NAMALIZA NA VYANGU-MAOMBI YA WAFANYAKAZI(KUPATA KIBALI KWA WAKUU WAKO WA KAZI) 28.10.2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2021
  • Praise the Lord..
    Hii leo ni siku nyingine ya maombi kwa ajili ya wafanyakazi na tutaenda mbele za Mungu kuomba juu ya KUPATA KIBALI KWA WAKUU WA KAZI..
    Neno la Mungu linasema;
    “Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako. Unijilie kwa wokovu wako, Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako.”
    ‭‭Zab‬ ‭106:4-5‬ ‭SUV‬‬
    Leo hii tunapoomba,chochote ambacho kilisimama kati yako na wakuu wako wa kazi kinaondoka kwa jina la Yesu,
    Utafanya kazi kwa wepesi na ushindi mkubwa sana maana wakuu wako watakuonyesha upendeleo wa hali ya juu.,
    Ninatamka kuanzia sasa;
    Utathaminiwa na wakuu wako wa kazi,
    Hawataona mwingine anaeweza kukaa kwenye nafasi yako ukiondoka,
    Watakuheshim na kukupa nafasi ya kufanya sawa sawa na mapenzi ya Mungu ndani ya kampuni hiyo..
    KWA JINA LA YESU,AMEN

ความคิดเห็น • 10

  • @witnessmbilinyi3281
    @witnessmbilinyi3281 6 หลายเดือนก่อน +1

    Napokea kibali kwa wakuu wangu wa kazi waniamini na kuniongeza mshahara kwa jina la Yesu. Amen

  • @franciscatedomiry9318
    @franciscatedomiry9318 6 หลายเดือนก่อน

    Kibali chako kiende na mimi mwaka huu 2024 na atakaetumia kibali changu na tamkaa mauti juu yake kwa mamlaka ya jina la YESU

  • @user-qh4de7gz6i
    @user-qh4de7gz6i 4 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali kwa wakuu wangu wa kazi waniamini na kuoniongeza mshahara kwa jina la yesu kristo

  • @zahrrashid5578
    @zahrrashid5578 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @dorothymmbaga4798
    @dorothymmbaga4798 8 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah hallelujah glory be to JESUS

  • @dollamtui5849
    @dollamtui5849 ปีที่แล้ว

    Ameen napokea kwa jina la Yesu

  • @gabriellafaith6128
    @gabriellafaith6128 2 ปีที่แล้ว +1

    Amennnnnnnnnn 🙌💯🙏

  • @getrudakipengele3284
    @getrudakipengele3284 2 ปีที่แล้ว

    Amen napokea kwa jina la Yesu

  • @PendoPaul-jq9kb
    @PendoPaul-jq9kb 11 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali Kwa jina la uesu

  • @marianajohn6167
    @marianajohn6167 ปีที่แล้ว

    Amen