Ebitoke: Mwanaume niliyempata ni chombo, akikukumbatia hadi unamfeel, Ben Pol hata simkumbuki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 258

  • @fathima2ajm247
    @fathima2ajm247 5 ปีที่แล้ว +50

    😅😅😅ukijiamini raha sana nakapenda sana kaibitoke kanajiamini hadi raha

  • @halimajuma5515
    @halimajuma5515 5 ปีที่แล้ว +12

    mwanzo nilijua n ruby kumbe n ebitoke😂😂😂😂😂😂 ama kwl kopo halikopeshi eeee😂😂😂😂😂

  • @maryaugustino2087
    @maryaugustino2087 5 ปีที่แล้ว +89

    Aliyeona ameweka kope bandia na anajishika kujiziba maziwa yasionekane naniii

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 5 ปีที่แล้ว +24

    🤣🤣🤣🤣🤣ata yakubakwa ebi nani kaskia ilo tujuane hapa

  • @irenerobertmlungwana7244
    @irenerobertmlungwana7244 5 ปีที่แล้ว +10

    Duuh,kwani nguo za heshima ni marufuku kwa wasanii wa kike??? Mungu awakumbuke .

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 5 ปีที่แล้ว +2

    Uwiii kwaiyo wanaume wembamba sio wazur😀😀😀😀😀ebitoke umenishinda tabia

  • @salmashuffa3745
    @salmashuffa3745 5 ปีที่แล้ว

    Pia mm ni mkenya bt nimemzimia saaana mlela hongera kwa mama yako alokuzaa handsome

  • @saudafakir5421
    @saudafakir5421 5 ปีที่แล้ว +8

    Hamna kitu hana akili anaongea kiboya sana

  • @praisemicka2739
    @praisemicka2739 5 ปีที่แล้ว

    Ndo maana nivibaya kutamka maneno kabla mda! Ebitoke Leo hii kaachwa na yule Yule mwanaume ambae anajua kukumbatia! Duh!

  • @nycejerry7737
    @nycejerry7737 5 ปีที่แล้ว +6

    Ila hii interview... Daaaaa, the girl hajitambuii kinomaa, majibu anajbu as if yupo na classmates zake darasanii anasahau this is interview na public itamuonaa even kampunii mbalimbalii daaaa.. Bongo basi tenaaaa dooo

  • @salmashuffa3745
    @salmashuffa3745 5 ปีที่แล้ว

    Wow nice kweli mlela mwanaume bwana

  • @ctcajackson5641
    @ctcajackson5641 5 ปีที่แล้ว

    Jaman kweli ebitoke boyaa, anaongea ujinga tupu alokwambia Boy anasifiwa kiac hcho nan?? Alaf we limbukeni wamapenzi Cku ukiumizwa naona akili ztasongea utaanza ongea kiutu uzima, unavotafuna xaxa kama Nguruwe mpaka kerooo 😂😂😂.

  • @vj8313
    @vj8313 5 ปีที่แล้ว +17

    Unadanganywa we mtoto shauri yako. Tatizo hujakua, ukikua utajua yupi muoaji na yupi mpita njia. Be careful dogo.

    • @vj8313
      @vj8313 5 ปีที่แล้ว

      @Lucie Ulumwene alijidai mjanja kaweka pamba maskioni😂

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 5 ปีที่แล้ว +27

    ebitoke amekuwa mzr 😂😂😂kweli mjin shule ten chuo kikuu ata kama umetoka kijijin vumbi adi kwenye kope lakin ukifika mjin 😂😂😂😂unakuwa mzungu duuu

  • @salmamgalula2073
    @salmamgalula2073 5 ปีที่แล้ว +4

    Na uyo uliye naye ukimuacha utatuambia humkumbuki..we dada tatizo lako cjui lina rangi gani😒😒😒

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 ปีที่แล้ว

    Ulijipeleka kwa Ben p,hivyo hata ukimponda haisaidii aibu kwako tupishe 😏😷😷😷😷😷😷😷😷

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 4 ปีที่แล้ว

    Kachukue interviw ya tanasha kwenye media ya yule dada mkenya ni motooooo

  • @clarencendyetabula3080
    @clarencendyetabula3080 4 ปีที่แล้ว

    Subiri ulizwe tena maana mnapenda sana kujionyesha kwani mkikaa kimya shida itakuwa wapi?

