Mcheshi Fred Omondi ni miongoni wa watu 9 waliofariki kwenye ajali Jumamosi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Watu tisa wamepoteza maisha yao Jumamosi hii katika kaunti za Kajiado, Kisii na Nairobi kwenye ajali barabarani. Watu wanne walifariki Loitokitok, wengine wanne Kisii na mmoja jijini Nairobi. Miongoni mwa waliofariki ni msanii na mcheshi Fred Omondi.

ความคิดเห็น • 37

  • @EternalWorshipTv
    @EternalWorshipTv 3 หลายเดือนก่อน +6

    Let's be lovers of God rather than lovers of pleasure

  • @RaphaelKoleta
    @RaphaelKoleta 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jee omondi kifo chake kinasikitisha Kenya zaidi ya wa kenya woteee !!! Wakufa ni wa kufa maisha itaendelea !!!

  • @MercyKitonyi
    @MercyKitonyi 3 หลายเดือนก่อน +24

    Puguzeni Raha za Dunia..mrudieni mungu

    • @janaleokesho8374
      @janaleokesho8374 3 หลายเดือนก่อน +5

      This has nothing to do with raha.

    • @Kissbaby267
      @Kissbaby267 3 หลายเดือนก่อน +2

      Oneni huyu ile siku uliunganishwa kwa Tumbo la mamako ndipo 📈 graph yako ilichorwa

    • @desmondachocky537
      @desmondachocky537 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe umefirwa akili nini?Kwani ni watu wa raha pekee yake ndio ukufa na ajali?We rudisha ujinga yako kwenye bongo lako.

    • @MercyKitonyi
      @MercyKitonyi 3 หลายเดือนก่อน

      Watu awapendi ukweli...Mungu yuko ata wajibu

  • @freegiftdankerosimosota
    @freegiftdankerosimosota 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sorry My God Protect The Family

  • @jessy2404
    @jessy2404 3 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭apa duniani sio kwetu makao mazuri nimbinguni ewe mungu ulie tuumbwa tushike mkono tusizame😭😭😭😭it's so pain it's so emotion wamama tunao tujifunge leso kwenye tumbo😭😭😭mtu ajawai fiwa mtu wake kwa barabara shukuru mungu my son lost 2019 niliona maneno nilizalia kwetu katoi kalikua kanatoka shule my dear hujue saa wala siku mtoi wangu alitolewa kwa mkono wa bro yangu wakitoka shule niliona maneno kifua ilipasuka mtoto alisikia uchungu😭😭😭😭😭😭badae watu wakatembeza kua niko illuminate mungu wangu nisiwai fikia kwenye katika giza la dunia niepushe mbali laleni salama mungu ailaze roho zao mali pema peponi💔💔💔💔💔🕊🕊🕊🕊

  • @terrencengari9363
    @terrencengari9363 3 หลายเดือนก่อน +4

    This is bad. May his soul rest in peace.

  • @erickanyugo3253
    @erickanyugo3253 3 หลายเดือนก่อน +10

    Punguzeni speed Kwa barabara. Muache kulaumu serikali.

  • @Manuelconsciousness777
    @Manuelconsciousness777 3 หลายเดือนก่อน +2

    The law of attraction change your vibration frequency

    • @annea5781
      @annea5781 3 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @bikoflavious2903
    @bikoflavious2903 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana 😢😢😢

  • @gaylesimbe5611
    @gaylesimbe5611 3 หลายเดือนก่อน +3

    💔💔🕊️🕊️🕊️🕊️Mungu atulinde tu aki

    • @rosegraceagape5202
      @rosegraceagape5202 3 หลายเดือนก่อน

      Yes! We plead the " PRECIOUS BLOOD OF JESUS. AMEN
      MAY HE HAVE MERCY ON US. IN JESUS MIGHTY NAME. AMEN

  • @JACQUELINEAMUSAVI
    @JACQUELINEAMUSAVI 3 หลายเดือนก่อน

    Mara nikugongwa na pikipiki tena😢😢😢aiii ukweli upo wapi😢😢😢

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni jamani, so sad rip

  • @jacklinemaravi8688
    @jacklinemaravi8688 3 หลายเดือนก่อน +3

    Poleni..ogopa ajali.😭

  • @edwinmesesi3350
    @edwinmesesi3350 3 หลายเดือนก่อน

    '😢😢DEATH!!! Tell us what u want??so that you can leave us😢😢 Come out and tell us how you look😢😢😢😢so that if we see you we run away💔💔💔

  • @WilliamGumba
    @WilliamGumba 3 หลายเดือนก่อน +2

    R.I.P Fred

  • @antonymwengi
    @antonymwengi 3 หลายเดือนก่อน

    I always say no one is safe.

  • @BMboss108
    @BMboss108 3 หลายเดือนก่อน

    Hizi lorry zina nini jamani

  • @erickanyugo3253
    @erickanyugo3253 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jameni, hii mbio ya safari rally on our roads ni ya nini jameni? Kwani umesikia bibi anajifungua? Fala, tuliza mbio utafika salama.

  • @hezronkwaso1927
    @hezronkwaso1927 3 หลายเดือนก่อน

    Umesema pa..😅😅

  • @judwmbiyu
    @judwmbiyu 3 หลายเดือนก่อน

    Sad Waw speeding

  • @TabithaMbula-h3h
    @TabithaMbula-h3h 3 หลายเดือนก่อน

    Wah!! 😢😢

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah8460 3 หลายเดือนก่อน

    Ati uchunguzi

  • @tifagazadafera3976
    @tifagazadafera3976 3 หลายเดือนก่อน +2

    Fred hakugongwa na piko.....he had boarded amotobike and they hit an oncoming mag headon

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 3 หลายเดือนก่อน

      😢

    • @edm1207
      @edm1207 3 หลายเดือนก่อน +2

      How did the boda driver survive that?

    • @johnkihwaga5376
      @johnkihwaga5376 3 หลายเดือนก่อน

      My friend swali ni nje dere boda na boda wako wapi ama dere sio mtu

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata Brian Chira mlitundanganya alikufa kwa ajali lakini walioibuka na huo uongo ndio waluhusika kumuua. Sasa mko hapa tena kutuaminisha Fred amekufa kwa anjali. How can you be trusted with your unreliable news? Kenya watu wanatolewa kafara!

  • @NoorAhmed-lg8xr
    @NoorAhmed-lg8xr 3 หลายเดือนก่อน

    Asha waind jahana

  • @hezronkwaso1927
    @hezronkwaso1927 3 หลายเดือนก่อน

    Ati uliskia tu nn ogina??😂😂

  • @machokajeff1996
    @machokajeff1996 3 หลายเดือนก่อน

    P
    N
    P

  • @Uzuri-kenya
    @Uzuri-kenya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nearly all of them are artists...the devil at work