❤ Kumbe Sandra ni Aisha! Maa shaa Allah ❤ Nimefurahi sana kuona interview yako dada angu. Mimi ni yule yule fans wako namba moja wa siku zote. Nikiongea sintamaliza kwajinsi ninavyokukubali, nimalizie kwakukupa tuzo ya muigizaji bora wa kike Tz 🏆
Mimi ningekuwa Clam ningekuwa namuweka Sandra kila kazi anakaa nafasi ya mbele 😂 Hata kwenye Snake Boy nilikuwa nalalamika sana kwanini walimuweka yule mwanamke kuwa mtoto wa MWAKATOBE. Ile nafasi alitakiwa akae SANDRA. Na angekaa Sandra ile kazi ingekuwa moto wa kuotea mbali. Halafu siipatii picha BIG BOSS akikaa Sandra mle ndani... 🙆♂️ Yule bonge wakike nilikuwa nampiga vita tangia mwanzo. Nimefurahi sana kuona analeta vurugu, bora afukuzwe tu sioni anachokifanya kwa Clam 😂
@@GeorgeAkasha-zx2rj mtu mwenye jicho la sakiitazama Snake Boy ilitakiwa kuwa kubwa zaidi ya pale ilivyo. Sikatai kuna mapungufu ambayo yapo chini ya uwezo wao, lakini kuna mapungufu yalikuwa ndani ya uwezo wao. Kwamfano season one mwakatobe alimezwa na nyoka wachawi wake wengi walibakia lakini season two hawakuoneshwa kama waliamua kulipa kisasi au walifanya nini. Pia wangemuweka SANDRA nafasi ya yule bonge ingevutia mno. Wangeweka mapambano mchanganyiko kama sio kuweka kwenye chupa tu na kumeza meza watu. Kwakuwa ni nyoka mtu wangefanya wawe kama mavempaya... Hapo nakuonesha SNAKE BOY ingekuwa kubwa zaidi ya ilivyo
@@Eddie-b6i sio mbaguzi, sikuzote kazi inahitaji mtu anayeweza kuifanya kwausahihi haihitaji urafiki au kufahamiana. Ukiangalia scene za yule mdada kama mtu unaakili ya sanaa unaona kabisa hana kipaji ingawa anajitahidi kuigiza. Hata KIM Vevo mwenyewe anajitahidi tu na umaarufu unambeba lakini hauwezi ukalinganisha uwezo wake na SANDRA.
Usikute na mimi namfungia mwanangu anapenda sana kuigiza kila siku ananambia mama nataka kuigiza napenda sana namkeme juzi kamaliza form 4 karudia nikamkemea huwenda ndio maisha yake nayafunga
Sandra upo vizuri ila jamani mnapo anza na clam basi pigeni kazi japo kuna hii movie ya sasa kunakipenzi nilie mjua tangu big boss Sarah inasemekana anasiloo kazini sija penda
Na Sandra ndiye🎉🎉🎉🎉 mtoto mazuri sana. Nimependa alivyo Toka 254🇰🇪anakipaji kizuri
Nakubar sana mungu ajarie kazi yako iende vizur mrembo Sandra
Waooo 🥰 kumbe Sandra ni msambaa penda sanaaa 💕 msambaa wetu 🥰 nakupa maua yako Dada anguuu 🥰💕🙌🤗💃💃💃
Namkubari sana Sandra Yuko vizr sana
Sandra ni mrembo nampenda sana na anaweza sana❤❤❤
Nampenda sana mrembo Sandra, ana umbo mzuri kila pande😍🥰
❤ Kumbe Sandra ni Aisha! Maa shaa Allah ❤ Nimefurahi sana kuona interview yako dada angu. Mimi ni yule yule fans wako namba moja wa siku zote. Nikiongea sintamaliza kwajinsi ninavyokukubali, nimalizie kwakukupa tuzo ya muigizaji bora wa kike Tz 🏆
Wasambaa wanakuwaga wazuri sana nimependa kaz zako me mwenyewe nipo Tanga 🎉🎉
Ndio wasambaa warembo ata pia watamu sana kitandani
Mungu akupe maisha marefu sana mrembo dada Sandra kwa kazi nzuri from in Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Dah kina sandra kazuri jamani du ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Nakapenda bule yani
Sandra namkubar sana aisee🎉🎉🎉
Yaani uongeaji wako tu unaonesha ni msanii mmoja hatari sana ❤... 🏆
Aisha kipenzi hongera sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huu demu anajua yani anashenyenta nampenda sana❤
Nimependa kazi zako mashaallah
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nakupa Maya Aisha waallah uko juu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Salim kutoka S.A siyo siri Sandra ni mzuri sana!!!Nakupenda sana Sandra❤
Sandra ninoma san mauwa yake apewe 🎉🎉
Aisha mtoto mzuri sana🤩🥰
Naitwa saidi h saidi pia mimi ni msanii ingawa sijacheza daa ila ninaamini unachokifanya nikikubwa sana USA ❤huwezi kuamini ninachokisema nitakutafuta
Mimi ningekuwa Clam ningekuwa namuweka Sandra kila kazi anakaa nafasi ya mbele 😂 Hata kwenye Snake Boy nilikuwa nalalamika sana kwanini walimuweka yule mwanamke kuwa mtoto wa MWAKATOBE. Ile nafasi alitakiwa akae SANDRA. Na angekaa Sandra ile kazi ingekuwa moto wa kuotea mbali. Halafu siipatii picha BIG BOSS akikaa Sandra mle ndani... 🙆♂️ Yule bonge wakike nilikuwa nampiga vita tangia mwanzo. Nimefurahi sana kuona analeta vurugu, bora afukuzwe tu sioni anachokifanya kwa Clam 😂
Kwani sio moto wa kuotea mbali hio tamthilia?
