UNISHIKE MKONO BWANA DUNIA IMEHARIBIKA(EMALI TOWN CHOIR) wimbo wa zama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024
  • ‪@oldgemsoldisgold940‬ unishike mkono bwana( emali town choir)
    wimbo wa zama
    1.mimi ni msafiri kwenda mbinguni mji wa ahadi nafuka milima na mabonde (safari) safari haina amani.
    unishike mkono bwana dunia imeharibika (nisije) nisije kupotea nayo ,nitakapofika mbinguni na kujiunga na wezangu (mwokozi ) mwokozi nitakutukuza
    2.eliya alipanda gari na kwenda nayo mbinguni namimi katika imani (mwokozi) mwokozi unitayarishe.
    3.katika mji wa haadi nakaza mwendo wa imani kuwaona waliotangulia (enock) enock musa na wengine.
    i Don't own rights of this video just uploaded for evangelism

ความคิดเห็น •