ALIKIBA KWENYE GARI LAKE LA KIFAHARI ALIVYOKUJA KUZINDUA SIMBA DAY MOROGORO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 193

  • @petrolconrad4250
    @petrolconrad4250 2 หลายเดือนก่อน +28

    The man is always simple, angekuwa kaka mkubwa hapo😂😂😂

    • @alibachirofficial3939
      @alibachirofficial3939 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kaka mkubwa hata nyumba ana anakodi2
      Izi tabiya zauwong badaye zatawakost

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 2 หลายเดือนก่อน

      @@alibachirofficial3939usichokijua uliza na kuuliza si ujinga

    • @boctale5069
      @boctale5069 2 หลายเดือนก่อน +1

      😅

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน

      Gari hata watu hawashtuki la kawaida sanaaa

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน

      Dah ila mondi anawanyima Sana usingz,,hamuwez kumsifia kiba bila kumhusisha mond?!
      Mashabiki wengi wa alikiba au wasompenda diamond mna huo ujinga hamuwez kumsifia mtu wenu bila kumtaja mondi,,ukitaka kujua hilo angalia hii post mnalazimisha kuwalinganisha wakt post hata haimuhusu mondi, ukiingia kwenye page za mond au popote mond anaongelewa huwez kukuta hizo comparison hata moja isipokuwa sifa tu kwa mhusika bila kutaja au kumlinganisha na yyte,,kwamba hii maana yke anavitu vyake special na kumlinganisha na wengne ni matumizi mabaya ya akili yule anavtu vyake special hatuvioni kwa wengne that's y hatumcompare na wengne isipokuwa labda Nigeria na marekani but kwa hapa bongo kawaacha mbali mnooo!!!

  • @omaryrazalo4302
    @omaryrazalo4302 2 หลายเดือนก่อน +18

    Kati ya wasanii ambao nawependa awana majivuno na pesa nipo ya kutosha lakin yupo simple nu King 👑 kiba Hela ipo lakin utoto akuna

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tofautisha life style na majivuno acha ushamba

  • @dottombilinyi5979
    @dottombilinyi5979 2 หลายเดือนก่อน +13

    chuma ya 2024

  • @iddykwangaya2794
    @iddykwangaya2794 2 หลายเดือนก่อน +13

    AMG Mercedes Benz,, very expensive,European car,,can't compared na mauchafu yao ya kijapanise,, salute kiba kwa kuvijua vitu vizuri😂

    • @JRN2612
      @JRN2612 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tukiachana na English uliyoongea, unajua nini kuhusu magari? Eti Japanese magari mabovu? Bro bora kausha tu vitu vyengine, utajiabisha.

    • @jahngx_forex
      @jahngx_forex 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅​@@JRN2612

    • @milles1378
      @milles1378 2 หลายเดือนก่อน

      @@JRN2612Gari gani ya kijapan inaweza ikalinganishwa na Mercedes?

  • @YusuphAbdul-rm7nx
    @YusuphAbdul-rm7nx 2 หลายเดือนก่อน +14

    Maa shaa Allah

  • @Cyberh11
    @Cyberh11 2 หลายเดือนก่อน +45

    Jamaa ela ipo ila yuko simple kinoma

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 หลายเดือนก่อน +7

      Ndo lif hata siku aki loose hutajua maan umezoa kumuona kwaida

    • @Cyberh11
      @Cyberh11 2 หลายเดือนก่อน +6

      @@faidhamyovela179 kabisa life style yake Iko very professional

    • @AmusedNaturalRock-gt9rx
      @AmusedNaturalRock-gt9rx 2 หลายเดือนก่อน +5

      Uhakik yani

    • @sammasika3627
      @sammasika3627 2 หลายเดือนก่อน +4

      Ilo gar la kawaida

    • @ibrahimsalim7247
      @ibrahimsalim7247 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@sammasika3627la kawaida babako analo tafuta hela😂😂

  • @leonardmatulanya6711
    @leonardmatulanya6711 2 หลายเดือนก่อน +8

    Dah king yupo simple sana, hahitaji wala jopo la mabodgad😂,
    Ila mwanetu sasa😂

