DOSSA WA YANGA AMCHANA RAIS WA CLUB YAKE LIVE/ VIONGOJI WAPIGAJI WAMESAJILI WAZEE ANAFUKUZWA GAMONDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 291

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu fala akae kimyaa ipo siku tutakuja kumpasua sisi maana mda sanaa unaongelea young vibaya na unatumiwa

  • @philemonkisula881
    @philemonkisula881 หลายเดือนก่อน +14

    Haka kamtu Kako vizuri. Kanaipenda sana Yanga yake

    • @MadinaVitambaa
      @MadinaVitambaa หลายเดือนก่อน

      hii nilanazao wenyewe yanga

    • @ISSAissa-r3b
      @ISSAissa-r3b หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NaimaMasare
    @NaimaMasare 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu ameona hii ndio namna ya kupata umaarufu. Anawaiga kupina mchome😅😅😅

  • @MussaKitaluta
    @MussaKitaluta 25 วันที่ผ่านมา +1

    Maneno ya mkosaji binadamu siyo wakumwamini yaani vigeugeu sana

  • @DiannaMboka
    @DiannaMboka 28 วันที่ผ่านมา +1

    Kaungane na wahuni wenzako,,yanga tupo juu

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni mnafiki kweli kweli .

    • @elvisnzovu8282
      @elvisnzovu8282 11 วันที่ผ่านมา

      Mnafiki wa kwanza utakuwa wewe!

  • @BaynoMatane
    @BaynoMatane 29 วันที่ผ่านมา +1

    Yani apoo bado mpaka msemee mzee magoma kafeli kidole kimoja hawezi kufunga kolo apoo inatakiwa mjigrupu na mzee magoma RAIS Engineer Tunampenda sanaaaa

    • @halimaally9234
      @halimaally9234 24 วันที่ผ่านมา

      Kweli xhule muhimu ee!!! Timu lako limefungwa mala 4 aseme nani Kama sio nyie na timu lenu bovu mtungwa mala 7 mfululuzo na yange

  • @JosephKomba-f6g
    @JosephKomba-f6g หลายเดือนก่อน +2

    Huyo Jamaal katumwa kuivuruga yanga TU. Wakati yanga iposawa wanakaa kimya.Wakiishiwa wanapiga kelele sana.

  • @IsmailHotelJibunge
    @IsmailHotelJibunge หลายเดือนก่อน +8

    Napenda ukweli wako achana na ngedere ambao wanaishi kwa nguvu ya unafiki

    • @JohnMbogo-c1n
      @JohnMbogo-c1n 27 วันที่ผ่านมา

      Hivi kuna wanafiki kuwazidi panya road?😅

  • @RashidiMbena
    @RashidiMbena 25 วันที่ผ่านมา

    Kama ni hayo basi Eng. Haongozwi na watu wa Yanga anawatoa katika uongozi wenyeji atapotea sana.

  • @Samwelrobert-e8m
    @Samwelrobert-e8m หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mwamba yuko sahihi kabisa ....! Huyu ndo mwanachi asiye mnafiki anaongea ukweli ....!! Hua namkubali sana huyu mwamba ..mda mwingine Yanga tunayumba aisee ...hata me ni mwananchi lakini kwenye ukweli tukubali

    • @ericbrunokalonndwa8590
      @ericbrunokalonndwa8590 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna kitu njaa shida

    • @OS-pf6op
      @OS-pf6op หลายเดือนก่อน

      We kolo

    • @JohnMbogo-c1n
      @JohnMbogo-c1n 27 วันที่ผ่านมา

      Tangu lini panya road akawa mwananchi? Yanga ni taasisi so kama mtu ana sifa ya kuitumikia ataitumikia hata kama ni shabiki wa panya road...mbona hata mashabiki wa Yanga wapo walioajiriwa na panya road, azama na timu nyingine kibao

  • @madatadesigner2412
    @madatadesigner2412 หลายเดือนก่อน +2

    Mwana YANGA wa tatu mwenye Hakiri

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 หลายเดือนก่อน +2

    KAFUNDISHE MADRASA

  • @davidpius4764
    @davidpius4764 29 วันที่ผ่านมา

    Majasus walikubal vip simba ifungwe mara 4

  • @VLADDYNDANZI
    @VLADDYNDANZI 28 วันที่ผ่านมา

    Njaa siyo nzuri

    • @LauMagwaja
      @LauMagwaja 27 วันที่ผ่านมา

      Kusema ukwel ndio njaa

  • @barakazuberi2091
    @barakazuberi2091 หลายเดือนก่อน +3

    Yule GSM NI Simba kabsa

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe หลายเดือนก่อน +1

    Dosa kwa Wafuasi mitandaoni Utopolo haimfikii Simba hio asilimia 100% Utopolo kua namba 3 umetupiga

