MIAKA 60 UHURU WA KENYA NA MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2023
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 13

  • @user-bt8wh8cd3g
    @user-bt8wh8cd3g 12 วันที่ผ่านมา

    Mm nmkenya nko mombasa lakn naipenda sanaa idhaa hii sasabu mnajjua kuichembua nch yetu vzur kulko hata sis wenyewe

  • @abigelmombasa2323
    @abigelmombasa2323 21 วันที่ผ่านมา

    Asante Sana Mimi Ni Mkenya Na Niukweli Kabisa Mombasani

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 7 หลายเดือนก่อน

    Pongezi kwa uchambuzi mzuri wa Siasa za Afrika natumai kutakuwa na mwendelezo maana mlipotea sana baada ya Uchambuzi wa mwisho wa Palestina na Israel. Wasafi for Life baby

  • @billjames1216
    @billjames1216 4 หลายเดือนก่อน

    I love this am a Kenyan u should do this more often

  • @alibinali_
    @alibinali_ 15 วันที่ผ่านมา

    Ruto hato fanyikiwa kwa sababu yeye ndio kirusi wa kila jambo #rutomustgo

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 7 หลายเดือนก่อน

    Wasafi Jogging mkiongozwa na Maulid Kitenge naomba muwape hamasa ya mazoezi hawa watangazaji waondoe hayo matumbo makubwa. Watanzania tunapenda kuwaona mkiwa na Afya Njema basi tengeni muda wa mazoezi hayo matumbo makubwa ivo mtapata maradhi . Wasafi for Life baby

  • @hassanngayaga3202
    @hassanngayaga3202 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

    siku nyngine mkiongelea Kenya alikeni mgeni kutoka kenya awa moja wapo wa hiii panel sasa nyie ni watanzania watupu jmni..alikeni jirani yetu moja au wa2 au?

  • @geoffreymutisya9747
    @geoffreymutisya9747 3 หลายเดือนก่อน

    Aliyewapatanisha Raila na kibaki ni Kofi Annan wala sio kikwete.

  • @panafrican.nation
    @panafrican.nation 7 หลายเดือนก่อน

    Nawavulia kofia. Mmezungumza mengi mazuri kuhusu Kenya. Ninaweza yataja mengi vilevile juu ya Tz, lakini kwa sasa nitataja media tu. Ni kama kwamba mna kipaji cha media maana mna nyumba za media kama vile nyie Wasafi, Millard Ayo, Dar news TV, Global TV Online na kadhalika. Mnazungumza Kiswahili, jambo ambalo linapunguza soko yenu sana, lakini bado sisi Kenya hatuna _media houses_ za kisasa ambazo zina wafuasi wengi kama zenu. Mnanishangaza sana.
    Ningelipenda kama sisi Wakenya tungezungumza Kiswahili mno kama nyinyi, maana, pamoja na Uganda ambao majuzi tu wameanza kufunza Kiswahili mashuleni, tungekuwa soko kubwa ambayo ingewashawishi Waafrika wengine kuzungumza lugha hii. Ushawishi huo ungekuwa ushawishi ya kiuchumi -- tungepunguza sana kiasi cha pesa kinachotoka huku kwa wingi kununua bidhaa na huduma za nje

  • @meschackyav7238
    @meschackyav7238 7 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊

  • @geoffreymutisya9747
    @geoffreymutisya9747 3 หลายเดือนก่อน

    If you want to talk about Kenya, you must invite a Kenyan to explain about us!

  • @panafrican.nation
    @panafrican.nation 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni jirani Mkenya na shahidi kwamba mnayajua mnayoyazungumzia kabisaaa... nyinyi kweli ni watafiti