I am Rwandan who loves these songs!! Baba yangu amefariki zamani in 1993 alikuwa anazipenda sanaaa nyimbo hizi 😭 Nikisikiliza namukumbuka Mze wangu. Wengi ndani ya watu wa zamani walikuwa Wakristo wa ukweli. Kwa neema ya Mungu Baba tutawaona huko mbinguni nyumbani🙏 Mwenyezi Mungu awabariki sanaaaaa kweli Muungano Choir and you who have uploaded these songs 🤗
I believe to have received this song from the Lord on the day President of Tanzania Magufuli passed away. I remember that I was weeping and this song came into my mind just like that and I stopped to weep. From that moment I believed that it was a confirmation from the Lord that Magufuli have been received into heaven by Jesus Christ.
hizi ni kwaya ambazo ziliimba kwa lengo moja tu. Kupeleka ujumbe wa ujaji wa Kristo pembe zote za dunia. Jumbe kwenye nyimbo hizi ni nzito si leo tu bali hadi ajapo Yesu. Kwaya zetu za hivi karibuni wamekosa mwenge wa imani ya kweli wanazingatia pesa zaidi ndio maana jumbe za nyimbo zao zinakosa jumbe maalumu kwani mipangilio ya ala zao inachukua nafasi kubwa.
I remember golden days during my childhood. Walking from Nassa to Mwamanyili for camp meeting. Some were using Mwana Matera tractor. To me that was best camp meeting ever

Muhezagirwe cane izo ndirimbo
Kifi kina uchungu, lakini tuna tumaini la kkuonana na wapendwa wetu tena pia na Maisha ya milele
Pole jamani
Pole sana kaka😢
Hongeren Sana kw Kaz nzur, hakika hii nyimbo mpaka imenitoa machoz, mbarikiwe Sana na MUNGU
Nawa penda sana Muungano Mungu awabariki. Nyimbo zezu nzuri na zina ujumbe
Kwa kweli mwapendeza na nyimbo zenyu zote ni xa kupendeza kabisaa ❤❤karibuni kwetu tena jamani nyangusu kule kisii
nyimbo hizi ni nzuri sana zinatikumbisha kufanya maandaalizi kwa sjili ya msisha ya baadaye Mungu awabatiki wote wanaosikiliza nyimbo hizi
Am pastor muindi in Africa Inland church machakos Area AiC kenya in TuLiMANI region kango DCC am touched by this songs
My favourite choir in my childhood ❤
Mungu awabaliki sana kwa nyimbo hizo awajazie neema
Ndugu wapendea, mubarikiwe sana kwa nyimbo zenu. Nazipenda sana
Very nice choir ; also quite cute; quite presentable .
Nabarikiwa saaana nyimbo zenu mpaka machoz huwa yanatirrka,,,Bwana awabariki sana,,,nyimbo zenu zinahubr hata sasa,,zna mguso wapekee sana
Munanituliza roho mungu awabariki sana kutoka kenya
Kweli kumja Mungu na kusishika amri zake ndo utamwuona
Dunia haina uzuri wo wote kwa sasa.imeanguka na haitainuka tena
Asante Mungaano choir, Bwana Yesu abalikiwe
Mbarikiwe saaaana
Nawapenda miaka yote tangu nilipowafahamu 1980. Tukaimbe Mbinguni!
Napenda nyimbo zenu sana mungu awabariki sana
MUNGU Awabariki sana sana.
Sijui ni kwa nini ninapowatazama hao wazee waimbaji natokwa na machozi, Muungano mbarikiwe milele nyimbo za upako kweli kweli zanitia nguvu,
Ni wazee wa kipekee, waliojitolea kwa huduma, asante Mungu kwa vipaji hivi
I believe to have received this song from the Lord on the day President of Tanzania Magufuli passed away. I remember that I was weeping and this song came into my mind just like that and I stopped to weep. From that moment I believed that it was a confirmation from the Lord that Magufuli have been received into heaven by Jesus Christ.
oh Mungu wetu wabariki hawa wazee... waimbao bila kujitafutia sifa ya mwanadamu..