  • @saidachimmy8074
    @saidachimmy8074 5 ปีที่แล้ว +14

    Ebitok umekua mzungu😀😀 alaf bado unaakil zakitto🤔

  • @fadhilaabdullah6412
    @fadhilaabdullah6412 5 ปีที่แล้ว +5

    Wee ebitoke mwanaume hasifiwi hazarani utaibiwa wee vipi mengine funika

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 5 ปีที่แล้ว +5

    Sasa ameongea nini 🤷‍♂️🤷‍♂️ Kwani nani ahana boyfriend humu 🙄🙄🙄

  • @guyoibrahim3100
    @guyoibrahim3100 5 ปีที่แล้ว

    Duh ebitoke ni noma sana

  • @mwaminishakalili4120
    @mwaminishakalili4120 5 ปีที่แล้ว +4

    Ebitoke ongea madogo usisahau benpol amekukataa sababu ya kinywa chako mtandaoni🙀🙀

  • @fildolinbagondoza8460
    @fildolinbagondoza8460 5 ปีที่แล้ว +2

    Anavyotafuna sasa yani hajui ata kua camera inammulika jmn🙆🙆

  • @kimendehemed9664
    @kimendehemed9664 5 ปีที่แล้ว +6

    Eti muvi ya kubakwa😂kanawaza kubakwa 2😂😂

  • @mwanaidimkumbwa8470
    @mwanaidimkumbwa8470 5 ปีที่แล้ว

    Ahaaaahaaaahuhuhuhuuuuuuuuuuuuuuujamani nimecheka but hongera kwakupata mme na sio mume

    • @joyceerasto7556
      @joyceerasto7556 5 ปีที่แล้ว

      Mme. Na mume yote yale yal tofaut huja kwa matamxh lkn maana ni sawa

  • @emeldaboniphace5901
    @emeldaboniphace5901 5 ปีที่แล้ว

    Huy dixh kwl Ila nakpnd xn mhay Wang😁😁😁😂😂kwamb ukikumbatiwa

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 4 ปีที่แล้ว

    Ebi anapenda wanaume wazuri ahhhh

  • @princessaidal1130
    @princessaidal1130 5 ปีที่แล้ว +3

    Pesa kwakweli ni chakula iliyotayari mda wowote, mnamuona huyo demu alivyotakata

  • @maggymwaipopo2347
    @maggymwaipopo2347 5 ปีที่แล้ว +3

    wanawake tunapenda kudanganywa yaani waoaji tunawaacha halafu wakutupitia kama upepo tunawapa nafasi sijui tunafeli wapi

  • @frujamesfrighton742
    @frujamesfrighton742 3 ปีที่แล้ว

    Am the #SNS’s Best #MVS,

  • @janethaule4281
    @janethaule4281 5 ปีที่แล้ว

    Ebitoke unafikiri unamuumiza Ben kumbe unajiumiza mwenyewe,,,anyway kazi njema bibie

  • @aginessjacksoni8115
    @aginessjacksoni8115 4 ปีที่แล้ว

    Dhaa sijui kwanini ebitoke hujierewi vyo q kwanini usirud shure mmy q mpaka una boa

  • @elizabethnorbet9339
    @elizabethnorbet9339 4 ปีที่แล้ว

    Kumsifia Sifia leo hiii mmeachana msyyuu

  • @dollydolly9778
    @dollydolly9778 5 ปีที่แล้ว +2

    Chizi fresh wallah 😄😄😄

  • @sarahangel9814
    @sarahangel9814 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmm kuongea hakajui cjui kapoje

  • @jenifajafari7670
    @jenifajafari7670 5 ปีที่แล้ว +4

    Ebe anatumia mafuta gani kwani na mm nataka jamani 😂😂😂

  • @ashaomary8969
    @ashaomary8969 5 ปีที่แล้ว

    Yusuph Mlelaaaa

  • @khadijambuya794
    @khadijambuya794 5 ปีที่แล้ว +8

    Mb zangu nazijutia ssa🤣🤣😏maaan ujinga mtupu

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 ปีที่แล้ว +3

    Ebitokee🤣🤣🤣nimecheka mwanz mwisho

  • @ashuraamri5006
    @ashuraamri5006 5 ปีที่แล้ว +5

    ebitoke we Nouma sana ila sielew kwann huo mkono haubanduki hapo began ?