Ungekuwa mbaguzi
Imagine ata mm nakuunga Mkono ule Sarah shape kaa samaki hana lolotr
@@GeorgeAkasha-zx2rj mtu mwenye jicho la sakiitazama Snake Boy ilitakiwa kuwa kubwa zaidi ya pale ilivyo. Sikatai kuna mapungufu ambayo yapo chini ya uwezo wao, lakini kuna mapungufu yalikuwa ndani ya uwezo wao. Kwamfano season one mwakatobe alimezwa na nyoka wachawi wake wengi walibakia lakini season two hawakuoneshwa kama waliamua kulipa kisasi au walifanya nini. Pia wangemuweka SANDRA nafasi ya yule bonge ingevutia mno. Wangeweka mapambano mchanganyiko kama sio kuweka kwenye chupa tu na kumeza meza watu. Kwakuwa ni nyoka mtu wangefanya wawe kama mavempaya... Hapo nakuonesha SNAKE BOY ingekuwa kubwa zaidi ya ilivyo
@@Eddie-b6i sio mbaguzi, sikuzote kazi inahitaji mtu anayeweza kuifanya kwausahihi haihitaji urafiki au kufahamiana. Ukiangalia scene za yule mdada kama mtu unaakili ya sanaa unaona kabisa hana kipaji ingawa anajitahidi kuigiza. Hata KIM Vevo mwenyewe anajitahidi tu na umaarufu unambeba lakini hauwezi ukalinganisha uwezo wake na SANDRA.
❤ mrembo alf hio 21 tunaingoja sana
Huyu dada ni mrembo alafu anakipaji Cha kuigiza ❤❤
Kweli kabisa ❤❤❤🎉
Anakua Sana kwa kweli
Sandra the best actor in Africa
Hiyi movi nimeipenda istosshe nampenda Sandra, mi murundi Ila napenda sana movi za tanzania
Mmbo vip sandra nimependa sana kaz zko naomba pia kama inawezekan unifunze sanaa na mim.....naitwa moh'd shaur kw jina la mtaa sniper am from Kenya
Sandra aky umenikunywa na urembo wako ❤❤❤
Tanga tumerudi tena kwenye game baada ya Mzee wetu king majuto❤
Wow mtoto mpoa ❤❤ congratulations Sandra u did a good filimu 🤣🤣🫴🫴💗💗
❤❤❤leo nipo ya 19 jamani itumeni
Aisha huku Burundi tunakupenda❤❤❤❤
Sandra nakupenda sana siwez ishi billa ww mwaaaaaa mwaaaaaaa
😂😂😂bongo nyoso sana
😂😂😂naipenda sana hii comment
Kumbe ndugu yangu
Sandra amemlevya KIPARA kwa uno 😂😂
Me nime tokea kumpenda uyu msambaa❤❤
Wasambaa tujuane ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤,,,, Hapo
Dada Sandra usiwe kama Sara ule ni boss wako umweshim amukakatia njia nzuri clam vevo
❤❤❤❤🎉nipo mozambique
Thank you my love Sandra
Wow kumbe umshambaa ❤❤❤❤❤❤
Sandra nakukubali sana mamaaaa
Wanawake watanga ni balaaaa
Waoooo❤❤
Sandra ww ni mrembo sana
Nimrembo adi nimempenda
Sandra ni mpole wapi, Sandra siyo mpole at kidogo
Eti mpole ana sehem zake ana changamka😂
Kilembo ki sandra djamani
Mtangazaji maswali yko niya chekechea
Nakukubali bibie
kipara Atari sana sandara bira kipara ataferi
Sema anamacho mazr san
Vizuri sana
Watu watanga wanajuwa kuwaleya wanaume
Sandra mrembo Safi sana❤😅
Unajuwa
Usikute na mimi namfungia mwanangu anapenda sana kuigiza kila siku ananambia mama nataka kuigiza napenda sana namkeme juzi kamaliza form 4 karudia nikamkemea huwenda ndio maisha yake nayafunga
Sandra mashallh kumbe ni Aysher
sandra huwa namkubali san 🎉🎉
Mm namtafuta huyu ripota jamani ni mbeya huyu dada sasa rangi anauliza ya nn😅😅😅Eti nina ugonjwa wa kukumbuka😂😂😂
Huyu ndio Sandra wa juma jicho??
