NAMALIZA NA VYANGU,MAOMBI YA WAFANYABIASHARA(WATEJA NA FAIDA KUONGEZEKA)15.10.2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2021
  • Bwana Yesu asifiwe,
    Tunamshukuru Mungu kwa neema nyingine ambayo ametupa leo kwenye siku ya maombi ya WAFANYABIASHARA..
    Leo tutaenda kuomba juu ya wateja kuongezeka na faida kupatikana,
    Neno la Mungu linasema;
    “BWANA, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni BWANA, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata.”
    ‭‭Isa‬ ‭48:17‬ ‭SUV‬‬
    Maana yake Mungu anao uwezo wa kutufundisha na tukapata faida ambayo bila yeye hatuwezi kuwa nayo..
    Ana uwezo wa kutuletewa wateja ambao kwa wao faida ikaonekana
    Kwa jina la Yesu,
    Watu wooote wanaotakiwa kuleta faida kwako utaiona
    Watu wote wanaotakiwa kununua kwako watakuja
    Watu wote wanaotakiwa kukusaidia kutangaza biashara yako watatangaza
    Na kila nguvu za giza ambazo zinakuzuia kupata wateja na zinakula faida kuanzia sasa hazitakupata tena..AMEN
    Min Mocky

ความคิดเห็น • 20

  • @user-wi9cb8qj4d
    @user-wi9cb8qj4d 2 หลายเดือนก่อน

    Amina ninaomba biashara yangu ujue Kila siku kama mama alivo omba mtaji wangu ukue na kuongezeka wateja wazidi na kuzidi hawatakimbia Wala kuama wateja watu Amina Amina Amina amen imekuwa kabisa

  • @RachelMallya-gx1sv
    @RachelMallya-gx1sv 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unipe wateja muda huu roh mtakatifu

  • @gloriamwimo2856
    @gloriamwimo2856 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @allexandermselle5564
    @allexandermselle5564 2 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha na maombi ya Leo juu ya Biashara yangu Amen

  • @jedidaemil2064
    @jedidaemil2064 5 หลายเดือนก่อน

    AMMMMMMMEEEEEEEEEEEEEEEENNNNNNN 🙏🙏🙏

  • @ubyabeli3480
    @ubyabeli3480 11 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @SifaelNoah
    @SifaelNoah 4 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa

  • @user-jn1qf9my2w
    @user-jn1qf9my2w 5 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na maombi

  • @janemacha5642
    @janemacha5642 ปีที่แล้ว

    Ameniiiiii

  • @happymilangasi5904
    @happymilangasi5904 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @asmakwembe4829
    @asmakwembe4829 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen and amen I receive in the name of Jesus

  • @sophiegreyson8010
    @sophiegreyson8010 3 หลายเดือนก่อน

    Mam natamani utengeneze podcast

  • @anitherkitten4180
    @anitherkitten4180 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @gracesimon9801
    @gracesimon9801 2 ปีที่แล้ว

    Amen!

  • @patrickmajollo8467
    @patrickmajollo8467 2 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN AMEN,I RECEIVE IT,THANKS SERVANT OF GOD

  • @annaissara5255
    @annaissara5255 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @salomembiku4256
    @salomembiku4256 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mburawambulanga3500
    @mburawambulanga3500 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 ปีที่แล้ว

    Amen