    • @DeogratiusMassawe-fz2vv
      @DeogratiusMassawe-fz2vv 2 หลายเดือนก่อน

      Uwezi mfananisha na simba uyo ni vitu viwili tofauti

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 2 หลายเดือนก่อน +11

    Hana mambo makuuubwa kama mond au hamo. Maisha ya kawaida tu. Mungu ambariki

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน

      Maisha ya kawaida ni yapi,,ww unalo hilo gari

    • @FredrickMatiku-xf2uk
      @FredrickMatiku-xf2uk 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka hilo ni Mercedes Benz sio ist au passo wewe ata ukoooo wenu nzima na mwenyekiti wenu wa ukooo ata kumiliki bodaboda ni tatizo mnamiliki baiskeli tu

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน

      @@FredrickMatiku-xf2uk Sasa benz nazo zimekuwa gari za kuongelewa mjin, Ferrari, Lamborghini zifanyeje ,,kwa ukubwa wake toka ameanza kuimba na mnavyomsema ana hela ila katulia (kutulia kwake me sikuonagi) hilo sio gar la kumsifia ,gari lenyew mtumba, gari la 150m ndio kelele zote hizo 😀😀

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwalizijulius1687acha usenge hilo gari sio mtumba 700m+ hizo gari ni jipya

  • @hitlerwihirirya9637
    @hitlerwihirirya9637 2 หลายเดือนก่อน +39

    Mercedes benz GLE AMG COUPE ya 2020
    Zaidi ya million 150

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli

    • @iddykwangaya2794
      @iddykwangaya2794 2 หลายเดือนก่อน +4

      Ndogo sana mil 150, iyo gari ni expensive sana,,,remember that is a European car,,sio uchafu wa kijapan😂

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 2 หลายเดือนก่อน +1

      Bei ndogo Sana acha kumdalilisha king kiba

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน +1

      Gar ya pesa ndgo sanaaa hyoo

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwalizijulius1687 taja bei yake na mwaka wake

  • @kennedymatiko6830
    @kennedymatiko6830 2 หลายเดือนก่อน +5

    #kingkiba

  • @AdmAlhinai
    @AdmAlhinai 2 หลายเดือนก่อน +8

    Akuna lolote km ipoipo tuu kwani uyo mondi ninani kila anakula urefu wa kamba yake kwani yeye aliwaita hao watu wamitandao ili ashindwanishe ili apate jina kila mmoja atajitangaza kwa stahili yake

  • @dottombilinyi5979
    @dottombilinyi5979 2 หลายเดือนก่อน +13

    king

  • @Martin-jy6dw
    @Martin-jy6dw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Brother ana hela si mchezo

  • @daarularqammkaku153
    @daarularqammkaku153 2 หลายเดือนก่อน +14

    Angekuwa yule mwingn angeongozana na gari kumi

    • @robertmisako9443
      @robertmisako9443 2 หลายเดือนก่อน +1

      Msaniii wako hana Hela hawezi miliki dinga10😂😂😂😂 angekuwa nazo ange enda nazo

    • @RoseKimath
      @RoseKimath 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂acheni kugombanishaa watuu basi

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani kama zip Sangekujanazo gali moja mabodigadi wake na yeye gali moja alafu ya yakawaida sana hio

    • @JustinePatrinius
      @JustinePatrinius 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwasababu anaweza

    • @daarularqammkaku153
      @daarularqammkaku153 2 หลายเดือนก่อน

      @@RoseKimath 😂😂😂

  • @SharifaShabani-n8z
    @SharifaShabani-n8z 2 หลายเดือนก่อน +10

    Kweli tumeumia misimu mitatu ila kwa Raha mnazotupa lazima tufurah

  • @AbdallahTessa
    @AbdallahTessa 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wastuke kwani yeye jini Acha usenge wewe ulipo wewe naushamba wako Sisi sio washamba WA wasinii

  • @EvaMunui
    @EvaMunui 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani huyo diamond ananini makumaaa nyinyi kila mtu anakula urefu wa kamba yake

