Wewe Kelvin unaboa sana tena uhakikishe Mr marow anapona tunataka kushuhudia familia ya tina ikiabika na Mr marow arudi katika nafasi yake like yako kwa anaeniunga mkono
Kiukwl mmezidi kunifrahisha leo Mashallah maaana kipindi nime lala nilijesemea kesho donta Ikituletea furaha yetu axbh itatisha sn kumbe ndo vile vile mawazo yngu alivokua Mashallah
Wakenya tunapenda sana hii kipindi tena sisi ni mashabiki wa donta tv lakini likes zangu zikuje nikiwa 🇰🇪 kenya mombasa halafu nimefurai waingekelezi ya mzee kelvin ameongea na kelvin nina imani mali itarudi mimi kama shabiki wengu wa Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
Kelvin nakupenda sana lakini nathamani umuow Loveness kbx nawapenda sana munajibe a vizuri sana na tena munatupatia ma movies nzuri sana 💋💋💋♥️♥️♥️❤️♥️💋💋
Akoka love ness nakenyewe kaisha jipendea mazima❤ afu Kelvin jichangamshe apo unasubiri utongozwe aoj? Jamani iyi kazi kubwa namsinipi like ata moja sababu kwetu DRC atupdaki ivo apa lubumbashi nous vous aimons bien ❤
Kelvin na wew mda mwingine uwe unatumia akil ban watu hao hao wamewanyang’anya Mali hao hao tena unawasaidia kupata tenda unakuwa nao tena bega kwa bega jamn mweee kwa nin huwaz yaliyowakuta na yanatotokea huo ni mtego tu hapo hupato kitu me nakwambia 😢😢
Baba yake Tina Watayutia Kwa kumwamini Dennis ambaye ameisaliti Familia ya Baba KELVIN baada ya kumsomesa na Kumwamini kama Mtoto wake kumshugulikia kwa kila jambo.
Mimi ni mmoja wao, Ila kitu kinacho niumiza kitchwa ni Kelvin na loveness vile vicheko wanavyo vionyesha nivya Nini kwani?? Munipe ma like zenu wenzangu wa kongomani. S'il vous plaît.😂
WANGAPI WANAAMINI KELVIN AJASALITI FAMILIA YAKE??? KAMA WEWE NI SHABIKI WA DONTA HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE ❤❤❤
Wazazi wako ndio walikusaliti
Kelvine tena
Yah wazazi wako ndiyo walikusaliti
❤❤❤❤❤❤❤
are you watching kelvin
Barikiwa na uwe na maisha marefu ww unaye soma huu ujumbe
Amiin❤❤❤❤
Aminaa
Amen 🙏🙏🙏
Amin
Amiin 🤲
Hapoooo cha cha kieleweke vya Haramu havita dumu kabsa team kelvin hooyeeee❤❤❤❤❤
Kelven unazinguwaa, upole wako unaweza kuiharibu familia yako, huna msimamo wala maamzi ya kiume. Daaaah umeniangusha sana mwanangu Kelven.....
Sitamani baba kelvine afe jmn Mungu amsaidie apone ili ashuhudie ushindi wa kelvine kwan awez kumsaliti naamini anampango mzuri juu ya familia yake
Kabisa dear ata mmi naomba mungu mzee wetu asiage Dunia kwa kweli sijui itakuaje ❤❤❤❤
Amiin inshaallah tumuombeen apone
Awez kufa @@MwanamisiMuna
Leo ni moto🎉🎉🎉❤❤❤😂
Amin yarab asif ashuhudie kin tin watavo sag meno nawaoo
Wangapi tupo kitandani tukiangalia😂
Ety hamuwezi like comment za wakenya...??🇰🇪🥴🤔
Cmt
Tuta like wakenya kwa wakenya😂😂
Niko 🇰🇪🇰🇪
Acha ukabila na unchi
Wakenya ni watoto wa watanzania tunawapenda Sana ondoa Shaka .