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 หลายเดือนก่อน +1

      Timu zenye wafuasi wengi Africa ya kwanza ni al ahly ikifuatiwa na simba sc ambayo imeishinda fc porto na as monaco

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe หลายเดือนก่อน

      @gabrielnybala2165 Dosa anatuambia ni Yanga 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 หลายเดือนก่อน +1

      @@BigZhumbe dosa amelamba asali ya tabora sasa inamhemesha sana

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe หลายเดือนก่อน

      @@gabrielnybala2165 🤣🤣🤣🤣

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le หลายเดือนก่อน +3

    Mshaanza kulalamika mlipokuwa mnafanya vizur mlikuwa kimya mbona kwa chama husemi kuwa katoka cmba kuja yanga ni ujajusi achen Mambo yenu mtulie sindano ziwaingie

  • @majaliwacosmas4594
    @majaliwacosmas4594 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli utabaki kuwa UKWELI mtupu @wana uto Sindano hawapend kuambiwa ukweli lkn huyu ndye MWENYE kujitambuwa

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 หลายเดือนก่อน +23

    Huyu Dosa kwa kipindi kirefu huwa namfuatilia naona anatumiwa kuihujumu yanga na ndio maana waandishi siku hizi muda wote wanamuhoji.

    • @AshelyAbel-x1q
      @AshelyAbel-x1q หลายเดือนก่อน +3

      Ww nawe akiri yako imeshikwa na mapenz yaliyopitiliza maana hujui kama kwenye taasisi hua kira mtu namawazo na mtazamo wake hata wewe unamtazamo wako ila umeamua kua mnafiki utaki kusema ukweri

    • @MordAlly-ng8jj
      @MordAlly-ng8jj หลายเดือนก่อน

      Huyu ni Yanga pure isipokuwa siku hizi mtu akisema ukweli anaitwa mnafiki. Tatizo Yanga wengi akili zao ni as per ​@@augustinhoyohana4120

    • @MordAlly-ng8jj
      @MordAlly-ng8jj หลายเดือนก่อน +1

      Dossa upo vizuri , mwanzoni nilikuona ni mshabiki tu kumbe unajua mambo kwa statistics, umekomaa endelea kusema ukweli kuhusu Yanga

    • @davidmgata2228
      @davidmgata2228 หลายเดือนก่อน +2

      Vipi na mchome mapovu unamuonaje?

    • @fadhilfathamula4224
      @fadhilfathamula4224 หลายเดือนก่อน +2

      Upo sahihi kabisa sijawai kumkubali huyu jamaa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf หลายเดือนก่อน

    KULA MISHAHARA YA WATOTO MASIKINI WA YANGA INAMAANA WANAYANGA BADO WANACHANGIA MISHAHARA YA WAFANYAKAZI WA YANGA . 😢😢😢😢 sad !

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie ukakamavu

  • @PonelaMsola-t7g
    @PonelaMsola-t7g 23 วันที่ผ่านมา

    Hawa jamaa kwa nini huwa wanapewa nafasi na hivi vimedia?

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtu ni mpuuzi Sana,halafu njaa mbaya sana

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 25 วันที่ผ่านมา

    Wewe Dossa ilikua nakuamini lkn SAA hii nakuona ni zuzu Tu,hayo unayoleta ni upuuzi Tu,

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q หลายเดือนก่อน +5

    Anayempinga huyu mwamba nimbugira hajui kitu

  • @ElizaMaico
    @ElizaMaico หลายเดือนก่อน

    Mimi ni yanga nakuelewa sana

  • @JohnMbilingi
    @JohnMbilingi 23 วันที่ผ่านมา

    Gamondi aliikuta timu imara mbinu zake zilikwama lazima mabadiliko yafanyike raisi uamzi alio ufanya ni kwa masirahi ya timu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf หลายเดือนก่อน

    Kasenge maji kweli haka kajamaa 😅😅😅 kwani kusema Simba ndio team kubwa tz amekosea nini ? Kwani CAF wao wanaweza kujibu nini swali kama hilo kama sio watasema hiyo hiyo Simba ? 😅😅😅😅eboo

    • @georgesteven5185
      @georgesteven5185 หลายเดือนก่อน

      Tatizo akili huna umejaaa uchawa tako ww

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni mseng yaani bonge la hanith pamoja na wote wanao mshabikia

  • @masoudtwalib6413
    @masoudtwalib6413 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu bwege anashida na anatafuta matstizo na Timu yetu.