  • @zulfachenya9222
    @zulfachenya9222 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msanii wangu❤❤

  • @iddyfourteen9252
    @iddyfourteen9252 2 หลายเดือนก่อน +2

    King kiba

  • @Obertan_coolkid-04_
    @Obertan_coolkid-04_ 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndo msanii mkubwa mwenye mambo ya kawaida ya mtaa

  • @YasiniHamisi-g1e
    @YasiniHamisi-g1e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allikiba

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 หลายเดือนก่อน +7

    Benz GLE AMG COUPE ya 2020 ni zaidi ya M400

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 2 หลายเดือนก่อน

      2023/2024 io

    • @JRN2612
      @JRN2612 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@victorguapo7827una uhakika kijana? 😅

    • @JRN2612
      @JRN2612 2 หลายเดือนก่อน

      Sawa lakini haifiki hiyo bei

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 2 หลายเดือนก่อน

      @@JRN2612 inafika ndo maana Ina wengi

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 2 หลายเดือนก่อน

      @@JRN2612ndio nna uhakika

  • @ZiyandaMhlana
    @ZiyandaMhlana 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ommy dimpoz na Alikiba warinunuwa south africa cape Town Alikiba ashabadi Preck number bt Ommy hataki uhamba wake kutetea sanaaa na wasafii kutamuponza kipindi anaumwa hakuna mtuu alimujali

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mercedes benz GLE 🔥🔥🔥 alafu rangi nyekundu sasa 🚗 rangi ya pesa ogopa sana mtu akiwa anamiki gari lenye rangi nyekundu kwenye hizi gari za be ghali 🫡

  • @AdmAlhinai
    @AdmAlhinai 2 หลายเดือนก่อน +5

    Alafu kila mtu anachagua vile atakavyo ishi sio lazima wote wawe na walinzi

  • @thomaschacha5170
    @thomaschacha5170 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jina la umiliki siyo wake,mwenye gari anaitwa Ayoub

    • @ericksonmuhulo1570
      @ericksonmuhulo1570 2 หลายเดือนก่อน +1

      Au ni mm

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 2 หลายเดือนก่อน

      Utatombwa ww gari lako sasa

    • @frankmussa2138
      @frankmussa2138 2 หลายเดือนก่อน +1

      We Boya acha ushamba huoni kama Hilo gari Ni lipya kwahiyo kama umiliki sio wake. Linafanya nn kwake tatizo hamuamini mnachokiona ndio maana mna haha tu kuma nyie

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@frankmussa2138 jamaa hana akili

    • @bekatiptop8910
      @bekatiptop8910 2 หลายเดือนก่อน

      Ni mume wako nini😂

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa anajua kucheza na upepo anapiga pesa tu

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyoo ndio mfalme

  • @saeedabdullahsaeed3182
    @saeedabdullahsaeed3182 2 หลายเดือนก่อน +1

    Benz Gle 63s couple

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 2 หลายเดือนก่อน +1

    Gari la kufahari daah 😂😂

  • @shikuhata
    @shikuhata 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa bei ya sasa hiyo benz ni 205,940,000m kwahiyo sio ya rahisi kama tunavyoongea

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน +1

      Rahis sanaaa,,

    • @shikuhata
      @shikuhata 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwalizijulius1687 sawa bos tuletee ya ghali hapa

  • @MariaLucasNamanga
    @MariaLucasNamanga 2 หลายเดือนก่อน +1

    King ana baia

  • @artlastking
    @artlastking 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaaaa anmpunga

  • @noelmusa3502
    @noelmusa3502 2 หลายเดือนก่อน +5

    La kawaida bhana😊😊

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂

    • @IbrahimJuma-hu1es
      @IbrahimJuma-hu1es 2 หลายเดือนก่อน +5

      Lakawaida unajuwa gharama yake wew ukute kupandwa tu hujawahi wabongo bhn

    • @mastaplan05
      @mastaplan05 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sio ist hiyo tafuta hela

  • @browncheyo5554
    @browncheyo5554 2 หลายเดือนก่อน +2

    mercedes benz gle 350 hapo kwa haraka haraka milion 250

  • @KomboJuma-zg7zn
    @KomboJuma-zg7zn 2 หลายเดือนก่อน +3

    Haimeki sensi kila mtu na wafuasi wake

  • @IreneKimbe
    @IreneKimbe 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hii inaitwa if you know you know!!!!!