  • @emmanuelelisha6090
    @emmanuelelisha6090 5 ปีที่แล้ว +1

    Ebby kapendeza sana

  • @fatumamohamed4886
    @fatumamohamed4886 5 ปีที่แล้ว +5

    Yani sipendagi kukosoaga binaadamu mwenzangu ila huyu ebi toke simuelewagi kwbisa

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 5 ปีที่แล้ว

      Haupo peke ako...me simuelew kila kitu asee

    • @leahvenus4708
      @leahvenus4708 5 ปีที่แล้ว

      😅😅😅

    • @latinusjones1363
      @latinusjones1363 5 ปีที่แล้ว

      An tatizo huyu limbukeni sana,lakn pia anaonekana hajali kabsa hisia za wengne,huwezi kumkosoa mtu kimaumbile tena kwenye media,she's so foolish girl

  • @stephanovicent9487
    @stephanovicent9487 5 ปีที่แล้ว

    Love you somuch ebitoke

  • @abidawegoro2937
    @abidawegoro2937 5 ปีที่แล้ว

    yaani haka kadada ni kashamba tena ni kajinga kanadhani huyo ni mwanaume wa kukaoa yaani kumbe bado kako bukoba kabisa kajinga ka mwisho

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 5 ปีที่แล้ว

    Duuh Atariii

  • @deborahmsanjila8639
    @deborahmsanjila8639 5 ปีที่แล้ว +1

    Asa uyu mbona kaziba maziwa akat kavaa mwenyewe...

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 5 ปีที่แล้ว +11

    Unavaa vitu kisha unajiziba...cuvae magauni yamama nibebe uko

  • @asiadotto1295
    @asiadotto1295 5 ปีที่แล้ว

    mungu anakuona ebetoke

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว +10

    mabinti waki bongo wakiwa masikini huwa weusi wakipata mkwanja chakwanza mkorogo ndo wanafikiria ivi ni kwanini?

    • @atashaisha8706
      @atashaisha8706 5 ปีที่แล้ว

      Ulimbukeni umewaja kichwani mbona mmi ninahela na sifikiri mikorogo nyoko Hao

    • @hadijarashid38
      @hadijarashid38 5 ปีที่แล้ว

      Wakati mwingine sio mkorogo pesa sabuni ya roho kupenda gharama so ukiwa huna pesa ni lazima kubaki mweus maana vitu vizuri kama rotion nzuri ,scrub,make up na vingine vingi vya asili na vyenye kiwango ni aghali Sana sabuni tuu elfu kumi na Zaid sasa mwenzangu na mm nitaweza ?pesa ni kitu kingine na ngozi pia hua hua yaandaliwa kwanzia ndani unywe na upake ndipo unaona ngozi inapata kua nyororo

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 5 ปีที่แล้ว

    Huyu binti ni limbukeni sana bado hawajui wanaume vizuri. Ngoja tuone wamchakaze wampoteze kwenye ulimwengu wa sanaa ndio atajua kwani huyo mwanau me wewe ni wa kwanza kwake? Si ana watoto wa kutosha? Haya.

  • @salhasalim2223
    @salhasalim2223 5 ปีที่แล้ว +9

    Sasa huo mkono apo veeep 😂 au umeficha ndara 😂 sijaelewa

    • @khdijaahmed8458
      @khdijaahmed8458 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @nadiyakisho2178
      @nadiyakisho2178 5 ปีที่แล้ว

      hahah acha bhan kunichekesha anafich ziwa ilo

    • @salhasalim2223
      @salhasalim2223 5 ปีที่แล้ว

      @@nadiyakisho2178 😂😂😂tucheke tu mpenzi sijui alishauriwa kuvaa hivo 😂

    • @nadiyakisho2178
      @nadiyakisho2178 5 ปีที่แล้ว +2

      sas salha salim my unajuwa mtu hatakam unashauriw kuva kwanza jitazame jee itakuwek huru haita kusumbuwa lkn unav nguo muda wot mkon shingon jaman km kashikiwa bunduk avae kwa lazim hay mway tumuache na vivaz vyake