  • @WILLIAMCHILOSA
    @WILLIAMCHILOSA 29 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anatafuta umaarufu hekima haisomewi ni utashi Toka kwa Mungu punguza ukali wa maneno yanga umeikuta.

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 หลายเดือนก่อน +1

    Kafundishe madrasa mpira hujui ww

  • @donaldmasamaki8730
    @donaldmasamaki8730 หลายเดือนก่อน

    Mimi kama mimi ninavyoona, kocha gamondi uwezo wake umeishia hapo pamoja na mafanikio aliyofikia. Gamondi alikuwa na uwezo mzuri lakini ili twende mbele zaidi na kwa mafanikio tunahitaji sasa kocha mwenye uwezo zaidi ya kocha Gamondi.

  • @edwardjikono
    @edwardjikono หลายเดือนก่อน

    PRIVADINHO ALIAJIRIWA YANGA KABLA HATA YA KUCHUKUWA UBINGWA WA LIGI KUPINDI KILE SIMBA NDIO WALIKUWA MABINGWA

  • @barakazuberi2091
    @barakazuberi2091 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona gharibu NI Simba damu dam lakin kawekeza yanga au nae nimamliki😂

  • @gabrieltomeka6110
    @gabrieltomeka6110 หลายเดือนก่อน

    Hamna lolote hako kahunikalopokaji tu kanatumiwa Wala Hana umaarufu na KUJUA kihivyo kwa vile anahojiwa. Na vyombo vya habari MASHABIKI wa Simba

  • @harunahalfani1624
    @harunahalfani1624 12 วันที่ผ่านมา

    Huyu dossa ni Simba Wana yanga msiingizwe mkenge,huyu ni pimbi tu

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 28 วันที่ผ่านมา

    Na Bado Mzee Magoma alisema ohoo ohoo na watakusaga wapambe hawataki

  • @udaicaresma3439
    @udaicaresma3439 22 วันที่ผ่านมา

    Ahame timu aende simba simple tu mbn. 😂😂😂

  • @babupiza641
    @babupiza641 หลายเดือนก่อน

    fanya kaz ww kenge achana na yanga

  • @Saidially-y2i
    @Saidially-y2i 29 วันที่ผ่านมา

    Kwanza atakadi ana anaongea maneno yaovyo kama anayo kadi aonyeshe mtandaoni kama anavyojionesha yeye

  • @LitoDossani
    @LitoDossani หลายเดือนก่อน +3

    Ongea kaka

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 25 วันที่ผ่านมา

    Acheni uhuni mganga wa yanga nimeudi kivingine mumeiroga yanga sana naja mnitafute baada ya namongu hakunatimu itakayosalimika naja go

  • @athumanibakari-j6u
    @athumanibakari-j6u หลายเดือนก่อน

    Dossa mwongo,we kilichokuudhi ni Miguel kuondoka,we tulia

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 หลายเดือนก่อน

    Huyu Dosa ananitia,kichefu chefu sana yeye mwenyewe,jasusi kamili wanataka,kuiuaYangwanacha wa,Yanga tusipochukua, tafadhari timu,yetu.itaanguka anguko kwa Aibu

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 หลายเดือนก่อน

    Mtamaliza maneno.ila zamu ya Simba nawao Miaka 3 wana Simba wapate furaha nyie pigeni kelele tu itifaki inazingatiwa.

  • @JabariKapindya
    @JabariKapindya หลายเดือนก่อน

    Huyu Dossa Ni MAMLUKI Kama Anna kadi ya Yanga aitwe na kamati ya maadili kwenye Tawi lake.kwa sababu hayo anayoyasema akayaseme kule.

  • @hamzanangameta6243
    @hamzanangameta6243 หลายเดือนก่อน +3

    Dossa mdogo wangu njaa itakusumbua! Kama yanga kuna shida hapo jangwani c jirani nenda kawatajie

    • @ChazsMassawe
      @ChazsMassawe หลายเดือนก่อน

      Huyu nae amevuta bangi ya malawi.. Hajui anachongea

    • @ChazsMassawe
      @ChazsMassawe หลายเดือนก่อน

      Ushabiki unamfanya anaongea uwongo.. Eti yanga ni yatatu.. Wenye washabiki wengi.. Lakini matokeo mabaya yanamfanya kuongea hovyo.. Hajui kitu.