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 2 หลายเดือนก่อน

    Gali lakawaida sana sijalikubali

  • @NuhuPelamiho
    @NuhuPelamiho 2 หลายเดือนก่อน

    Gal la kawaida sana hilo

  • @davisnitu890
    @davisnitu890 2 หลายเดือนก่อน

    Gari gurudum kipala

  • @sadruhsnow5637
    @sadruhsnow5637 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mfalme

  • @BenadFrank
    @BenadFrank 2 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @anthonikabuye6819
    @anthonikabuye6819 2 หลายเดือนก่อน

    hilo sio gari la kifahari

  • @DanielSumuni-mh4hn
    @DanielSumuni-mh4hn 2 หลายเดือนก่อน

    Apo kiba ameshidwa kuelewa anaelekezwa na nan😅

  • @JoeMziwanda
    @JoeMziwanda 2 หลายเดือนก่อน

    Wale tusiojua magari makali tunaomba usaidizi wenu jaman gari inathaman gan hii😂

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wala hana maringo kama n mtu wangu mgekiona kivumbi

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ally dini ndo inamfanya aishi hivyo anajuwa kesho yake ndomana hajitukuzi kama wengine wanavyofanya ally anajuwa yupo wa kutukuzwa na walimwengu wote ndomana anaishi simple life,haina maana kujifanya ww ndo wew kisa vipesa so kama anashindwa kuishi kwa vishindo hapana pamoja anaimba muziki ila imani ya dini haimtaki kuishi mutakavyo ninyi anaishi isemavyo imani yake, ipo siku anajuwa ataingizwa mchangani na mwanandani sasa biashara hiyo, Ally hataki

    • @IbrahimJuma-hu1es
      @IbrahimJuma-hu1es 2 หลายเดือนก่อน

      Ndug yang ubarikiwe sana umeongea maneno ambayo walio weng hawajui wapo kwaajili yautimu tu naushindani usio namaana

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน

      Ally kiba anaishi kwa dini ipi?! Kama humfatiliii kaa kimya,,huyu Malaya wa wanawake kamshindwa hadi mkewe kisa wanawake,,huyuhuyu mwenye kiburi na maneno ya kejeli,,msiongee msivyovijua !!

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwalizijulius1687 binadamu autokamilika kwa vyote na usipende kumuhukumu mtu japo ana makosa yake ndo hivyo Ila hutokuwa mkamilifu kwa Jambo Fulani utakuwa dhaifu upande Fulani, Mimi nimesemea kuna vitu dini yake na Imani yake hamtaki ajifaharishe na kujitukuza Kama kina diamond au harmonise wanae mfananisha mungu na mwanamke maisha ya vile ally anaweza Ila anajuwa haina haja watu wakuogope kutia vishindo watu Hilo Ally hawezi, pamoja na makosa yake lakini anaogopa kuvuka mipaka

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwalizijulius1687 hayo mengine Ni yako labda nafsi yako inamchukia ndo hivyo hata ww hutopendwa na watu wote wapo wanaokuchukia Kama ww unavyoonesha kumchukia Ally.

    • @IbrahimJuma-hu1es
      @IbrahimJuma-hu1es 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwalizijulius1687 oy wew skia mze Kama wew hauna dini sio kila mtu hana mze unamjuwa we mung babu acha habar hzo et unamjuwa malaya wawanawake Au kashakutongoza wew hapo mze jikaze wew

  • @MejasonMzazi
    @MejasonMzazi 2 หลายเดือนก่อน +7

    Alikiba kapata bahati sana ya kulinganishwa na shindanishwa na Diamond. Hii imemsaidia kumuongezea umaarufu kwa kuzungumziwa zungumziwa kila mara toka miaka hiyo hadi leo.
    Isingekuwa watu kumlinganisha na Diamond basi leo hii angekuwa amesahaulika kama wenzake kina Dully, Matonya, TID, Q Chief nk.
    Azishukuru sana Media kwa kumsaidia kutembelea nyota ya Mondy.