Sandra demu wa kipera
Nampendasana sandra
Skuwai gundua kama Sandra kumbe ndio alikua mama wa Clam kwenye Snake boy. Wah!!
Hivi huyu dem kaolewa?❤
Ww dada uwe unawahoji vzuri maana unatuwekea uongo sana
Lakin alimpea cku Ile walio potea naeeh et
Dah wasambaa wazuri kwa kweli
Sandra ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kumbe sandra n pisi ya kwenda...alafu hua ako active sana kwa kila part....lakin napenda sana awe akiwa shetani hua ana boresha zaidi...hana mzaha 😅😅
Me siskilizi ata interview namtizama Sandra tu jamani huyu dada ni mrembo nimempenda 😢
Sandra naile ya juma
Jamanii umenkoshaa mamaa
Tunaomba kuuliza hili swali jamen kuhusu sandara yey ni binadamu wa kawaida au ni jini et
Inakuwa kuweje, unapotea tupatie process kidgo
Huyu mtangazaji mi simpendaki yaani hana swaga utafikiri labda hana mpenzi yaani anapauka unazani hajuwi sehemu wanauza mafuta
Ni carembo
demu mzuri huyu
Kazana ufike mbari uxikate Tamaa maana kazi ni moyo na sio kingine
Aisha kiukweri ninakukubari sana kwahicho ulicho kifanya kwenye hiyo firamu mimi naitwa saidi h saidi nipo USA ninakuerewa
Mtangazaji unapouliza acha ujibiwe, usijifanye mjuaji.
Ila huyu Lyne ni Mmbea sana
Huyo mudada ni hatari
mimi naitwa Ali ila na mm nko Kenya na uku kwetu tupo na wasanii na wako na vipaji ila hatuna muongozo na pia hatuna director soo plz tusaidiane
Msambaa WA kaya
❤❤❤❤
Wasambaa wote tujuane au muambai
Karembo kweli
Mrembo sandra
Lakini Sandra mimi niwakwanza kuku penda hapa DRC
Sandar mambo ni aje, huyu mdada niliomba wengi wenu wanilink nae ila wana Nyodo, mie shabiki wako, ambia huyu dada mie namuelewa kinoma
kumbe wa nyumban
Napenda kwongea na wewe itawezekana? Nipo Mozambique
Madam sandra naomba namba yako
Eti wasani wachech ambayo wanajibu DM kam wew uwezi kujibu DM Za watuuu siyo vevo
Mbona umeandika kama majungu hivi?
@@GeorgeAkasha-zx2rj kwahiyo wew ndio sandra ao bwana sandra kk
@@idrisadjuma9322 Punguza hasira ndugu yangu, hawezi kukujibu mpumbavu kama ww.
Sandra ameolewa?
????😅😅
Next time usivae hiyo t-shirt
Si ameshasema ni rafiki mbona unamlazimisha?😢
Wee acha tu ndugu yang 😂😂
Anagos aseme wanausiano 😅
Sandra upo vizuri ila jamani mnapo anza na clam basi pigeni kazi japo kuna hii movie ya sasa kunakipenzi nilie mjua tangu big boss Sarah inasemekana anasiloo kazini sija penda
Akwende huko hatulazimishi watu team VEVO,Team ni kubwa sana
@@juma3049 umenena,mtu akijiona sukari akalambwe uko😂
Kasura kaduara kazuli sana
Kilembo ki sandra djamani