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo หลายเดือนก่อน

      Dosa right

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 หลายเดือนก่อน

    Ali kamwe Simba na haji manara simba

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 หลายเดือนก่อน

    Mlichukuwa Manara mkijua kabisa ni mshabiki wa Simba mbona hukusema acha uboya wachezaji wenu wamechoka

  • @majutojackson5718
    @majutojackson5718 หลายเดือนก่อน

    hivi wewe msenge,Leo hii upewe Yanga aidha uwe rais au kocha! utaweza we mavi!!!

  • @HamzaChilongola-tq7ty
    @HamzaChilongola-tq7ty หลายเดือนก่อน +1

    kaka wewe mtangazaji huyo jamaa anachosema yuko sahihi. hatusajiri kwakumfunga simba marengo ni kupga hatuwa ubingwa wa lig mafanikio club bingwa

  • @PeterNyondo-p7k
    @PeterNyondo-p7k 25 วันที่ผ่านมา

    Ynga wanamwogopa heris

  • @FadhiliHaji-s4f
    @FadhiliHaji-s4f 27 วันที่ผ่านมา

    Wewe kuma unatumika eeeh tuachie yanga yetu matokeo ya azam na tabora yasiwe chanzo cha kutuhujumu Acha unatoa sh ngapi

  • @FedrickMrinda
    @FedrickMrinda หลายเดือนก่อน +1

    Huyukuma sijui kama hatashule hakwenda we ndo adui wakwannza uulishachanga shingapi

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 หลายเดือนก่อน +1

    Ww kuma tutakufuata hela niza GSM

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 หลายเดือนก่อน

    Huyu Bwana ndio kasema ukweli sasa, Kumbe hao kina Mkude, Baleke, Chama na hata Manara ni majasusi si walikuwa Wanavaa Jezi za Simba?
    Acha inyeshe tuone panapovuja.😂😂

  • @JacobWaryoba
    @JacobWaryoba หลายเดือนก่อน

    Dosaaa. Mmi. Nmekuunga mkono.akuna rais nimpigaji. Akae. Ofisini achie benchi laufundi

  • @EmmanuelNdaki-e7q
    @EmmanuelNdaki-e7q หลายเดือนก่อน

    Ww unatumiwa na watu wasiopenda mandeleo ya mpira,ww sema unataka pesa unyamaziswe acha hizo,tafadhali acha kuharibu mshikamano.

  • @laurentLyatuu-hw7vb
    @laurentLyatuu-hw7vb หลายเดือนก่อน

    😂😂 huyu ndie yanga Lia Lia kaama mchome mapovu Simba Lia Lia yanga kaeni kwa kutulia....

  • @jamespeter9363
    @jamespeter9363 หลายเดือนก่อน

    Acha kurubuni watu,Yanga haiwezi kuwa kilabu ya kihuni kama maneno yako yanavyosema,acha kutumika vibaya

  • @ericbrunokalonndwa8590
    @ericbrunokalonndwa8590 หลายเดือนก่อน

    Dah njaa shida sana

  • @leonardlubala393
    @leonardlubala393 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mpuuzi tu, hakuna cha maana anacho kijua.
    Uongozi wa Yangu ni makini sana hawa vujishi mambo yao ndio maana wanafamikiwa.

  • @yothambenard7785
    @yothambenard7785 หลายเดือนก่อน

    Huyu mswahili alafu bwabwa hana utaalamu wa uongozi ni mtu wa majungu anayetumwa kama Magoma hawo viongozi unawashutumu ndiyo wameleta mafanikio makubwa mno na kujulikana kua Yanga tishio Africa we msenge tu wa kijiweni hunaqualification yeyote ya uongozi

  • @MusaKhalifu-xq5ly
    @MusaKhalifu-xq5ly หลายเดือนก่อน

    Kama vipi si aende Simba's! Ni mpuuzi tu mmoja😂! Walewale kina makoba sijuwi nani😅

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

    Mimi nafikiri hizo ni fitna tu kwasababu hata huyo Ahmed Ali anomuamini yeye dosa anasemwa ni Yanga.