    • @ramadhanially967
      @ramadhanially967 2 หลายเดือนก่อน +1

      Linganishwa ww bas mzee kama ni rahis

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kila mtu ana mipango yake kwenye hii Dunia awe furani yupo au hayupo yeye lazima mipango yake iwe pale pale

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 2 หลายเดือนก่อน

      Mm sikushangai natambua unatombwa akil kwaiy sishangai kunya kunya kwako labd wengn ndo wakushamgae

    • @modenhosouza5925
      @modenhosouza5925 2 หลายเดือนก่อน +7

      Mzee siyo rahisi hivo kama unavofikiria...diamond katoka 2010 alikiba katoka 2004....hapo katikat kuna wasanii kibao walitoka wakaanz kushinda naye kina marlaw kina hakeem five bado hawakutoboa.....kuna watu wapo mtaani wanaimba kuliko kina ali na diamond kuna watu waliomba sana kabla yao pia watu kam kina TID ni wasanii na waimbaj wazuri mno...fikiria kuhusu belle 9 from the city without ocean(moro) ni muimbaj mzur mno ila walikosa vitu vichache sana ambavyo ali anavyo au diamond....ni Mungu pekee ndo kawapa hao jamaa nafasi ya kua hapo walipo si vingine....sam wa ukweli 2010 alitoa kilometa 6 na diamond akatoa nitarejea (zilokua zinabamba kipind kimoja mmoja akapotea mwingn akaendelea.....so its not aboug mond ali kua pale..its all about nafas ya Mungu na nidham ya kaz

    • @clintonarnold6291
      @clintonarnold6291 2 หลายเดือนก่อน +1

      Upo sahihii

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 2 หลายเดือนก่อน +4

    𝐊𝐢𝐧𝐠

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hili gari linaitwaje??

  • @ElizaMwamba
    @ElizaMwamba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona mangungu haonekan

  • @moodjeco5844
    @moodjeco5844 2 หลายเดือนก่อน +5

    gari yakifahari haitumii plet number za local

    • @IbrahimJuma-hu1es
      @IbrahimJuma-hu1es 2 หลายเดือนก่อน

      Punguza kuishi kwakukalili mze

    • @moodjeco5844
      @moodjeco5844 2 หลายเดือนก่อน

      @@IbrahimJuma-hu1es thamani ya gari haiendani na plet number

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 asa anapta hata watu hawashtuki...Hana maajabu mnatumia Nguvu sana kumpaisha

    • @HkidKapinga
      @HkidKapinga 2 หลายเดือนก่อน +1

      We nawe umeona anaonekana,au kaandika jina?

    • @HkidKapinga
      @HkidKapinga 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa hiyo watu wakistuka ndo ukubwa?

    • @clintonarnold6291
      @clintonarnold6291 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@HkidKapinga ndio, lazma watu wawe na tension kudhihrisha ukubwa wako, asa napta utafkl mwajuma anaenda sokoni 😁😁

    • @SuleAmber-lw2tx
      @SuleAmber-lw2tx 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@clintonarnold6291Angetaka hao watu washtuke si angetembea amefungua vioo vya gari, Au angekuwa na bodyguards lazma watu wangetahamaki kujilza ni nani huyu !? Hajatak hvo 😂

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 2 หลายเดือนก่อน +1

      We bado mshamba

  • @sheruajafari1676
    @sheruajafari1676 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo ndo kiba asiyekuwa na misifa

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 2 หลายเดือนก่อน

      Asingekuwa na sifa angeenda na tax pale

  • @YusuphMlanzi-r6i
    @YusuphMlanzi-r6i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona akuna watu😏

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo ya Simba na Yanga ndiyo mambo ambayo yametufanya watanzania kusahau habar ya katiba mpya.Tumekuwa wajinga sana,hapo ndipo tulipokamatiliwa.