Kwa wale wote tulisubiri hiki kipindi , nifuateni hapa tafadhali ❤❤❤
Sasa hapa ndio tumeanza kuona dhuni la hii story ,. Hii story isiishe tu jmn😢❤❤❤❤ tunaipenda sana
Jamani loveness umemkaribisha mwenzako halafu wewe washindwa kulala haki umenichekesha nakupenda sana my sister loveness ❤❤❤🎉🎉🎉 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
Kelvin kweli najua ako na mpango poa kwa ajili ya familia yake. Wangapi Wana kubaliana na mm. Like zangu npewe jamani 😭😢. Watching from Nairobi Kenya.
Kama ulikuwa hujui huyu denis anampango mbaya pia na familia ya kina tina gonga like hapa tujuane😂😂😂🎉🎉❤
Nasubiri watakapogeukwa na wao wapate maumivu kama wanayopitia familia ya Mzee Maro
𝗪𝗮𝘁𝘂 𝘅𝗶𝗼 𝘄𝗷𝗶𝗻𝗴𝗮 𝗯𝘄𝗮𝗻𝗮😅😅😅😅
Mshahara wa dhambi
First Denis ni MTU mbaya.sana sura tu!!!
Aaaaaa mm nilijua mapema kabixa pale nilipoona deniss alipokua anaipiwa simu alafu anakata mbele ya Tina nilijua 2 ana wazo baya
Pitieni hapa kwangu Guys please 🎉🎉 Kwawale Wote Tulio Subiri hiki Kipande kWa hamu sana hebu tujuane please 🙏 , team Loveness and kevin muko wapi ?😊❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Tupo
tuko na tuko kenya
Saw
Mm hapa
Kama unaangalia ukiwa kitandani Cheka na mmi 😂😂
😂😂😂
@PressyMaline unachekea nani wewe 😂😂😂
😂😂😂
😅😅😅
Hehehe 😂😂😂
Tukipende cha kwetu tukithamin cha nyumbani.mungu awabariki watazamaji na waigizaj ❤❤
Wewe Kelvin unaboa sana tena uhakikishe Mr marow anapona tunataka kushuhudia familia ya tina ikiabika na Mr marow arudi katika nafasi yake like yako kwa anaeniunga mkono
Really nikweli tunatamani family ya Mr m
Kweli kabisa tunataka wakina tuna wafilisiwe na wakina kevi wainuke
Ata mimi nataka apone ashuudie ushindi
Ndiyo asipoteze maisha apone
@@SabrinaBakari-p1f yaan mtu akisema yeye ni mkenya lazima apewe 👍 aki mnapendwa na Watz🥰🥰
Ambao tunataman Kevi umuoe Lovenes gonga like apa,,nawapenda❤❤❤❤❤❤
Me sitaman kwasbabu washakubaliana hao
🎉❤
tunasubili ndoa jaman ya lovenes na kevi ❤❤❤🎉
❤
T😮@@GodonDaniell
What a fantastic movie 🔥🔥🔥 so good... Endeleen kuleta kaz aiseee sichok kutizàma hii movie mm
Kvn uwe unawahisha jmn wangap wananiunga mkono?