    • @salhasalim2223
      @salhasalim2223 5 ปีที่แล้ว

      @@nadiyakisho2178 hatari lkn salama mwenyewe anajiona mjanja 😂

  • @elizabethrobert6024
    @elizabethrobert6024 5 ปีที่แล้ว +2

    Ko Ben kakonda ghafla Ebitoke acha izo

  • @nemmoney2990
    @nemmoney2990 5 ปีที่แล้ว +4

    Aongee ki star ..anakera...anataka kujaribu kuongea ki star ila anashindw

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 5 ปีที่แล้ว +4

    Mnavaa nguo hamna uhuru nazo kwani mnalazimishwa

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 5 ปีที่แล้ว +2

    Sasa Kwann umevaa af unaona aibu

  • @nagmynamahin2463
    @nagmynamahin2463 5 ปีที่แล้ว +3

    Uwo mkono haukai chiniiii

  • @leilaadaza9858
    @leilaadaza9858 5 ปีที่แล้ว

    Hehehe ebilela pole pole dada acha kujisifu sana

  • @luganohenry6141
    @luganohenry6141 5 ปีที่แล้ว +2

    acha ushamba ebitoke!ulishatendwa ww!😂😂

  • @ddizjjzjkxjxjxj3668
    @ddizjjzjkxjxjxj3668 5 ปีที่แล้ว

    Kazuri

  • @crepinamutabuzi859
    @crepinamutabuzi859 5 ปีที่แล้ว

    Uwiiiiiiiiii jamani

  • @habibhabiba.saleh.5590
    @habibhabiba.saleh.5590 4 ปีที่แล้ว

    NC

  • @abdulqareemabdalah9456
    @abdulqareemabdalah9456 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂kimwanaum noma sanaaa ebitok

  • @sammykahindi4510
    @sammykahindi4510 5 ปีที่แล้ว

    Wacha mapepe Subira huvuta bangi juzi tu ulikuwa na Ben paul akakutema baada ya kukotoa bikira saii umepata mwingine, chunga cio wote wanao sema nakupenda wanamaanisha

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 5 ปีที่แล้ว

    Ebitoke wew noma sana

  • @aginessjacksoni8115
    @aginessjacksoni8115 4 ปีที่แล้ว

    Eb mie ninge kusha uri izo pesa unazo zipata kupitia sanaa rudi tu shure ukajienderze au biashara yeyote achana na ngono zembe hazina manufaa yeyote

  • @judithlucas2793
    @judithlucas2793 5 ปีที่แล้ว +1

    Mfyuuu

  • @asiaasia-pl4fl
    @asiaasia-pl4fl 5 ปีที่แล้ว +2

    Sasa unazibanini mkono kwani umevichwa kwanguvu 😏😏

    • @aminarajabu6129
      @aminarajabu6129 5 ปีที่แล้ว

      Unaficha nyonyo hill halijavaa Sidilia au Sidilia chafu

  • @sharifkombo2526
    @sharifkombo2526 5 ปีที่แล้ว

    Me naamin yussuf mlela apa kuna kitu anataka sio mapenz.aka kasichana nasikia kanahonga saana sasa mjin apa watu wameambizana katoka benp kaingia mlela

  • @benardmartine244
    @benardmartine244 5 ปีที่แล้ว +7

    MB Zinauma Sana Dk 5 , Afu Interview Utumbo

  • @alexnomba
    @alexnomba 5 ปีที่แล้ว

    Uyu kumbe nilijuaga anazo akili kumbe ivyo duuh #ebitoke humeisha wewe

  • @veronicamachugu9080
    @veronicamachugu9080 5 ปีที่แล้ว

    Duh huyu mkerewe siyo kwa kujishaua huku

  • @rahooseleman9896
    @rahooseleman9896 5 ปีที่แล้ว

    Senge kweli ww mtoto nimecheka sana

  • @mingumatai6559
    @mingumatai6559 5 ปีที่แล้ว +1

    Wee nguo mbayaa ebitoke

  • @arafamatali7910
    @arafamatali7910 5 ปีที่แล้ว

    Afu hii kuitana mume au mke wakati ndoa hamuijui nachukia sana..hv kwann mdoa mnaichukulia kitu simple!!?ndoa sio matako useme kila mtu anayo..yaan mtu akikukaza vizuri tu basi unamuita mume!! Senge sana wewe😳😳😳