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 2 หลายเดือนก่อน

    Shilling milioni 50 eti kifaari $25000😂😂

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 2 หลายเดือนก่อน

      We kuma nn gari io dola laki mbil umefksha hapa bongo

  • @Boazselemani1
    @Boazselemani1 2 หลายเดือนก่อน +4

    Daah lifestyle ya simple Sana
    Jama kana Bila Ata bodyguard
    Yani simple kinyamwezi
    Much love king Kiba

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mi milijua rolls Royce au Escalade

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 2 หลายเดือนก่อน +4

      Baba ako hata baiskel hana😊

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kwen mnamilik.gar gani hata moj tu la kizaman alilowah kununua baba ako 😂😂😂

    • @IbrahimJuma-hu1es
      @IbrahimJuma-hu1es 2 หลายเดือนก่อน +1

      Acha majungu mshamba wew

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML 2 หลายเดือนก่อน

      @@IbrahimJuma-hu1es na we choko unasemaje kumamako wewe!!??au ndiyo tyr hilo tobo lako la kunyea mavi linakuwasha kwahiyo unataka kufirwa si ndiyo!!??Ok andika bc no yako hapa na location uliyopo nije nikufire miye kumamamako choko mkubwa kuma vaba mkundu kunuka weeeee!!!wanaume zako tukiongea we kaa kimyaaa kuma weeeee!!alafu nimekutaman kinoma we choko tena km nakuona vile huo mkundu ulivyokulegea

  • @utambevilla2054
    @utambevilla2054 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pesa hana ndio mana awez milik mabodgad

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ukiwa na na bodgurd ndo hufi tramp na body gurd wote wate ila.kapigwa risas😂😂😂😂

    • @SadaKalenga-op1mr
      @SadaKalenga-op1mr 2 หลายเดือนก่อน

      Bodgad mkuu na M/mungu tu zingine mbwebwe

    • @KarisBaya
      @KarisBaya 2 หลายเดือนก่อน

      Bodyguard ni takataka gani, acheni ushamba watanzania ,mwalimu julius kambarage nyerere alikuwa akitembea kwa farasi bila hao wapuzi uliowataka, acheni kumuaibisha aliko lala

    • @alexmalangalila8340
      @alexmalangalila8340 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaha ndio pesa Hana ndomana Hana walinzi ila Crown media na watangazaji nguli,gari zaidi ya nne,nyumba za ghorofa kariako na mikocheni,level,shamba la nyanya Dodoma ndhn hujijibu mwenyewe acha ulimbukeni wa kifedha kwani icho sio kitu kinachowakilisha utjr mzee​@@SadaKalenga-op1mr

    • @jeromemsele290
      @jeromemsele290 2 หลายเดือนก่อน

      Yani mtu amilik Gari ya million. 200 ashindwa kumlip bodgud

  • @petrolconrad4250
    @petrolconrad4250 2 หลายเดือนก่อน +10

    The man is always simple, angekuwa kaka mkubwa hapo😂😂

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 2 หลายเดือนก่อน

      Siyo kama yuko simple ni vile hana vitu vya kutisha zaidi

    • @kibobotz9868
      @kibobotz9868 2 หลายเดือนก่อน +1

      Usha sema kaka mkubwa

    • @petrolconrad4250
      @petrolconrad4250 2 หลายเดือนก่อน

      @@kibobotz9868 nimekusoma mfuasi

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 2 หลายเดือนก่อน

      @@kibobotz9868 mwambie aelewe
      Alafu pia Alikiba hana ushawishi kwa raia kumzidi Mond kwanza Mond sehem yyte anayoendaga lazima raia na waandishi wahabari wahamie upande wake

    • @SadaKalenga-op1mr
      @SadaKalenga-op1mr 2 หลายเดือนก่อน +2

      Uyo ndio kiba hanaga mashauzi 🎉❤

  • @PozzTonny-in8vy
    @PozzTonny-in8vy 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mfalme