Hi wapendwa habali zenu tunashukulu mungu kwakutuwezesha wazima kuhusu mtoto wa boss 36 fetty asante
Kiukwl mmezidi kunifrahisha leo Mashallah maaana kipindi nime lala nilijesemea kesho donta Ikituletea furaha yetu axbh itatisha sn kumbe ndo vile vile mawazo yngu alivokua Mashallah
Wow wakwaza from kenya🇰🇪🇰🇪wapi likes za wakenya😅
Mimi niko Equatorial natafuta Solomon
Usijali utapata❤️❤️❤️
@@CianahNgotele nipo nmefika mm 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🤚
Tupo mbona 🎉🎉🎉
ndo kufika
Mm apa leo sijaeleww kbsa nini kitatokea apo mbeleni munichanue wakuuu am stranded 😢😢😢mungu asaidie familia y Kelvin kila kitu kitakuwq sawa🙏🙏🙏🙏🙏
Nikajua pekeyangu sijaelewa daaah
We unae soma hi comenti Mungu akubariki sema amin ❤❤
Amin 🤲 inshallah 🙏🙏
Amin
Amiin Inshallah 🤲
Amen naweye pia Mngu akubaliki
Nice Movie
kama unapenda minyoosho ya lovenes embu nigongee like🤲
😂😂😂😂😂 htr sanaaa
Hii mouve mnaichelewesha sana jameni 🤐🤐🤐 tupo DRCONGO tunawafwatilia tu ila mda mwengine mnakera
❤Naombeni kujiunga kwenye kikundi chenu jamn❤❤🎉🎉
Team strong tafadhili sijai pata likes leo nipewe tu hata mbili 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
Teame strong tupo jamani swahiba.. naomba like zenu bado tunangojea kevin akapate kazi
tupo sana Bahrain from🇰🇪
Kla m2 wakwanza bass mm wa mwixo from Mozambique 🇲🇿 naomba like zangu kwa wale wanaomkubali kelvin na loveness
😅😅😅
Jmn tuliochelewa nyuma ya tent 😂😂😂 team strong wote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦♥️♥️
Tuna lala asubui 🎉🎉🎉yetu
😂😂😂 tupo wengi mbona 😅😅😅
Wakenya tunapenda sana hii kipindi tena sisi ni mashabiki wa donta tv lakini likes zangu zikuje nikiwa 🇰🇪 kenya mombasa halafu nimefurai waingekelezi ya mzee kelvin ameongea na kelvin nina imani mali itarudi mimi kama shabiki wengu wa Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
mama kelvin anajua kuekti nyie hongera zke apewe yn she's among the BEST😊
Hiki kipande chá Léo ni kitam mno waliokuwa wakisubili kwa amu tujuwane apo kwenye like 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🌹🥀🌺 ila kevi nae😂🤣🤣😝😭😭
Mm tka mwanzo wa hiki kipindi sjpewa like labda cjui kukometi
Unajuwa tu mimi nakuunga
Wale woote wanaoomba like wanapididiwa yani yoyote ataetaka like cjui fyokofyoko amfate pididi akampididi msitufanyie zogo na ma like yenu😮
Wa kwanza kutoka Kenya currently in saudia Arabia team strong.
Team strong
Qatar ndani
Kelvin nakupenda sana lakini nathamani umuow Loveness kbx nawapenda sana munajibe a vizuri sana na tena munatupatia ma movies nzuri sana 💋💋💋♥️♥️♥️❤️♥️💋💋
Yaani ata baba Tina ajapendeza ktk hi ofc kwali Mar ya mwenzako ni ya mwenzako to 😂😂😂
Napenda hii familia ya kelvin. Ni watu wenye roho safi.
