WAJUE MASHAHIDI WA JEHOVAH NCHINI/''TUNA MAJUMBA SIO MAKANISA''/UKIFA HUENDI POPOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #makanisa #wachungaji #taarifabilamipaka

ความคิดเห็น • 62

  • @wilhelminamutembei8039
    @wilhelminamutembei8039 ปีที่แล้ว +3

    Ahsanteni sana ndugu zetu wapendwa kwa kuweka ukweli bayana. Wenye kutafuta ukweli ( marafiki wa amani) wameupata kuhusu Yehova na jumuiya yake japo wengine bado wataendelea kupinga....na hii ni kwa sababu ( " .... imani si mali ya watu wote" 2 Wathesolonika 3:2)

  • @TheGLOBALSUCCESS
    @TheGLOBALSUCCESS ปีที่แล้ว +3

    interview nzuri sana Stans..

  • @elizabetherenesti309
    @elizabetherenesti309 ปีที่แล้ว +6

    Hongereni sana Ndugu Mwaipwisi na Ndugu Mfuko kwa maelezo mazuri juu ya Mashahidi wa Yehova, hakika maswali ya watu wengi yamejibiwa!

  • @johnchalula9263
    @johnchalula9263 6 หลายเดือนก่อน

    Very interesting interview. Hongereni akina Ndugu bila Shaka mmeeleza vzi imani ya Mashadi wa Yehova.

  • @dorcasbarazani6001
    @dorcasbarazani6001 11 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana ndugu zetuu 🙏🙏🙏 majibu ni muzuri sana Jehovah ababariki sana. Nimependa sana kwa kweli ❤❤❤❤❤

  • @costakumburu
    @costakumburu ปีที่แล้ว +1

    asanteni sana ndugu zangu mmetoa ushahidi mzuri kumhusu mungu wetu Yehova ; naamini mwenye maskio naamesikia na ameona sasa kazi kwake hii ndio njia ya kweli .

    • @Naomi-qj7fu
      @Naomi-qj7fu 10 หลายเดือนก่อน

  • @phebbyshayo9099
    @phebbyshayo9099 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni kwa kuja

  • @danfordmkwandule9528
    @danfordmkwandule9528 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana akina Ndugu ❤

  • @FRANKIUSMWIJAGE
    @FRANKIUSMWIJAGE หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana YEHOVA kwa kutupa dini ya kweli

  • @MushoboziIdephonce-zd8xq
    @MushoboziIdephonce-zd8xq ปีที่แล้ว +1

    Asante yehova kwa kutupa wazee wanyenyekevu

  • @zerimwasaka-qz2hq
    @zerimwasaka-qz2hq ปีที่แล้ว +1

    Hongeren sana ndugu zetu

  • @shaddycollins9760
    @shaddycollins9760 หลายเดือนก่อน

    Hao mashaidi wa yehova ni waongo kweli kweli wamemkataa yesu kristo na kufwata mafundisho yasio faa,

  • @reginaphilipo4852
    @reginaphilipo4852 ปีที่แล้ว +3

    Hakika naipendaa IMANI hii😘

  • @clensenciachale697
    @clensenciachale697 ปีที่แล้ว +2

    Proud to be😘

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 ปีที่แล้ว +1

    Lambat nimependa sana exclusive yako na ndg zangu hao,ubarikiwe sana.

  • @ebengomalisawa5768
    @ebengomalisawa5768 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa ❤

    • @YakiniJoseph
      @YakiniJoseph 10 หลายเดือนก่อน

      Habali ndugu

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 ปีที่แล้ว +2

    Lambert! Kudos bro napenda unavyouliza maswali yako( sorry kama nimekosea kuspell Jina)

  • @ananiambuba3405
    @ananiambuba3405 ปีที่แล้ว +2

    Darasa Tosha sana hili

  • @namaanwilson6467
    @namaanwilson6467 ปีที่แล้ว +1

    Good

    • @YakiniJoseph
      @YakiniJoseph 10 หลายเดือนก่อน

      Mambow sistrer

  • @youngkmweusiwareba
    @youngkmweusiwareba ปีที่แล้ว

    Amina inafulahisha

  • @omondilichera6365
    @omondilichera6365 ปีที่แล้ว +3

    Ninapenda jinsi Mashahidi wa Yehova wanajieleza

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว +5

    Hii ndio imani ya kweli naikubali 100%na ndio imani yangu.

