneza vile unavotaka ila pole sana ndo maisha kikubwa omba mungu upate anaeendana nawe tu inshallah 🙏🙏
Wewe tena unajipendekeza unapigwa mjeledi uende kwenu
😂😂😂
😂😂😂na mimi nipo😅😅😅😅😂😂😂
@@halimahussein6066 😂😂😂
@@FrankSuarez-h3i 😂🤣🤣🤣🤣 nampa pole nipo kumpa pole tu 😂
Hii ngoma unasikiliza hady unasikiliza then unasikiliza ulimaliza unasikiliza ukisha sikiliza unasikiliza unajuwa bado me nasikiliza Yan nasikiliza dula anasema we furahi me nasikiliza we enjoy tusisikilize we furahi dula wekiboko wa tenzi we twiga furahi.....
Kaza roho mwambaa ndio mambo ya dunia hayo ila ngoma kali imeenda hiyo 🙌🙌
Iyo siri bado imefichwa 😂😂 sema ngoma kali kwa mala ya Kwanza naanza kuikubali singeli ila mzungu 🎉🎉🎉
Siri imefichuliwa kiasi hajui kupika😂😅
@@rosenafula8993mzungu Si manara😅😅
@@rosenafula8993 Siri ni nyingine kabisa hajaitaja kutojua kupika sio siri🤣
😂😂😂 jaman mimi hapo tuu kwenye swala la kupika tuuu😊😊 mapishi yapo mengi dulls tufafanulieee 😅😅😅😅
Hatariiii... much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪,ila inauma sana.... wakenya in the house nipeni likes
Yn 2po ndani ya ndoa ila bado ulinidangia mamae kama mumeelewa huu mstari tugonge like tukisonga❤❤❤❤
Roho inauma Dulla pamoja tunahuzunika pamoja na ww pole mfalme wa sengel ila usiumie sn ukashidwa kutupa Raha na nyimbo mpya za sengel king yataaisha tu dah nimelia sana
Weee dulla umepigaje hapooooooo furahiiiiiiiii like za dulla zije hapa🎉🎉🎉 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jaman machoz had yamenilenfa inaonekan dullah alimpenda San huy mdad sem ndo kicheche pole kaka et MUNGU ni mwema malipo dunian utapata wa kufanana 🙏🙏
Ni kweli kabisa dulla alimpenda sana zai ila sababu ya wao kuachana wao ndo wanajua na dullah anaonekana ameumia sana
😭😭😭
Wote walikuwa vicheche
Kumvumilia asiyejua kupika ni kipaji
Usikwazike mdogo Wang maisha Yana mengi,na kheri nyingi zitakuja tu kwako km ukuwa mwenye kumfanyia ubaya..........tuna mifano ya hivyo na Sasa hivi tunaishi fresh kabisa.
Dulla Makabila ameamua kufanya kama hatofanya tena
Well done Dulla kunguru hafugiki wape muda kitawaka tuu hizo mbwembwe zote ni kujitokeza kama binzali kwenye mboga wakati haina ladha yoyote ni rangi rangi tuu
Dullah mm nakukubali sana ndugu yang ! Allah akufanyie wepesi ila kipaji kaka yang nakukubali saaaaaana makabila huna baya bro kaza buti
Jameni mapenzi yanauma,,,Hila bro ukiachwa achika,,,Kuna savabu manake hujui kesho,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪
from kenya iko love bora ulivyomuacha wacha tuone kama atatoboa
Bora ulivyomuacha kipenzi.wala usiwe kinyonge Wenda mungu kakuepusha na jambo.❤❤❤
YANI usanii unatoa ujumbe na bado unaingiza ela dah
It's such a nice message dulla you did it bro I love this
Dulla ni msanii na kafikisha ujumbe wake. Na kubwa zaidi kamuusia tu bibi harusi 2 bi. Ujumbe mzuri. Dulla hana Kazi mbaya
Wakwanza naomba like zng jamn
Wangapi ......tumeludia wimbo ......kusikiliza mzungu huwa anazimia
We furahi
WE are enjoying this music Here in Germany furahi Tuna furahia wimbo
Uyo mbwa atakufa vibaya sana anatumia uzuli wake anautumia vibaya sana naumiasana dullah tulia mungu atakujalia utpata mzul zaid yake usjali kaka angu
Mamam akooo ndioo anaetumik😅😅😅😅😅😅😅😅😅
wajanja wa mziki ndo wataelewa●♡You deserve your flowers Makabilla
Kimg mfalme.wa.sengel hujaeai kosea Dullah mwache afurahi haya maisha tu wewe Tupe sengel
Leo kwel nimejua kweli dula upo juuu kwa singel
Mwanangu dullah mwanamke kama filigisi uzuri wake wa nje haufanani na wandani pole sana yote mapito
😂😂😂😂firigisi
Oyaaaa kaka makabila aina kufagilia uyo ni chura tuuu kama chura wengine analeta tamaa we tuachie sisi wakitoboa mwaka huuu bas nitakwenda mim.