Oyooooo kumekucha huku🎉🎉🎉😂😂😂
Tunawapenda sana Kevin naomba like kutoka kenya 🇰🇪 job Iraq 🇮🇶
Lovness ntakupa moyo unilindie chimammy ❤❤ late but nimefika, ila likes zenu naomba wapenzi kwa ajil ya lovness
Sijawahi kukomenti lkn jamani kila nikiwa naangalia hii sitamani iisheee haswaaa ❤🎉 nani anajisikia kama mm jmn
Huyu mamake Tina anaheshima zake tu.napendezwa sana na mavazi ake❤
Hata namimi
Mmmmmm
MLOTOKA kuangalia mission imposs na house girl like tujuane
Umesahau na Dunia
😅😅😅😅😅😅@@marymele9714
House giri sijaenda 😢😢nilikua kwa kipesile
Umoja kbs 😊@@marymele9714
@phyilicereanson4975 duh hadi kwa kipesile hupo 😃🏃♀️
Wangapi tunaamini kelvin atafunga ndoa na lovenes Mimi naongea kutoka Mozambique ❤❤❤❤❤
Lazima atamuowa na mali zitarudi na hao wezi watasalitiana na mali zao zitapotea.. Hivi ndivo inakuwa kila mwisho wa series. 😅
🎉
Nimejaribu kuwaomba alam ila hamniskizi au mpk nilie 😭😭😭
We Lia tu movie yawengne maumivu uya pate wewe 😭kula chuma hicho 😂❤
@@GodonDaniell😂😂😂😂
Ila loveness n kelvin duuuh mwafurahisha kinoma 😂😂😂🎉🎉🎉❤❤🇸🇦🇰🇪
KBS tuko pamoja karibuni Tena ❤❤❤❤hapa Kigali 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 turabakunda cyaneeeee ❤❤❤❤❤❤❤
MashaAllah Tabbarakka llah kaka hongera siku hizi wajikaza mpaka nainjoi kwa kweli❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kwani watu wanakesha wakisubiri mm leo nimewahi ikiwa na 23 seconds ❤ kama umewahi bongezi kwa donta tv 🎉watching from 🇰🇪 kenya saudia Arabia
Mambo ❤
Love ss ongara sana ❤❤❤❤ Kevin wewe Kuna kitu ujambia love ss ndio mana hanakufanyia hivo
Anayeamini kuwa love naye anatesekaa juu ya kevi naomba tujuanee hapo kwenye like
Asantekaka kevi kwakwazi nzuri naombeni like zangu nimekuwawakwanza kutokeamwumbiji
🎉mangap watafurahia endpo Baba Tina atrudsha Mal za bab Kelvin gonga like😅ly
So amazing nawapenda team loveness,sasa una ji kunja aje love 😂😂😂😂
Huwa hamunipi like juuu mie mukenya Inshallah 😂❤😂ila tupo Gari moja hapa
Pole mama kelvin atapona t mumeo muwe pamoja ila love nawe umezidi umemualika mwenyewe alafu unaogopa mini sasa
Mie wakwanza ninae mfuatilia kelvin mungu ampe maisha marefu nampenda sn ❤❤❤❤❤
Nasubiria ndoa ya Kelvin na loveness 💞🎉🎉
Wakwanza from kenya like zangu jamni
Akoka love ness nakenyewe kaisha jipendea mazima❤ afu Kelvin jichangamshe apo unasubiri utongozwe aoj? Jamani iyi kazi kubwa namsinipi like ata moja sababu kwetu DRC atupdaki ivo apa lubumbashi nous vous aimons bien ❤
Mim nawapenda xan atamim nataman niunganenao watakubali my name is yuxra
Hongera saana Kevin wewe ni jasili
Na mimi nipo jamani naombeni like zenu tokea kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sijui mbona ata nikicoment mapema nakosa likes to bado😢 ama maandishi ni kidogo haionekani😢😢😢
Unataka za nn
@@HernenadezSatu nijipambe nae
Kazi nzuri pia nmewai naomba likes ❤️❤️💋❤️ hongera sana
Me nayo aky hamjai nipea hata like why and the movie is ❤❤
Umecheza vizuri kuwa na msimamo acha kutishika kijana
WA Kwanza kisii Kenya 🇰🇪 wapi likes jamani
Tuko huku kaa Kawa
Wakwanza mm hapa jaman❤❤❤❤
Mambo
Niko Doha from kisii kenya
Pole mama ila muwe mnawasikiliza watoto wenu na wao wana nafas kubwa sana katk family