Amen Mungu awabariki sana wana muungano wote
hizi ni kwaya ambazo ziliimba kwa lengo moja tu. Kupeleka ujumbe wa ujaji wa Kristo pembe zote za dunia. Jumbe kwenye nyimbo hizi ni nzito si leo tu bali hadi ajapo Yesu. Kwaya zetu za hivi karibuni wamekosa mwenge wa imani ya kweli wanazingatia pesa zaidi ndio maana jumbe za nyimbo zao zinakosa jumbe maalumu kwani mipangilio ya ala zao inachukua nafasi kubwa.
It was our assembly song in high back in 1996.it made my journey in Christ through high school so enjoyable.Long live muungano choir.
Barikiwa sana
Mungu awabariki ❤
My dad like this song so much ❤❤
Wimbo mtamu Sana Na Mungu awabariki Sana
nyimbo zao wanaokula chakula kigumu cha kiroho! Baraka kwenu!!
Viumbe vyote vinangojea
Mungu awabariki sana muunga o Kwa hii ujumbe kupitia nyimbo zenu.
I'm from Kenya love listening this songs from childhood,bacause of intense teaching.be blessed.
Nyimbo nzuli zatuliza miyoyo
Be bess,Niko Kenya karibu Tena kilgoris
Namwona rafiki yangu akipiga bass guitar niliemfundisha 1991 tUkiwa Lamadi ama kwa hakika duniani tunapita hata Musa Bwenji anaelewa ninachosema
Kazi nzuri sana,
Muungano ilianza mwaka gani?
Baraka kubwa sana. Muungano ilianza mwaka gani tafadhali?
21/01/1970
Ahsante Sana,
Huo ni muda mrefu sana, Bwana amewahifadhi umbali huu, BWANA ATUKUZWE milele na milele.
Who's here Nov.2024
Na muona muzee Shuli na muke wake wote mubarikiwe
Yeah ila mke wake alishafariki
Such a blessing of a choir. They have the biggest impact on my Christian life
Mbinguni makao mema is my best song
Amen 🙌🙌
Mungu bariki wapendwa hawa kwa kutubariki na nyimbo za hizi.
I'm in love with these songs, they are actually gold. I got it through my father. To God be the glory and God bless you Muungano choir.
Je utakuwa miongoni mwa mavuno yatakayotwalia na Yesu arudipo mara ya pili katika dunia hii? Mimi nafanya maandalizi cku kwa cku,wewe mwenzagu je?
❤ Tangaseni injiri. Instruments well arranged. Cool singing
2023 still here
Kwaya hii teule ya muungano, Mungu awabariki.
Barikiwa pia
Inaniguza wimbo huu mungu hazidi kuwainua
I remember golden days during my childhood. Walking from Nassa to Mwamanyili for camp meeting. Some were using Mwana Matera tractor. To me that was best camp meeting ever
Acsenti Sana N’a bana Music Alafu ni Butamu Ile Gitare Shalom amen ❤
My favorite songs all the way all the time,, blessings songs
Am here again for comfort 🫂
Mungu awabariki wote waliohusika kwa kutoa hizi nyimbo.
May the almighty bless you muungano choir...I loved the songs am watching from Kenya 🇰🇪 ❤
Mungu awabariki nawapenda sana
I am encouraged
vizur sana
Like this song
Amen amen hallelujah hallelujah amen Shalom
Thank you God for a such blessing song, everytime I listen I feel renewed I just feel blessed and hope that Jesus is coming soon.
Mungu Ni Meena.asanti ndugu zanguni
Longer nyimbo zina ujumbe mzito.
This is song touched my heart
Amen
Nawapenda sana
My favourite song in my childhood
Blessings song
I'm,Richard,in,kisii💯💘
Hizi nyimbo zina nibariki sana
Old is gold
AMEN let Glory be to God always be blessed
Naomba contact zao. Nataka kwenda kuona huko Tanzania
+255620399935 or +255719635336
Ivi wako wapi jamaaani awatu wa Mungu
Tunapatikana Tanzania mkoa wa simiyu wilaya ya busega nassa
Donlowd
Morning k
Hizi quitor zilienda wapi jamaneni?
Sinanitia Imani
Nyimbo hizi zitadumu milele Daima!
Zipo, sema upigaji umebadilika!