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 หลายเดือนก่อน

    Yuko sahihi hata Simba walikata kata zile nyaya za zilizokua zikipitisha mawasiliano kwa mtani

    • @MwinyiSeif
      @MwinyiSeif หลายเดือนก่อน

      Yuko sahihi kocha arudishwe

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr หลายเดือนก่อน

    DOSA ACHA KABISA KUIHUJUMU YANGA..INAONEKANA UNATUMIWA

  • @MbuniMinza
    @MbuniMinza หลายเดือนก่อน

    😂 anasumbuka tu yanga ni dude kubwa mno😂 rais wetu Yuko making sana ww nikambwa kakolo kasichojielewa pumbavu. Kwa hiyo ww ni jasusi maana ww ndo unapeleka taarifa.

  • @SalhaSewando
    @SalhaSewando หลายเดือนก่อน

    Jamani Wana yanga wenzangu huyu sio yanga huyu msenge ni kilusi Cha makolo lakini yanga tuko ngangali njaa Haina baunsa huyu njaa inamsumbua tumchangie buku buku kilusi fc

  • @RajabuLuhega
    @RajabuLuhega หลายเดือนก่อน

    Dosa unadanganya yanga sio timu kubwa Africa je niangapi africa

  • @paulmasunga1754
    @paulmasunga1754 หลายเดือนก่อน +1

    Dosa mjinga kama wajinga wengne tu yanga bingwa😂😂😂😂

    • @chandeyusufu9570
      @chandeyusufu9570 25 วันที่ผ่านมา

      Mwaka huuu ubingwa yanga hawawezi kuchukua

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 28 วันที่ผ่านมา

    Eti wanachama wengi kwa data zip

  • @musamongy4291
    @musamongy4291 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe nilikuwa nakuamini sana lakini saizi umepoteza ubora sikuizikukosoa tuuu

  • @sylivesterminja1800
    @sylivesterminja1800 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchumia tumbo hajui chochote anatumika tu kukidhi njaa yake. Kama ni majasusi yeye ndiyo jasusi namba moja. Ukifuatilia utakuta hata kadi hana na kama anayo haijalipiwa. Eti Yanga inaendeshwa na fefha za watotot wa mama ntilie! Bull sheet and unconceivable!.

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

    Mimi kwa mtazamo wangu namuona huyu jamaa anaropoka tu na njaa inamsumbua.
    Hivi miaka 4 iliyopita Simba ilivyokuwa ikitamba na kuwa juu na kuwatesa Yanga halafu wapeleke majasusi Yanga kwa kutaka kitu gani?
    Hoja zake haziingii akilini, na kuhusu uwepo wa baadhi ya watu waliopo kwenye uongozi wa ya kuwa Simba hilo linawezekana kwasababu ya kazi ya kutafuta ridhki na kufanya ujasusi.
    Na ndio maana hata GSM inasemekana ni simba lakini ni mfadhili wa Yanga, ameenda Yanga si kwa ujasusi bali ni kimaslahi, vivyo hivyo Manara ingawa alikuwa simba lakini alienda Yanga kwasababu ya maslahi na si kwa ujasusi. Aliitumikia Yanga kwa nguvu zake zote ili Yanga ifanye vizuri.
    Yaani kuna watu kwanza maslahi yake, kama ilivyo kwa wachezaji, mchezaji hata kama timu anayochezea si timu yake lakini ataipigania ishinde kwasababu analipwa

  • @ljmarketlakhshov36
    @ljmarketlakhshov36 หลายเดือนก่อน

    Mim nikisema ninatimiza moja ya sababu nilizoumbiwa...
    Sasa niseme kwako na wanaokupa msukumo huo, yamkini ni kweli unachosema au lah..
    Ila ukweli ni kwamba wote wanaoiamini yanga na kuifuata, juu ya unalolisema hawajali kabisa habari mbaya za Yanga na hicho ndicho kitu kikubwa kinacho imarisha Yanga na kuipeleka mbali...
    Hivyo basi kama nikweli mmedhamiria kuidhoofisha Yanga ni vyema mkaingia kwenye njia za kuwawezesha kupambana kiubora kwani Yanga saizi ishatoka kwenye propaganda na skendo ipo kwenye utendaji na uhalisia wa kisayansi ya mpira wa miguu kuanzia vipaji binafsi hadi uwekezaji wa kimiundombinu....
    Mwenye kunielewa na anielewe...