Kila mtu anataka like jamn hapa ni kutoka comment ya move ikoje na so Kila mtu anasema yy wa kwanza anaomba like
Ni kweli
Kelvin na wew mda mwingine uwe unatumia akil ban watu hao hao wamewanyang’anya Mali hao hao tena unawasaidia kupata tenda unakuwa nao tena bega kwa bega jamn mweee kwa nin huwaz yaliyowakuta na yanatotokea huo ni mtego tu hapo hupato kitu me nakwambia 😢😢
Kwa jinsi ninavyo penda iyi donta tv nitayip like paka mwisho❤
Jamani naombeni like leo nimekua wakwanza🎉🎉🎉❤❤❤
Mimi hadi nakosa cha kucomment wacha niwapongeze kwa kazi nzuri
Dakik t meshajaa mlikuwa barabaran mnaisubiria nini haya leo nimechelew ngoja niangalie kwanza ndyo ni koment
Hiyo dera jamani loveness pale unapojipinda n kujimwayamwaya unazidi unampagawisha kijana wet kevin 😂😂..Kaa umeona hiyo nipeeni❤❤❤❤
❤❤❤waendele ivo ivo🎉❤❤
Team strong taali seraha shufii Donta TV liom helwa😂😂😂 maafii nom
😂😂😂
Mara helwa Habib 😂😂😂😂😂
Ayiiwa😂
😂😂😂una nini lakini team strong kiarabu mpk humu
@RukiaManga-z1t hahaha 😆 😂 🤣 😅 wakenya hta uwaeke kw chupa bado watajitoa
Much love from Kenya wamwisho kila siku jamani
Baba yake Tina Watayutia Kwa kumwamini Dennis ambaye ameisaliti Familia ya Baba KELVIN baada ya kumsomesa na Kumwamini kama Mtoto wake kumshugulikia kwa kila jambo.
Kelvin is the best man 😅
Jamn mm natamn kila siku.muwe mnatuonesha yaan ni nzr na nusu❤❤❤
DUh hii story himetoa mafunzo kwa wazazi wote wenye sifa za wazazi wa KELVIN nipe like kama ue family ya DONTA TV
Nawapenda Sana kutoka 🇧🇮🇧🇮 lakini Kelvin na mimi sijapenda hico ulifanya 🫣
Yaani hapo kelvin na love mioyo Yao ishawasiliana ila midomo ndobado haijatamka
Walai bt kelvin n muog
@HellenMakana-f8y
Umeona eee
Tina mwenyewe alitongozewa na wazazi
Hili nitatizo Kwa watoto wa kishua hawajui kutongoza
This love music is like for Keny we love it The music as the real life of love❤🎉😅😂
Dah!!kazi ipo kweli,, kelvin utaeza kuregesha mali zenu qweli au ndio usaliti unaanza😢😢,,
Sasa Loveness no need of fearing Kelvin you are the next best goat wife its better uzoee na mapema 😂😂
Hongera kelv kwa kazi nzur mungu akuongoze 🙏🫶♥️
Mko kuomba like kwani hamuoni kinachoendelea ofisi ,babake Tina na mfanyakazi Mpya
😂😂😂😂😂Kayakanyaga
Twishaaa onaaa😂😂
Timu strong,,💪💪nakupata nikiwa Oman mungu saidia family ya kelvin jomon
Mambo
Mimi ni mmoja wao, Ila kitu kinacho niumiza kitchwa ni Kelvin na loveness vile vicheko wanavyo vionyesha nivya Nini kwani?? Munipe ma like zenu wenzangu wa kongomani. S'il vous plaît.😂
Wakwanza leo naombeni like japo tano tuu jaman❤❤❤
Wakwanza, leo wanangu wapi like zangu?😅😅
This is so magazine very interesting movie ❤❤❤❤❤❤❤❤
Wenye tumegalia saa tano usiku pokea maua🎉🎉❤❤
Hasubhana Allah Baba keliv pole haki Na pia asant Kelvin Kwa kupambania haki yenu family ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 lavenes we Ni mwanamke Bora sana❤❤❤❤
Mr marow please, don't leave us, we still need you more 🙏🙏😭😭🎉
Wa kwanza Mimi 🎉🎉
Nipo hapa nimewahi wa kwanza nawatch nipen hata like vipenzi
Waoooooooh ahsanten kwa kaz nzuriii❤❤❤❤
Mama tina mnafiki,anataka kugombanisha familia nzima