  • @aishaibrahimu1101
    @aishaibrahimu1101 5 ปีที่แล้ว +3

    Labda alishawahi kubakwa

  • @nasabimohamed5721
    @nasabimohamed5721 5 ปีที่แล้ว

    Hayuko serious huyo Dada mume anamjua mume na sheria zake

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 5 ปีที่แล้ว +1

    Umepenezaaa mwaya ila jaman watu wote weupe mweusi mm tu? Yarab nipe subra mm nicje kufat mkumbo wa kuwa mwarabu HAHAHA

  • @masakaupdate1488
    @masakaupdate1488 5 ปีที่แล้ว

    uyuu dem mluga luga

  • @maryawino7951
    @maryawino7951 5 ปีที่แล้ว

    Aty mwanaume gentlemen ama gentleman😂😂

  • @raiyansuleyman5268
    @raiyansuleyman5268 5 ปีที่แล้ว

    Duuuu

  • @marymoraa2141
    @marymoraa2141 5 ปีที่แล้ว

    Tabia mbaya kuchew na Unaongea kwa watu saa mbna

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 5 ปีที่แล้ว

    Alie kupiga make-up mungu anamuona

  • @mohamedalkindi8283
    @mohamedalkindi8283 5 ปีที่แล้ว +1

    Amekuwa kam ataahira anaongeaongea hajielewi kujitafunatafuna tu kiboya ...uhalisia wa ebitoke umeishaa kabisa huyu ni mpya sio yule aliekuwa akimlilia ben pol leo anasema eti mwanaume ukimkumbatia hupati hisia... fyuuuuuuuu ...

    • @staggarsnipper3531
      @staggarsnipper3531 5 ปีที่แล้ว

      Kanabo kanajishauwa kaaaaa hh

    • @lucymasele5875
      @lucymasele5875 5 ปีที่แล้ว

      Achana nako ni maneno ya mkosajii hayo hana lolote anajifarijiii

  • @damondasimbsimba7883
    @damondasimbsimba7883 5 ปีที่แล้ว

    E
    Sawa

  • @fatmaomar8497
    @fatmaomar8497 4 ปีที่แล้ว

    Ovyooooo wewe na huyo a ayekuhoji

  • @mauofficialtztz9736
    @mauofficialtztz9736 5 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @mingumatai6559
    @mingumatai6559 5 ปีที่แล้ว

    Unachezewa huolewi na mtu ng,ooo

  • @nahianahia2635
    @nahianahia2635 5 ปีที่แล้ว

    heeeeh alooooh

  • @issamaine3586
    @issamaine3586 5 ปีที่แล้ว

    Umevaa gauni lann sasa unajshkashka weee

  • @josephchuwale2097
    @josephchuwale2097 5 ปีที่แล้ว

    Nice comedian

  • @lelaallububa5739
    @lelaallububa5739 5 ปีที่แล้ว +2

    Usijishaue wew mwanaume ni kigeugeu tu

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 5 ปีที่แล้ว +1

    Ebutoki wacha zako usimsifu sana kwanza huo wakisifu mume hivyo ujuwe hana mpenzi

  • @janethjoel6513
    @janethjoel6513 5 ปีที่แล้ว

    Mackini bado hajui kuongea kwa mapoz ila kana jitahidi

  • @frankpascal1220
    @frankpascal1220 5 ปีที่แล้ว

    kihaya

  • @kalimuulongo9943
    @kalimuulongo9943 5 ปีที่แล้ว

    Mh ebitoke ana visa

  • @mwanaidimwabiti6858
    @mwanaidimwabiti6858 5 ปีที่แล้ว

    wachaa weeeeh

  • @patrishadickson3365
    @patrishadickson3365 5 ปีที่แล้ว

    wabongo kwa kiki

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 5 ปีที่แล้ว

    Mushukurusana camera man amekustil kinoma

  • @GidionEmamuel
    @GidionEmamuel 5 ปีที่แล้ว

    Ww nae ach kuaibisha