  • @SaidHamoud-h9t
    @SaidHamoud-h9t หลายเดือนก่อน

    Nenda ukagombee uongozi uongoze mpira halafu acha kusherehesha vazi la kiisilamu na upuuzi wako wa anasa ya mpira

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa na yy wakamshitaki mana maneno hayahya ashayasema Mzee Magoma jamani mzee magoma na wenzake wapeni Young yao msitafune pesa mkaimaliza simba

  • @sengakijumiletv8125
    @sengakijumiletv8125 หลายเดือนก่อน

    We Dosa unabwata tu,Yanga unatuvuruga umelipia kadi???

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya sana huyu kolo anajifanya ni yanga

  • @aliceniyungeko2279
    @aliceniyungeko2279 หลายเดือนก่อน

    Dosa kaanza mapema ujinga wake kama huna jicho la tatu hutojua ngoma anayo cheza huu ni mnafiki muokopeni sana naakiendelea mkokote masikio kama sungura amezidi kapewa mzigo upande wapili muulize Kisugu atawapa habari yeye ndie chanzo

  • @shabaniajaha4327
    @shabaniajaha4327 หลายเดือนก่อน

    HAPO SIONI POINTI YA MSINGI KWASABABU HATA WACHEZAJI WANAHAMA KUTOKA TIMU HII KWENDA INGINE, WANAWEZA PIA KUTUMIKA KUIHUJUMU TIMU

  • @SimbabweSaid
    @SimbabweSaid หลายเดือนก่อน

    Wewe dosa unatumika na ndio maana wachambuzi wanapenda kukuhoji acha kutuchafuwa na unavyotumika mpuuzi mkubwa au unawaonea wivu kina Abdul

  • @MakuoeJafary
    @MakuoeJafary 26 วันที่ผ่านมา

    Viongozi waache kibli pesa sio kilakitu

  • @PhilipSanie
    @PhilipSanie หลายเดือนก่อน +1

    Dossa anatafuta Kiki Tu kichwani hazimo

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona msimu uliopita ulikua uongei ivyo unanini jamaa mbona ueleweki.

  • @vallentinemakuka6965
    @vallentinemakuka6965 หลายเดือนก่อน

    Namuunga mkono ndani ya yanga kuna wapigaji

  • @NicksonAlphacapitalGroup
    @NicksonAlphacapitalGroup หลายเดือนก่อน

    Huyu vp tena mbona miluzi ya ajabu... Wanatekwa akina tarimo wawekezaji wanaachwa mabwege wanakaa kijiweni kuongea upuuzi

  • @SuzyJohn-l9l
    @SuzyJohn-l9l หลายเดือนก่อน

    Yaleee ya simba ya chama yamehami nyuma mwiko

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op หลายเดือนก่อน

    Priva, Alwatan ni koloz sio?

  • @SHABANIHALADI
    @SHABANIHALADI หลายเดือนก่อน

    Sema tu anaesajili anaeleweka si mmemuamini mtu mmoja kwa mihemko sasa pwapwa ya nini

  • @juliusmashauri
    @juliusmashauri หลายเดือนก่อน

    Huyu atawachanganya Yanga! Inawezekana hata anayemjua baba yake sio baba yake wa damu

  • @NicksonAlphacapitalGroup
    @NicksonAlphacapitalGroup หลายเดือนก่อน

    Mwandishi anaemfuata huyu zero nae hovyo

  • @RichardSawaya
    @RichardSawaya หลายเดือนก่อน

    Huyu kaichangia mini yanga? Huyu kashiba magimbi au yeye nimsemaji wa club? Vikao vipo Kwa mini anaongea ujinga Kwa njia ambayo siyo sahihi huyu lazima tuzae naye this time watu kama hawa hatuwataki kama nimwanachama lazima tumjjadiri analememt za mikia huyu angalia hata uongeaji wake kama wa kisugu mpaka kuhema Sisi yanga hatuongeagi hivi

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka mdomo ulimponza kichwa weka akiba ya maneno

  • @adamsonmwaisumo6791
    @adamsonmwaisumo6791 หลายเดือนก่อน +1

    Kama amepeleka majasusi na hiyo maranne
    Umekula kitu

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma หลายเดือนก่อน

    Chama uzuri wake kauacha simba ,,kwa sasa chama akuna kitu,,

  • @mussakalinga-ng5wo
    @mussakalinga-ng5wo หลายเดือนก่อน

    we fala acha ujinga ko rais aondoke au