Kumaaaaaaaaaninaaaaaaa dullah weeeeeee kiboko na nusu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kama unamkubali dullah like hapa eti mzungu ana ugonjwa wakuzimia😢😅
Umeskia eeeh
😂😂😂😂
😂😂😂
😅😅😅
Nime heshimu sana dulla mwenyewe 😂😂😂
Kweli kunguru hafugiki
Nakubari mwanangu achananae wamekutana malaya wote chura wa chamanzi na mzungu asie na bala
Nyimbo nzur san broo🥰🥰🥰❤️ .....ila ucjal utampta mwengne mzur zaid yke na aliye bora.....hujui umeepushw na k2 gn
Dula makabila,nyamaza jikaze Kaa kimya najuwa atakukumbuka huyo na pia atajakukuomba msaha.Sio Leo ipo inakuja,pia usilumbane na mtu fanya kama haon utaja niambia Dulla
Pamoja kaka japo Ngoma ni ya vijembe ila kaliii 💥💥💥💥
Ngoma Kali hasa hiyo we furahi nimekushindwa we furahi tu hongera dulla
Dulla❤❤🎶🔊✴️✴️✴️✴️🔥🔥💯Umepigaje hapo Dulla 😅😅Ana Ugonjwa wa Kuzimia cyo Atakufa Mwaka huu mbona
Mapenzii yanaumaa sana😢😢😢 Mimi sii ulininywea p2 basii huyoo mzungu mzaliee😂😂😂❤❤❤❤
Jamani mimi nimerudia karibu mara kumi ngoma kali❤❤❤😂😂😂
D😂😂😂❤
Acha ufala download kabisa
@@albertkassian1495 iko whatsapp kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂
Acha bangi na wewe we subiri ngoma nyingine kutoka kwa Dulla kaka mkubwa 😂😂😂😂@@albertkassian1495
Sana
Maneno ya mkosaji ayo Dulla,waachie Manara na ex wako wale maraha
Huyu jamaa ni talented sana
Sanaaaaa zaidi ya sanaaa
Hii ngoma ina maana kubwa sana uki iskiliza juu juu huwezi ielewa
Nakubal kaka inauma lakin utafanyaj muhim ni kufurah umejipunguzia mzigo nyimbo Kali San ❤❤
Dah yaani unamuacha Dulla kijana mwenzio, afu ana mvuto! Dah!
Dulla na Harmonize jameni ehhhh mkingali mnapenda tuu maskini 😊
Hujawahi penda😂😂
😅😅😅
Watu wa kusini hao
Mwenyezi mungu atakupa mke bora na mwenye hofu ya mungu inshaallah kikubwa subra
Kabsa
Dulla God will give ur own gal and u will be happy and in This song Dah Dulla u have Nailed it Brother❤😂
Number one from Kenya show love guys. Chunga rayvanny asione hii atake collabo😂😂😂
Afanye nae colabo iyeendee mjini
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Acha ushawishi tulia kwenu uko vany boy kafikaje apa😮
IQ kubwa sana,, maumivu ya kutengena yanaenda kumtengenezea pesa mingi nice song
1:18 Haya mambo wanaume wengi yanatufika ila wengi wetu hatuna namna ya kujieleza tukaeleweka. Dulla umetumia umahiri wako mkubwa wa Sanaa ya muziki kuainisha hisia zako kwa ufasaha mkubwa bila kumtaja mtu jina lakini watu tumeelewa unazungumzia nini.
Hongera Dulla umetuwakilisha vyema wenzako tuliofikwa na hayo. Naona 'Mzungu' amepanick sana!
Wapi like za dullah kama umesikiliza zaidi ya mara1 , wee furah kama umepata mzungu😂😂😂
Watu wanaona jamaa kaumia sana ila mwamba kapata fursa ya kupiga hela
Hii nyimbo atauza sana
Hakika mapenzi yanarun dunia jipe moyo Hilo halikuwa fungu lako but upewe maua yako ngoma nzuri
mpo kwenye ndoa na unadangiwa wapo watu wa namna hii bado ata manara bila milion moja alii mzigo😀😀😀😀
Naitwa jiniby namkubali sanadul makabila
jitahidi mzungu asijue kama hujui kupika...period
😂😂😂 I
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂umeweza dullaaaaaaaaa mzungu amepata ....wapi like zangu🎉🎉
Umeweza bro love you ww n noma San bana❤❤❤🎉🎉
Poleee dullah mungu atakupa unachostahiri❤❤❤❤❤
Fulai kama umeachana na mwanaume mwenye ajaacha tamaa za ujanani😂😂😂😂😂😂❤
Ngoma moja kali Sana mzee baba ndio maana halis ya mwanamziki, unatumia tukio la kweli kujipatia kipato
Aweeeeeee nakubali sana from south 🇿🇦
Dulla Makabila uko juu badala ya tukio Lao la kuvishana Pete kuwa on trending umelipeperusha watu hawaliongelei sasa nyimbo ndio inaongelewa kila Kona na ndio iko on trending number one Hongera Dulla big up ❤
Kawakomesha maana nawao wamamtumia Dulla kutrend Zai bila makabila Nani alimjua 😅
Dullah kilichobaki ni kupambana tena acha na zay tattizo lake tamaa mwezi mmoja tu mtaonaa motoooo
Nimeirudia mara 100 hili dude dah ogopa yalinikuta nlitamani kunywa sumu pale ambapo brother wangu alifunga ndoa na demu wangu😢 dulla usijali tutafika tu😢😢😢😢😢❤
L
2:06
Inaumiza saana
Yaani kwenye hii dunia acha iiitwe dunia tu ,mm mpenzi wangu nilimtambulisha baada ya hapo mdogo wangu kaamua kuolewa yeye, nilikuwa na kilo 65,baada ya tukio nina kilo 40,
😂😂😂😂😂@@aishaphilimon8013
Hit song, binafs nimesiliza mara 5 u tube, na nimeamua kui download... Makabila king 👑
Hii ngoma imeenda sana mwangu Dulla we kaza tu wanawake wasaliti tangu zaman kwaiyo ata usishangae pambana na hali yako
Wezai weee dullah kapigajeee hapoooo🎉
Aiseee Dula unajua sana kaka nakukubali miaka mia
Nilikuwa sipend sengel ila niliipenda na Taendelea kuipenda Kwa ajili ya Dullah na enjoy sana makabila unaeleweka bro
Safi sana mzungu ana mda bas tumekaa pale ucjal kaka Dullah mungu ataleta kheir utapata kilicho chako