  • @esterlove9035
    @esterlove9035 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kwanini hamponyeshi wakati wanafunzi wake waliambiwa waponye

  • @kakajoeprosper957
    @kakajoeprosper957 ปีที่แล้ว +2

    Waongo ao

    • @helentalawa4436
      @helentalawa4436 ปีที่แล้ว

      Kwanini

    • @kakajoeprosper957
      @kakajoeprosper957 ปีที่แล้ว

      @@helentalawa4436 kwa sababu bibilia yao sio kama ya wengine, wamefuta maandiko mengi sana iliwafundishe uongo

    • @YakiniJoseph
      @YakiniJoseph 10 หลายเดือนก่อน

      Hahahahh pole sana ndugu yangu. Ila una uwakika na unachoongea au unaongeaa tu

  • @alawysupertalent7397
    @alawysupertalent7397 ปีที่แล้ว +2

    Dunia paradiso je WW huitamani?

  • @johnmnyawi5718
    @johnmnyawi5718 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia itakuwa paradiso kwa maandiko gani ya biblia? Acheni kupotosha watu..Neema ya Mungu iwe juu yenu na iwaokoe

    • @YakiniJoseph
      @YakiniJoseph 10 หลายเดือนก่อน

      Habali ndugu yangu

    • @johnmnyawi5718
      @johnmnyawi5718 10 หลายเดือนก่อน

      @@YakiniJoseph salama ndugu

    • @erickbudigoma7999
      @erickbudigoma7999 7 หลายเดือนก่อน

      soma zaburi 37: 9-11 utaelewa ..usiseme tu kuwa ni uongo bila kujua. pia Isaya 65:21-25. Asante

  • @hellennyawira-zf3kh
    @hellennyawira-zf3kh 4 หลายเดือนก่อน

    Wamefanya jambo la hekima waendelee vivyo hivyo akina ndugu

  • @omondilichera6365
    @omondilichera6365 ปีที่แล้ว

    Augustine. Ninapenda vile Mashahidi wa Yehova wanajieleza

  • @mebinmlwafu4762
    @mebinmlwafu4762 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndiyo Ibada ya kweli

  • @mebinmlwafu4762
    @mebinmlwafu4762 ปีที่แล้ว +2

    Huo ndiyo Ukweli

  • @EmmieKiama
    @EmmieKiama 4 หลายเดือนก่อน

    Kutaniko liko wap

  • @ErnestinaKisinga
    @ErnestinaKisinga 10 หลายเดือนก่อน

    Haaa vituko hamna salam ?mnasalimiana kama wayebusi,okokeni.

  • @wilhelminamutembei8039
    @wilhelminamutembei8039 ปีที่แล้ว +2

    Na huu ndio UKWELI 100%

  • @ErnestinaKisinga
    @ErnestinaKisinga 10 หลายเดือนก่อน

    Dunia paradiso ?mmekwisha.okoken

  • @FrolaJoram-eg1ng
    @FrolaJoram-eg1ng ปีที่แล้ว +2

    Hakika hii ni njia yakweli nauzima

  • @mzalendomtokambali6551
    @mzalendomtokambali6551 ปีที่แล้ว

    Mwandishi msomi. Maswali yako ina lenga mada vizuri

  • @josephnkwamino6509
    @josephnkwamino6509 8 หลายเดือนก่อน

    Kanisa gani hili halina salamu ya bwana

    • @ANTHONY.V.I.Ptanzania
      @ANTHONY.V.I.Ptanzania 6 หลายเดือนก่อน

      Bwana gani aliokuachia salamu kama sio kutungatu😮

  • @isaackalenge8194
    @isaackalenge8194 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo Imani ya Mashahidi wa Yehova,Ni Imani potofu,

  • @siraaronmallya425
    @siraaronmallya425 ปีที่แล้ว

    Mashahidi wa yehova ni imani inayotegemea biblia.Imani halisi katika biblia takatifu.

    • @YakiniJoseph
      @YakiniJoseph 10 หลายเดือนก่อน

      Hbali ndugu