JIFUNZE KIARABU KWA KISWAHILI somo la 7 (majina ya viungo vya mwili)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มิ.ย. 2022
  • JIFUNZE KIARABU KWA KISWAHILI somo la 6 (majina ya viungo vya mwili)

ความคิดเห็น • 9

  • @yussufaljazary6697
    @yussufaljazary6697  2 ปีที่แล้ว +2

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
    Katika hii vidio kwenye screen neno أُسْبُوع(Kidole) Limekuja kwa Swaad(أُصبُوع) lakini kwenye ubao nimeandika أُسْبُوعٌ Nahio sio sahihi sahihi ni kwa swaad (أُصبُوع)!! Shukran

  • @user-yp7fz8gx9v
    @user-yp7fz8gx9v 4 หลายเดือนก่อน

    Shukuru allah akulipe

  • @hajisuleiman..7851
    @hajisuleiman..7851 2 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa ukumbusho

  • @edisiwa9572
    @edisiwa9572 2 ปีที่แล้ว

    Alama zinanitesa hazionyeshi.sisi tunaanza kujifunza..asante

  • @abuumundhir3812
    @abuumundhir3812 2 ปีที่แล้ว

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
    malimu allah akul;ipe kila lakher na akuzidishie elimu uzidi kutuelimisha
    ila mwalimu smahani kidogo kuna kitu kidogo hapo umekichanganya umesema
    أسبوع nikidole
    umekosea spelingi ukisema kwa sini inakuwa sio kidole bali ni wiki au juma bali inakuwa kwa swaad ndio kidole
    أصبع shukran mwalim allah akuzidishie elimu tuweze kufaidika zaidi

    • @yussufaljazary6697
      @yussufaljazary6697  2 ปีที่แล้ว

      Kweli maalim kwenye ubao nimeandika kwa siin lakini kwenye screen imekuja swaad

    • @abuumundhir3812
      @abuumundhir3812 2 ปีที่แล้ว

      SHUKRAN MWALIM WETU ALLAH AKUZIDISHIE ELIMU....