Boncena alisema ukweli kaka. Uongozi na bahati ya mtu ni vitu vya muhimu na kati ya watu waliofanikiwa ni kina Boncena anayetumia waigizaji chini ya wasita lakini kitu kizuri kinatokezea kabisa kupendeza. Mwingine ni Vevo alivyojitokeza kuwa star hivyo, pia Doko anapost na kupata mashabiki kwa utazamaji
The love I have for Mbwela wacheni tu cz anapenda Ukwli❤❤❤
hongera mbwela,kwa ustaraabu wako,huwa nakufatilia sana kutoka kile kipinti ukiwa pamoja na madebe lidai
Unakipaji sana kaka nimekuelewa🎉🎉🎉
nampenda mbwela kwa kazi yake nzuri
Mbwela hongera una utu ndanni Yako maana wengine wakiwa natafauti wanaongeya vibaya kwa boss Zao. Ila wewe uko fiti
Wow 🥰 i like it how you answer the question about it 👌 good advice keep it up big kaka ❤❤
Nam kubali jamaa uko boa bro
Mbwela unaongeaka ukweli ndo jambo naku pendeyaka kk
Big salut kk🎉🎉🎉
Nimewahi mnipe mauwa yangu
Pia mm nataka kazi
Waliosilia mlio wa mesejiii ya kiswaswaduuuuuuuu😂😂😂😂
Nakukubali Sana mbwela
Ila kama kakoso ameondoka kwa clam ndo bc tena
Nakupenda mbwela 🥰
Mm nampendaaa huyu jamaaaaa anajuwaaa
Kweli mueshimiwe 🎉🎉🎉🎉🎉
Nakukubali sanaa boss ❤❤wangu
Watu tushughulike na maisha yetu jaman, chuchu chuchu za nini
Kosa moja kwa clam sifa Mara na miliki hich wachini yako hatorizik haiwi mnazaliw pacha mmoja akiw vizuri kimaisha mmoja ataanza bifu
Nakukubali sana mbwela
Huyu kaka mimi nampenda sana huwa sio mnafki kwenye kuojiwa
Uyo kakoso ameshaanza kujiona keki wakat yey Kwa clam Bado san
Unaushahd katika ilo au unafwata upepo tu,,, acha kujitafutia dhambi za Bure kak
Jibu nzuri
Alafu mjue kwamba directa ni clam vevo kakoso ni kameraman 2
Acha uongo wewe au haujui nafasi ya director?, kakoso ni director, cameraman ni mtu mwingine
Itakuwa hauna akili timamu
Huyu jamaa akihojiwa hua halopokag anatulia vzuuur sana anajibu vizur sanaaa
Nawaombea maelewano msigombane jamani muendeleze kazi zenu vzur.... Sa wakikosana na kakoso snake boy itakuwaje
Clam vevo n'a timu yake 😢😢😢 uhm mungu tuuu jamaniiii.
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Boncena alisema ukweli kaka.
Uongozi na bahati ya mtu ni vitu vya muhimu na kati ya watu waliofanikiwa ni kina Boncena anayetumia waigizaji chini ya wasita lakini kitu kizuri kinatokezea kabisa kupendeza. Mwingine ni Vevo alivyojitokeza kuwa star hivyo, pia Doko anapost na kupata mashabiki kwa utazamaji
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Majibu mazuri
😮
mm ndo mna hii my daughter ya clam celew kbisa mbaya
Kakoso ana kazi zake jamani na yeye ratiba hazilingani yeye anampangaji clam ana my daughter hawawezi kujigawa
Kiukwelo ttz lipo ww unajikanyaga t ila ww upo kweny ukweli k. Anaweza kujiendesha
My crushy
I second you
Hiyo ni kweli.
Hiyo nikweli
Tunawaangalia nyie wakubwa zetu kwaio mkishaanza maugonvi sisi hatutojifunza kitu kupitia nyie
Mbwela Maisha marefu kk
Mbwela kanyooka kama rula, nakubali sana huyu broo
Kakoso anataka awe mkubwa kwa boss wake wewe kakoso auwezi mkuchinda Vevo Kenge wewe
Unaushahid au unafwata upepo tu