JINSI YA KUELEZEA FAMILIA YAKO KWA LUGHA YA KIARABU || Sheikh Abuu Niyaar Wail Sebea ||

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • FAHAMU KIARABU CHA NDANI ZAIDI KUPITIA Link ya Channel yetu ya TH-cam ili kukuza uwezo wako wa kilugha msambazie link na mwenzio ili apate faida zaidi.
    USISAHAU KU Subscribe chanel hii ili usipitwe kila tunapoweka masomo Mapya Imsha'ALLAH.
    تعال نتكلم العربية معاً
    KWA MAWASILIANO ZAIDI
    TUPIGIE:
    +255 621 552262
    +255 715 953766

ความคิดเห็น • 9

  • @asha-fh2gw
    @asha-fh2gw 3 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @pilitindwa580
    @pilitindwa580 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran ostadhi hila unaenda haraka sana sisi ambao hatujui chochote ni changamoto kidogo

    • @jifunzekuongeakiarabu
      @jifunzekuongeakiarabu  8 หลายเดือนก่อน

      InshaALLAH nimekuelewa nalifanyia kazi ombi lako

  • @AzizaRashidy
    @AzizaRashidy 12 วันที่ผ่านมา +1

    Shukran ila upo speed sana

    • @jifunzekuongeakiarabu
      @jifunzekuongeakiarabu  5 วันที่ผ่านมา

      Shukran juu ya pogezi yako tunalifanyia kazi inshaallh

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ustaadh naomba uendelee na darsa ya kitabu Cha muhadathat al arabiyyah maana nimedowload pdf yake kabisa shukran kwa juhudi zako za kueneza lugha ya kiarabu Allah Akulipe mema hapa duniani na kesho Akhera

    • @jifunzekuongeakiarabu
      @jifunzekuongeakiarabu  8 หลายเดือนก่อน

      InshaALLAH tayari lipo kwenye chanel. باركنا جميعا

  • @jifunzekuongeakiarabu
    @jifunzekuongeakiarabu  8 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa tayari somo nalianda inshaALLAH leo nalituma endelea kutufatilia pia sambaza link na wengine wapate faida. Kwanza nashukukuru kwa kuwa mfatiliaji mzuri wa chanel hii. Amiin ALLAH atulipe sote pia